KIASHIRIA HUYU/ HAWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 1

  • @indiraconnolly2889
    @indiraconnolly2889 Год назад +2

    Mwalimu huyu anafundisha. Watoto hawa wanacheza. Kasuku huyu anapendeza. Mbuzi hawa wanauzwa. Samaki huyu anapikwa. Asante sana kwa video hizi, mwalimu Damaris. Wewe anaenda kufanya video zingine? Ninashukuru kazi yako. Ninajifunza Kiswahili na ninapenda sana video zako kwa sababu unaongea kwa Kiswahili.