Good to see Edwin, Maina, Joseph.Tunawapenda sana Ramadhan na pia Abdulkarim, Allah awazindishie. Hao watu ni wenye roho safi Allah awaongoze kwenye nuru yake.
Masha Allah kazi nzuri MUNGU awahifadhi Insha Allah , kua mkristo ni kazi lazima watoe jasho kuieleza imani yao tunawaombea Kwa ALLAH awaongoze ndugu zetu
Mansha Allah! Brother Ramadan, you are doing a great job. sometimes please koroga lugha ya kinyunmbani tusikie na utafsiri.❤ Brother, you also need sport shoes to climb these kind of mountains. Jazakumullahu khairan!
Wale wanasemanga masheekh hawajui kizungu M.A sheikh Ramadan sio mchache when it comes to speaking English as well as other local languages just mentioned them kikamba, kikiyuyu, kimasai kidogo, kijaluo/kiluhya and many others na kujua hizo lugha ni silaha kwa kiwanja za daawa M.A Mungu akibariki shekhee
MashaAllah Abdulkareem. Vpy hali insha'Allah naam umepotea sanaa hapaaa ustadh ungeempa mic hata kma dakika moja aongee anafurahisha sanaa MashaAllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaza'kumullahu Alkhayran
Good to see Edwin, Maina, Joseph.Tunawapenda sana Ramadhan na pia Abdulkarim, Allah awazindishie. Hao watu ni wenye roho safi Allah awaongoze kwenye nuru yake.
MASHALLAH, Sh. Kuria naona uko nyumbani kwetu kabisa. Shukran kwa kutembea na Allah akulipeni duniani na Aherah
Mashallah ❤❤❤
Masha Allah akhi. May Allah bless you abundantly 🎉❤
Masha Allah
MashaAllah ❤️ May ALLAH bless sheikh
MashaAllah Alhamdulillah Tabarak Allah ❤❤❤❤❤ leo pia ni mimi tena😂😂😂❤❤❤❤❤
Ilikua sijaangalia mpaka mwisho. MashaAllah kizungu nacho ustadh uko juu sanaaa😂😂🫡🫡🫡 MashaAllah MashaAllah MashaAllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Weee hapo ilikuwa hatari sana
Wachaweee
Maa Shaa Allah, Mmungu amzidishie sheikh wetu Zaid na zaid ya dunia na akhera aamiin
@@StraightPathDawah aaaahhh wapi Ustadh jamaa akwama kwama apiga "aaa aaa aaa" MashaAllah lkn wewe ilikua washuka ukishuka🤣🤣🤣🤣🫡🫡🫡🫡
Masha Allah kazi nzuri MUNGU awahifadhi Insha Allah , kua mkristo ni kazi lazima watoe jasho kuieleza imani yao tunawaombea Kwa ALLAH awaongoze ndugu zetu
MashaAllah. What a breathtaking view. Mtazamo wa kuvutia nchi ya Kenya.
Asalamu aleikum subhana llah ametukuka allah
Mashaallah
Mashaallah tabaraka Llah
Mashallah Allah akuifaz ndungu yetu Ramadhan kuria
Mansha Allah! Brother Ramadan, you are doing a great job. sometimes please koroga lugha ya kinyunmbani tusikie na utafsiri.❤
Brother, you also need sport shoes to climb these kind of mountains.
Jazakumullahu khairan!
Wale wanasemanga masheekh hawajui kizungu
M.A sheikh Ramadan sio mchache when it comes to speaking English as well as other local languages just mentioned them kikamba, kikiyuyu, kimasai kidogo, kijaluo/kiluhya and many others na kujua hizo lugha ni silaha kwa kiwanja za daawa
M.A Mungu akibariki shekhee
MashaAllah Abdulkareem. Vpy hali insha'Allah naam umepotea sanaa hapaaa ustadh ungeempa mic hata kma dakika moja aongee anafurahisha sanaa MashaAllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wallah shukuran kwa njili ya Sheik
Asalam aleikum warahma turullahi wabarakatu
Mnaguza mlima na mliambiwa usiguzwe😅😊
Umepotea sana
Nipo naangalia Kila siku ..
Nitakutafuta Leo in Sha Allah@@StraightPathDawah
Hii inakubalika, karibuni kwenye mlima mtuletee hizi habari, tunawapenda waislamu
❤❤❤❤
Mashaallah
Masha Allah