Miili iliyotolewa mto Tana sasa imefika minne

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 апр 2024
  • Idadi ya maiti zilizoopolewa mto tana baada ya ajali ya boti hapo jana zimefika nne, huku watu 15 wakiwa bado wanatafutwa. Haya yanajiri huku usafiri wa boti ukisitishwa kati ya kaunti za Tana River na Garissa.

Комментарии • 16