Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Well explanation brother
Aseee nashukuru sana🎉ya
Shukrani kwa shule unatuongezea ujuzi. Buying and selling coins in an exchange. Masomo zaidi plz
Jamaaa anaelekeza vizuri sana
Asante Kwa feedback 🤝
Kesho
Hongera unafundisha vizuri. Shida mziki uko juu.
Asante Kwa maoni next video ntabalance background music, sauti usiwe kubwa
Uko vizuri mzee short and clear 🎉
Asante kwa feedback
Asante kaka uko vzr
Umeelezea vizuri sana umeeleweka vyema kaka
Unafundisha vizuri big up.
Asante sana, tuendelee KUJIFUNZA zaidi
Makini sanaa
So unaweza tunza coins zako kwenye exchange?For long term holder unashauli atunze humohumo au inakuaje?
Zaid ya teacher Yan uko vzur broo
Asante kwa feedback mnanipa moyo wa kuwapa madini mengi zaidi
umeuwa sana kaka naomba utupe ujuzi kwenye swala la spot trading
Vip unahamisha USDT kwenda ktk account yako ya banki na kua Tanzania shilings
Unatmia application gani kufanya editing za video zako brother?
Natumia Kinemaster only for Android
Binance wallet yangu nimesahau password nafanyaje?
Usalama wa hackers ukoje
unaeleza vzr ila backgroung music inachanganya mzeh
Ntajitahidi next video iwe ndogo, asante kwa maoni Pia msisahau kununua $TRUMP
JITAHIDI KUTENGENZA VIDEO NYINGI KUHUSU FOREX AU CRYPTO ACHANA NA MAMBO MENGINE
Sawa boss nimekuelewa
Naomba unifundixhee apoo sijaelewa
Wapi hujaelewa
Namba nieleze ninunueje na nipakije mpaka itakapopanda bei niuze
Coin ulizozihold zikipanda utaona thamani yake inaongezeka kwenye wallet yako au exchange yako
Mfano hapo bei ipande Hadi dollar 1 unapata sh.ngapi???
Itategemeana na mtaji wako boss
@SupremeCryptos mfano hapo wewe sasa, pepe ifike dollar 1
ukitaka kutoa hela kwa pesa ya kawaida
Unauza usdt zako kwa wakala kwenye exchange (P2P)
Naomba unieleza namna ya kununua kwa mpesa
Naomba nitafute WhatsApp 👇🏽👇🏽👇🏽wa.link/8u2j80
Hujaweka no
@@nyamizisimbachawene3292 wa.link/8u2j80
Hahahaa eti Bora nisielewe ila ni subscribe 😂
Yes, KUSUBSCRIBE ndo kitu cha mhimu 😄😄🙌🏽
@@SupremeCryptos 🤣
Kaka vip PI umaifahamu je
Pi waongo waongo tu, project Yao inakelele nyingi but ni token ya kawaida Sana
Bado sijafahamu jinsi ya kununua USDT kupitia wakala wa P2P
Angalia hii video ruclips.net/video/tEgXfUMqWuU/видео.htmlsi=4gnVmXBfIibWbwJE
😂😂 ni rahisi convert any coin to usdt
Naomba no yako ya simu
WhatsApp me wa.link/8u2j80
Naomba namba yako please
+255673774245
Na ile demo maana yake ni nini
Demo ni account ya majaribio
Bora usielewe lkn kusubscribe ni muhimu 😂😂😂
Muhimu sana 😂
😂😂😂😂 we jamaa jau😂😂
Mimi mbona binance yangu inakata p2p
Hakikisha iko verified Usitumie VPN Pia hakikisha umeswitch kwenye BINANCE pro ambayo ina P2P
Nitafute Kwa msaada
Bora usielewe lakn kusubscribe ni muhimu😂
Ni muhimu sana 😀🙌🏽
@@SupremeCryptos nakubr mzee mwenyew, you're very active sikutegemea kama uta reapply my comment.
Huna napita sana kwenye comments
Nimesubscribe
Asante sana
Nmesubscribe kutoka kenya ningependa kusoma kutoka kwako
Okey karibu sana Unaweza kuwasiliana na Mimi Kwa WhatsApp namba +255673774245 Asante!
Well explanation brother
Aseee nashukuru sana🎉ya
Shukrani kwa shule unatuongezea ujuzi. Buying and selling coins in an exchange. Masomo zaidi plz
Jamaaa anaelekeza vizuri sana
Asante Kwa feedback 🤝
Kesho
Hongera unafundisha vizuri. Shida mziki uko juu.
Asante Kwa maoni next video ntabalance background music, sauti usiwe kubwa
Uko vizuri mzee short and clear 🎉
Asante kwa feedback
Asante kaka uko vzr
Umeelezea vizuri sana umeeleweka vyema kaka
Asante kwa feedback
Unafundisha vizuri big up.
Asante sana, tuendelee KUJIFUNZA zaidi
Makini sanaa
So unaweza tunza coins zako kwenye exchange?
For long term holder unashauli atunze humohumo au inakuaje?
Zaid ya teacher Yan uko vzur broo
Asante kwa feedback mnanipa moyo wa kuwapa madini mengi zaidi
umeuwa sana kaka naomba utupe ujuzi kwenye swala la spot trading
Vip unahamisha USDT kwenda ktk account yako ya banki na kua Tanzania shilings
Unatmia application gani kufanya editing za video zako brother?
Natumia Kinemaster only for Android
Binance wallet yangu nimesahau password nafanyaje?
Usalama wa hackers ukoje
unaeleza vzr ila backgroung music inachanganya mzeh
Ntajitahidi next video iwe ndogo, asante kwa maoni
Pia msisahau kununua $TRUMP
JITAHIDI KUTENGENZA VIDEO NYINGI KUHUSU FOREX AU CRYPTO ACHANA NA MAMBO MENGINE
Sawa boss nimekuelewa
Naomba unifundixhee apoo sijaelewa
Wapi hujaelewa
Namba nieleze ninunueje na nipakije mpaka itakapopanda bei niuze
Coin ulizozihold zikipanda utaona thamani yake inaongezeka kwenye wallet yako au exchange yako
Mfano hapo bei ipande Hadi dollar 1 unapata sh.ngapi???
Itategemeana na mtaji wako boss
@SupremeCryptos mfano hapo wewe sasa, pepe ifike dollar 1
ukitaka kutoa hela kwa pesa ya kawaida
Unauza usdt zako kwa wakala kwenye exchange (P2P)
Naomba unieleza namna ya kununua kwa mpesa
Naomba nitafute WhatsApp
👇🏽👇🏽👇🏽
wa.link/8u2j80
Hujaweka no
@@nyamizisimbachawene3292 wa.link/8u2j80
Hahahaa eti Bora nisielewe ila ni subscribe 😂
Yes, KUSUBSCRIBE ndo kitu cha mhimu 😄😄🙌🏽
@@SupremeCryptos 🤣
Kaka vip PI umaifahamu je
Pi waongo waongo tu, project Yao inakelele nyingi but ni token ya kawaida Sana
Pi waongo waongo tu, project Yao inakelele nyingi but ni token ya kawaida Sana
Bado sijafahamu jinsi ya kununua USDT kupitia wakala wa P2P
Angalia hii video ruclips.net/video/tEgXfUMqWuU/видео.htmlsi=4gnVmXBfIibWbwJE
😂😂 ni rahisi convert any coin to usdt
Naomba no yako ya simu
WhatsApp me
wa.link/8u2j80
Naomba namba yako please
+255673774245
Na ile demo maana yake ni nini
Demo ni account ya majaribio
Bora usielewe lkn kusubscribe ni muhimu 😂😂😂
Muhimu sana 😂
😂😂😂😂 we jamaa jau😂😂
Mimi mbona binance yangu inakata p2p
Hakikisha iko verified
Usitumie VPN
Pia hakikisha umeswitch kwenye BINANCE pro ambayo ina P2P