NAMNA YA KUWEKA STOP LOSS NA TAKE PROFIT UKIWA SOKONI(EXCHANGE)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • Kama hauna account ya binance unaweza tumia hii link kudowload
    accounts.binan...
    Na kama wewe ni mgeni kabisa kwenye cryptocurrency unaweza kutupata kupitia mawasiliano hapa chini
    +255753612859
    twitter:
    An...
    Dont forget to like, subscribe and share the link.

Комментарии • 39

  • @Fredmnaku
    @Fredmnaku Год назад +1

    Kiukweli nimependa sana ufundishaji wako yani unafundisha vizuri sana ase

  • @EmmanuelDeus-us8kb
    @EmmanuelDeus-us8kb Год назад +1

    Nashukuru sana natama utoe mafunzo Mengi unafundisha vzr

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 Год назад

    Hongela mwalim uko vizur sana unaeleza vizur sana hatstusio weza tunaelewa

  • @misanaalphayo2091
    @misanaalphayo2091 Месяц назад +1

    Huyu dada anafahamu hii biashara hatari sana

  • @investmentabbaslucas5827
    @investmentabbaslucas5827 2 года назад +1

    😆😆😆sambasamba....
    Nice work umeelezea vizuri sana

  • @al-hadhirbnmuswahib9613
    @al-hadhirbnmuswahib9613 2 года назад

    Asante Kwa mafunzo mazuri mungu akubariki...🙏

  • @athanasndele6213
    @athanasndele6213 2 года назад

    nice teacher

  • @nyauclassictv805
    @nyauclassictv805 Год назад +2

    Ukija kupata PFROFIT kubwa niambie nikuuzie vifaa vya sauti kama PODCAST itakusaidia sana kupanuwa wigo wa Mafunzo yako unafundisha vizuri sana nimependa.

  • @immaculatakadidi7906
    @immaculatakadidi7906 Месяц назад

    Habari ya Leo, naomba niwe mwanafunzi wako

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 Год назад

    Hongela sana

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 2 года назад

    pamoja nafatilia vizur3 asante kwa somo

  • @EmmanuelDeus-ku6uf
    @EmmanuelDeus-ku6uf Год назад

    Nashukuru nimepata kitu kidogo

  • @cyprianmsuka3572
    @cyprianmsuka3572 3 года назад +2

    Nice work ✌️

  • @fwntv8007
    @fwntv8007 Год назад

    Somo zuri kweri

  • @fwntv8007
    @fwntv8007 Год назад

    Dada hakika somo limekaa vizuri sana shida yangu hapo kuseti kendoseli na endketa hivvo Fanya msaada wa papo kwa hapo yaani kimoja baada ya kingine pamoja sana

  • @trader-anne
    @trader-anne  3 года назад +1

    Thankful

  • @theosiyantemi4150
    @theosiyantemi4150 2 года назад +1

    Naomba niendelee kujifunza zaidi hivi vitu

  • @theosiyantemi4150
    @theosiyantemi4150 2 года назад

    Madame asante sana

  • @chegalii6464
    @chegalii6464 28 дней назад

    Nataman kufanya iyo kitu lakni cwez kuifaham kw kunielekeza ivyo

  • @luqmanalbahrey9893
    @luqmanalbahrey9893 Год назад

    Natafuta darasa au mwalimu wa crypto ....

  • @ELIASMAGONGO-e6q
    @ELIASMAGONGO-e6q Год назад

    Naomba mawasiliano zaidi nahita kufanya hivi kazi

  • @CalvinMwampyate
    @CalvinMwampyate 8 месяцев назад

  • @MussaGunda
    @MussaGunda 9 месяцев назад

    Naomba niunge group la crypto currency

  • @Tumainiagustino
    @Tumainiagustino Месяц назад

    Madam mtaji wake una anzia kiasi gan

  • @Classicboy154
    @Classicboy154 2 года назад

    Mm nilikua naomba maelekezo zaid je nakupataje kama utojar

  • @stevenjackson4985
    @stevenjackson4985 Год назад

    Signals tunapataje?

  • @mrishogange4276
    @mrishogange4276 3 года назад

    Hausikik aise

  • @philipocharles9239
    @philipocharles9239 2 года назад

    Dada nashukuru kwa video yako nzuri ila nachokiona hapa ni kwamba natakiwa nishikiwe kiboko yaan material haiingii kichwa yangu ngumu kama jiwe sijui unanisaidiaje dada angu😭😭

    • @trader-anne
      @trader-anne  2 года назад

      0753612859 nitafute kwa hiyo no

  • @salumntandu2656
    @salumntandu2656 Год назад

    Mi nakuomba utumie screen nyeupe hiyo nyeusi vitu havioneki vizuri kwangu mimi

  • @ibrahimndondole4077
    @ibrahimndondole4077 3 года назад

    Namba za simu

  • @Tumainiagustino
    @Tumainiagustino Месяц назад

    Madam mtaji wake una anzia kiasi gan