WAKRISTO WAMEANZA KUELEWA KUWA UISLAMU NI DINI YA HAKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 134

  • @wahidasalum780
    @wahidasalum780 Год назад +3

    Ramadhan mungu akuzidishie subra na iman na hekma uzidi kuutangaza uislam 🤲🏻🤲🏻🤲🏻

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 5 месяцев назад +1

    ALLAH AKUSIMAMIE SHEIKH RAMADHAN UUTANGAZE UISLAM ILA USISAHU KUOMBA DUA KWA WINGI NA KULITEGEMEZA HILO JAMBO KWA ALLAH, ALLAH AFANYE WEPESI

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe Год назад +4

    Ramadhan pole kwa kazi kubwa unayofanya Allah akufanyie wepesi katika shughul zako . Akupe Leo na kesho ahera kwa uwezo wake na huruma zake . Allah akulipe kwa kazi hiyo inshalah akupe maisha marefu

  • @ArafatNasa
    @ArafatNasa Месяц назад

    Masha Allah, Allah akulipe hapa Duniani kesho Akhera.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +6

    Mtihani wakiristo hawajiamini Allah hawaongoze wawe waislam

  • @abdullahiiddi4109
    @abdullahiiddi4109 2 года назад +2

    Masha Allah sheikh. Allah ukuzidishie elimu Tuzidi kuelemika.

  • @hashimabdi
    @hashimabdi 2 года назад +1

    Mashallah Mungu awazidishie elmi ustadhi ramadhani na wenzake

  • @ambarnelly6304
    @ambarnelly6304 2 года назад +7

    Hii ndo shida ya ukristo mpaka dunia inaisha bs ukristo hauto kaa ukawa na jibu moja tena likawa sahihi mungu awaongoze ishaalwah

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣 make kwanza nicheke mie mnavyohangaika Sasa mtaacha lini mahangaiko?

    • @zanmedia5225
      @zanmedia5225 2 года назад

      @@anodearsulusi7536 cheka tu, ila kuna siku utalia 😥 nakuhurumia sana

    • @bekakasambala7108
      @bekakasambala7108 2 года назад

      Weee Cheka tu..... wanaharamu wote mnaoamin ktk Christu ....mtaoga moto

  • @ggv866
    @ggv866 2 года назад

    Mashaallah Tabaraka Allah Allah akupe kila la kheri Sheikh Ramadan..kwa kazi nzuri kwa kueneza dini ya aki

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe Год назад

    Jazakalah

  • @nasiradan942
    @nasiradan942 2 года назад

    Sheikh jazakallahu khayr

  • @nuureabdisalanjamac6111
    @nuureabdisalanjamac6111 6 месяцев назад +1

    Rabadan kuriya mashalah

  • @nasiradan942
    @nasiradan942 2 года назад

    Masha Allah sheikh

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 года назад +1

    Masha Allah mungu azidi kuwapa moyo kuendeleza usilam 💚💛💙

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 2 года назад

    Swali dogo sana Ata mtoto mdogo Ukimuliza Atakujibu bilaya wasi wasi lakn Pasta Kusemaukweli Anajua Atajiaribia mungu Awaongoze na insha allahy . Shekhe Ramadhani Zidikuwapatia Does

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p Год назад

    Alhamdulillah kw neema ya uislam

  • @nuruyusuf3237
    @nuruyusuf3237 2 года назад +1

    Hahahah sheikh Ramadan ukipata point wasema hujaskia vzr

  • @ggv866
    @ggv866 2 года назад +1

    Pastor ni mshindani sana

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 2 года назад +1

    Mashallah ya sheikh

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 года назад

    Pastor Ako sawa

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +10

    Pastor is even scared even before the dialogue starts. Little knowledge is a big issue with all the pastors.

  • @geofreymaneno5370
    @geofreymaneno5370 2 года назад +1

    Huyo Pastor sio muelewa anapiga tu kelele haongei kwa hoja mpaka ananikera mukristo mwenzake

  • @muminaroba9122
    @muminaroba9122 2 года назад +1

    Masha Allah

  • @suhailmasoud7891
    @suhailmasoud7891 2 года назад +2

    Tunasubir muendelezo akipendaAllah mashallah

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +5

    Ndugu amesema Hiyo ni kulingana na pastor

    • @mosmart4718
      @mosmart4718 2 года назад

      Pastor usiamini Korani. Toa andiko Ukristo ni dini. You very well know that there’s no where imeandikwa ukristo ni dini. Hata Ruto ni Christ. Uhuru alikuwa Christ. Any leader based on the Greeks us known as Christo.

  • @mariamfouziawairimu1295
    @mariamfouziawairimu1295 2 года назад

    Duh! Huyo pastor amezoea "kondoo" na haambiliki. Asiyeskiza naye hafai kusema 😰. Mwenyezi Mungu atuzidishie Imani na subra maana pasipo na subra kwa kweli amani haitakuwepo.

  • @fadumabdullahi217
    @fadumabdullahi217 2 года назад +1

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @allyussene
    @allyussene 2 года назад +1

    Masha Allah.

  • @ibrahdimpoz5820
    @ibrahdimpoz5820 Год назад +1

    Pastor mkorofi mpaka kajivuruga

  • @davidwalker2144
    @davidwalker2144 Год назад +1

    God in favor of Islam: 3-85 If anyone wants to argue and debate with them, then let him do so in the best manner with kindness, gentleness, and good preaching.

  • @munaisa5850
    @munaisa5850 2 года назад

    MashaAllah

  • @ahnafsoka6851
    @ahnafsoka6851 2 года назад

    mashaallah!

  • @alyumar4657
    @alyumar4657 2 года назад

    Polen sana waislam wa kenya muko na kaz ngumu sana

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 года назад +1

    Huyo pastor anaharibu watu wasipate ukweli Kelele mingi sana

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Год назад +1

    Uyo pedri anajizima datatuu lkn ukweli wote anaujuwa kataki watu wajuwe ukweli

  • @abuubakarymuhanga4093
    @abuubakarymuhanga4093 2 года назад

    Shekh wangu haoni wetu2

  • @samxx411
    @samxx411 2 года назад +2

    Tatizo pastor anataka kuhubiri isitoshe anawalazimishe waseme ukristo si dini ila sisi tumeshughudia ukristo si dini. ikisha pastor hajui dini wala imani yupoyupo na analazimisha anavyotaka yeye na nnauhakika akija mkristo mwengine atabisha hayo na atauelezea ukristo anavyofahamu yeye.

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 Год назад +1

    Wakristo washindani sana awakubali kushindwa na kitabu chao chasema hivi nao wanasema vile 😂

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 года назад +4

    Sheikh Ramadan mjanja unawagonganisha mpka pastor ka panic😂😂😂😂

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 2 года назад

    Allahu Akbar Alhamdelilah tunashkuru Allah 🤲

  • @safarisafari7388
    @safarisafari7388 2 года назад

    Wallahi ukitulia uusikize uislamu utasilimu tu,maana hivi sasa 99 %kufikia saahi wengi wanaukubali hadi wacristo wenyewe.ucristo ni biashara.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 2 года назад

    Kiswahili kimemchanganya Pastor labda. Dini ni religion. Imani ni belief, unaweza ukawa na imani katika dini fulani, au chama fulani au idea fulani. Kwa hiyo imani ni sehemu (part of) dini katika context ya religion. Kusaidia masikni na kadhalika ni baadhi ya mambo ambayo dini inasisitiza.

    • @lailatlailat3850
      @lailatlailat3850 2 года назад

      Yan mtu ambaye wajui mnaweza kumchanganya lakin anaye wajua amwez kumchanganya kwasababu nyie munaruka mandiko kingine kwann mtu akiama din anauwawa ulisha jiuliza kwann

  • @mwasjmwas.7193
    @mwasjmwas.7193 2 года назад

    Pastor hajielewi

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 2 года назад

    Dini ya haki NYIE jidanganyeni,Ila Bwana Yesu kristo wa Nazareth aliye hai anawaona

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 Год назад

    ( وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ )
    آل عمران (85) Aal-Imran
    Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

  • @ericgamalieli9119
    @ericgamalieli9119 2 года назад +1

    Mm n mkristo lakini huyu pastor mubishi sana

  • @janieali5521
    @janieali5521 2 года назад +1

    Kichekesho ni hao watu, mwanzoni ulipowauliza dini zao, wote wakasema wakristo. Baada ya kuvurugwa na kuchanganyishwa na Pastor wote wakaukataa ukristo.
    Upastor raha sana.

    • @mwalimulee2493
      @mwalimulee2493 2 года назад

      Hahahaaa raha sana

    • @mose5839
      @mose5839 2 года назад +1

      Yani unazua tu mambo mwenyewe na waumini wanasema amin...tuwaombee sana Allah awape hidaya na amtie nguvu sheikh Ramadhan na wengineo waeneze da awa bila kuchoka

  • @suleimanabdull1958
    @suleimanabdull1958 2 года назад

    Huyu pastor anapotoa watu wake na lugha pia anapotoa Duniani wapo watu hawaamini kuna Mungu lkni wanayo mazuri mengi tu kwa imani walokuwa nayo, lkni hawamini Mungu Na ukiamini Mungu wa namna yeyote basi lazima utakuwa na dini.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 года назад

    Baadhi ya Wakristo yaonekana hawajaelewa kwamba Waganga wale wanaoganga na kugangua kwa njia za kimazingaombwe na wanajiita majina ya watukufu wa kiislamu kama vile Sheikh fulani wanadhsni ni Waislamu kumbe hawajui hao ni Washirikina na wanajibandika majina ya Uislamu kwa kuwa wanajua Watu wanaelewa watu wema ni Waislamu na wao wanataka wateja wao wadhani hao ni watu wema. Lakini ni hadaa. Wanawapotosha watu na kuwatoza pesa.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 года назад

    Jambo lolote la maisha ya watu linalohusu imaan na matendo linaitwa Dini. Maana ya Dini ni hiyo imaan na hayo matendo yanayotokana na mfundisho ya kitabu cha Dini hiyo. Kitabu ni cha Dini. Acheni kukwepa kwepa ukweli.

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 года назад +1

    Huyo mchungaji ana maneno mengi na hana maandiko

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Год назад

    Wakristo wanafiki alafu hawajielewi kabisa 😅 ... Wanaenda na mkumbo

  • @husna34562
    @husna34562 2 года назад +1

    Fi quloobihim maradun fazadahumu Allahu maradan

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 7 месяцев назад

    Shida yaa wa ndugu zetu wa kiristi wana tetrta kitu hawaja fahamu . Religion not only faith must have a proof Islam is faith and proof

  • @josephatanyanda4051
    @josephatanyanda4051 2 года назад

    Wakristo wawache mchezo wasome neno wamaanishe na wajazwe roho mtakatifu awaongoze

  • @ushifenesi4168
    @ushifenesi4168 2 года назад +1

    Pastor amechaaanganyikiwa 🤣

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +5

    Confusion continues everywhere you go. Ajabu

  • @Kokotokwenyekiatu
    @Kokotokwenyekiatu Год назад +1

    Sheik hakubali kusikiliza, anamkata pasta kila anapoongea. Ni kawaida ya dawa kudai kitu isiyo na maana kwa kudanganya watu. Anaposhindwa atasema ” unaleta kelele”. Si dawa mitaani ni udanganyifu mitaani. Pasta anatoa definition yake ya dini, lakini sheik haritdhiki. Dini ina maana zaidi ya moja ;”kuwekwa chininya utii, utiifu, utawala, hukumu” . Dawa hiyo ni upindishaji ya maneno. Kusudi si kutafuta ukweli. Hata kundi linalohubiriwa naye haikubali hoja zake. Hiyo pia hataki kukubali.

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 Год назад +1

      Ww na huyu pastar wako nyote amjielewi..

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat Год назад +1

      ​@@chunaabdullah1333kweli kabisa

    • @alisaleh5863
      @alisaleh5863 Год назад +1

      POLE SANA ,MUNGU AKUPE HIDAYA UWELEWE NA UUFATE UKWELI, LKN UTAKAPOBAKIA NA IMAN HIO NI HATARI SANA BAABA YA KIFO

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Год назад +1

      Kwani hiyo maana ya dini katoa kwnye kitabu,istoshe Ustadh Ramadhan anayoongea mengi anatoa kwnye vitabu na sio porojo tu km anavotoa huyo jamaa hapo,Wakristo wenyenu mnatofautian huyu anasema Ukristo sio Dini mwengine anasema Ukristo ni Dini sas nani anaedanganya wenzake apo na km Ustadh angelikuw anaongea uongo mitaani sizani km Serikali ingelimuachia kuwadanganya watu lakin anachoongea kimo vitabuni haongei kwa matakwa yke yey bali anatoa kwnye vitabu na cha kushangaz wakristo walio wengi hawaijui Biblia na hili nd ttzo na ndo maan mkristo ukimsomea andiko kwnye Biblia ambalo hjawahi kuliskia anabak kushangaa tu coz makanisani hawasomewi haya masndiko yanafichwa.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 года назад +4

    Mapastor kazi yao ni kutunga maneno bila maandiko.

  • @ahmedamina5835
    @ahmedamina5835 Год назад

    I feel very sorry for the pastor he even doesn’t understand the the simple kiswahili
    He was asked ‘Ukiristo’ not wakiristo

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Год назад

    Sisi waislam dininyetu niyakiislam

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 2 года назад

    Hawazi kujua

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад

    Jibu ukristo siyo dini

  • @yusufmahdi8921
    @yusufmahdi8921 2 года назад +2

    Welcome to Islam pastor you don’t have religion

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 года назад

    Raha sana ila mungu awasimamie waijuwe haki

  • @anodearsulusi7536
    @anodearsulusi7536 2 года назад

    Mnauwa kweli

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 2 года назад

      NDIO TUNAUMWA, SIO SIRI...... Sisi waislamu hatufurahii kuona wazi watu wanaelekea katika upotovu na hatutaki mwende motoni.... Bali ni furaha yetu kubwa tuwe Pamoja peponi.

    • @carenhilary8067
      @carenhilary8067 2 года назад

      pepo la Moto wa milele na kusaga meno, Yesu kristo wa Nazareth aliye hai peke yake NI njia ya kweli

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +2

    You just said Christianity is not a religion pastor. Pastor alienda library.

  • @Jamalkishangu
    @Jamalkishangu 2 года назад

    Mchungaji amejichanganya anasema hana dini na anajiona yupo sahihi.

  • @chris_gammer
    @chris_gammer 2 года назад

    Sura 9:31-They have taken their rabbis and their monks (as) Lords from besides Allah and the Messiah, son (of) Maryam. - ACCORDING TO THIS VERSE, ALLAH AND MESSIAH ARE LORDS WORTHY OF WORSHIP??

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 года назад

    Mwislamu mbishi hata huelewi

  • @nathankibirumuriuki5938
    @nathankibirumuriuki5938 2 года назад

    Ile kitu najua upate muislamu ghafla uwezi kua na mjadara nawao mpaka akuabie na funjo kwamba hawezi fanya mpaka iite shehe anae elewa mjadala

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Год назад

    Christianity is a culture not religion

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Год назад

    Pasta mbishi

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +2

    Can you imagine the pastor talking like this . Wafuasi watakuwa vipi because they luck education

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад

    Kwanini sasa mnabatizwa kama hamuna dini

  • @janieali5521
    @janieali5521 2 года назад

    Christianity is all about turning and Twisting words according to your understanding.
    Pastor here is saying Christianity is not a religion, according to his understanding and nothing in the bible.

  • @johnsulle4679
    @johnsulle4679 2 года назад

    Jaman hii mnatafuta kiki followers kwann hawa magaidi wanalazimisha watu mamb ya dini

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 2 года назад +1

      Sisi hatumlazimish Mtu ni hiyari yke mwenyew Mtu Kuslimu kubwa Ni kufikish Ujumbe wa Allah tu na hicho nd tulichotumw hp Duniani

    • @mose5839
      @mose5839 2 года назад +1

      Jukumu letu ni kuwaonyesha nuru mtoke gizani ila hamlazimishwi.

    • @johnsulle4679
      @johnsulle4679 2 года назад

      Iyo lugha ya waarabu ilete kwenye kiswahili ili uendane na biblia takatifu cyo kutudanganya kwa kutumia kiarabu wakati kiswahili ndo lugha yetu kwan Mungu kasema utudanganye kwa lugha za watu.

  • @emmanuelwaweru3106
    @emmanuelwaweru3106 Год назад

    Sisi wakristo tunamfuata christo ambaye ni Yesu lakini Kwa udini tuna dini tofauti kama vile katoliki, pentecostal church, so please I understand that it's very hard to understand supernaturaly being in Christianity

    • @binseif2216
      @binseif2216 Год назад

      Tumia akili hayo ni madhehebu yenu,huwezi kusema katoliki ni dini na pentecostal ni dini

  • @princesspatra5494
    @princesspatra5494 2 года назад

    WAKRISTO MAAMUMA WATADANGANYIKA HIVO....
    LAKINI WANAOELEWA WANAJUA VIZURI SANA WANAOONGEA KWA HIYO AYAT NI MAJINI >> >>SEMA: "DINI YA HAKI MBELE YA MUNGU NI UISLAMU"

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣 you are a hypocrite who can thank you?

    • @princesspatra5494
      @princesspatra5494 2 года назад

      @@stoispapi2380
      NJOO KWA YESU BRO UPUMZIKE!!!

    • @princesspatra5494
      @princesspatra5494 2 года назад

      @@stoispapi2380
      KINDLY ANSWER MY QUESTION from the "glorious" quran Ramadhan bin kuria wa gakuo...
      What is the reason for sacrificing animals during id ul adha????

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 2 года назад +4

    Huyu Pasta Jacob ni Mrongo kweli!
    Biblia ili TUNGWA na ku fikiriwa na WaZungu in 1611AD, na King KaJames!
    Kwa hivyo Biblia la WaZungu, ime TANGULIA Quran HOW?
    Tumia BONGO, my friend. SIO Blah blah nyingi!
    Jacob, Biblia was invented 411years ago!

  • @chris_gammer
    @chris_gammer 2 года назад

    Sura (80:1) He frowned and turned away (80:2) that the blind man came to him. (Hypocrites everywhere you go!! This is the prophet of Islam who chased away a blind man for asking him some coins! Yet these abdools want Christians to believe that Islam is a better religion!)😆😆😆

    • @janieali5521
      @janieali5521 2 года назад

      Your god Jesus also told a woman who needed help for her child a dog 🐕

    • @janieali5521
      @janieali5521 2 года назад +2

      Islam is not only better, it is the one and only religion accepted by God.
      The pastor just confirmed that christianity is not religion and the crowd standing around also changed their minds and supported the pastor.

    • @chris_gammer
      @chris_gammer 2 года назад

      @@janieali5521 , Jesus said, “Let the little children come to me, and do not hinder them, for the kingdom of heaven belongs to such as these.”(Matt 19:14)- muhammad was a crook bro!

    • @chris_gammer
      @chris_gammer 2 года назад

      @@janieali5521 ,pia Allah anafuata dini??? maajabu haya!

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 года назад +1

      Quran 80:1
      He frowned and turned away (80:2) that the blind man came to him.1 (80:3) How could you know? Perhaps he would cleanse himself, (80:4) or he might be mindful and good counsel might avail him. (80:5) Now he who waxes indifferent, (80:6) you attend to him, (80:7) though you are not to blame if he would not cleanse himself. (80:8) But he who comes to you running, (80:9) and fears (Allah), (80:10) you pay no heed to him.2 (80:11) No indeed;3 this is only a Reminder.4 (80:12) So whoso wills may give heed to it.
      The style of this first sentence is elegant and subtle. Although in the following sentences the Holy Prophet (upon whom be peace) has been directly addressed, which by itself shows that the act of frowning and turning aside had issued forth from him, the discourse has been opened in a manner as though it was not he but some one else who had so acted. By this style the Holy Prophet (upon whom be peace), by a subtle method, has been made to realize that it was an act unseemly for him. Had somebody familiar with his high morals witnessed it, he would have thought that it was not he but some other person who had behaved in that manner.
      The blind man referred to here implies, as we have explained in the Introduction, the well-known Companion, Hadrat Ibn Umm Maktum. Hafiz Ibn 'Abdul Barr in Al-Isti'ab and Hafiz Ibn Hajar in Al-Isbah have stated that he was a first cousin of the Holy Prophet's wife, Hadrat Khadijah. His mother, Umm Maktum, and Hadrat Khadijah's father, Khuwailid, were sister and brother to each other. After one knows his relationship with the Holy Prophet, there remains no room for the doubt that he had turned away from him regarding him as a poor man having a low station in life, and attended to the high-placed people, for he was the Holy Prophet's brother-in-law and a man of noble birth. The reason why the Holy Prophet had shown disregard for him is indicated by the word a ma (blind man), which Allah Himself has used as the cause of the Holy Prophet's inattention. That is, the Holy Prophet thought that even if a single man from among the people whom he was trying to bring to the right path, listened to him and was rightly guided, be could become a powerful means of strengthening Islam. On the contrary, Ibn Umm Maktum was a blind man, who could not prove to be so useful for Islam because of his disability as could one of the Quraish elders on becoming a Muslim. Therefore, he should not interrupt the conversation at that time; whatever he wanted to ask or learn, he could ask or learn at some later time.This is the real point which the Holy Prophet (upon whom be peace) had overlooked in the preaching of Islam on that occasion, and for teaching him the same Allah first reproved him on his treatment of Ibn Umm Maktum, and then ' told him what really deserved to occupy his attention as preacher of the Truth and what did not. There is a man whose apparent state clearly shows that he is a seeker after truth: he fears lest he should follow falsehood and invite Allah's wrath; therefore, he comes all the way in search of the knowledge of the true faith. There is another man, whose attitude clearly reflects that he has no desire for the truth; rather on the contrary, he regards himself as self-sufficient, having no desire to be guided to the right way. Between these two kinds of men one should not see whose becoming a Muslim would be of greater use for Islam and whose becoming a believer could not be of any use in its propagation. But one should see as to who was inclined to accept the guidance and reform himself, and who was least interested in this precious bargain. The first kind of man, whether he is blind, lame, crippled. or an indigent mendicant, who might apparently seem incapable of rendering any useful service in the propagation of Islam, is in any case a.valuable man for the preacher to the Truth. To him therefore he should attend, for the real object of this invitation is to reform the people, and the apparent state of the person shows that if he was instructed he would accept guidance. As for the other kind of man, the preacher has no need to pursue him, no matter how influential he is in society. For his attitude and conduct openly proclaim that he has no desire for reform; therefore, any effort made to reform him would be mere waste of time. If he has no desire to reform himself, he may nor the loss would be his, the preacher would not at all be accountable for it.
      That is, "You should never do so: do not give undue importance to those who have forgotten God and become proud of their high worldly position. The teaching of Islam is not such that it should be presented solicitously before him who spurns it, nor should a man like you try to invite these arrogant people to Islam in a way as may cause them the misunderstanding that you have a selfish motive connected with them, and that your mission would succeed only if they believed, otherwise not, whereas the fact is that the Truth is as self-sufficient of them as they are of the Truth."

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 2 года назад +1

    A surprising fact about "Christian " is that they can't prove anything about their faith without quoting verses from the books written by paul.
    Hii story yote ya kusema Yesu nu mungu, yesu ni mtoto wa mungu and all that ni mafundisho ya paul,the illiterate like John the Baptist, the demons and insane according to the bible.
    Roman's 1:8
    First, I thank my God through Jesus Christ for you all, that your faith is spoken of throughout the whole world.
    Huyo mchungaji kusema ukristo sio dini shows how mature he is and honest about it.

    • @chris_gammer
      @chris_gammer 2 года назад

      They have taken their rabbis and their monks (as) Lords from besides Allah and the Messiah, son (of) Maryam. -DO THIS PROOF THAT JESUS AND ALLAH ARE LORDS WORTHY OF WORSHIP??

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 года назад

      @@chris_gammer ?

    • @chris_gammer
      @chris_gammer 2 года назад

      @@stoispapi2380 ANSWER MY QUESTION! ABDOOL!!

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 года назад

      @@chris_gammer uliza tena sijakuelewa... and quote the full verse here..

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 года назад

      @@chris_gammer Jesus prophesied that people like you would worship him uselessly and believe in doctrines made by men (Matthew 15:9).
      "But in vain they do worship me, teaching for doctrines the commandments of men." This verse, Matthew 15:9, is further supported by these words of the Quran:
      "And (remember) when Allah will say (on the Day of Resurrection): "O Jesus, son of Mary! Did you say unto men: "Worship me and my mother as two gods besides Allah?" He will say: "Glory be to You! It was not for me to say what I had no right (to say). Had I said such a thing, You would surely have known it. You know what is in my inner-self though I do not know what is in Yours, truly, You, only You, are the All-Knower o fall that is hidden and unseen.
      Never did I say to them aught except what You (Allah) did command me to say: ‘Worship Allah, my Lord and your Lord.’ And I was a witness over them while I dwelt amongst them, but when You took me up, You were a Witness to all things. (This is a great admonition and warning to the Christians of the whole world)." (Al-Ma’idah 5:116-117).
      Biblical verses like john 5:30, John 12:49, John 14:28, Isaiah 42:8 and Acts 2:22 support the above mentioned verses of the Quran.

  • @husseinguyo7748
    @husseinguyo7748 2 года назад +2

    Masha Allah

  • @jamaljama1093
    @jamaljama1093 2 года назад

    Masha Allah

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 2 года назад +1

    Masha Allah