Mashaallah 🎉🎉🎉watu wengi huwafaa watu wa mbali kwasababu watu wako huenda wakawa hawakuamini kwa unao waambia..mfano ni mm niko na biashara na nmewaarifu ajiunge na mm na wamekataa mmoja kaniambia fanya mwenyewe ndio mfano mzuri mtu huenda kwa watu wa inje bora wakuamini
Assalam alaikum. Sheikh Othman napenda mawaidha zako. Allah akuzidishie. Lakini mara nyingi hautafsiri aya ngingi. Unadoma kwa kiarabu. Ni vizuri ukitafsiri kila kitu. Wengi wetu hautuelewi kiarabu
Nyie waandishi hamna weredi wa uandishi wa habari za Kiislamu. Umeweka picha hapo ya mtu, unamaanisha huyo ndiye Nabii Ibrahim? Kwa NINI mnaiga mambo ya Kikristo. Dini ya Kiislamu hairuhusu kuwachora Mitume. Ni haramu na ni ukafiri.
Mashaallah kisa kizur cha baba yetu ibraahim A.s❤❤❤❤
Twakuombe Allah akuzidishie salamu kutoka 🇸🇴
Maashaallah Allah akulipe heri nyingi
Mashaallah mashaallah mungu akupe umri twawili na afiya akujazi kheri
MASHA ALLAH mola akuweke
Mashaallah 🎉🎉🎉watu wengi huwafaa watu wa mbali kwasababu watu wako huenda wakawa hawakuamini kwa unao waambia..mfano ni mm niko na biashara na nmewaarifu ajiunge na mm na wamekataa mmoja kaniambia fanya mwenyewe ndio mfano mzuri mtu huenda kwa watu wa inje bora wakuamini
Mashallah
Assalam alaikum. Sheikh Othman napenda mawaidha zako. Allah akuzidishie. Lakini mara nyingi hautafsiri aya ngingi. Unadoma kwa kiarabu. Ni vizuri ukitafsiri kila kitu. Wengi wetu hautuelewi kiarabu
Mashallha i like him❤
MashaAllah
Allah akbar Maah challah ❤❤❤
Mashaaallaah ❤😢😢
Ma sha Allah ❤
Mashaa allah
Maashallah
Ma sha Allah
BarakaAllah
Labda ni Ammi yake. Kweli Nabii Ibrahim aweza kuzaliwa na mzazi anae abudu masanamu? Ni fikra tu sheikh. JazakaAllah
jazaqallahul kheir muft
❤❤❤❤🫶🏾🫶🏾🫶🏾👂🏾👂🏾👂🏾♥️♥️♥️🤲
Nyie waandishi hamna weredi wa uandishi wa habari za Kiislamu. Umeweka picha hapo ya mtu, unamaanisha huyo ndiye Nabii Ibrahim? Kwa NINI mnaiga mambo ya Kikristo. Dini ya Kiislamu hairuhusu kuwachora Mitume. Ni haramu na ni ukafiri.
Iko wapi hiyo picha?
Mashaallah
Mashallah
Mashaaallaah ❤😢😢
Mashallah