Kontawa X Ibraah : Tangazo (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 окт 2024

Комментарии • 330

  • @kontawa7342
    @kontawa7342  2 дня назад +130

    ASANTENI WOTE MNAOENDELEA KU SUPPORT MZIKI WANGU ❤ 🙏🏽

  • @mashabikiwaharmonize
    @mashabikiwaharmonize 3 дня назад +80

    Tunao kubali ibraah na kontawa tuonyeshe upendo hapa

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz 3 дня назад +109

    Tunao mkubali ibrah tujuane kwaku like hii comment

  • @miburoPrence
    @miburoPrence 2 дня назад +23

    Wanawo mkubal kontawa tujuwane hapa kwa like

  • @EnoqueJoaoMamba
    @EnoqueJoaoMamba 3 дня назад +40

    Wanao sema kama ibrah ni mwandizi bora weka like

  • @Hamnazoflavour_0121
    @Hamnazoflavour_0121 3 дня назад +22

    Kwake betry low nimezima . Is king 🤴 chinga💥💥💥🙌🎙☠💨

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 2 дня назад +12

    hatimayee zubedaaaa nimemuonaa tenaaa 2024

  • @Harmo-Mki01
    @Harmo-Mki01 3 дня назад +7

    Situna chekaga tuuu 🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤

  • @kanege01
    @kanege01 3 дня назад +7

    Nakubali big brother 😊

  • @Esau-cj6bk
    @Esau-cj6bk 3 дня назад +3

    Ewe mwenyeji mungu mbariki huyu anae soma comenti hii Alelujah

  • @luckyboy_ke
    @luckyboy_ke 3 дня назад +3

    Wa kumzidi bebi wangu simuoni mtu anaona mpaka siku za Usoni,,Dhambi hana ata ukimuangalia mchoni yaani ata akifa kifo cha mende anaenda peponi......ila #kontawa kwenye✍️Mnomaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 3 дня назад +5

    Na Mimi mipogo muuzaji wa jeans Kali aina zote jumla na rejareja 👖 🔥🔥🔥💯

  • @tresornkongolo5945
    @tresornkongolo5945 3 дня назад +7

    Sawa🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉

  • @KingRemy-vd8rn
    @KingRemy-vd8rn 3 дня назад +17

    Tim konde geng naomba liké zangu plz 🙏💪🔥🇨🇩

  • @KelvinKapsara
    @KelvinKapsara 3 дня назад +21

    Leo wa Kwanza kutoka Kenya ❤❤ wapi like ya Tanzania 🎉

  • @arnoldsun4548
    @arnoldsun4548 3 дня назад +5

    Definition of good music🎶❤

  • @NeemaSilayo-ol8fs
    @NeemaSilayo-ol8fs 3 дня назад +7

    Kama umeskiliza zaid ya mara tatu gonga like❤❤❤

  • @mathiasbosire7927
    @mathiasbosire7927 3 дня назад +5

    Kutokea kenya mimi wa kwanza hapa nipeni maua yangu kwa kulike😊❤

  • @amorastar902
    @amorastar902 3 дня назад +4

    kontawa ufai dem wa professor jay yeye ali mfukuza wew ume amua ku OWA kabisa.
    mix et utazeeka nae 😮

  • @sostenesNdossa-y9o
    @sostenesNdossa-y9o 13 часов назад +1

    Badman kontawa utengwe unajua😊🤐

  • @premierjizzle5121
    @premierjizzle5121 2 дня назад +2

    Nyimbo Kali San pia video Ni Kali Sana , Kuna vitu mnafanya vinaonekan hongeren San ma brothers🎤📸

  • @bilalimunga7500
    @bilalimunga7500 24 минуты назад

    One love from Mombasa, Kenya 🇰🇪 🇰🇪 😍

  • @emmanuelnyakunga8320
    @emmanuelnyakunga8320 3 дня назад +2

    Uko vizuri acha uvivu wa kuandika 😂verse Moja tu bana

  • @AthumanbonyeBonye1
    @AthumanbonyeBonye1 2 дня назад +2

    Ibraaaaaaaaah chingaaaaaa🎉

  • @PCBOYchibuOfficial
    @PCBOYchibuOfficial 2 дня назад +1

    Wawape ᴛᴜᴢᴏ video bora wa muda wowoteeeh!⭐🔥🔥🔥

  • @emany667
    @emany667 3 дня назад +6

    Kama we unaaminia kontawa from🇰🇪gonna like

  • @highlightboy255
    @highlightboy255 3 дня назад +8

    MAWE JUU YA MAWE🔝🎶🎶🎶🎶🚥🔥🔥🔥🔥

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 3 дня назад +2

    Tangazo by kontawa vs ibraah ni hatariii 🔥🔥🔥🙌

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 2 дня назад +2

    Chinga toka koo ya kiume KMWW 🎵🎵🎶🎶🎶🎶🎵🎶💥💥💥💥💥

  • @MjegeJuma
    @MjegeJuma День назад

    Sema nin mwenetu Ibra ungeanguka apo kijazi sasa

  • @yosh-bbahati1673
    @yosh-bbahati1673 2 дня назад +1

    Huyu mwana dada kacheza vizuri sana
    Namupa mauwa yangu🎉🎉🎉🎉

  • @edgarodhiambo8486
    @edgarodhiambo8486 День назад

    The best lyricist from tz🇹🇿..... much love from 254🇰🇪

  • @DastanNestory-n3f
    @DastanNestory-n3f 21 час назад

    ngoma kali aisee nakubal mzee tawa

  • @shikaocharles3613
    @shikaocharles3613 2 часа назад

    Yaani Nyote Ni Kama Mmetoroka Milembee 🤭🙌

  • @relaxstarman
    @relaxstarman День назад

    Ibrah mungu ambariki sana hua kwenye colabo anaimba kwa moyo mmoja kama nyimbo yake kanyoosha sana yan bonge la pumbu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KingRemy-vd8rn
    @KingRemy-vd8rn 3 дня назад +1

    Tim konde geng on love ✌️♥️🔥🇨🇩

  • @Jini-y3d
    @Jini-y3d День назад

    Mtoto wa jeshiiiii umeuwa ❤❤❤❤❤

  • @jenifagerald1822
    @jenifagerald1822 2 дня назад +2

    nimependa kila kitu

  • @SaidOmary-z1k
    @SaidOmary-z1k 2 дня назад +1

    Ngoma kali sana wote tunao sapoti mziki mzuri gonga like hapa

  • @itzbarsh3324
    @itzbarsh3324 2 дня назад

    my fav song kutoka kwa kontawa🔥

  • @KASONGOTV3
    @KASONGOTV3 День назад

    Kama limetoroka milembe ❤❤❤❤❤ chupa liko powa sana
    😅😅😅Mimi nachekagatu

  • @NiwemugiziBatalingaya
    @NiwemugiziBatalingaya 3 дня назад +1

    Huu mwaka ibrah umevunja sanaa

  • @AyubKasirani
    @AyubKasirani 2 дня назад +2

    Ibra corus kapiga hadi nasikia kupagawa🎉🎉🎉

  • @mr_puwa
    @mr_puwa 3 дня назад +1

    Anaye mkubali kontawa na ibrah nipeni likes zangu

  • @catherinemshani3078
    @catherinemshani3078 2 дня назад

    Ila chinga hujawahi niangusha daah 🔥🔥🔥

  • @WilsonJeshi
    @WilsonJeshi 2 дня назад

    Watu wangu sana Tawa &mzee wakutoloka milembe

  • @jordanjonas8009
    @jordanjonas8009 2 дня назад +1

    😊😊😊😊😊 kali sana hii video

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 3 дня назад +2

    Chingaa 🎉🎉🎉🎉

  • @Ericksamweli-tt4ov
    @Ericksamweli-tt4ov День назад

    Uzur nikwamb kipande chakoko nirikuwepo hongera san video kar mno🔥🔥🔥

  • @SAXBOYTZ-jn4so
    @SAXBOYTZ-jn4so 2 дня назад +1

    *Kazi kubwa*

  • @chazychazy-fi1ri
    @chazychazy-fi1ri 2 дня назад

    Chinga fundi sana👏👏👏

  • @robertmlewa3442
    @robertmlewa3442 2 дня назад

    This time Konta & Ibrah hav killed it❤️❤️❤️

  • @richardrichope3528
    @richardrichope3528 День назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @meddyShine-h6o
    @meddyShine-h6o 2 дня назад

    Tawaaaaaaaaaaaaa meddy shine from kenya nakubali mwamba

  • @djblesskid254
    @djblesskid254 3 дня назад +1

    Banger 🎉🎉

  • @El_vinc1
    @El_vinc1 3 дня назад +4

    I'm waiting 🎉

  • @camilasky254
    @camilasky254 2 дня назад

    All the way from Saudi kazi safi

  • @shedrackkibet1954
    @shedrackkibet1954 3 дня назад

    Ibraah king.. Kazi saafi..
    #Kenya

  • @hajimandisatz
    @hajimandisatz 3 дня назад

    Noma sanaaa hii Ngoma Kali sanaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @KhairatiNawema
    @KhairatiNawema 3 дня назад +1

    Wa kwanza leo jaman 🎉

  • @jumamussa313
    @jumamussa313 2 дня назад

    Sema hii video ilitakiwa kwenda vzr yaan vile kama unapita mtaan na 🔊 unawatangazia watu kweny mitaa ingependeza zaid

  • @DockG254
    @DockG254 3 дня назад

    Me ni mkenya na Nasema Ibrah ame Uwa hii🎉🎉🎉🎉

  • @RashidHamad-ro8sd
    @RashidHamad-ro8sd 2 дня назад +1

    Tumekuja kwajili ya ibra konde boy

  • @sanchoalone9009
    @sanchoalone9009 8 часов назад

    Unyaniiii mdogo wangu

  • @ElJannatyKhanDior
    @ElJannatyKhanDior 2 дня назад

    Mi nachekaga tu❤❤❤❤ much for kontawa ❤🎉

  • @zunguselaofficial8195
    @zunguselaofficial8195 День назад +1

    Kontawa 🎉

  • @willybalak9700
    @willybalak9700 3 дня назад

    Chingqa 🎉 ❤❤ from kenya

  • @mkengamchome110
    @mkengamchome110 20 часов назад

    Hii nyimbo 🔥🔥🔥🔥

  • @Righo_way_Legend
    @Righo_way_Legend День назад

    Nyimbo nzuri aise ❤

  • @lencethejunkie1002
    @lencethejunkie1002 2 дня назад

    Mkituboo twahama sayari ❤😊😊😊

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie 3 дня назад

    Tangazo #Tawa na zombie LA milembe ❤❤❤❤ mziki good

  • @kenkentom9009
    @kenkentom9009 2 дня назад

    me nachekanga tu👍👍

  • @Hagai123
    @Hagai123 3 дня назад

    Huyo mtoto wa kontawa, hakika akifa kifo cha mende anaenda peponi

  • @victormwambene2441
    @victormwambene2441 3 дня назад

    Video Bombaa sanaaa 🙌

  • @jeremiahlemah8290
    @jeremiahlemah8290 3 дня назад

    very nice song ,,,,,,,ibra is fire

  • @Isaac-y5o3w
    @Isaac-y5o3w 2 дня назад

    From Kenya 🇰🇪

  • @ravengroominglounge9242
    @ravengroominglounge9242 3 дня назад

    Chingaaaa💯🔥🔥🔥🔥🙌

  • @EspiSimai
    @EspiSimai 3 дня назад +2

    Nipeni like zangu

  • @samwelwaithera1427
    @samwelwaithera1427 2 дня назад

    Video creativity is top notch

  • @SangoZkfarry
    @SangoZkfarry 2 дня назад

    Ibraah nimwadichi bora île nihukweli 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dollarz9
    @dollarz9 2 дня назад

    Let's push it to de no 1 coz it deserves legoo guysss

  • @BoomBoom-wj6uk
    @BoomBoom-wj6uk 2 дня назад

    Contawa hajui kuimba inabidi aadili jisi ya kuimba

  • @Coasthunter-6449
    @Coasthunter-6449 3 дня назад

    Wapiiiii wale wa Kontawa

  • @DennisMalima
    @DennisMalima 3 дня назад

    Nmekubali hii wakuu kutoka 🇰🇪

  • @BarukwegeHaruna
    @BarukwegeHaruna 2 дня назад

    ❤yangu iyo from 🎉

  • @Akili820
    @Akili820 2 дня назад

    Tawa mze wa mistari yenye akili 🇨🇩🇨🇩☝️

  • @MateiPs-kr9tg
    @MateiPs-kr9tg 3 дня назад

    K2 kwa hewaaaa🔥🔥👊

  • @Kjal10-hs3se
    @Kjal10-hs3se 2 дня назад

    Kontawa naskiza kutoka 254

  • @Debora-j2j
    @Debora-j2j 3 дня назад +1

    Tunaoamini hii inaingia on trending tugonge like

  • @HappyChona
    @HappyChona 3 дня назад +1

    Ibraa anaimba lakn hapati tuzo jaman tz ndio maana nimehamia kenya

  • @WaziriMzava
    @WaziriMzava 2 дня назад

    Ngoma makinii sana

  • @ZuhairuBurhani
    @ZuhairuBurhani 3 дня назад +1

    Me nachekaga tyu❤❤❤

  • @kunallinho
    @kunallinho 2 дня назад

    Ibraah is a gem 🔥

  • @alexandrodieumerci
    @alexandrodieumerci 2 дня назад

    Mziki mzuri unatakiwa support

  • @DoreenMbeju
    @DoreenMbeju 2 дня назад

    Nendeni na uhalisia jamaniiii mtu mshamba hajui kitu ilaa kope ndy anazijuaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 3 дня назад

    🔥Ngoma ni nzuri

  • @OlivierBigaya
    @OlivierBigaya 3 дня назад +2

    Likes zangu watanzania Nipeni ❤❤🇨🇩🇨🇩

  • @PamtuJr-re8er
    @PamtuJr-re8er 3 дня назад +2

    Pich linaanz kaj na xhangaz kaja

  • @amisindondi4549
    @amisindondi4549 2 дня назад

    Nyayo za harmonizer

  • @SideboySideBoySideboy
    @SideboySideBoySideboy 3 дня назад +2

    💣💣ME NACHEKAGA TUUUUUU🎉🎉🎉🎉🎉 WEKA LIKE ZAKO HAPA