Nyimbo nzuri na nimependa kwa utofauti alikuja nao katoka katika zile style za wadada wengi wasanii wetu second Video ni nzuri sana rangi nakila kitu big up KWETU STUDIO'S....
Appy, naamini yakwamba unatambua what you do na mziki unataka nini ,pita pale mwanamziki anapopita bila kujali lolote ,utafika juu sana ambako ulikua hutegemei, pia heshimu management yako, thamini hasso zako za pale before, #God bless you 🙏
Amini kwamba Tanzania tuna vipaji vikubwa sana yani kama huyu dada duuuuh. Magic voice this Melody laiti kama angekua ni msanii mkubwa ngoma inge penya sana duniani 🙌 belive it
Dah we dada MUNGU azidi kubariki kazi zako, navofahamu ni kuwa watu waliopitia msoto wa maisha MUNGU Huwa amewaandalia furaha. Keep moving appy wasukuma tupo juu🤗
Kuna sehemu niliskia kionjo Cha huu wimbo, nikautafta jina sikuupata, Leo kama bahat nmeipata aiseee ni bonge Moja la ngoma, huyu dada akipewa Nafasi nzuri namuona mbali sana, bonge Moja la ngoma
* ) Sauti Ina mamlaka sana Natoa 💯 * ) Mdudo Ni size Natoa 💯🔥 * ) Video 📸 Ni size pia Natoa 💯+50 # ) Tuje Kwa msanii apo ndo nyumbani Kwa vyote ivyo Natoa 1000 kwake 🔥 # ) Namuona mbali sana Kwangu na Huwa Nina Mamlaka flani ya kuona mbele sana Kwa level yangu Maisha 🔭 Namuona mbali sana #@ Nandy Chukua Dhahabu hii isije dondoka Kwa Maharamia.. ..
Talented kubwa sanaaa❤️❤️👏👏👏👏👏
Unajua sana ishi na hii melody
A nother one tz it's something alse but belive me she will go so fore way come from comoros fan 1one
We muda ukowapi nimupe hata wuwa Apyy
Mamaee wallahiii, hv watanzaaniaaaa hamuoni hiki kipajii
Umenikumbusha enzi za Rihana kwenye ubora wake , so Unic keep up.
🙏🙏🙏🙏
Hivi Hawa ROCK STAR hawakuoni au unafiki tu dah!!!more much pain
Hawa ndo wasanii wanaostahili kutupeleka international!
Nimeusikiliza clouds tv nikaamua kuutafuta huku RUclips daah bonge la ngoma ase wimbo bora kwa January hii appy umetisha sana
Asa hii ndo inatakiwa bongo muwe wakali wengiii we ni mkali mnoo #happy
Nashukuru sana
@@appytz napenda Sana unavyoichezesha vocal Yako usikate tamaa mafanikio yapo mbele kidogo tu ongeza juhudi
Kuna watu wanaiba na hawaringi aiseeee.. The voice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Aseeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sijawah comment kwa. Any of the musicians tz. ! But. This. Lady. Litt
🙏🙏🙏
WEEE DADA WEWE NIMEKUITA KWA HERUFI KUBWA KIUFUPI UNAJUA KUIMBA MWEEEE BONGE MOJA LA HIT
🙏🙏🙏🙏
Sepa sepa
Nyie huyu dada ni gifted pure saut inapenya kaza Rihanna hv♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏
Aseeee sio poa. Mm sio ww ku listen the same song repeatedly 😩😩but. For this. Song. I did. It Aseee and. The rhythmical ina tugusa sana
Umeisikia ee?? Rihanna mtupu
Like shakila OMG 🥺😳
Nikajua anaimba kingereza kumbe kiswahili tu duhh!!🤔
daa umeupigaa mwingii nilijua mambele kumbe kibongo kibongo ❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huyu dem ni level ya juu sana
Bonge la ngoma nimeikubali sana much respect
shukrani sana🙏🙏🙏
Lov upo na saut nzur nmepambana sana kuitafta hii nymbo❤❤
Hio voice bongo haipo 😍😍tumezoea kusikia kwa kina @juliana kanyomozi mmmmh huyu dada n wamoto sana aisee. Nimeipenda voice na so mchezo ❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Dada ni Mtanzania au
Unaimba kama mambali hakuna mdada mtanzania anayekufikia HAKUNA hata mmoja.
Bonge la ngoma
Dah unaimba vzur saut ya kipekee nimechelewa kukujua jmn appy
Utaeleweka tu Appy
hii ngoma remix yake hapite marioo moto utawaka ngoma kali sana
🙏🙏🙏
Mashallah nakuona mbali kuleeeeeeee
Amin🙏🙏🙏
Wangapi tumerudiarudia bwana sauti yake kama Rihanna bwana tz tupo juu sana huu ni mwamba mwengine sauti nzuri hatari sana🤩🤩
Kweli nimeipenda♥️♥️♥️♥️🥰🥰
Tupo wengi kama namuona rihanna
Sema Africa,ata sisi wakenya twa mpenda 🇰🇪👌🔥🔥🔥❤️
Tony braxton
Dah sjui mara ngap haish utamu
Rihana mtupu uyu dada
Ulikuwa umejificha wapi mama hutupa hizi burudani😍, you are next levels Appy🔥🔥🙌🏽🙌🏽
😍😍😍
@@appytz wewe ni mtanzania au vipi maana sijakujua @sns sauti na simulizi wahi huku utujubu huyu Dada yako wapi 🤣🤣🤸🤸 Ila nyimbo ❤️❤️
Yaan anavyoimba utasema haimbi kiswahili uwii hongera dada una saut
Gud music bibie...tupo pamoja na wew
❤❤ your the best
Dar unajuwa 🙌
Kipaji cha kweli no short cuts more blessings mrembo
Ugandan🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 gather for this gud taste for music ❤❤❤
Nyimbo nzuri na nimependa kwa utofauti alikuja nao katoka katika zile style za wadada wengi wasanii wetu second Video ni nzuri sana rangi nakila kitu big up KWETU STUDIO'S....
Demi lavato wa bongo.....anajua mpaka kapitilizaaa....appy kajaliwa sauti🥰🥰🥰
Wanasemaje. Et nyimbo nkali 2na like wap? Manzee
Appy I real like sepa kiukweli everdaya nasikiliza keep it msukuma mwenzangu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
She knows the meaning of modern Music❤
absolutely she is so amaizing my fav song in jan-feb🤞
For really this girl deserves to be recognized as best female vocalist in Tanzania after my lovely zuchu this must be at second place❤❤❤❤❤❤
Uko na vocal Kali sana....utafika mbali sana kimziki
🙏🙏🙏
good song like rihanna
New giant in Tz
Hii nayo iko next level....super 🔥 hot
hii nyimbo nzuri natamani uje kuwa maarufu kama zuchu
She is ahead of her time...
Appy unajuwa very proffesional
🙏🙏🙏
Mh!kweli Tanzania kuna vipaji alikuwa wap huyu?🔥🔥🔥👍👍
Nandy angemchukuwa huyu! Sio muimba qaswida
Talented one
Aisee mnyamwezii wangu umetisha sana sana nilivyoskia kwa ledio nilijua Rihana kaimba kiswahili big up sister God bless you
Aki the vocal Yani tamu this lady amestua ata wasani wakubwa ❤❤❤
Mbna n balaa hyu dada adi nywele zimesimama uuuwiiuu
🙏🙏🙏
Kama umeirudia hii nyimbo mara nyingi kama mimi like hapa .🙌
Shukran sana kwa support
🙏🙏🙏
@@appytz boomplay mbona haipo?
🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲 team OMANI 🙏 wapi huku Mambo NI 🔥🔥🔥🔥
Nimeirudia San huyu mremb anajua kuimba
Imba wewe ambayo haijarudiwa 🙄@claudy jr
Appy wewe ni balaa ,🔥🔥🔥🔥🔥
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
Hii Ngoma ni very classic 💥
Appy, naamini yakwamba unatambua what you do na mziki unataka nini ,pita pale mwanamziki anapopita bila kujali lolote ,utafika juu sana ambako ulikua hutegemei, pia heshimu management yako, thamini hasso zako za pale before, #God bless you 🙏
Appy upo vizuri sanaa...keep it up
Namsikia Shakira yule wa Mamtoni humu ndani🎈🙌✅
Ata favo akufikii wewe n nouma
Ngoma Tam ,,,sauti tam
Melody tamu....❤❤❤
Unajuwa Sana shinda ambayo unayo ni menejiment yenye level za kimataifa ndo huna. ..ila kila kitu unacho
From tik tok here we go
Asee ni nomaa🔥
Mimi Nimerudia
Amini kwamba Tanzania tuna vipaji vikubwa sana yani kama huyu dada duuuuh. Magic voice this Melody laiti kama angekua ni msanii mkubwa ngoma inge penya sana duniani 🙌 belive it
Nikweli ina Múngu awez muacha ipo day yake nayeye atatoboa tena atawazidi wotee
Tuzidi kumsapoti zaidi atupe vitu vizuri zaidi hongera
Gd Music 🎶 🎵 👌
unajua sana kontawa kafanya nipate hili banga
THIS IS WHAT WE CALL "GOOD MUSIC"
Oooh....yeah
I can feel Toni Braxton in her though she's still an underground singer
Ndio nimekuona showcase uko vizur sana
😳❤️👊🏼💪
Congrats appy nimependa unavoimba like rihhana 🥰
Waoooh so Amazing ❤ 😍 💞 🔥 🔥 🔥
Uuuuuuuh 🔥❤️❤️🥰 umeweza mama mm Masha'Allah 😍 much love from 🇰🇪🇰🇪
Woooow song nzr sana kaza budi dada angu...very nice🙏🙏🙏🙏🙏
Thank you 🙏🙏🙏
Dah we dada MUNGU azidi kubariki kazi zako, navofahamu ni kuwa watu waliopitia msoto wa maisha MUNGU Huwa amewaandalia furaha. Keep moving appy wasukuma tupo juu🤗
Ooh nicee good music
Kazi nzuri sana appy
Kuna sehemu niliskia kionjo Cha huu wimbo, nikautafta jina sikuupata, Leo kama bahat nmeipata aiseee ni bonge Moja la ngoma, huyu dada akipewa Nafasi nzuri namuona mbali sana, bonge Moja la ngoma
🙏🙏🙏
Unavoko kali sana apy
Sepa sepa sepa🥁🥁..wimbo inabamba wachatuu…
🔥🔥🔥
International artst
Aki ya nani uyu ni Shakira wa kenya🥰🥰more love
who told you she's kenyan ?
All the best ssy unafanya mzk mzur
* ) Sauti Ina mamlaka sana Natoa 💯
* ) Mdudo Ni size Natoa 💯🔥
* ) Video 📸 Ni size pia Natoa 💯+50
# ) Tuje Kwa msanii apo ndo nyumbani Kwa vyote ivyo Natoa 1000 kwake 🔥
# ) Namuona mbali sana Kwangu na Huwa Nina Mamlaka flani ya kuona mbele sana Kwa level yangu Maisha 🔭 Namuona mbali sana
#@ Nandy Chukua Dhahabu hii isije dondoka Kwa Maharamia.. ..
🙏🙏🙏
A song from 2035 💥
Respect sister uko na sauti tamu,,🔥🔥🔥🔥👌👌👌🙌🙌🙌
Your voice ❤️❤️❤️❤️💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good job smart girl fighter from another mother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimerudia had nimerudia tena, mashaallha
❤❤❤
Nimeamua kua shabiki yako kazi nzuri sana
❤❤❤
This woman is releasing hit after hit......
Jaco babeeee
Hongera shem
Ur exceptional,the New Queen 👑 in the world
Shukrani sana 🙏🙏🙏
Whoooaaa malaika wetu kutok rock city is more than talent go on worldwide 🌎
Thanks
Motoooooo moootoooo🔥🔥🔥
nilisearch hii nyimbo qwa kidhunguuu jamani daah🤣🤣🤣🤣her vocal is something else💜