@@MagrethThobias-fm8bm hakika....maana hawa wengine wapo ki siasa zaidi. Unawaletea siasa wauni. Then una lalamika kwani walikuja kwa ajili ya kampeni za ccm au kwenye wasafi festival?
Afu wanaume tupo tunamuangalia anatuonyeshea dole la kati siyo dharau iyo uo ndo u p did kumamake tena uyo p didy am et alimuua na 2pac da msanii wangu wa kalne ya 20
Nyimbo nyingi za zuchu ukiwa na akili timamu huwezi zisikiliza, na ukizingatia mbeya Hip Hop sana sasa ulete vitu kama honey, sukari, kwikwi haviendani na watu anaowafanyia perfomance😂😂😂😂😂 sasa hiyo vurugu iliyotokea asipanic ajifunze kuijua jamii ambayo anaifanyia perfomance na akaechini atunge nyimbo zenye ujumbe mzri.
Shida ilianza alipo sema mitano tena kwa mama samia sema wanaficha ficha mbeya moja ya mkoa ambao siasa imekomaa sana unaleta siasa jukwaani kwani walikuwepo wana CCM peke yao hapo ukija mbeya tena usirudie kuleta mambo meusi huku
Tena wamekosea sana wangerusha jiwe kwa sababu walikuwa na ushahidi kuwa amewatia Dole mkono wa kushoto ndio maana wamechukia kufanyia hicho kidole hata ingekuwa Mimi ningerusha tu mpumbavu unafanyia mashabiki wako kidole hivyo
@@collinsnyoro1450shida wanasema sio nyimbo wanavodai Ni kwamba Ali ingizia siasa pale jukwaani hapo ndo shida ilipoanza japo hicho kipande wanakificha ficha
Wanangu wa Mbeya mko poa hamtakagi masuala ya P Diddy kabisa mwanaume unaimbaje hanneee au sijiii upuuzi kabisa,,,Mbeya Big up🔥🔥🔥
pa1 familia izi nyimbo zakishoga atutaki
We ni mke wa p Diddy 😅
Tuendelee kumsapoti Ney wetu mtetezi wetu 😢😢😢wasuje wakamteka 🎉🎉🎉🎉
@@MagrethThobias-fm8bm hakika....maana hawa wengine wapo ki siasa zaidi. Unawaletea siasa wauni. Then una lalamika kwani walikuja kwa ajili ya kampeni za ccm au kwenye wasafi festival?
Afu wanaume tupo tunamuangalia anatuonyeshea dole la kati siyo dharau iyo uo ndo u p did kumamake tena uyo p didy am et alimuua na 2pac da msanii wangu wa kalne ya 20
Washamba ni Watanzania
watu wa mbea nimewapenda bureeee....🤣🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝
Acha ushamba,nenda shule kwanza
Stupid
Akafanyeje huko? @@collinsnyoro1450
Kwanza yuko uchi..mjinga kbs
The heavy weight MC wa mitulinga prof jiiiizeeee❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
Saf sana watu wa mbeya mmetuakilisha vzr😂😂😂
Jijijijijiniiii la majijiiiiiniiii ndaaaagotrerr
This African Queen is so talented. Blessings Blessings. I ❤ her. Sending ❤❤️ from 🇺🇸
😂😂😂😂😂
Nyimbo za kidada hatupendi hata wanaume wa Mara huko Mbeya hongereni xn
Mbeya ni Arusha mpya 😂😂😂😂 safi sanaa
Mbeya uwezi linganisha na Arusha. Mbeya hip hop kabla ya Arusha
Wa Tanzania 🇹🇿 kumbe wa chamba angao Congo 🇨🇩 uku
Walio ona zuchu akinyoosha kidole cha kati🖕🏾.. like zenu twende pa1😂
Kayataka mwenyewe
Walianza wao
Mie nimeona bila kupepesa. Hizo ni ishara zao za Kifreemason na siyo hiyo tu hilo ni tusi kwa waafrika na hata Dunia nzima
@@nigananurunjemawe Kaka umechanganyikiwa😂 😂😂😂
@@nigananurunjema kwa hivo akionyesha yeye angetulia tu?😂😂 Wabongo mnasahau wale pia ni binadamu bana,wanahisia,wanaumia pia,msiwachukulie kama viumbe
Mungu azidi kulibaliki tumbo la mama wa huyu dogo kazaa ⭐
Mbeya hoyeeeeeeeeeee
Analeta Ngenga za Kipumbavu eti Mama Mitano Tena. Mbwaaa tokaaaa
@@geey7893 Duniani mitihani sote kesho hatujuwi Kama tutafika sikwambii miaka MITANOoooo
Wanyakyusa wamepinda,,, mpaka zuchu ukorofi wenu huko😂😂😂
Uzuri watu wambeya wanajitambua hawataki uchawa ssfi sana.
Ni wajinga tu
wwsenge to
😂😂😂😂 wa bongo2 hwakupend zuchuuu jau
Mlimfanyia kitu safi San kwann atukane na mdole wa kati yaan kawazalau Wana mbeya wote duu inauma
You saport shuchu aimbe vizuri
Waimbe wao macho kweli
Mbeya hiphop ngumuu..leta weusi fid q
Nyimbo nyingi za zuchu ukiwa na akili timamu huwezi zisikiliza, na ukizingatia mbeya Hip Hop sana sasa ulete vitu kama honey, sukari, kwikwi haviendani na watu anaowafanyia perfomance😂😂😂😂😂 sasa hiyo vurugu iliyotokea asipanic ajifunze kuijua jamii ambayo anaifanyia perfomance na akaechini atunge nyimbo zenye ujumbe mzri.
Na chapati😅😅
Nikweli kabisa lkn wenyewe CCM na viongozi wao huwa wanamwalika kila mahali awatumbuize tena mbele ya Rais Samia S Hassan
Tatzo elimu
@@yassinnabwera4273Nawewe lazima umtiye Kati RAISI wa Nchi??? Akituwa Mama yako hapo kwenye hizo comments za kijinga ukaonaje????
@@tumwesigeolengeile6393Wasopata Elimu ya Duniani wala Akhera ni mtihani mkubwa kwenye jamii.
Kama kuna mtu kaona apo inapoanza zuchu kaonesha dole la kati kawatusi sawa tu walichokifanya kazingua zuchu
Nilijuwa macho yangu hayaoni
Ukiangalia kwa makini Zuchu kalipiza kuna mtu hapo ndie amenza kumuonyesha dole
@@prezdaachabo5343akilipiza anakuwa anafanya makosa alie mtukana ni mmoja yeye alilipiza hapo anakuwa amewatusi wote mbaka ssi watazamaji
Analipitiz nn unawaweza raia ww kula chuma hich@@prezdaachabo5343
Mme.fanya.laman.san.mana.mm.mwenyew.zuchu.si.mfagilii
Andikeni vizur watu hawa mtaki uyooo
Naouna huu wimbo ukitumika kwenye movie bila ruhusa ya muhusika, namuona Babalevo akipiga mpunga mrefu baada ya kushinda kesi.
Sio sawa niushamba tu
Ahaa uyo kazinhua
Pole sana zuchu 🤫
Washakuchoka, jiongeze mapema
Next time chomeni hizo stage hatutaki Tabia za P Ddy bongo
Ndaga fijo mko sawa mlima kolla
kamuulize mr blue mwaka 2006 klichomkuta triple A Arusha.
Aende nyumbani tu... Mashabiki wamlambe yeye kawa nani
Wamewachoka mweee
Zuchu ndo umeanza kutukana watu acha upigwe alaf unaimbia watu haniii 😅😅😅😅
Shida ni kwamba Ngoma nyingi za zuchu zinahusu wanawake tu na sio wanaume ajirekebishe
Kwahiyo mmechoka kuimbiwa sio wakuu 😮
Umesema kweli mwamba
Hajuwi ku changanya ngoma yye madem tu
Mwanzo kanyoosha dole la kati ndo maana wakamind
Ww usipindishe kosa ni kumtaja Samia na miaka 5 tena watu hawamtaki Samia
Pi ddy ndo wanamwazaa 😂😂😂
Mbeya bhn😂🙌🙌
Shida ilianza alipo sema mitano tena kwa mama samia sema wanaficha ficha mbeya moja ya mkoa ambao siasa imekomaa sana unaleta siasa jukwaani kwani walikuwepo wana CCM peke yao hapo ukija mbeya tena usirudie kuleta mambo meusi huku
Kama kula mama tutampa ni wajibu wetu kumpa sasa unapo ingia stejjini unaongea ivo siyo kwamba wo2e ni CCM kuwa makini zuchu nakesho usiludie
Anawapigiaaa mbeyaaa nyimboo za kikeee shughulii yawanaumeee na kuwatukana watu wanetoa elaaa
Nani katoa hela,
Sema mbeya mmeleta ushamba wanangu
Hajui mziki kwanza
❤❤❤❤❤❤tumsapoti amenigusa sana
Hakuna mtu anaweza pigwa bila sababu kila jambo huwa lina chanzo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbea washamba tu iyo kitu sio kizuri kbs
Mshamba mwenyew
Mshamba ww
0:00 Shidaaa Ilianzia hapa na ZUCHU NA VIJANA WA MBEYA
Watu washamba sanaaa hukooo
She give them middle finger ndio maana 🕺🏻🕺🏻😮 kidole hicho
Wahuni unawaimbishaje honey
Mhh anatukana watu ana maan gan kutukana watu kwa kutumiy vidole
Bora Ney tu😭🙏🏽🙏🏽
Wazanzibar wote piga mawe tu
Utashindwa kama ulivyoshidwa maisha Yako mamamamamae zako!!!
Huna akili,maisha yako ya umaskini yamekulemea.
Mbeya safiiiii
Wasubiri muda wa kampeni wasichanganye nyakati
Zuchu ni Malaya anatamani udobole na vidole mwanamke mwenye heshima yake hawezi kutoa kidole
Nasikia p didy 😅😅
P Diddy si babako,acha ushamba
Shida yako ww Zuchu unajifa muuni kwa Sana huwezi kushinda na watu wote hao achana nao we ondoka
Aki wangetulia😢😢😢
Mke wa mke wa P Ddy😅😅
Adabu akana
Hizo nyimbo huwezi kuimba Arusha au mbeya mwanamke mwenyew hata mauno ukati umesimama kama mlingoti ..😅😅
Wauniiiii😂😂😂
Mm nmeona zuchu kaanza kwa kuonesha mido finga au nmeona vibaya
Ndio afu watu wanamtetea tu watu hawataki dharau
na ndo kosa lake Kubwa
Tena wangempasua tu
Anajikuta star sana kubabake
ulisawa gete🎉🎉🎉
Mbeya pambeeee
p-diddy anafanya kazi kabisa
Zuchu kaimbie watoto...
Mbeya ako nikaushamba😅😅
Kenya kwa mbaliuu
Hawakutaki bhanaaaa toka
Mbeya boy
Yan dah 😢ata siamin zuchu wangu
Kwa mbal nimeona anawanyoshea kidole Cha kat Sasa wahun wamemaindi
Mbea washamba sana
haya yote kayataka mond asingemzungumzia Pdidy asingetokea kwa zuchu
🙄🙄🙄🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Tanzania hapo sawa
Kafanya vzr kushuka😢
Wameanza mashabiki kuonesha kidole
ZUCHU WAS RIGHT TO LEAVE THE STAGE
😂😂😂 inamaaana jukwaa lilijaa zawad za chuchu naona mpaka malapa ya chooni
Umeisuka ngoma hiyo
Angeimba tu
Zuchu umemwara mpkaka unatupa maic keikeiekei mbeya asanti kaabisa
Ndiyo wajifunze kuandaa playlist za kila sehemu
Mbeyawashambatu hawjui chochote
Tena wamekosea sana wangerusha jiwe kwa sababu walikuwa na ushahidi kuwa amewatia Dole mkono wa kushoto ndio maana wamechukia kufanyia hicho kidole hata ingekuwa Mimi ningerusha tu mpumbavu unafanyia mashabiki wako kidole hivyo
Ananyooshaje Dole hizozarau wananguwambea mmeijengaheshima
Katupa kwa sababu kafkilia mmewe anamla na yeye akiienda maeneo anaenda kuliwa hakuna sababu nyingine.
Kuna nyimbo za kuimba mbele ya wanaume lakin sio Honey😂😂😂😂
Wanaume wenyewe wanaliwa na p Diddy
Haya katoe yako tuskilize,ama mamako msanii pia kamsikilize
@@collinsnyoro1450 Mi bora ninamama we hata wa kusingizia huna malaya mkubwa we
@@collinsnyoro1450shida wanasema sio nyimbo wanavodai Ni kwamba Ali ingizia siasa pale jukwaani hapo ndo shida ilipoanza japo hicho kipande wanakificha ficha
@@collinsnyoro1450ila hata ivo mze hiyo honey sio nymbo ya ku perform pale mbele ya kundi lile la wakurungwa unaimbaje honey🤣🤣
Kazingua sn
wa bingo bando tun ushamba sana sijui tutarndelea lini 😢
Jamaani sio ushamba uwoo ni vitu vya kawaida kwenye majukwa hiyo ndo changamoto yenyew
Vijana bang😊
Masikini hizo sidalili mzuri 😂😂😂😂
Asila Ya Nini Mbona Ukawaoyesha Kidole☝️
Mme wake nae hamtetek😢😢😢😢
Huku kenya sisi tunaoccupy parliament nyinyi mnaoccupy stage😂
Inatuhusu Nini? Mnajionaga sijui kina nani! Bomboclaat
@@nikkitokke8162 nyinyi n wajinga😂
Yote hayo tayataka p.diddy.
Yaani wanaume tumelipa hela utuimbie HONEY
Nawashukur ndg zang wambeya😂😂
@@mwansasuusenge huo wako ni usenge kwani mlikuwa wanaume pekee enu? Alafu unasura mbaya kweli kweli roho inaendana sura za mtu
Kulikuwa Kuna wanawake pia
Kwa hio ulitaka waimbe robot 🤖?
Mamako ana wimbo mgani,si ungemuita yeye a perform,shoga wewe.