Global tv mpo vyema sana tamko tumelipokea vyema ushauri tu mfano kila mtu hapo kubeba kilo tano za kifusi meendo wa haraka ,,,si masaa matatu tu,je hayo majengo jirani yapo salama,mkumbuke hapo zamani kulikuwa na shamba la mpunga eneo hilo ,sasa majengo yanajaza mzigo bila kutumia mzani
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Wote walookolewa ni mkono wa Mungu! Kila familia wakatoebsadaka
poleni sana mungu awaponye majelui wote mungu awatie nguvu kikubwa uzima mali utafuwa