Mfello Official
Mfello Official
  • Видео 16
  • Просмотров 64 583
Mfello - AMENIBLESS (Official Lyrics Video)
SHALOM MWANA WA MUNGU.
MUNGU AMEACHILIA NEEMA YAKE KATIKA MAJIRA HAYA MAPYA ___ TUNAIMBA USHINDI TUU JUU YA YALE BWANA AMEFANYA #AMENIBLESS
CREDITS
DIRECTOR SAMVISTAR
SONGWRITER YUSUPH MANAMBA & MFELLO
STUDIO #FNS FROM NOTHING TO SOMETHING
MUSIC COMPOSER AM _BARAKA KUSULA
FINAL MIX AND MASTERING AM_ BARAKA KUSULA
mfello__profilecard/?igsh=MWc4bmhpeXRudnVjOA==
www.tiktok.com/@mfello__?_t=ZM-8sqhOBo3vb4&_r=1
youtube.com/@mfelloofficial?si=Hc7JyvolKkweC8oC
GOD BLESS YOU
Просмотров: 12 790

Видео

Mfello - KAPU LA MABAYA (OFFICIAL LYRICS VIDEO)
Просмотров 3,5 тыс.5 месяцев назад
#KAPU_LA_MABAYA Karibu Ubarikiwe na wimbo Huu Kapu la Mabaya naamini wimbo Huu utakupa nguvu nyingine tenaaa kwenye maisha yako kama kuna wakati ulikata tamaaa na kuona hauwezi tenaa Maneno ya wimbo huu na nguvu aliyoweka MUNGU yatavukusha na kukupa nguvu tenaaa Director. Samvistar Producer. JovanKeys Studio. Joisas Studio Songwriter. Kasu
Mfello - KIONGOZI WANGU (Official Lyrics Video)
Просмотров 3,5 тыс.11 месяцев назад
Kwa Neema ya Mungu nimepata kibari kukuletea Ibaada hii ........ Mungu alijijifunua na kuleta maono kwa mtunzi wa wimbo Huu @ShuslaRameck Wimbo huu ni Ushuhuda kamili kwangu na kwako piaa unaesikiliza .. CREDIT. Songwriter.. @ShuslaRameck Director... @Samvistar Producer.. @JovanKeyzer Studio ... @JoisasStudio ......Special Thanks @Abbys_fashion_tz & @LydiahKashimba Instagram... ge...
Mfello - Nitakaa Nawe (Official Music Video)
Просмотров 3,8 тыс.Год назад
Siku zote matendo ya Mungu ni makuu katika maisha yetu, wimbo huu wa #nitakaanawe unalenga kukukumbusha kukaa kwa Mungu katika nyakati zote bila kujali unapitia katika hali gani ya maisha. Wapo ambao wamekata tamaa kutokana na ugonjwa ambao umewasumbua kwa muda mrefu, wapo ambao hali ya ugumu wa maisha imewakosesha nguvu ya kusonga mbele. Nitakaa Nawe uwe mfariji mwema kwako, Amen. God's action...
Mfello - Umenifariji (Official Music Video)
Просмотров 4,7 тыс.Год назад
Bwana Yesu Asifiwe! Wimbo huu wa umenifariji umebeba simulizi ya kweli ya maisha ya mtunzi wa wimbo huu, Mr. Mabrasse alipopitishwa katika changamoto mbalimbali za kimaisha ikiwemo na kumpoteza mama yake mlezi. Na hapo ndipo alipoamua kuandika wimbo huu kuelezea namna Mungu alivyomfariji. Karibu mpendwa kusikiliza wimbo huu tunaamini utakwenda kuwa faraja kuu kwako pia. #umenifariji #geofreymfe...
Mfello _UMENIPENDELEA
Просмотров 669Год назад
#UMENIPENDELEA ni Wimbo uliobeba Ushuhuda kwenye Maisha ya Mtumishi wa MUNGU Geofrey Mfello karibu Usikilize na Kubarikiwa share pia kwa Ndugu Jamaa na Marafiki GOD BLESS YOU #gospelmusic #gospel #gosipartis #mashamsham #kihandaru #homemusic #gospelmente #gospel_of_sri_sarda_maa #gost #diamond #rayvanny #harmonealightmotion #harmonize #harmoniumtutorial #neemagoswami
Mfello _Moyo
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' Songwiter Geofrey Mfello Producer Prosper Ramson Studio LubigaPRO Director Rahim
Mfello _Mama
Просмотров 9 тыс.2 года назад
................................................... Songwriter Geofrey Mfello & Mr afro Studio. From Nothing To Something Producer. Yusuph Manamba Director. Rahim Special Thanks @thesurvivorsgospelchoir
Mfello _ Ubaya Sina
Просмотров 2,9 тыс.2 года назад
ubaya sina ni wimbo uliotoika katika kitabu cha mathayo 27: 50-51 studio - lubiga studio mixing and mastering-tella song writer steven bizuru video director- tomluck & david pro
Mfello _ Usiache
Просмотров 3,6 тыс.2 года назад
Usiache ni wimbo wa kila majira ,,,,,, Usiache kumtegemea MUNGU katika nyakati zote ,,,,, Nyakati za furaha USIACHE ,, Nyakati za huzuni USIACHE,,,, Song Writer, Geofrey Mfello Studio, Mfello Studio's Producer .. Tella Director,, Tomluck & David Pro Special Thanks Rungwe Hotell Christian Sonelo Daniel Sonelo Judith Mwafula
Mfello GOD IS GOOD (OFFICIAL VIDEO)
Просмотров 5 тыс.2 года назад
GOD IS GOOD ni Wimbo wa shukrani Kwakuwa MUNGU ni mwema Kila wakati Special Thanks! Daniel Sonelo Jojo Trends Christian Sonelo @EfathaChoirUhuruMoravian @thesurvivorsgospelchoir Studio: From Nothing to Something Audio produced by Yz Manamba video director: Samvistar Song writer: Christian Sonelo
Mfello KANIPA BWANA
Просмотров 4,5 тыс.3 года назад
KANIPA BWANA . ni wimbo unaoelezea baraka za Mungu kwenye maisha yetu. studio - Lubiga Pro mixing and mastering- Prosper Ramson SONG writer- Christian sonelo video Director - Samvistar special Thanks to Daniel Sonelo & Managements of Rungwe Hotel.
Mfello ANANIPENDA (OFFICIAL VIDEO)
Просмотров 8 тыс.3 года назад
Mfello ANANIPENDA (OFFICIAL VIDEO)

Комментарии