I think sasa hivi ladies will understand, don't get married atleast ur 30 and unless your ready kumaccept the other person with his weakness. Kuna depression na expectations kwenye marriage.
This is the interview i have ever watched hongera sana dada Sarah naamini katika hayo mapito now umejipata vizur tumejifunza sana kutoka kwako na pia you look young and beautiful
Lackson: Host licha ya kuwa na haiba nzuri ila anampungufu mengi mno kwenye interviews zake: Ha-push back kuvuna majibu ya ndani, ana pander kwa host hasa wanaompa narrative anazoziamini, conversation zake ziko pivoted kama confensions instead kuvuna simulizi zinazotupa ukweli, tufanya tusiwe na amani na kutufanya tuwe na kitu cha kujifunza. Mgeni ni kama watu wa kawaida hakuna kitu cha ziada, kitu tofauti, maelezo yake ni ya kawaida sana. Again, no offesne, but most of you consume low level content sana.
Dada Salar nimekusikiliza vzr Sana ,ukweli ni kwamba wengi tupo single mother tumejikuta tu tumo kwenye hayo Maisha Ila haikuwa ndoto yetu lakini kila unapojaribu kujinasua unakuta ni kama hii ni special tu wewe uwe single kwani kama Kuna wasio na fedha na wengine wanazo vivyo hivyo hata kwenye ndoa wapo waliojaliwa na ambao hata Kwa kujitahidi napo imegoma lakini kugima Kwa ndoa kusikufanye nawewe ujigome Bado unaulimaengu wako na Maisha yako binafsi unatakiwa uyaishi na uyapende na ili ndoa iwe na heshima lazima tuwepo wa kutamani ili waliobahatika wazitunze wajue kuwa ni Mpango maalumu wa Mungu,zitunzenu ndoa zenu mliojaliwa.
DADA SARAH ANA MENGI SANA YA KUTUELEZA TENA INGEKUWA HATA PART 3 HUKO ILA IRENE UNAMKATISHA SANA YAANI KUNA VITU VINGI SANA TUNGESIKIA ,STORY INASISIMUA MNO
Mwanaume asiyejua wakati mke anaumwa, au amechoka, au hajihisi vizuri huyo hafai kuwa na mwanake, labda amuoe mwanaume mwenzake. This lady went through hell because of that narcissistic man. What's a strong woman to be here today sharing her story.
Iyo nikweli kabisa dada yangu mim nilihis kukaa bila kuolewa nitaonekana sikatulia nikaingia kwenye ndoa yapili chap kilicho nikuta siwezi kushau hiki kipindi kinanifunza zaidi🙏🙏🙏
Mimi ni Mchg (wa KKKT), na kwa sasa ninasoma degree ya tatu ya Theologia huku Marekani. Ninafuatilia vipindi vingi vya SNS! Ila hii series ya FIX OU ..kwakweli hala SNS mmpepiga bao! More than anything, interview hii ni shule kubwa! I have promised kwamba nikirudi nitamtafuta huyu dada, akikubali, nitaandaa semina ambayo nitamuomba afudishe (basing on the fact that watu wetu wanapenda sana kussikiliz kuliko kusoma vitabu). Sijui hata nianzdae ya wazazi au ya vijana...maana naona anafaa kote! Narudia, asanteni sana SNS, na Bwana Aibariki kazi yenu na channel yenu hii!!!
Mchungaji, historia ya Sara kidogo ifanane na yangu. Mimi nimesavaivu kwenye ndoa kwa miaka 5 tu na ndani ya hiyo miaka nimelala na mume wangu mara 10 tu.Mimi sasa ni mzee lkn nimeumia sana, tangu nitoke kwake ni zaidi ya miaka 21.Naomba ukija na hiyo semina na mimi nishiriki.
@@mariakibwana3700 Amen. Nitatafuta namna ya kuwasiliana na Sarah, na nikfanikiwa nitakuambia. Kwa Neema ya Bwana natazamaia kuwa na likizo mwaka kesho, mwezi wa pili, na natazamia kuja huko. Nitajaribu kuwasiliana na Sarah mwaka huu huu ili kujua kama ana nafasi muda huo nitakaokuwa Tanzania. Ubarikiwe sana, Maria. Sijajua kama tunaruhusiwa kuweka namba zetu za simu hapa, ila ningekupa namba yangu kwa mawasiliano zaidi.
Mchungaji, Mungu akubariki! niliolewa na kaka wa kilutheri tumekaa 4yrs tumeachana.Hadi leo nimechukia wanaume hadi sasa ni mzee. Kifupi nina uchungu mpaka naingia kaburini.Siwezi kuweka namba ila naishi Kibaha picha ya ndege namba yangu inaweza kupatikana kwenye kata ya picha ya ndege kwa kutaja hilo jina la dada Maria.
Ila hata ufanye nini kama Mungu hajaruhusu kuwa mahali unapataka huwezi dumu imegine nikikuangalia una kila sababu ya sifa ya kuwa wife material lakini ona bado huna ndoa pamoja na ujuzi mwingi ulio nao ,,, mimi niseme tu wakati wa mungu ndio sahihi. Sio kwa ubaya na mimi nimeshauri kama dada Sara 🙏.
Mtangazaji haupo vibaya ila kidogo uwe unawaachia wageni waalikwa waongee vizuri, usiwakatishe..na pia maswali yako hayako na order nzuri, kama hapo kuna swali lazima ungetakiwa kuuliza ila hujauliza..kwamba kwanini mtu inamtokea sauti anaitwa makaburini, inawezekana ni nguvu za giza, na alichukua hatua gani?? Kilamtu alikua na uchu wa kusikia hiki kipande..ila hujailiza ukamkarisha..otherwise unajitahidi pia...
This is me in all ways. Sikuwahi kusema in 16 years na baada ya hapo nikaamua kusema ila hakuna aliyeweza kuamini ubaya wa Mwenzangu sababu nje alikuwa mwema mnoooooo.
Dada Irene na mm naungana na dada Sara nitakutafuta siku Moja huyu dada amegusa maisha yangu. Nikweli mwanamke ukiolewa hakuna exchooze kama Ugonjwa Au nimechoka sijui mtoto anaumwa sijui Nina kazi nyingi hizo exchooze kwa mwanaume hazipo YAANI hazipo na sehemu kubwa mm ndoa yangu ipo matatizoni sababu ya vitu kama hivi ntakutafuta alafu nahitaji unipatiye mtu sahihi wakuongea naye anisaidiye nitoke hapa nilipo.
Pole haukuwa wito Kuna namna wanahangaisha watu na miungu mingi especially pale unapoannza kusikia sauti za mitume ...wanakuhangaisha ndoa itavunjika utaparamia mwanaume ammbaye hukumtegemea
Dada sara umenibariki sana vipengele vingi sana namna ya kujitambua kama unaimba MTU anatakiwa aelewe maana unavyokuwa unahitajika mwanaume kama Sio muelewa sasa na ndani ya Moyo huduma inawaka Moto maana natamani kuna watu nikawahudumie 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu atusaidie nimekuelewa sanaa
Siku nyingine muache atupe historia yake kwanza ndio uanze kumhoji historia yake, ww unauliza maswali ameshakusimulia sisi hatujui dada anafunguka vzuri ila umetunyima madini
Exactly.. anamkatisha akiogopa mf akiwa emotional.. anafaa aheshimu hisia zake na pia asiulize maswali from point of view of yeye anajua story yote, while watazamaj hawajui kitu..
wanawake inabidi kuwa na msimamo,wanaume mara nyingi huwa wanatarget udhaifu wa mwanamke ila wakikuta una msimamo dhabiti thubutu,atatoka ndukiiii🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kuna mwanaharakati mmoja Yuko Kenya anafanya talk shows za maisha halisi kama wewe Dada Irene , Kuna namna huwa anawaacha wageni wake wajiachie toka wamezaliwa Hadi Hali walizofikia bila kuwabanabana.... Anaitwa LYN Ngugu network/show RUclips mcheki shows zake utajifunza mengi mnooo kama kwe unataka tujifunze zaidi na kunufaika na hizi story... Pia mtu anapoamua kuaongea story yake ni Moja ya therapy inamsaidia kuachilia vitu na kuwa mwepesi
Hapo kwa mabint kujitegemea siungi mkono, inatakiwa bint aishi na wazazi wake mpaka siku yaluolewa ivyo ndivyo sahihi, hatakama atapata kazi lakini aishi kwa mama na baba mpaka siku anaolewa, kwasababu akiishi kando akijitegemea ataweza kufata ushauri wa mtu yoyote na hatojali kwasababu hana mtu wakumkataza
Tusikilize na upande wa pili pia maana wanawake kama wewe unaonekana una gugu sana kwa ntazamo wangu ilifika sehem hutaki kumpa mzee chakula mpaka unataka kumpa mtu mwingine😂😂😂😂dah nawaza kwa ndani sana kama huna akili nyingi huwezi nielewa me kwa mtazamo wangu wewe ndio shida
No offense: but what type of men do you women get into marriages with? Mwanaume anayekuwa na gubu mwezi mmoja baada ya fungante sio MWANAUME ni mtu mwenye jinsia ya kiume. Change the way you see the world, find emotionally stable and social calibrated men.
Irene, Habari yako: Naomba nikupe ushauri kidogo. Next time tafadhali, push back kwa wageni wako, usiwape confessions chamber, show inakuwa ni echo chamber. Kwa mfano, hujamuuliza kwanini, mume alikuwa na mategemeo makubwa mwezi tu baada ya fungate? Je? Hakuwa na uwezo wa kumjua mwenza wake kabla ya kuoana? Je? anachukua nafasi ya kuwajibika? Kwanini alibweteka kiasi hicho na kuwa a doormat? Najua na nimekuona mara nyingi unajaribu sana kuwa "Politically correct" na kuto wa offend wageni wako, but please be a GOOD HOST AND DO SOME HOSTING FOR CRYING OUT LOUD. Mara nyingi nakuwa nashindwa angalia video zako sababu hazinipi undani wa wageni, nikama vile mnapiga story tu za kawaida, hakuna STORI (kitu cha ziada, tofauti na maisha ya wengine, kinachotupa funzo) hiyo ndio recipe ya story. Anyways, I stand to be corrected.
I think sasa hivi ladies will understand, don't get married atleast ur 30 and unless your ready kumaccept the other person with his weakness. Kuna depression na expectations kwenye marriage.
This is the interview i have ever watched hongera sana dada Sarah naamini katika hayo mapito now umejipata vizur tumejifunza sana kutoka kwako na pia you look young and beautiful
Best interview Masha’ALLAH nimejifunza kitu asante na ubarikiwe dada zetu🥰🤗
🌺This is One of the best interviews I've listened this month. May the blessings be upon you All, Irene Kamugisha & Sarah Ngonyani.
Amen,thank you!
Du pole dad ukipata mwanaume sahihi for this time ndoa inadumu hiyo
Lackson: Host licha ya kuwa na haiba nzuri ila anampungufu mengi mno kwenye interviews zake: Ha-push back kuvuna majibu ya ndani, ana pander kwa host hasa wanaompa narrative anazoziamini, conversation zake ziko pivoted kama confensions instead kuvuna simulizi zinazotupa ukweli, tufanya tusiwe na amani na kutufanya tuwe na kitu cha kujifunza. Mgeni ni kama watu wa kawaida hakuna kitu cha ziada, kitu tofauti, maelezo yake ni ya kawaida sana. Again, no offesne, but most of you consume low level content sana.
@@padilijamesmikomangwa519 vingine vipo kwenye kitabu ndio maana wamesummurize
Hongera Dada Sara kwa ushindi we Ni kichwa toka ukiwa shule ,atukunzwe Mungu kwaajili yako
Dada Salar nimekusikiliza vzr Sana ,ukweli ni kwamba wengi tupo single mother tumejikuta tu tumo kwenye hayo Maisha Ila haikuwa ndoto yetu lakini kila unapojaribu kujinasua unakuta ni kama hii ni special tu wewe uwe single kwani kama Kuna wasio na fedha na wengine wanazo vivyo hivyo hata kwenye ndoa wapo waliojaliwa na ambao hata Kwa kujitahidi napo imegoma lakini kugima Kwa ndoa kusikufanye nawewe ujigome Bado unaulimaengu wako na Maisha yako binafsi unatakiwa uyaishi na uyapende na ili ndoa iwe na heshima lazima tuwepo wa kutamani ili waliobahatika wazitunze wajue kuwa ni Mpango maalumu wa Mungu,zitunzenu ndoa zenu mliojaliwa.
Irene u have a good program but improve on your questioning skills..
Shukrani kwa kushare yr experience mamii and pole saaana
Kiukweli nimemkubali sana mgeni wa leo 👍
Mungu wangu pole Sala🙏🙏
Honestly mm mwenyew sipend tabia ya kushtk shtak kabs napambn mwenyew
DADA SARAH ANA MENGI SANA YA KUTUELEZA TENA INGEKUWA HATA PART 3 HUKO ILA IRENE UNAMKATISHA SANA YAANI KUNA VITU VINGI SANA TUNGESIKIA ,STORY INASISIMUA MNO
Mwanaume asiyejua wakati mke anaumwa, au amechoka, au hajihisi vizuri huyo hafai kuwa na mwanake, labda amuoe mwanaume mwenzake. This lady went through hell because of that narcissistic man. What's a strong woman to be here today sharing her story.
very few people know about narcissistic personality disorder.
Huyo shida yk inakuw k tu
Irène unabaguwa mbona hujibu SMS zangu nimeomba from Burundi 🇧🇮 ntakuja mwezi wa 10 nimeomba kujuw sns ipo sehemu gani?
Thanks for sharing your experience I have learn something
Jamani dada Sarah am speechless....your history ina mengi ya kujifunza, lakini pia you are so bold. Ni mfano..
Jamani muna tuongezea mengi Akilini Asante 🧡🙏🏾
Very empowering talk.
Mungu akujalie mema zaidi kwa kuwa muwazi kuponya wanawake wenzako
Good pick Irene!
Tunajitaji watu kama Hawa kwenye hiki kipindi Dada wanatupatia madini adimu shukrani🙏
Iyo nikweli kabisa dada yangu mim nilihis kukaa bila kuolewa nitaonekana sikatulia nikaingia kwenye ndoa yapili chap kilicho nikuta siwezi kushau hiki kipindi kinanifunza zaidi🙏🙏🙏
Hongera sana
Mimi ni Mchg (wa KKKT), na kwa sasa ninasoma degree ya tatu ya Theologia huku Marekani. Ninafuatilia vipindi vingi vya SNS! Ila hii series ya FIX OU ..kwakweli hala SNS mmpepiga bao! More than anything, interview hii ni shule kubwa! I have promised kwamba nikirudi nitamtafuta huyu dada, akikubali, nitaandaa semina ambayo nitamuomba afudishe (basing on the fact that watu wetu wanapenda sana kussikiliz kuliko kusoma vitabu). Sijui hata nianzdae ya wazazi au ya vijana...maana naona anafaa kote! Narudia, asanteni sana SNS, na Bwana Aibariki kazi yenu na channel yenu hii!!!
Mchungaji, historia ya Sara kidogo ifanane na yangu. Mimi nimesavaivu kwenye ndoa kwa miaka 5 tu na ndani ya hiyo miaka nimelala na mume wangu mara 10 tu.Mimi sasa ni mzee lkn nimeumia sana, tangu nitoke kwake ni zaidi ya miaka 21.Naomba ukija na hiyo semina na mimi nishiriki.
@@mariakibwana3700 Amen. Nitatafuta namna ya kuwasiliana na Sarah, na nikfanikiwa nitakuambia. Kwa Neema ya Bwana natazamaia kuwa na likizo mwaka kesho, mwezi wa pili, na natazamia kuja huko. Nitajaribu kuwasiliana na Sarah mwaka huu huu ili kujua kama ana nafasi muda huo nitakaokuwa Tanzania. Ubarikiwe sana, Maria. Sijajua kama tunaruhusiwa kuweka namba zetu za simu hapa, ila ningekupa namba yangu kwa mawasiliano zaidi.
Mchungaji, Mungu akubariki! niliolewa na kaka wa kilutheri tumekaa 4yrs tumeachana.Hadi leo nimechukia wanaume hadi sasa ni mzee. Kifupi nina uchungu mpaka naingia kaburini.Siwezi kuweka namba ila naishi Kibaha picha ya ndege namba yangu inaweza kupatikana kwenye kata ya picha ya ndege kwa kutaja hilo jina la dada Maria.
You inspire many of your kind Sarah, Congratulations!!
Huyu Miss.Sara ni sawa na dada yangu kabisa...Lakini ni wife material...Very strong and genius woman....Hongera Irene the Host.
She’s so adorable 😊
Ila hata ufanye nini kama Mungu hajaruhusu kuwa mahali unapataka huwezi dumu imegine nikikuangalia una kila sababu ya sifa ya kuwa wife material lakini ona bado huna ndoa pamoja na ujuzi mwingi ulio nao ,,, mimi niseme tu wakati wa mungu ndio sahihi. Sio kwa ubaya na mimi nimeshauri kama dada Sara 🙏.
Ni kweli kabisa...
Sara umenifungua mengi mungu aendelee kukutumia..
Ooh sister Sarah i miss u!
Pole sana kwa yote Mungu yu pamoja nawe. Wewe ni shujaa.
#KGSS 1998
Mtangazaji haupo vibaya ila kidogo uwe unawaachia wageni waalikwa waongee vizuri, usiwakatishe..na pia maswali yako hayako na order nzuri, kama hapo kuna swali lazima ungetakiwa kuuliza ila hujauliza..kwamba kwanini mtu inamtokea sauti anaitwa makaburini, inawezekana ni nguvu za giza, na alichukua hatua gani?? Kilamtu alikua na uchu wa kusikia hiki kipande..ila hujailiza ukamkarisha..otherwise unajitahidi pia...
Ongezeni Muda mfano hata kuwe na part 1&2
Swala mzuri sana iyo
Aisee...🙌 mmmh..
i lack good words wallahi,,,,thank you all for fixing us
This is me in all ways. Sikuwahi kusema in 16 years na baada ya hapo nikaamua kusema ila hakuna aliyeweza kuamini ubaya wa Mwenzangu sababu nje alikuwa mwema mnoooooo.
Bado MPO Pamoja?
why FIX you ilichelewa kuletwa jamani🤷🏽♂️ Aloo naenjoy kila epsode inayiwekwa hapa ..
kuna watu wamekaa kwenye ndoa miaka 20 na wana achana, hata uolewe na miaka 50 changamoto za ndoa zipo pale pale
Dada umeongea vizuri sana wasichana wengi wa siku hizi wanapenda kuolewa mapema bila kujua ndoa ni taasisi inayohitaji ukomavu kamili kwa kila idara
Wow nice message ❤️❤️
Dada Irene
na mm naungana na dada Sara nitakutafuta siku Moja huyu dada amegusa maisha yangu.
Nikweli mwanamke ukiolewa hakuna exchooze kama Ugonjwa
Au nimechoka
sijui mtoto anaumwa sijui Nina kazi nyingi hizo exchooze kwa mwanaume hazipo YAANI hazipo
na sehemu kubwa mm ndoa yangu ipo matatizoni sababu ya vitu kama hivi ntakutafuta alafu nahitaji unipatiye mtu sahihi wakuongea naye anisaidiye nitoke hapa nilipo.
Plz naomba namba ya Dada Sara please 🙏
Miaka siyo tatizo, jambo muhimu hapo ni kupata mtu sahihi, unaweza ukaolewa na umri mkubwa na usipate mtu sahihi.
I love you Sara it is really good story
Hiki kitabu nakipataje?
Pole haukuwa wito Kuna namna wanahangaisha watu na miungu mingi especially pale unapoannza kusikia sauti za mitume ...wanakuhangaisha ndoa itavunjika utaparamia mwanaume ammbaye hukumtegemea
Hahahaaaaaa loooh,Daktari alikuwa kiboko....duuh
Dada sara umenibariki sana vipengele vingi sana namna ya kujitambua kama unaimba MTU anatakiwa aelewe maana unavyokuwa unahitajika mwanaume kama Sio muelewa sasa na ndani ya Moyo huduma inawaka Moto maana natamani kuna watu nikawahudumie 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu atusaidie nimekuelewa sanaa
Wacha msimulizi asimulie hadithi...unamkimbiza mpaka anaacha details.
WOOOW NICE PROGRAM
Mmmh nimependa hiki kpnd kweli. Ila naogopa kuumizwa na story za watu😌cpend kuona mtu analia ivyo
Dada nimekupenda sana nimejifunza menai
Wow 😮! What an inspiration…
this is the best interview
Pole sana sister nice interview
Kuna vichwa vidogo ila vina content sana, big up sisters
Siku nyingine muache atupe historia yake kwanza ndio uanze kumhoji historia yake, ww unauliza maswali ameshakusimulia sisi hatujui dada anafunguka vzuri ila umetunyima madini
Exactly.. anamkatisha akiogopa mf akiwa emotional.. anafaa aheshimu hisia zake na pia asiulize maswali from point of view of yeye anajua story yote, while watazamaj hawajui kitu..
Umeona eeee mm mwenyewe kaniboa
P
@@maggymm7302 mjP
Bahati mbaya alipata kwa hao wanaume.Sisi tumeondoka nyumbani na miaka 23 bado tuko imara kwenye ndoa zetu.
Dada nampenda uyu
Leo kidogo Sarah ameongea vizuri kihisia, Jinsi maisha yalivyo kwenye ndoa.
#HonMichaelDeusdedityKessy
Yaaaan huyu mtangazaji anaboa anamkatisha katisha yaaan anauzi angetoa story yote ..... Hapa angekua zamaradi tunge enjoy
Kitabu chake hicho cha girl on fire tunakipataje?
wanawake inabidi kuwa na msimamo,wanaume mara nyingi huwa wanatarget udhaifu wa mwanamke ila wakikuta una msimamo dhabiti thubutu,atatoka ndukiiii🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kuna mwanaharakati mmoja Yuko Kenya anafanya talk shows za maisha halisi kama wewe Dada Irene , Kuna namna huwa anawaacha wageni wake wajiachie toka wamezaliwa Hadi Hali walizofikia bila kuwabanabana.... Anaitwa LYN Ngugu network/show RUclips mcheki shows zake utajifunza mengi mnooo kama kwe unataka tujifunze zaidi na kunufaika na hizi story... Pia mtu anapoamua kuaongea story yake ni Moja ya therapy inamsaidia kuachilia vitu na kuwa mwepesi
Hapo kwa mabint kujitegemea siungi mkono, inatakiwa bint aishi na wazazi wake mpaka siku yaluolewa ivyo ndivyo sahihi, hatakama atapata kazi lakini aishi kwa mama na baba mpaka siku anaolewa, kwasababu akiishi kando akijitegemea ataweza kufata ushauri wa mtu yoyote na hatojali kwasababu hana mtu wakumkataza
Kweli kujipenda muhimu
Sara sipendi kuweka namba yangu hapa lkn nahitaji namba yako mana historia yako kama yangu. Ingawa mimi kwa sasa ni mzee.
Daaah aseee lkn wanaume Mungu anawaona
kweli mtu lazima ujipende mwenyeo
Yani usimharakishe mgeni sababu ya muda, nenda nae slow ajiachie ukimuuliza maswali sana unamkatiza....
Kwa kusema ukweli ndoa ya kweli ni uhusiano kati ya Mungu na mtu binafsi.
Very true
Mmmmmh dada amesoma mpka elimu imepitiliza,yaani nilitamani msimalize maana ni elimu tosha kwetu ma singel Mother.
Aisee mimi sijui kukaa kimya hata kama ni nini naongea
Tulio olewa na miaka kumi na saba tujuane na saiz tuko 30 tumemaliza kuzaa😀
Unachongea nikweli ukimwambia ambaye hajaingia akayaona hwaamini
Dada nakuelewa ila wanaume walio wengi hawataki kuoa umri mkubwa wanaogopa kutawaliwa
Samahan ninaswali ndug mtangazaji kamugisha wew ni mrundi?
Majina ya KAMUGISHA,MUGISHA yanapatikana Maziwa Makuu (Tanzania (Bukoba/Kagera )Burundi,Rwanda,Uganda)
@@zeydabdullah8945 0pp0p
Hivi bado watu sahv wanafunga ndoa
Hahahahaaaaaaa
Shangaa na wewe
Mnatakiwa muwe mnakaa mnatazamana msikae kiupande upande.
Tusikilize na upande wa pili pia maana wanawake kama wewe unaonekana una gugu sana kwa ntazamo wangu ilifika sehem hutaki kumpa mzee chakula mpaka unataka kumpa mtu mwingine😂😂😂😂dah nawaza kwa ndani sana kama huna akili nyingi huwezi nielewa me kwa mtazamo wangu wewe ndio shida
We mtangazaji mpumbavu sana, sasa nini maana ya yeye kua apo kama ungeweza kusema mwenyewe loool viherehere vingine vinaaribu career ya mtu 😏😏😏
dada ana IQ kubwa🙏
Hii maamuzi kujipendacwewe mwenyewe utaweza mwingine kama wewe ujipendi sio rahisi kumoenda mtu usijidanganye
Jina la kitabu
i think she was also possessed
mengine unaongezea iridtori inoge usitake kutuambia ww hukuwaikukosea
Platenumber ya mtu mwingine aaaahaa😂🤣😂🤣
#HonMichaelDeusdedityKessy
🤣🤣Looh!!
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
ulipata ugonjwa wa akili unaitwa Schizophrenia symptoms ni hearing voices
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
No offense: but what type of men do you women get into marriages with?
Mwanaume anayekuwa na gubu mwezi mmoja baada ya fungante sio MWANAUME ni mtu mwenye jinsia ya kiume.
Change the way you see the world, find emotionally stable and social calibrated men.
Irene, Habari yako: Naomba nikupe ushauri kidogo.
Next time tafadhali, push back kwa wageni wako, usiwape confessions chamber, show inakuwa ni echo chamber.
Kwa mfano, hujamuuliza kwanini, mume alikuwa na mategemeo makubwa mwezi tu baada ya fungate? Je? Hakuwa na uwezo wa kumjua mwenza wake kabla ya kuoana? Je? anachukua nafasi ya kuwajibika? Kwanini alibweteka kiasi hicho na kuwa a doormat?
Najua na nimekuona mara nyingi unajaribu sana kuwa "Politically correct" na kuto wa offend wageni wako, but please be a GOOD HOST AND DO SOME HOSTING FOR CRYING OUT LOUD.
Mara nyingi nakuwa nashindwa angalia video zako sababu hazinipi undani wa wageni, nikama vile mnapiga story tu za kawaida, hakuna STORI (kitu cha ziada, tofauti na maisha ya wengine, kinachotupa funzo) hiyo ndio recipe ya story.
Anyways, I stand to be corrected.
Irene u have a good program but improve on your questioning skills..
Thanks well noted! If you can provide one example of a good question please
Acha kuongea sana jifunze Kwa Linn ngugi, zamazadi acha mtu aongee usinterrupt mtu😂