Al-bani araddi ukafiri wa Ibnu Taymiyah! -je Al-bani pia Shia!- acheni janja janja!! Shafii basalim

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 41

  • @SaidJuma-ru7vm
    @SaidJuma-ru7vm 8 месяцев назад +2

    Allah akujaalie kheir nyingi sana hapa duniani na kesho akhera

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari 8 месяцев назад +1

    Allah akuhifadhi na akupe afya kwa kuwabana Hawa MUJASSIMA

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 8 месяцев назад +1

    Sheikh shafi shukran sheikh haya mawahabi jibuni hoja hizo

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 2 месяца назад

    HUYU SHAFI ATAWAPOTOWA WENGI AMBAO KICHWANI HAWANA KITU ILA HAKKI MARA ZOTE ITAKUA JUU

  • @FAROUKMOHAMEDI-v2i
    @FAROUKMOHAMEDI-v2i 8 месяцев назад +2

    Sijaona ukitoa darasa hata siku moja zaidi ya kuwasema vibaya wanazuoni

  • @YusufuGoma
    @YusufuGoma 8 месяцев назад +1

    Sheikh Shafii tuwekee " tittle " Insh llh

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 8 месяцев назад +1

    Shukran

  • @NganziSalimu
    @NganziSalimu 8 месяцев назад +1

    Ahsantum

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 8 месяцев назад +1

    Mawahabi mupe kazi munayo safarihi kitaelewekatu

  • @bagalucha
    @bagalucha 8 месяцев назад +1

    Shia Rafidha,Shia,Shia, Shia,Shia

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 7 месяцев назад

    Elimu ADABISHI mawahabi golo wanao taka dalili kila neno hapo labda waje na (bibilia) mashekh wote kimyaaaa

  • @MachinjaShabani-c2f
    @MachinjaShabani-c2f 8 месяцев назад +2

    Yaa aghiii l-azizi. Natamani sana kupata maalifa kutoka kwako. Hasa majina ya vitabu.

  • @HusseinAbdallah-v8f
    @HusseinAbdallah-v8f 8 месяцев назад

    Sisi twajua kuwa shekhe kubwa la kisalafi, lile lilokuwa Yemeni likiitwa Muqbil Alhaad ndio aliekufa kwa kensa ya ulimi, kwasababu ya kuwatukana mawalii wa ALLAH

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 8 месяцев назад

    Wambie baba

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 7 месяцев назад

    Shekh tupe elimu mambo ya mawaidha ya kuswali kuacha zinaa pombe ngurue waachie wengine tulisha yasikia sana ndio maana mawahabi hawana adabu ni matusi tu huku

  • @OmarMuhammad-h7l
    @OmarMuhammad-h7l 8 месяцев назад +1

    Ust shafiii usimtukane ibn taymia huo ni mwanachuoni sio uzuri

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 месяцев назад

      Hapana ni mnafiki na kafiri mpotoshaji wa wazi.lazima abainishwe

  • @user.-_5943
    @user.-_5943 8 месяцев назад +2

    Tatu Na Ambalo Wataka Kudanya Waislamu Wasiojua Kusoma au wasio wasomi Aty Sheikhul Islam Hawapendi Ahlu bayti.Huu ni urongo juu Ya Sheikh Ama wewe Ni Jahil Ambaye Hujavisoma Vitabu vyake.Na Hapa Yote Mawili yawezekana.Mm nitakupa Aqwal Za Sheikhul Islam akiwazungumzia Ahlu bayti Na Akiwatukuza

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 8 месяцев назад +2

      مجموع فتاويه ـ ((قال : فما تحبون أهل البيت ؟ قلت: محبتهم عندنا فرض واجب، يؤجر عليه، فإنه قد ثبت عندنا في صحيح مسلم عن زيد بن أرقم قال: خطبنا رسول الله صلى الله عليه وسلم بغدير يدعي خما، بين مكة والمدينة فقال "أيها الناس إني تارك فيكم الثقلين كتاب الله " فذكر كتاب الله وحض عليه، ثم قال: " وعترتي أهل بيتي، أذكركم الله في أهل بيتي، أذكركم الله في أهــل بـيـتـي " قـلـت لـمـقدم: ونحن نقول في صلاتنا كل يوم : " اللهم صل على محمد وعلى آل محمد كما صليت على إبراهيم إنك حميد مجيد، وبارك على محمد وعلى آل محمد كما باركت على آل إبراهيم إنك حميد مجيد".
      قال مقدم: فمن يبغض أهل البيت ؟ قلت : من أبغضهم فعليه لعنة الله والملائكة والناس أجمعين، لا يقبل الله منه صرفا ولا عدلا.اهـ.

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 8 месяцев назад +2

      Na Rudini Mukasome Hiki Kitabu Cha Sheikhul Islam 😊 " حقوق آل البيت بين السنة والبدعة" . Hii Yote Inaonesha Mahaba Ya Sheikhul Islam kwa Ahlu bayti wote Na Kusema Ni Fardhi na Wajid kuwapenda Sasa Uje Ww na Akili Ndogo Hata Kitabu Kimoja Hujakisoma Tuka Mwanzo mpka Mwisho Uje umtuhumu Sheikh Kuwa Kafiri.

    • @ababakryally8827
      @ababakryally8827 Месяц назад

      Jibu hoja acha maneno wewe wahabi Allah hana kiti acheni uzushi

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 Месяц назад

      @@ababakryally8827 jawabu kwa mjinga nikumnyamazia

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 8 месяцев назад +1

    CHUMA HIKO KINANGURUMAA!, MAWAHABI WANAPITA CHOCHORO NA WAMEBAKIA KURUSHA MATUSI KAMA MTUME WAO IBILISI

  • @salumHamad-vd7wc
    @salumHamad-vd7wc 8 месяцев назад

    Wewe kijana hio sio elimu wala sio heshima
    Bali wewe ni mtovu wa adabu tu hukupata malezi ya kielimu kasome tena

  • @abdulrahmanabubakar5127
    @abdulrahmanabubakar5127 8 месяцев назад +2

    Watafuta umaarufu lakini hutaupata in shaa Allah.... Mwana ukapata cancer ya ulimi kwa kutukana na kukufurisha wanazuoni.

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 8 месяцев назад +1

    Sisi mawahabi hatuna muda wa kujibizana na mpumbavu huyu. Huyu ni mbwa na tofali litamfaa.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 месяцев назад +1

      HILO TUSI NDIO JIBU LENU MAWAHABI. KWA ELIMU KWELI HAMUEZI KUMJIBU, ENDELEZENI TU GURUDUMU LA KIWAHABIA MUJASIMA NA PEMBE YA SHETANI. MATUSI YALIANZA KWA MTUME WENU IBILISI.

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 8 месяцев назад +1

      😂😂 umekariri matusi na ilmu huna

    • @MachinjaShabani-c2f
      @MachinjaShabani-c2f 8 месяцев назад

      Tatizo lawatu majahili kama wewe. Uwezo wao nikutukana! Na ndio mafunzo ya majahili. Sasa utajibu nini hata kusoma hukusoma unafata upepo!.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 месяцев назад

      Siyo hamtaki kubishana na sheikh shafii Bali hamuwezi.mbona mnaradi wengine kwanini sheikh shafii mnamuogopa. Mawahabi hawana kitu yao mipasho tu majahili wakubwa hawa

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 месяцев назад

      @scienceacademy3289 hajasingiziwa

  • @abdulrahmanabubakar5127
    @abdulrahmanabubakar5127 8 месяцев назад +1

    Watafuta umaarufu lakini hutaupata in shaa Allah.... Mwana ukapata cancer ya ulimi kwa kutukana na kukufurisha wanazuoni.

    • @mohmozahmed4201
      @mohmozahmed4201 8 месяцев назад

      Vunja hoja acha makasitiko

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 месяцев назад

      Majahili wakiwahabi hamuachi mipasho.sisi tuna taka hoja za kielimu.Na wewe ujue kama ni mpenzi wa ibn taymiyah ujue na unaingia katika unafiki na ukafiri kama ibn taymiyah

    • @abdulrahmanabubakar5127
      @abdulrahmanabubakar5127 8 месяцев назад

      @@abiabi9353 jahili mkubwa wewe na mnafiki ni wewe. Enda kapime akili yako kama iko sawa ..... Wanafunzi wa ibn taymiyah wawajua wewe, ibn kathir , ibn al qayim , imam adhahabi wote hao ni wanafunzi wake. Nitajie wanafunzi wako na wa huo sheikh wako mpotoshaji , umechangia nini wewe kwenye uisilamu . Umeandika vitabu vingapi , umemsomesha Nani?

    • @abdulrahmanabubakar5127
      @abdulrahmanabubakar5127 8 месяцев назад

      @@abiabi9353 na kama wewe ni mpenzi wa huyo mropokaji ujue nyote ni wendawazimu . Wagonjwa wa akili na moyo