Afya Na Kazi | Ibada ya Jumapili | 23 Jun 2024 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 июн 2024
  • IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA)
    23/ 06/ 2024
    UJUMBE WA LEO: AFYA NA KAZI

    Mathayo 8 : 14 - 17
    14 Hata Yesu alipofika nyumbani kwa Petro, akamwona mkwe wa Petro, mamaye mkewe, amelala kitandani hawezi homa.
    15 Akamgusa mkono, homa ikamwacha; naye akaondoka, akawatumikia.
    16 Hata kulipokuwa jioni, wakamletea wengi wenye pepo; akawatoa pepo kwa neno lake, akawaponya wote waliokuwa hawawezi,
    17 ili litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe aliutwaa udhaifu wetu, Na kuyachukua magonjwa yetu.
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Комментарии • 31

  • @WillyMwanri
    @WillyMwanri День назад +1

    Ahsante kwa chakula cha kiroho

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 5 дней назад +5

    Jamani.mchungaji Kimario Mungu nakubariki sana napenda namna unavyoifafanua Biblia hakika i mwalimu mkuu Bwana awe nawe daima endelea kutuimarisha kiimani 🙏🙏

  • @user-oh1le3pf4o
    @user-oh1le3pf4o 3 дня назад

    Mungu akutunze baba umefanyika baraka kwa wengi

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 3 дня назад

    Mungu akubariki saaana kwa mafundisho Amen 🙏🙏

  • @tracychesoli2900
    @tracychesoli2900 2 дня назад

    Nashukuru mungu nimelelewa na bibi ingawa marehemu bali naendelea kutunza dadazake

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 3 дня назад

    Ubarikiwe saaana mtumishi wa Mungu

  • @HILDAJOSEPHAT
    @HILDAJOSEPHAT День назад

    Nashukuru sana mahubiri ni mazuri. Naumia sana ikiwa napenda furaha na amani kwenye familia lakini ndo natuhumiwa uchawi na kutengwa nifanyeje

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 3 дня назад +1

    Amen 🙏🙏

  • @AbelMwakilembembwate
    @AbelMwakilembembwate 4 дня назад

    Kweli somo nimelielewa ubarikiwe mtumisshi

  • @jophuley6487
    @jophuley6487 3 дня назад +1

    Mungu akujalie uzima mtumishi unahuduma ya kipee hakika unatugusa moyo baba

  • @aloycekilaga7865
    @aloycekilaga7865 3 дня назад

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri yanayo tusii tusiwasikilize manabii wachonganishi barikiwa mtu wa Mungu

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 3 дня назад

    Amen Amen 🙏🙏

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 4 дня назад

    Amina

  • @josephmuthoka4992
    @josephmuthoka4992 4 дня назад

    Nabirikiwa sanaa mchugaji nikiwa Kenya na mafundisho Yako. Barikiwa sanaa. Umenifungua macho kuhusu tabiri chonganishi

  • @irakazaeriekim4753
    @irakazaeriekim4753 4 дня назад

    Namie nipone magonywa yoote katika jina la yesu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @paulinarichard8107
    @paulinarichard8107 5 дней назад +1

    Nabarikiwa sana na mahubiri yako pastor

  • @babas1452
    @babas1452 4 дня назад

    Ubarikiwe sana mchungaji Kimaro kwa mahubiri yenye uhai ndani yake.

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 4 дня назад

    Amina.MUNGU.akubariki.mchungaji.nimebarikiwa.sana

  • @user-ri3dm7fh6u
    @user-ri3dm7fh6u 5 дней назад +1

    Amen nimebarikiwa nikiwa🇸🇦

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 5 дней назад +2

    Mchungaji umeongea kwa hisia huku mtaani ninayaona Sana unakuta mtu ana tabia mbaya harafu anaenda kwenye hayo makanisa yao akiludi anaanza kusema analodwa kajazwa upepo wa sumu ya maneno najiuliza mtu anapata wapi kusema Mimi nabii

  • @witnesssamwely8812
    @witnesssamwely8812 4 дня назад

    Nimebalikiwa sana mtumishi

  • @LilianMbangwa
    @LilianMbangwa 5 дней назад +1

    Ameeen

  • @josephmkina
    @josephmkina 3 дня назад

    Baba, Iko sahihi kabisa, MTOTO wangu wa chuo kikuu, Kila mwezi bibi yake huwa anatumiwa pocket money na bibi yake.

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 4 дня назад

    Amee

  • @naeema8155
    @naeema8155 5 дней назад +1

    Amen 🙏 🙏

  • @olephilemon1773
    @olephilemon1773 5 дней назад +1

    Amen

  • @ombenkallenge1924
    @ombenkallenge1924 5 дней назад +1

    Amen 😊

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 дня назад

    Baaba! DR ELIONA KIMARO UMEFUNDISHA VIZURI MNOO JAMBO HILI LA KAZI NA AFYA, UBARIKIWE SAANA. 1971 KCMC ILIZINDULIWA, NAMI NATIBIWA PALE! NA FAMILIA YANGU, JUZI NILIINGIA KANISANI HAPO KUOMBA UPONYAJI.😊

  • @user-jl7er9fh4r
    @user-jl7er9fh4r 4 дня назад

    😮😮😮😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 3 дня назад

    Amen 🙏🙏🙏