- Видео 22
- Просмотров 83 582
TUJIFUNZE KISWAHILI NA MWALIMU DAMARIS
Кения
Добавлен 24 сен 2020
Tujifunze Kiswahili Na Mwalimu Damaris, ni Kituo ambacho kitawezesha wanafunzi kujifunza kiswahili hatua kwa hatua kupitia video,picha,nyimbo na mashairi , ili Kuwafanya wanafunzi kuipenda na kufurahia Lugha ya Kiswahili.
#KISWAHILI KITUKUZWE
#HATUA KWA HATUA
#MANENO YA MWANZO
TUSAFIRI PAMOJA
#KISWAHILI KITUKUZWE
#HATUA KWA HATUA
#MANENO YA MWANZO
TUSAFIRI PAMOJA
NGELI#GREDI 4-8
Je, wajua asiyuejua ngeli hajui Kiswahili? Ngeli ni msingi wa Kiswahili aula.
Kipindi hiki kifupi ni cha kuelekezana kuhusu ngeli hasa ya A-WA.
Kipindi hiki kifupi ni cha kuelekezana kuhusu ngeli hasa ya A-WA.
Просмотров: 496
Видео
WANYAMA WA PORINI/WILD ANIMALS
Просмотров 6 тыс.3 года назад
Tambua wanyama wa porini #msituni#mwituni kwa majina.
KUSOMA - KUUNDA MANENO # SILABI BA BE BI BO BU
Просмотров 3,3 тыс.3 года назад
Kusoma na kuunda maneno ukitumia silabi, ba be bi bo bu.
WANYAMA WA NYUMBANI
Просмотров 11 тыс.3 года назад
Tambua wanyama wa nyumbani kwa majina. #Domestic animals
KUSOMA SILABI PA , PE , PI , PO , PU
Просмотров 2,4 тыс.3 года назад
Kusoma na kuunda maneno ukitumia silabi pa ,pe, pi ,po, pu.
USAFI WA MWILI
Просмотров 4,6 тыс.3 года назад
Tujifunze msamiati wa usafi wa mwili na vifaa vya usafi.
WAKATI ULIOPO - UMOJA/ WINGI
Просмотров 1,2 тыс.3 года назад
Tambua Wakati uliopo, umoja na wingi wa sentensi.
WAKATI ULIOPA NA
Просмотров 2513 года назад
Tambua matumizi ya Wakati Uliopo( na ) katika nafsi ya kwanza hali ya umoja.
SILABI KA - KU
Просмотров 9223 года назад
Unda maneno ukitumia silabi ka, ke, ki, ko, ku ,soma maneno hayo kisha tumia maneno kuunda sentensi.
KIASHIRIA HUYU/ HAWA
Просмотров 6013 года назад
Tambua matumizi ya Kiashiria huyu/hawa katika sentensi.
NGELI A - WA
Просмотров 7 тыс.3 года назад
Tambua maneno/nomino katika ngeli ya A-WA katika hali ya umoja na wingi.
MATUNDA
Просмотров 1,6 тыс.3 года назад
Msamiati wa matunda. Tujifunze msamiati wa matunda kwa umoja na wingi.
KIASHIRIA HIKI HIVI
Просмотров 6213 года назад
KIASHIRIA /KIONYESHI HIKI/HIVI Tambua jinsi ya kutumia Kiashiria/kionyeshi hiki/hivi katika sentensi.
NGELI KI-VI/UMOJA NA WINGI
Просмотров 3,5 тыс.3 года назад
NGELI KI-VI/UMOJA NA WINGI. Tambua maneno yanayopatikana katika ngeli ya ki-vi kwa umoja na wingi.
Chupa
Come to our house 🏠
Ok
🎉 wow i
🎉 wow it helps my son
Thanks
Vizuei
Habari za asubuhi mwalimu Damaris. Ninajifunza Kiswahili na ninapenda sana video zako, utafanya video nyingine? Asante sana! Ninashukuru kazi yako.
Kisigino hiki kimeumia. Vyombo hivi vya majini. Vijiti hivi vimevunjika. Choo hiki kimeoshwa. Kisogo hiki nikikubwa.
Mwalimu huyu anafundisha. Watoto hawa wanacheza. Kasuku huyu anapendeza. Mbuzi hawa wanauzwa. Samaki huyu anapikwa. Asante sana kwa video hizi, mwalimu Damaris. Wewe anaenda kufanya video zingine? Ninashukuru kazi yako. Ninajifunza Kiswahili na ninapenda sana video zako kwa sababu unaongea kwa Kiswahili.
😂❤❤❤❤❤❤❤
Thanks
Hongera kwa bidii yako cha mchwa
Asante
Ahsante sana mwalimu kwa kazi safi.
pygfuccg ggucucub johkviv ihobb iibln ki 🎏✍🐺🍞🏀🏖
talk about insha ya mnyama nipendae and give more benfits of dogs
Ina elimisha sana video na somo lako. asante
Keya hawapendwy white are loved :(
Good work teacher Damaa! Go girl!
Swadakta
Kazi nzuri mwalimu Dama. Sauti taanusi kuvutia wanafunzi.
Well done Ms. Damaris.
Asante Ms. Leah.
Well done Teacher Damaris
Well done girl
Nashukuru Yunis.
Well done damaris..
Asante Yunis.
Tunafurahia mafunzo yako mwalimu damaris! Asante!
Nashukuru Carol.Endeleeni kujifunza kiswahili.
Asante kwa mafunzo mazuri bi damaris!
Good job teacher damaris!
Asante Carol
Sadakta Bi Damaris
Asante Bwana Job.
Kazi nzuri sana,,, 💕💕hongera dada Damaris
Asante Val
Kiswahili kitukuzwe.....
kabisa Dola...Asante.
Good job .
kazi mzuri bi damaris
Asante Jayden Muuo.
Kazi safi sana. 👏👏👏
Asante Leah.Na mshukuru Mungu.
Kazi Safi mwalimu
Asante Moo.
Very clear teaching and instructions. Wonderful for children and nnew kiswahili learners.
Thanks Jacinta.
This Awesome work
Thanks Eric
Vizuri mwalimu
Asante Chebs.
Awesome work my dear,May God bless the work of your hands.
@@melsaamboka8064 Thanks, Amen.
Good work Damaris...
Asante Evelyn, please share and subscribe
Swadakta Bi.Damaris .Kazi mzuri!
Asante Juliet.
Kongole mwalimu kwa kazi bora unayoitenda.
Asante Sarah