Jamvi tv nimevutiwa sana na vipindi vyenu hususan mlipoonesha kazi nzuri ya ujasiriamali kutoka kwa mzee Abdallah Malinda binafsi nimepena sana.Hivyo naombeni namba ya mzee Abdallah Malinda niwasiliane nae nikamtembelee kikubwa napenda nikajifunze ufugaji haswa wa kuku kutoka kwake.
Asante baba umeelezea vizuri, ubarikiwe
Hongera baba
Jamvi tv nimevutiwa sana na vipindi vyenu hususan mlipoonesha kazi nzuri ya ujasiriamali kutoka kwa mzee Abdallah Malinda binafsi nimepena sana.Hivyo naombeni namba ya mzee Abdallah Malinda niwasiliane nae nikamtembelee kikubwa napenda nikajifunze ufugaji haswa wa kuku kutoka kwake.
Naomba contact za huyo mfugaji
Mashaallah mze umejitahidi Allah akuzidishie ila na mm nahitaji kupata hizo cages zinapatikanaje
Nenda shekilango ubungo bussiness park mle ndani zipo
Safi kwa kutuelimisha
Jamvi tv naomba muniunganishe na huyo mzee wetu kuna kitu nahitaji kwake
Nimevutiwa sana na mjasiriamali mzee Abdallah Malinda naomba namba yake nijifunze kutoka kwake
Mzee namimi umenishawishi kufuga ,kuku mmoja ni Bei gani nianze kufuga
Uko viziru
Maneno mazuri ya Mzee mfungaji.
Mwandishi bure kabisa hata namba hamna
Tupe namba ya simu ya huyu mzee
Namba yako sim naomba
Yuko sawa maji pia hunukia, licha ya kuku kupenda kudonoa vitu vyekundu
Hongera sana mzee wetu,naomba kuuliza,hizo cages zinapatikana wapi na zinauzwa bei gani
Kuku project wanauza watafute mtandaoni
Nimependa by rich makuku mbeya
Namba
Elimu nzuri sana Hii.. Huyu Mzee anapatikana Wapii??
Muhimu No ya simu, tunampataje huyu mzee Malinda.
Mama
Niunganishe na huyu mzee nataka kufuga niko dar
Tunaomba namba ya simu tafadhali
Hunaweza tumia Bei gani kutengeneza ayo mabanda
Niko kenya na nimefutwa na panda lenu.nitapata aje
Cage ya Kuku 500 Ni Bei gani ? Inacover eneo ukubwa gan
Nikuunganishe na muuza cage
mzee umechapia kuku wa miez 2 hali gm 7 bhna huwa anakula gram 62 had 66 kwa siku
Vzr Ila ni maongezi tuu kuchapi kupo Ila kwenye utendaji anawalisha vzr
Ndui ni ugonjwa gani kwa kingereza jameni
Mzee Dulla uko vizuri sana ila hujatoa namba za jinsi ya kukupata iwapo tutataka bidhaa zako au tukufollow wapi?
Hilo Banda kila stepu hizo umeweka kuku wangapi? Kwawastani
Majuto
Mimi natamani kufuga lakini
Sina mtaji
Mtaji mkubwa ni Muda wako Anza na Kuku mitetea mitano kuwa weka lengo kila Mwaka.
Sasa atatotolesha vp vifaranga aina ya layers? mana kuku wazazi wako kwa mikono ya swkta ya kuku.
Mzee pia haelewi siyo maji yananukia!hapana kuku hupenda rangi nyekundu na hupenda kudonoa sehemu yoyote iliyo na rangi hiyo
Lekebisha usikosoe
Wewe unafuga
Ndiyo nafuga kwa sasa ninao sasso400
@@loyaltygroup21 kukosoa ndo kurekebisha
@@hopefor2088 ninao sasso 400 na wana week 24!
Hujabo kuku wagapi ura kiro 20
Mama