EXCLUSIVE: Ni maswali gani Diamond hataki kuulizwa mwaka 2016?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 207

  • @kingmidega3192
    @kingmidega3192 6 лет назад +4

    Big up platinumz ,usikubali mtu agudanganye ila ukimwamini mwenyezi bungu utafika mbali na pia mimi diamond na wasapoti familia yako na W.C.B Mwenyezi mungu awabariki na awape nguvu sana

  • @philipmakungu3401
    @philipmakungu3401 8 лет назад +7

    Hongera sana Millard kwa kazi nzuri, nahofia tu majirani zetu wasije sema unatokea nnchini kwao

  • @bettyot4695
    @bettyot4695 8 лет назад +11

    fanya mambo yako na mungu atakuelekeza manake binadamu ni wale wale tu
    i love the confidence in you

  • @christopherlusiga2112
    @christopherlusiga2112 8 лет назад +2

    very talented musician plus akili nzuri, very humble,...hamna namna utashuka chini.unaenda mbali sana Diamond Platnums

  • @vanessajames1567
    @vanessajames1567 5 лет назад +16

    2020 naangalia Mond enzi zao na Clouds saivi chui na paka

  • @asmahoney1056
    @asmahoney1056 5 лет назад +7

    Na mpenda sana millar diayo na daimond pia so love you somuch

  • @dullahplatnumz4984
    @dullahplatnumz4984 4 года назад +2

    NANI YUPO HADI LEO 2020

  • @mbesherejoh4219
    @mbesherejoh4219 8 лет назад +6

    yanii sijui nisemeje ila diamond yo very genius,,napenda sana unavyo handle intervews zako,,kaka uko very smart...musik wko huwa natamani sana uwe unafanyiwa interview zako kila siku...................

  • @ndibalemakhatibu5110
    @ndibalemakhatibu5110 7 лет назад +1

    nakuelewa sana Diamond....... hivyo hivyo bro.... mungu akurinde mda wote

  • @aishatwaha1851
    @aishatwaha1851 8 лет назад +18

    diamond you're simply the best.... keep it up!!!

  • @saumusalimuhassan772
    @saumusalimuhassan772 8 лет назад +1

    Baba tiffah, nimeipenda hii khasante sana NASEEB, uko juu big up sana umetisha.

  • @jacksonjoakim4115
    @jacksonjoakim4115 4 года назад +3

    2020 ndio tunaendelea kujenga taifa letu

  • @mansourmehmet3853
    @mansourmehmet3853 Год назад +1

    Ommy &pltnmz are back🎉

  • @ireneachieng241
    @ireneachieng241 8 лет назад +2

    keep it up Diamond you r really humble God blessed you on your work from Doha irene

  • @rozzyvan2169
    @rozzyvan2169 8 лет назад +3

    that's y I love u Chibu unajuwa kuonge na media

  • @sambayoo6441
    @sambayoo6441 4 года назад +2

    Hadi 2020 bado namixx diamondi ktk ubora wke

  • @biltonbarasa9948
    @biltonbarasa9948 8 лет назад +2

    No one like you , I like your simplicity that's the only way to live with people who don't understand your characters.

  • @omaryngonyani5393
    @omaryngonyani5393 8 лет назад +4

    Team mond were here!!!

  • @sifatv8414
    @sifatv8414 8 лет назад +12

    big up diamond luv u sana!!!

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 8 лет назад +4

    This guy is genius

  • @lucyhenrymaina2271
    @lucyhenrymaina2271 8 лет назад +7

    inspired man... keep it up chibu

  • @sambayoo6441
    @sambayoo6441 4 года назад +2

    Hadi 2020 bado Benjamin platinumz ktk ubora wake

  • @sandrantimizi4874
    @sandrantimizi4874 8 лет назад +1

    Anayoyaongea diamond platinum Ni kweliiii kabisaaa na kwann utengeneze bifu na MTU, jmn diamond kasema hana kinyongo na MTU pia mfanye kazi vizuri tuu jmn... Mpendane

  • @valencianyambura3271
    @valencianyambura3271 8 лет назад +5

    I love diamond. ..

  • @adrophchristopherkazoya3609
    @adrophchristopherkazoya3609 3 года назад

    May 2021, who is there whatching d'is interview

  • @omarygama563
    @omarygama563 5 лет назад

    Wewe diamond ni noma umejua kumruka milad swali la ommy dimpoz umejibu kisomi big up

  • @ibrahhamees862
    @ibrahhamees862 8 лет назад +1

    Big up ma brother Chib de Simba waambie "Jongoo amepewa miguu mingi ila mbio kapewa Njoka"
    Don't give a dem meeeeen.

  • @rajab3013
    @rajab3013 8 лет назад +20

    Safi sana broo kuanzia leo nakupigia debe

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 4 года назад

    Nakupenda ga sana diamond
    Ww fanya kazi bwana

  • @simonkamkolwe6392
    @simonkamkolwe6392 8 лет назад +13

    Unaakili sana.brother

  • @tengeru
    @tengeru 5 лет назад +12

    january 4 2020 nani yupo?

  • @raphaelmichael2155
    @raphaelmichael2155 4 года назад

    Diamond fanya kazi wewe unakitu nikwambie kitu mti wenye matunda ndo unapingwa mawe kwaiyo usiwaze bro we fanya kaz apa bongo nakufananisha kama kanumba aito tokea tena nafasi yenu tena ata ukiondoka leo duniani amini ivyoo bro🙏🙏🙏

  • @dakxirdakxir5897
    @dakxirdakxir5897 8 лет назад +7

    Huyu jamaa anachosema ni kweli

  • @kovoelijah
    @kovoelijah 5 лет назад +5

    Noma bro🔥🔥

  • @salehkamwanga2930
    @salehkamwanga2930 5 лет назад +2

    Safi sana mondi una jielewa baba

  • @seciliamollel8192
    @seciliamollel8192 8 лет назад +7

    so lovely keep it up lov yo

  • @gabs438
    @gabs438 8 лет назад +1

    woooow
    kushikamana wenyewe itakuwa imekaa kibinafsi time to raise others

  • @chiefthony8251
    @chiefthony8251 6 лет назад +6

    Hwo view this in 2019

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 8 лет назад +1

    diamond anajielewa sana mdogo wa umri Lkn una mawazo makubwa sn kaka hongera.

  • @pauldirac3203
    @pauldirac3203 8 лет назад +1

    sana sana bro thank for uploading

  • @chrisonlinetv7800
    @chrisonlinetv7800 5 лет назад +9

    Had November-2019

  • @mahsnirmohammed2493
    @mahsnirmohammed2493 8 лет назад +5

    Siku zote ukweli unauma sanaaaaa ila usiwache kusema ukweli ww ni mume wakisawa sawa,Mr President Diamond waache waharibu jina ila lakini ukweli uko wazi...

  • @budyboiking3280
    @budyboiking3280 5 лет назад +1

    Gudy thanaa broh 👊👊👊keep it up

  • @MGSministry
    @MGSministry 4 года назад +2

    i like this interview

  • @mahamudmhawi5635
    @mahamudmhawi5635 8 лет назад +2

    Diamond platinum keep it up broo,,,them bro millard kazi nzuri ila kwanini unapenda kuvaa white headphone kwenye interview?...

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 4 года назад

      Kupata sauti nzurii,ila akuna ubaya wowote

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 8 лет назад +10

    Ukibaki hivyo utafika mbali sana wasafiiiii!!!!!

  • @fatmanasornasor9047
    @fatmanasornasor9047 5 лет назад +1

    Wee daimond kumbuka we nimuisilamu mambo unayoyafanya ujue ikosiku utakufa Fanya urudi Kwa mungu wako hayo in mambo ya kiduniatu pesa zina mwisho rudi tRNA Kwa mola wakoo

  • @esthernjoroge6688
    @esthernjoroge6688 8 лет назад

    mimi napenda diamond sana kwa sababu nyingi but kama kuna kitu napenda nivile hufanya interview zake na utawai skia akiongea mambo za watu wengine yeye husabaza tu amani watu wapendane na wawache chuki love that bro kp up, tunakupenda sana hapa kwetu kenya nyimbo zako ni chakula chetu cha kila siku

  • @patrickjoseph7593
    @patrickjoseph7593 8 лет назад +3

    Yaan baba tiffah,umeingea point sana.
    Kwel nimeamin ww ni msanii mkubwa kwa Tz. Weredi na akili Ya kujielezea ndo silaha kubwa ya kumtambua mtu aliepevuka ktk kila jambo. Keep it up!!!

  • @najmaramso8901
    @najmaramso8901 4 года назад +3

    Simbaaaaa💪

  • @kanijopaul1980
    @kanijopaul1980 8 лет назад +3

    Diamond of cause it doing good job keep it up men

  • @therockcityicon3642
    @therockcityicon3642 5 лет назад +1

    Ujuee mondi huwa ni mtu mwenye nidham sana na ndioo maana huwa cjawai kuacha kukupenda kwanza hata unavyo ongeaa broo unaonekana umefunzwa na kulelewa kwenye maadil bora

  • @dabbydabby3957
    @dabbydabby3957 6 лет назад +1

    D aliona maisha kweli

  • @patriciahkarimi141
    @patriciahkarimi141 8 лет назад +2

    Nice.much love

  • @nelsonotieno1325
    @nelsonotieno1325 5 лет назад +2

    big up Diamond

  • @wenceslausmassawe1366
    @wenceslausmassawe1366 6 лет назад +1

    dad ake ti uko vxr xna kwenye interviews ndio npndaga nymbo xako bro😘

  • @nelsonlukinga9926
    @nelsonlukinga9926 7 лет назад +3

    safiii kak nakubali

  • @felixmugambi9058
    @felixmugambi9058 3 года назад

    Huyu amenena,I used to hate diamond but I love hime

  • @nicholausjackson6001
    @nicholausjackson6001 4 года назад

    Huwa nakuerewa mondinyo
    Bg up mnoo broo

  • @essybenson433
    @essybenson433 5 лет назад

    Soo humble

  • @Franklymon
    @Franklymon 8 лет назад +4

    Salute!

  • @benpaul6697
    @benpaul6697 8 лет назад +1

    kaulizwa no maswali gani hutaki kuulizwa jibu ni simple "beef za wasanii" period inatosha hainaaja yakuzunguuuka anyways I'm jus Millard's fan from Massachusetts (USA)

    • @sharulchenja2167
      @sharulchenja2167 8 лет назад

      Interview ni lazima uelezee how jibu lako.....ivo 2 broo

    • @markosamuel6490
      @markosamuel6490 8 лет назад +1

      ben paul msenge wee wacha aongee kijana

  • @emmanuelyobu6585
    @emmanuelyobu6585 5 лет назад +3

    Feb 2019?

  • @hmallaikahoney4549
    @hmallaikahoney4549 8 лет назад +1

    big up broo uko juu sn

  • @aidansichalwe83
    @aidansichalwe83 5 лет назад

    Makini sana broo d

  • @isackchanai897
    @isackchanai897 4 года назад

    Daa nakubali mond

  • @rashidramadhan8571
    @rashidramadhan8571 3 года назад

    Hygien simba 2021

  • @mackmtata8277
    @mackmtata8277 4 года назад

    Respect diamond,,

  • @jamesm.darnes640
    @jamesm.darnes640 6 лет назад

    Love you The Lion Of Africa

  • @nuratamir6705
    @nuratamir6705 6 лет назад +1

    Shikaneni but na msisikilize mambo ya mashabiki

  • @virginiaanyango7039
    @virginiaanyango7039 8 лет назад +2

    excellent

  • @mlengwamasimango4020
    @mlengwamasimango4020 7 лет назад +1

    Wemkali sana brother

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 Год назад +1

    Duuu nani mwingine alie angalia hii ,interview 2023?

  • @ashoasho6542
    @ashoasho6542 3 года назад

    Chibu kama chibu✍️🔥

  • @hawaakram1041
    @hawaakram1041 4 года назад +1

    Live all

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Год назад

    Diamond alimuita Millard bro ya kumuheshimu sana ila sio sasa unadhani Millard alimkosea nn Mondi na wakati walikuwa washkaji kama hivi

  • @ahmedswaleh9181
    @ahmedswaleh9181 8 лет назад

    mara nyingi hua nakuona mjinga mjinga kumbe una akili kiasi hiki yani SALUTE kwako D'mond

  • @safaricom4151
    @safaricom4151 5 лет назад

    ukweli

  • @djherotz6771
    @djherotz6771 3 года назад

    Nan yupo 2021

  • @Isaacsichalwe162
    @Isaacsichalwe162 2 года назад

    Kweri bro Simba

  • @faykian5682
    @faykian5682 8 лет назад +1

    nice interview

  • @andrewmussa9367
    @andrewmussa9367 4 года назад

    Kweli mond ,,

  • @sbizzowakunyumba4532
    @sbizzowakunyumba4532 4 года назад

    Kweli

  • @jonasmaole5140
    @jonasmaole5140 4 года назад

    Ukweli mtupu

  • @ramadhansaid6016
    @ramadhansaid6016 5 лет назад

    dah umeongea point simbaa nakubari

  • @chanimullah8300
    @chanimullah8300 5 лет назад

    Vzr sana.

  • @godfreysichone6086
    @godfreysichone6086 8 лет назад +3

    good mond

  • @queenmaa7892
    @queenmaa7892 7 лет назад +2

    Ila 2017umeanza maugomvi c poa

  • @nasryathabit6863
    @nasryathabit6863 7 лет назад

    Diamond mi namuusia mtoto wa kiislam angalie hizo cheni moja inaalama ya msalaba namuomba angalie Hilo.

  • @stephensarara9769
    @stephensarara9769 8 лет назад +1

    Lakini mbona watu basi wanamchukia huyu jamaa??..mbona mimi naona ako tu sawa,,he has no issues...

    • @cheupegmailcomHhcheupe
      @cheupegmailcomHhcheupe 8 лет назад

      +mimi nashangaa tena wanagombana wenyewe kwa wenyewe, in sha allah mungu atawasaidia

  • @hawahamisi6237
    @hawahamisi6237 8 лет назад

    Nasibu upo juuuuuuuuuuu...

  • @mohamedyally1380
    @mohamedyally1380 6 лет назад +1

    diamond anatisha jmn

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 3 года назад

    Mm nko hapa 2021

  • @khadijawendomwachirenje3513
    @khadijawendomwachirenje3513 8 лет назад

    mwanamume na nusu nakukubali Mondi

  • @seifuselemani7901
    @seifuselemani7901 7 лет назад +1

    Mwenye hela haongei

  • @adilituesday8038
    @adilituesday8038 6 лет назад +1

    Nice broo

  • @kadzomangi484
    @kadzomangi484 8 лет назад

    wee Millard jana ulipotea wpi mbo skuona video zako kwa RUclips. ..
    hongera sana jembe langu kwa mazungumzo matamu sana♥u kenya from+961

  • @athunaniamiss6119
    @athunaniamiss6119 7 лет назад +4

    we ndo simba bana

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 4 года назад

    Raymond kipind hcho alikua bado na harmonize mond bana

  • @willymd3453
    @willymd3453 6 лет назад

    Tell them......