Mfello _ Usiache
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Usiache ni wimbo wa kila majira ,,,,,, Usiache kumtegemea MUNGU katika nyakati zote ,,,,, Nyakati za furaha USIACHE ,, Nyakati za huzuni USIACHE,,,,
Song Writer, Geofrey Mfello
Studio, Mfello Studio's
Producer .. Tella
Director,, Tomluck & David Pro
Special Thanks
Rungwe Hotell
Christian Sonelo
Daniel Sonelo
Judith Mwafula
Umeupiga mwingi kaka mfello 📌🔨💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Hongera kaka yangu
Kazi nzuri kaka...
Mungu akubariki
Amen Asante kaka
Hongera sana tena sana mwenyezi MUNGU akubaliki na kukuinua zaidi
Kàsi nzuri
Nyimbo Kali Sana Kaka Ubarikiwe Sana
Mungu aendelee kupanua mipaka yako mtumishi wa Mungu, kazi nzur
Kama utani mdogo wangu lwaga part 2 🎙️🎵🎙️🙏🎤❣️🎹😱🎶🎤
Usiacheeeeeeee💥💥💥💥
Wimbo mkubwa sana huu my superstar 😀😀😀
keep it up my brother
Jamani wimbo Mzuri ..... Sasa mbona naona mfupi 🔥🔥🔥🔥 nimekuwa narudia rudia
😅
Ya moto sanaaaa..... Go Shem, go.... Juu zaidi kaam tai
Hongera sana mwanangu MUNGU àbariki huduma yàko
Mwanang me naisifia video nzuri wanang dev pro na tomluck wameuwa sanaa bigup kwao
Nimefikaaa.... 🧚🧚🧚🧚🧚
Mungu aibariki huduma unayoifanya,akakupe haja ya moyo wako
Usiache 🔥🔥🔥
Wimbo mzuri mno bro
Keeep rocking man achaaa motoo uwakeeeee💥💥💥💥💥
Kaka Shukran saana
Barikiwa kwa kazi nzuri rafiki yangu👏👏🔥 #USIACHE
Amen saana mtumishi
Mungu azid kukuinua na kukutumia atakavyo yeye 🙌 hongera kwa kazi nzuri mfelo
Asante saana mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi! Nimeupenda wimbo na umenibariki
Amen saana Bro
🔥💯
Barikiwa sana mtumishi
Mungu akuinue zaidi
Amen
Mfelo Mungu akuinue sana. Mara ya kwanza nilipokuona na kukusikia pale kanisani unaimba, moyoni nilikuona mbali, ila. Nikawaza utatokaje? Aaaaaaah! Njia za Mungu hazichunguziki kabisa!!! Go higher my lovely sibling
Oooooh my lovely Sister 😭😭😭
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
📌🔨
Kazi nzuri mtumishi ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Amen brother
Barikiwe sna
Nyota wa Gospel
Ongera Sana Kaka kazi kubwa ,kubwa sana
Boss MUNGU akubariki saan...na akuinue zaidi zaidi
Sijachelew nilisubir Sana 😊 hongera Sana Rafik Yangu Mungu akupeleke mbali
Hongera mtumishi wa ujumbe🙏
Hongera mwanangu Kazi nzuri na ujumbe mzuri
Saaaaffi saaan
Saaaaffi saana
Usiache Good Song
Nomaaaa
Kazi nzuri kijana...keep it up
Ubarikiwee Sana bro Ujumbe mzuri Sana
Saafi sana
Nakubariii
Nimeeipenda
Blood keep moving wataelewa yuko Mungu aliekupa kitu kwa watu
Good job brother congratulation
Huna kaz mbaya brother...this is really incredible 👏 ❤
Amen Utukufu kwa MUNGU
uko vzr sana hongera
Makini
Nimekua Wa Kwanza Kaka Hongera Sana
Kali sana kaka🇰🇪
Blessed song sanaaaaaaaa🔥🔥
Unyama. Saaanna
Nyimbo kali
USIACHE🔥🔥🤗🤗
Wawooh hongera sanaaaa mybrother 🔥
Safi kaka
🔥🔥🔥 hongera bro
Safi Sana kaka
Brother
🎉🎉🙌
Nakibali nakibali sanananannana
Hongera
Inafariji barkiwa minster
kazi nzuri ❤💯
Amen asante saan
Aminaaaaa
Hakika usiache kumtegemea Mungu kwa kila Jambo....
Ujumbe mzuri Sana.... Muziki mzuri sauti nzuriii barikiwa sana... Mtumishi wa Mungu 🔥🔥🙌🙌
Aseeeee
Ameen
Kubwa. Kuliko
💥💥💥🔥🔥💥🔥💥
Safi
Ahhh wow amazing song🙏🙏🙏
Amen young brother
Akika tusiache kum tegemea mungu
Nduguyangu
Hongera sana nyimbo kali
Brother nashukuru saana Mkuu
Kakaaa Gee
Ubarikiwe kaka kazi nzuri
Geofrey Mfello, kibali ninakiona kimeachiliwa wazi. Hakika USIACHE kumtegemea katika roho na kweli.
Amen bro
Hongereni
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥... bless uu kaka
Bless up bro kaz nzur
Amen saana
From 🇰🇪 love the music
Amen amen Family
Nakubal Mwambaaa
Mwamba😂
The best
💥💥🙏
Mfello ubarikiwe
Asante saana kaka
🔥
💥💥
Hallelujah
Amen
,💥💥💥
Usiachee kumtegemea Mungu ni 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Amen saana WOG
We Amini Tuuuuuu
😥
It's a Very Powerful Song Brother.. Inaendelea kuimba Ndani Yangu
My Brother 😭 MUNGU Akufanyie Muujiza kupitia hii
Congratulation 🔥🔥
USIACHE USIACHE USIACHE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good work Mr. Mavoco 🥰🥰🥰 Big up
God is taking to higher places bro ,may your heart desires be fulfilled 🙏🙏
Amen MOG
Namuona samvistar
Hongera Sana blood mfello masauti usiache kumtegemea MUNGU
Ubarikiwe sana
Naomba kupata namba ya simu
This is next level🔥🔥
Amen brother
Nomaaaaaa
Aseeeeeeee
Barikiwa sana