Yaani mpira, mpira, mpira. Kana kwamba tuna raha sana! Asli ya mpira ni Uingereza ambapo kwa muda mrefu ulikuwa ukiangaliwa kama mchezo wa watu wa daraja la chini; kwa vile ulikuwa hauhitaji maarifa makubwa kuuelewa; siyo kama Kriket na Polo. Nadhani ni kwa sababu hizo hizo Watanzania huvutiwa.
Ni kweli kila awamu inaongeza hatua ktk maendeleo ya nchi. Tanzania ni nchi inayotawalika na ushahidi ni jinsi tumeweza kubadilishana awamu na kuweza kuendelea kusikizana ijapo zipo kasoro lakini tukikaa pamoja kindugu tutazitatua. Awamu ya 6 4R kama zingezingatiwa kwa moyo na wanasiasa hakika tungesonga mbele. 4R hazijashika kasi sawasawa. Hebu kila Mtanzania azipokee na kuzikubali 4R tuzifanyie kazi kwa vitendo. Tuache unafiki ule wa nataka sitaki. Kupishana mawazo , kauli, misimamo , hulka, ni kawaida ya mwanadamu kwa hiyo tuvumiliane na kustahiana . Hakuna mwanadamu asiyekosea na kukosea sio kosa tusichubuane.
Kweli kabisa change is good, lakini ata hawo wapizani awana viongozi miaka yote nawaona Mbowe na Tundulisu tuh, ni sawa na kuruka mkojo na kukanyaga mavi.
Mk wa CCM hua Rais wa Tanzania, yeye ukaa miaka mitano mitano, hivyo inalazimisha wenye kupishana. Isingekuwa katiba ya nchi, hata kwetu mzee cheyo wengekuwa wengi tu. Tusijidai unafsi hauna chama
Ebu acheni kutuchezea Watanzania. Huyu Nyerere kuna vitu slivikosea. Na amefariki. Hakuna mtoto ambaye amemrithi Julius katika wanae. Hapa tunaongelea watanzania sasa hatupo salama. Hizi mbwembwe zipelekeni majumbani kwao hasa mambo mazito yanayohusu maisha ya binadamu. Mpira unatusaidia nini?
Kwanini viongozi waleo wa c c m hawayaishi maisha ya Nyerere wengine wao viongozi wa Leo wanajirimbikizia mali wamekosa sifa ya kuwa viongozi Hilo hakuna kubisha Tama mbele mashamba yote yakwao mapoti yote ya kwako unyonyaji tu
Kama anavyosema Madaraka kwamba Mwalimu siyo shabiki wa Yanga,bali alipewa kadi ni sawa.Kama ni shabiki wa Yanga,mbona hajawahi kuonekana kushabikia mechi za Yanga au kuifadhili wala kuipa hamasa
Watanzania tumekuwa wajinga kwa kuamini mpira . Yanga na simba. Ukitaka kuwaibia watanzania jifanye unapenda mpira hata kama hupendi. Wawekezani wengi wakiingia Tanzania inabidi wajiunge na timu za mipira kupata tenda na kutuchota akiri hata kama hawana interest.
Tumekuwa wajinga wa mpira. Hata Rais anatowa milioni 30 kwa timu za mpira wakati kuna familia zina lala na njaa.Ama watoto wanakufa kwa sababu ya kukosa matibabu
Yaani inashangaza kweli kweli.!! Wengi tulimchukulia mwalimu kama muunganishi wa taifa zima na ndio maana hakupenda sana aonekane kuwa mpenzi wa timu fulani. Leo hii waTz wanataka kujua alikuwa timu gani ili timu hiyo ionekane bab kubwa! Swali la kwanza ndio hilo. Dah!!😢😢
❤ Mungu Awabariki sana
Waache watanzania wawachague viongozi wanao wataka, CCM Waache kutumia jina la babu Nyerere.
CCM ya leo imejaa wizi wameuza shamba la Mwalimu Nyerere kwa Mchina aibe madini yetu !
Mwl Nyerere ❤
Usimpeleke kwenye siasa maana yeye si chawa wala kunguni. Mnamsifu sana huyo 'mama' yenu.
Yaani mpira, mpira, mpira. Kana kwamba tuna raha sana!
Asli ya mpira ni Uingereza ambapo kwa muda mrefu ulikuwa ukiangaliwa kama mchezo wa watu wa daraja la chini; kwa vile ulikuwa hauhitaji maarifa makubwa kuuelewa; siyo kama Kriket na Polo.
Nadhani ni kwa sababu hizo hizo Watanzania huvutiwa.
Ni kweli kila awamu inaongeza hatua ktk maendeleo ya nchi. Tanzania ni nchi inayotawalika na ushahidi ni jinsi tumeweza kubadilishana awamu na kuweza kuendelea kusikizana ijapo zipo kasoro lakini tukikaa pamoja kindugu tutazitatua. Awamu ya 6 4R kama zingezingatiwa kwa moyo na wanasiasa hakika tungesonga mbele. 4R hazijashika kasi sawasawa. Hebu kila Mtanzania azipokee na kuzikubali 4R tuzifanyie kazi kwa vitendo. Tuache unafiki ule wa nataka sitaki. Kupishana mawazo , kauli, misimamo , hulka, ni kawaida ya mwanadamu kwa hiyo tuvumiliane na kustahiana . Hakuna mwanadamu asiyekosea na kukosea sio kosa tusichubuane.
Kweli kabisa change is good, lakini ata hawo wapizani awana viongozi miaka yote nawaona Mbowe na Tundulisu tuh, ni sawa na kuruka mkojo na kukanyaga mavi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mk wa CCM hua Rais wa Tanzania, yeye ukaa miaka mitano mitano, hivyo inalazimisha wenye kupishana. Isingekuwa katiba ya nchi, hata kwetu mzee cheyo wengekuwa wengi tu. Tusijidai unafsi hauna chama
Ebu acheni kutuchezea Watanzania. Huyu Nyerere kuna vitu slivikosea. Na amefariki. Hakuna mtoto ambaye amemrithi Julius katika wanae. Hapa tunaongelea watanzania sasa hatupo salama. Hizi mbwembwe zipelekeni majumbani kwao hasa mambo mazito yanayohusu maisha ya binadamu. Mpira unatusaidia nini?
Tatizo baba madaraka, viongozi wamejifanya miungu watu, kuuwa,kuteka watu, na kulazimisha uongozi. Watanzania wanateseka sana baba.
Kuuwa kuuliwa watu wameliwa utawala ule
Kwanini viongozi waleo wa c c m hawayaishi maisha ya Nyerere wengine wao viongozi wa Leo wanajirimbikizia mali wamekosa sifa ya kuwa viongozi Hilo hakuna kubisha Tama mbele mashamba yote yakwao mapoti yote ya kwako unyonyaji tu
Du!Hadi kuna mtu anaitwa DJ Mshedede.
Hebu muulize kama baba yakealikuwa baba wa ubatizo wa Mbowe?
Kama anavyosema Madaraka kwamba Mwalimu siyo shabiki
wa Yanga,bali alipewa kadi ni sawa.Kama ni shabiki wa Yanga,mbona hajawahi kuonekana kushabikia mechi za Yanga au kuifadhili wala kuipa hamasa
Kingine kila kona tanganyika tumeuzwa, mali zetu zote zimebebwa, ndo maaana wana hasila sana
HUYU AMEFANANA SN NAMZEE ,
Kaka yangu mlokozi? Au naangalia vibaya?
😊
Kweli haambiliki..!
Wambula mtani amepoterea wapi au amehamishiwa kipidi ngani jamani uongozi mludisheni kwenye je huu niuungwana
Huo ni uzembe mtoto wa baba wa taifa ndio unaonekana leo
Mzee Baba wataifa hakuua watu
Huyu ni mtoto wa nyerere kwer
Watanzania tumekuwa wajinga kwa kuamini mpira . Yanga na simba. Ukitaka kuwaibia watanzania jifanye unapenda mpira hata kama hupendi. Wawekezani wengi wakiingia Tanzania inabidi wajiunge na timu za mipira kupata tenda na kutuchota akiri hata kama hawana interest.
Sonic
Tumekuwa wajinga wa mpira. Hata Rais anatowa milioni 30 kwa timu za mpira wakati kuna familia zina lala na njaa.Ama watoto wanakufa kwa sababu ya kukosa matibabu
Hangeweza kuwa shabiki wa timu ambayo haikuwa na uasilia wa uafrika sunderland na mwalimu wapi na wapi
Uchaguzi unao kuja uwe wa haki na hulu ,CCM waache kuiba kura na kulazimisha uongozi.
Kauli za Nape bado ni maumivu kwa wapenda haki
Unataka nani ashinde ili uamini kura hazikuibiwa.
Unakutana na mtoto wa Nyerere badala ya kuuliza mambo muhimu yatakayosaidia vizazi vijavyo unaanza kuuliza ujinga ujinga wa Yanga na Simba!!!
Yaani inashangaza kweli kweli.!! Wengi tulimchukulia mwalimu kama muunganishi wa taifa zima na ndio maana hakupenda sana aonekane kuwa mpenzi wa timu fulani. Leo hii waTz wanataka kujua alikuwa timu gani ili timu hiyo ionekane bab kubwa! Swali la kwanza ndio hilo. Dah!!😢😢
Eti jamani!!
Watangazaji mnatumia muda mwingi kuongea utumbo
Tanzania hatuna kizazi cha genz tuna kizazi halisi wanaofahamu maana ya amani ya nchi genz ni wahuni waliokosa adabu
Amani ni tunda, sio mti halisi wa tunda. Ukipata mmea wa tunda. Tunda hakuna. Yule anayedhani amesimama angalie asianguke. Bwana Yesu.