Ajabu ya watu mbona wanamkataa nabii Ismael mtoto wa nabii Ibrahim a.s Allah awaongoze waione haki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 66

  • @tasmimcreatives
    @tasmimcreatives 5 месяцев назад +2

    Maasha allah watu wanaongezeka....people are hungry for knowledge

  • @AminaShaban-t2m
    @AminaShaban-t2m 5 месяцев назад +5

    MashaAllah May Allah reward you'll for the fantastic work you're doing....

  • @ggv866
    @ggv866 5 месяцев назад +1

    Mashaallah Ma Sheikh wetu Allah awajalie kila kheri..Nawapenda kwa ajili ya Allah

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb 5 месяцев назад +1

    Wa alaykum salaam warahmatullahi wabarakatuhu...leo mmefoki vizuri Maa Shaa Allah,,,Allah awahifadhi nyote na awalalipe jannatul firdaus

  • @ramadhaningulinga217
    @ramadhaningulinga217 5 месяцев назад +2

    Sheikh Ali, salim na hassan nawapenda sana. Nawaombea dua mungu awaongeze kwa kazi hii mnayo fanya insh Allah mungu awape shufaa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 месяцев назад

      Aamiin amiin amiin tunakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @janieali5521
    @janieali5521 5 месяцев назад +3

    ASANTENI SANA MASHEHE WETU KWA JUHUDI ZENU KUWATOA HAO WAKRISTO KUTOKA KWENYE GIZA KUBWA SANA
    OMBI LANGU NI MOJA. KUBADILISHA JINA LA SHEIKH ALI . APATE JINA JIPYA AITWE OMAR KUTOKANA NA UJASIRI WAKE KAMA SIMBA.❤❤❤❤

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 5 месяцев назад +2

    Allah azidi kumpa hekma,elimu na afya ili mzidi kumtagaz Mungu wa kweli ni Allah na Mohammad rehma na amani zimfikie ni Mtume wa Allah

  • @abdirizakali6223
    @abdirizakali6223 5 месяцев назад +2

    Ma Sha Allah

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 5 месяцев назад +2

    Watafahamu tu msichoke masheikh
    Allah awape subra na kher masheikh.

  • @HassanSaid-eu2pv
    @HassanSaid-eu2pv 5 месяцев назад +2

    masha,alaah, kazimnayofanya hakuna binadam, anaeweza kuwalipa, bali malipo yapo kwa, Alaah )

  • @DhB-z1p
    @DhB-z1p 5 месяцев назад +1

    Masheikh wtu allah awaajalie kla la kheri inshallah

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 5 месяцев назад +2

    MashaAllah Tabarakah Rahman

  • @ibnusleyyum9743
    @ibnusleyyum9743 5 месяцев назад +2

    MashaaAllahu, Allah awalipe kila la kheri

  • @mohamedbillowadan1520
    @mohamedbillowadan1520 5 месяцев назад +2

    Mashallah walimu mungu awapea malipo meema i.a

  • @MohamedbarakaBarakaIbrahim
    @MohamedbarakaBarakaIbrahim 5 месяцев назад +2

    mashAllah masheikh wetu,

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z 5 месяцев назад +1

    Mashalla ❤❤❤❤❤

  • @samxx411
    @samxx411 5 месяцев назад +2

    Sheikh Salim unajuwa hadi nakuonea wivu, Allah akuzidishie elimu na uwezo

  • @SudiAli-q3k
    @SudiAli-q3k 5 месяцев назад +2

    Ahsante mwalimu

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 5 месяцев назад +2

    Masha Allah sheikh salim pastor amekubali kuitisha sadaka ni makosa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 месяцев назад +2

      Yaani hapa mpaka kieleweke inn shaa Allah

  • @JUMARASHID-m9g
    @JUMARASHID-m9g 5 месяцев назад +1

    Niulize hio bibilia mungu na manabii wanajua kua kuna kitabu kama hicho

  • @harunmuriiki8011
    @harunmuriiki8011 5 месяцев назад +4

    Salaam alyekum sheikh, nìko moi avenue, I need english translated quran

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 месяцев назад +1

      Inn shaa Allah tulizo kuwa nazo za English zimeisha tuko na za kiswahili translation but jamia mosque Nairobi wanapeana pia

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 5 месяцев назад +1

      Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh

  • @sonaratz
    @sonaratz 5 месяцев назад +11

    Nilikuwa naisubiri muda wote hapa 😂

    • @sheemaryam
      @sheemaryam 5 месяцев назад +3

      Pia mm nakuwanga rada kwenu tz kuna hizi dawah mitaani??

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 5 месяцев назад +2

      ​@@sheemaryam TZ hakuna daa,wa mitaani ni midahalo tu wakipata muda.Sijui kwa vile wengi ni waislam ndio maana hakunaga daa,wa kama hizi
      Wengi tunaingia online kwa sababu ya Salim daa,wa

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 5 месяцев назад +2

      ​@@sheemaryam
      Tanzania wengi ni waislamu ndio maana mashekh nao wamelala wanasubiliaga ndacha aje ndo wanafanyaga mdaalo

    • @samxx411
      @samxx411 5 месяцев назад +2

      Tz masheikh wetu wanatukanana wao kwa wao basi

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 5 месяцев назад +1

    Allahu Akbar ❤

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 5 месяцев назад +2

    Mashallah leo watu wengi
    Tena watulivu wakiskia Ukweli

  • @josemu870
    @josemu870 5 месяцев назад +1

    AlahuAkbar

  • @DtemboKizagabukuku
    @DtemboKizagabukuku 5 месяцев назад +1

    Hata Yesu aliwaambia mna macho yakuona nawaambia tazama hamuoni masikio hayasikii

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 5 месяцев назад +4

    Hawa wachungaji Huwa wanaficha sana kule makanisani hata viwanjani pia wanaficha

  • @nayef3903
    @nayef3903 5 месяцев назад +3

    Huyo mtu wa kwanza huwa anamchezo mara nyingi hupoteza mda. Hassan usiwape mda mwingi wale wa kufanya mchezo juu hao kila siku wapo hapo hasa huyo jamaa

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 5 месяцев назад +1

    Every day, when their questions are answered, they remain perplexed......Ayubu 32:15: “They are dismayed and answer no more, Words escape them

  • @F.j84
    @F.j84 5 месяцев назад +2

    Ustadh Ali walai nafuraia sana maana hao hawaendi lazma uwape ukweli

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 5 месяцев назад +1

    Sawa kabisa.

  • @nayef3903
    @nayef3903 5 месяцев назад +1

    Ukiwapea muda mwingi watafanya mchezo mwingi wapoteze mda. Usipowapa mda mwingi hawatoweza kucheza na kupoteza mda. Ukiwapea mda kidogo hata wale wasikilizaji watajua wakristo wenzao ndio huwa hucheza sana kimaandiko ndio wakapewa mda mdogo.

  • @ahmednasib8465
    @ahmednasib8465 5 месяцев назад +1

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 5 месяцев назад +1

    Naona wakristo wameanza kuelewa kidogo kidogo.

  • @nayef3903
    @nayef3903 5 месяцев назад +1

    Hassan usiwachekee juu ukiwapea mda mwingi hupoteza sana ukiwapea mda mchache huenda wakasilimu juu wataona kuwa wenzao hawaeleweki wakipewa mda mwingi

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 месяцев назад

      Yeah hilo tutarekebisha inn shaa Allah

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 5 месяцев назад +1

    Cat is clean caused it has a habit of purifying itself all the time. It is also scientifically proven that it is free from bacteria and can be used as pet.

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 5 месяцев назад +2

    Mchungaji anauliza maswali ambayo majibu yapo kwenye biblia. Hawa wamejizoesha kuimba imba tu na kufanya michezo isiyoeleweka kanisani 🤓🧐

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 5 месяцев назад +1

    Allah awaogoze waone haki na kuifwata

  • @F.j84
    @F.j84 5 месяцев назад +2

    Tutaendelea kusema hakuna mkristo anaifata na kuibali maneno ya bibilia

  • @F.j84
    @F.j84 5 месяцев назад +1

    Waulize waambie ibrahimu alioa wake 3 kwa ajili ni muislam coz wanao oa zaidi ya mke mmoja ni waislam sio wakristo.

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 5 месяцев назад +1

    Waambie hao bibilia pia waipe muda wa kuisoma na kuielewa kama vile wanavyotenga muda kusoma bayolojia, kemia, fizikia na masomo mengine waache kudanganywa eti mpaka uwe na roho mtakatifu.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 месяцев назад

      Yeah hivyo ndivyo wanavyo danganjwa eti mpaka wawe na roho mtakatifu

  • @amadimagadi7978
    @amadimagadi7978 5 месяцев назад +2

    Ustadh ali wacha ku interfere bana

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 5 месяцев назад +1

    Jamaa anamtizama pasta wake nyuma😂😂😂

  • @KulwaMapunda-n7n
    @KulwaMapunda-n7n 5 месяцев назад +1

    Unauliza unajibiwa unajifanya much know tena kama unabishana

  • @DtemboKizagabukuku
    @DtemboKizagabukuku 5 месяцев назад +1

    Huyo hawezi kuelewa maana ni kipofu

  • @janieali5521
    @janieali5521 5 месяцев назад +1

    😂😂😂 NIMUMOCHA TU 😂😂😂

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  5 месяцев назад

      😂😂🤣🤣😂 kiswahili sio ulimi wetu