Rehema za Mungu zipite juu yetu kupitia huyu Baba maana kizazi cha sasa tunataka Mungu atutafute badala ya sisi kumtafuta Mungu...tunajifanya eti tuna mambo mengi hata kuhubiri Injili tunaona haya...Yesu tunasaidie Amen
Nmeondoka na point hii Moja kuhusu kuokoka ni kuwa na Yesu ndani yangu kuchukia na kujitenga na uovu haitoshi maan Kuna wasiomjua Yesu na hawakubalini na hayo pia kama ndugu zetu waislam
Mungu akubariki Sana Mtumishi tunaamini ipo siku tutakuona Amen
Rehema za Mungu zipite juu yetu kupitia huyu Baba maana kizazi cha sasa tunataka Mungu atutafute badala ya sisi kumtafuta Mungu...tunajifanya eti tuna mambo mengi hata kuhubiri Injili tunaona haya...Yesu tunasaidie Amen
Neno la ukombozi, Asante Sana mutumishi wa mungu, injili yako itabaki kuwa pale pale, mpaka kuja kwa mwana wa mungu, Amen
Asante mtumishi ulituachia ujumbe mzuri wa mungu tusaidie tuyaishi mapenzi ya mungu niwezeshe baba nikutumikie Maisha yangu yote
Asaba a
Mungu asifiwe baba mozes urikuwa njia mungu aritengeneza ye mwenyewe iri awe ana pitia kwa kuongea n'a binadamu
Mungu anitumie na mimi kama moses kulola
Hakika injili nzuri sana hii Mungu nisaidie nilinene neno lako
Mungu akupe makao ya milele Amen
Ohoo Yesu Christo nisaidiye niweze kukutumikiya kwa haki na kweli Amen Amen
Amena ukouliko utuombee nasisi tufike kwababa abarikiwe yeye anaye tumbusha ijili yamzee wetu kabisa ubarikiwe amina
Amina sana nampenda moses Yesu alimtumia
Naipenda injili hii ,ni adimu sanaa kwa kizaz hiki jmn😢
Amen baba, hakika uliteuliwa na Mungu, pumzika kwa amani baba. 😭
Hallelujah hallelujah MUNGU wetu mwanifu
Vile inavotamkwa Hallelujah yaan kimamlaka sanaaaaaaaaaaaaaaaa
Nmeondoka na point hii Moja kuhusu kuokoka ni kuwa na Yesu ndani yangu kuchukia na kujitenga na uovu haitoshi maan Kuna wasiomjua Yesu na hawakubalini na hayo pia kama ndugu zetu waislam
Hallelujah hallelujah hallelujah JESUS I open my heart to receive
Mungu akubariki sana
Ahsante kwa mahubiri yako Mzee wang,nimemiss sn mafundisho yako
Hakika ulimtumikia Mungu
Yapo mafundisho ya mtoto wake wa kiroho anaitwa prophet hebron RUclips
Mungu atusaidie.
Injili ilio Bora na yenye viwango kweli bado hatujapigana Vita,
Mungu atakubariki sana kw kuhbr inili hmu kupitia mtumish wake
Haleluya hii in injili ya kweli
Amen
Nabarikiwaa... haaaaleellujah..
Ameen Dady,❤❤❤
God blessed you daddy
Moja kati ya watu wenye injili yenye nguvu sana
Ni kweli
Kweli 😊
Yaan naangalia vipindi vyake nabarikiwa mnoo lkn moyo unanyong' onyea navyosikia hayupo duniani ila naaamin 100% yupo kwa baba yetu mbinguni
Ameeeeeeen 🙏
Hadi sasa naskia hii injili tamu...
Ubarikiwe
Amen 🙏
Amen mtumishi wa MUNGU. Na MUNGU akubariki sana wewe unaenderea kutuwekea haya mahubiri usiche MUNGU akutie nguvu
Hallelujah
INJIRI ILETAYO UZIMA WA MILELE. AMEN
great man of good
AMINAA
Ameen
Hii ndio injili ya kweli iletayo uzima wa milele
Mmmh injili imepenya Sio siku hizi mafuta maji majivu yamedanganya wengi
Amina
Amen
Mafundisho yanakataza thambi mafundisho ya Leo ni miujiza na mafanikio wahubiri tufuate nyendo za mzee wetu
Mmmmh Ni shida dhambI hazihuboliwi makanisa MENGI Ila magari majimba na kujiangalia TU na Sio kuambiana juu ya hukumu ya jehanamu milele
Pumzika baba yetu EAGT NI Machozi yako tunadumu tunashinda zaidi ya kushinda
Injili ya kweli na itabaki mioyoni mwetu siku zote
❤AMEN
AMINA
#AMINA#
Injili nii unaweza ipata FGBF kwa kakobe karbu
Kweli kabisa mkuu wa uzima wa milele ni Yesu
Ziko WAP injili hizi tumebaki na mahule
Mungu ni mwema najifunza mazuri mengi kwako
Injili ya Yesu ni Moto
Kristo ni yote ndani ya yote
Yeye ndiye Raha yaMilele,bila yeye ni mateso tu hapa duniani na motoni
Mze shikamo
Injili hii inagusa sana
Hii Ni mwaka gani mpendwa
Yes hapa tuanze upya na KUMUTAFUTA MUNGU MAANA HAINA haha ya kucheza na dunia
Alikuwa simba
Nani huyu anaweka dislike
Doh alikua na injili yakuto bembeleza wenye dhambi
Tunahitaji mahubili Kama haya tumechokaa na maigizo haya NDO maneno ya MUNGU yenye nguvu ya KUACHANA na duniani
ULIFANYIKA ARUSHA
Aksante kwa Nemo La Uzima Mungu Tuwezeshe
Hii ilikuwa mwaka gani?
Mwaka hawakukumbuka kuweka kumbukumbu lakini nafatilia nikiipata nitawajuza
sadcky s boaz bwana asfiwe tafadhali sana tuwasiliane 0714437844
Amina habr ya uzima. Tuwasiliane pia kwa no yangu +255 683 756 333
Hakika wewe unapaswa kuigwa katka kuishi hii MUNGU nisaidie
Kwan jaman huyu baba alifariki mwaka gani?
2013
8:58 nmeilewa
Amen
Amina
#AMINA#
Nani huyu anaweka dislike
Amen
Amina
Eee MUNGU unaishi milele na milele Amina
Amina
Amen