Dalili ipo ktk Qur-an kuwa ataesoma elimu y akhera kwa ajili y dunia Basi atalipwa duniani akhera hana kitu,lkn endapo atapatiwa ujira bila y kutia nia ktaraji malipo inajuzu kuchukua ujira
@@osmaniidrisa6290 ungekaa tu kimya ingetosha kwa mtu wa aina hii, kwasababu inaonekana wazi hana hata muelekeo ktk masuala ya kielimu lkn anapenda tu na yy aandike
Allah akubarik
Allah akuhifadhii Akhyabalifadhir
Shukran
Allah akulipe herisheikh
Baraka llahu fika
Allah akikaze kheri
Allah amenifahamisha kkutokana na darasa yako hii
BaarakaAllahu fiika yaa Sheikh
Amiin
Noted
Swa swa shekh
shukran
Jazakillahkhyra
Wa Iyyaak
Hapo sema jazakallahu sio jazakillah kwa kuwa hyo nimwanume anaeongea
Nilikusudia Jazakallahkhyra sasa cm yangu ikachangua Jazakillahkhyra mm bila kuangalia
Kila ktu nkuamini tu na kuweka niya kwa lilo kheir
Ok
Assalam alayqum warahma tullah wabarakatuh, shekh kassim nakuuliza suali ivi taarifu ya uchwai kilugha na kisheria nini uchawi?
Kuna mambo
Kina zinaaa nk kina watu mikoan hawajui hata kama kuna uislam
Inafaa kuchukuwa ujira, mara haifai kuwa kazi. Hamna dalili hata moja wala kauli ya mwanachuoni kuhusu kutofaa kuwa kazi.
Siskiliz vzr Akhy ...acha jazba na roho mbaya
Dalili ipo ktk Qur-an kuwa ataesoma elimu y akhera kwa ajili y dunia Basi atalipwa duniani akhera hana kitu,lkn endapo atapatiwa ujira bila y kutia nia ktaraji malipo inajuzu kuchukua ujira
حلم إلى السلفيه
Kuna watoto mayatima tele wananyanyasik wqnazulumiwa wanakosa haki za msingi kuna mafukara
Hao wema waliopita walikiwa wanafanya kama mnavyofanya nyinyi
Sheikh , hadi wewe unajikanyaga kanyaga kioo cha masalafii,
Anajikanyaga kweli,
so kweli aafafanua vizuri sababu yeye sio mwaazuoni
Chuki na choyo kitakuuwa kaa chini usome
@@ramadhanmakame1328 Chuki na choyo kitakuuwa kaa chini usome na ww
shekh anaongea na wanafunzi ndio maana tunaelewa wewe ambae sio mwanafunzi na Allah hajakuwafikisha huwezi elewa
Nakutia wenzenu moton na kijitia nyinyi pepon
Hahaha kaa chini soma Akhy acha jazba na roho mbaya ..mana kiukwel hujui kt nd man unatoa manen hay
Hivi mumekalilishwa kujibu kuwa nenda kasome hamna jibu jingine hii inaonyesha uwezo wenu wa kufikiria ulivyo, eti nenda darasani loooooh
Munakazi ya kufanya chuki na maneno mabay kwa waislam wenzenu
Pole jmn naona unashida
Bro mbona ume comment zaid ya mara mia kwenye hii video kwani shekh kaongea kitu chchte kibaya ama amekukwaza na nini dini haitaki makasiriko
Muumini kwa muumini mwingine ni kama mikono miwili, huoshwa mkono mmoja kwa mwingine
Nyinyi mumebaki bidaa bidaaa
Kaa chini usome
Hujasoma wewe tulia
Hebu achaneni na maulidi na hitma na arubain kuna mambo mengi ya kufanya ktk dining yetu hiii mbona hamusem
Na haya ni muhimu zaid
@@osmaniidrisa6290 ungekaa tu kimya ingetosha kwa mtu wa aina hii, kwasababu inaonekana wazi hana hata muelekeo ktk masuala ya kielimu lkn anapenda tu na yy aandike
@@mohdaliothman174 wanatakiwa wajulishwe maana wanaona kuzua kwenye dini ni Jambo dog sanA
@@osmaniidrisa6290 na hapo anaongea kwa kujiamini anahic yuko sahihi sana
Huna kt na hujui kt kweny Dini ..kaa kimya Vyengnevy Anza kusom kwsabb huna ata muelekeo wa mas Ala ya dini