Watu feki huwa.wanakuchekea machoni...kumbe rohoni wanakuroga,.I once lived with them and trused watu feki...but what goes around comes around...I came to realize after 15yrs of suffering..ukweli unauma,ukweli ni uchungu
@appy nyimbo Kali video umetudanganya hio ni live ninacho sema mashabiki wengine wamevunga TU kama vip irudiweeeeeeee ... Tena ifanyie kwa room 1 au n.k alafu uwe kwenye sinema ionyeshe unapata mateso hiviiii n.k
Wakipatikani wasanii 20 wanaoweza kuimba nyimbo zenye ujumbe mtam kama huu itapendeza sana. Acheni kuimba nyimbo za mapenzi nyie wasanii wengine follow foot step of this sister. Bug up dear
if you are proud to be African, you believe Africans have talents, you support good music and you believe this song will hit every country in the world, then don't leave without a like.
The song is bigger than the video but all in all you did the best song ever keep pushing let’s support here she is the good artist with different test ❤❤❤❤
If Appy is from Tanzania, she really having an amazing voice, I can say golden voice no one like Appy in Tanzania and may be in Africa as well, I appreciate 🙏🙏
Dada sema tu hujauona moyo wangu kwa sababu tu mi ni mtoto kiukweli ningelikua mkubwa ningekuoa nakupenda sana Appy ila dah! Unaniumiza sana mi ningekuoa tunge funga ndoa nakupenda sana😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉💕💘💞💓💖💯💔💯💔❣️💋
Yo..I heard this jam just before I entered a meeting..The lyrics stuck so much I dont even remember what my boss was talking about..'Au mnasubiri nife ndo mniposti'..Damn..FIRE 🔥FIRE🔥 FIRE 🔥FIRE🔥 jam.. Speechless maze..
Trendingi no 3 leo kehokutwa Trending 2 JumaTatu jumaTano1🎉🎉
Type Amen kwa maombi haya🤲🙏
Watu feki huwa.wanakuchekea machoni...kumbe rohoni wanakuroga,.I once lived with them and trused watu feki...but what goes around comes around...I came to realize after 15yrs of suffering..ukweli unauma,ukweli ni uchungu
Hata kama tuko na beef ...si wakenya 🇰🇪🇰🇪💕tunapenda wote ...watu wa nyumba piga like tukisonga ❤🎉on behalf of 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯
Aisee kabla sijaona hii video nilidhani alieimba hii nyimbo ni mzungu dahh hongera sana dada Kwa sauti
huyo director ni kuma
..atafute kazi nyingine ya kufanya mshenzi kabisa
Ukishika chapaa utacheka na wanao kudharau💯💯
Those who say this gal is talented hapa KENYA wapi likes zangu
She's Tanzanian, you know Tanzanians Are Good Singers Naturally 🔥🔥❣️
Nimefiwa na Baba yangi juzi na nshawajua watu wangu feki..hii nyimbo ndo ikiwa ikinipa faraja❤
Tanzania Tems loading %
unajua kabisa imenifika ningekuwa ninauwezo wakusaidia wana mziki wenye kipaji basi wewe ningekufanya wakwaza my sster
@appy nyimbo Kali video umetudanganya hio ni live ninacho sema mashabiki wengine wamevunga TU kama vip irudiweeeeeeee ... Tena ifanyie kwa room 1 au n.k alafu uwe kwenye sinema ionyeshe unapata mateso hiviiii n.k
Wakipatikani wasanii 20 wanaoweza kuimba nyimbo zenye ujumbe mtam kama huu itapendeza sana. Acheni kuimba nyimbo za mapenzi nyie wasanii wengine follow foot step of this sister. Bug up dear
"Bora wali nyama kuliko walimwengu" that hits me hard😊!!
Kama unawachukiwa marafik wanafki weka like❤❤🎉🎉
if you are proud to be African, you believe Africans have talents, you support good music and you believe this song will hit every country in the world, then don't leave without a like.
She's a star already. The voice is unique and serious business here.
Watu fake 🔥🔥🔥✅
Wakenya wangapi hapa
Ni wote ❤❤❤❤
This is so cool. I like this song. I have been waiting for the official video. Good work Appy
Sia wa kibongo! Wimbo mzuri!
Nyimbo nzur video mbaya San imehalib wimbo
Mugu akupe Rafiki Mzuri(mwenye Afya Nzuri ya akili Na Mwili)💪🏿
Dada wa taifa usije ukatuangusha sasa 🔥🔥
Nice song nice message good new artist in bongo mtafute neve kenzo wakusupport sn unajua sn
video hamjaitendea haki kabisa... this is big song for you, your breakthrough ...video ni taka taka
Why don't we push this woman to the high level? This track's supposed to be at 110 millions of views already....
"MNASUBIRI NIFE NDIO MNIPOST"....NDIO KILICHOMKUTA MAREHEMU HAITHAM 😢😢
Hatham kafa????
Leo watakupandisha kesho watakushusha😢😢been there felt it 😢worst feeling ever
What an amazing song 💯, Good Vibes
Nakubali sana hii ngoma yako sister mungu akuongoze ufike mbali zaidi
The song is bigger than the video but all in all you did the best song ever keep pushing let’s support here she is the good artist with different test ❤❤❤❤
Mahn listen to this song 🖤🖤
Yani video unaambatana na audio 🔥🔥
Kazi safii sanaa ❤️❤️❤️
Likes for my kenyan brothers 🇰🇪🇹🇿
"Utakufa na njaa watapika pilau ". Aseeee , God bless you❤❤
Zambia 🇿🇲 ikusikiliza .
Kazi nzuri ukweli
CONGRATS FOR THE INTERNATIONAL SOUND. 🇹🇿 TO THE 🌏
Sauti safi kuliko ya Diamond 🙌🏻🙌🏻 254 🇰🇪
Ngoma Kali Sana ila vidio haina uhalisia wangoma❤❤
Nani amerudia iyi nyimbo kama mimi jmn nice kweri una sauti kiukweri much respect 👍🏽👍🏽👍🏽😘❤️🤣
DADA DADA DADA NIME KUITA MARA TATU MUNGU WANGU TAYARI KAKU FUNGULIA MILANGO ❤❤❤
Nimewasili ....naomba likes zenyu kutoka Kenya 🎉
Ngoma kubwa sana video ya kawaida sana @Appy director kapoozesha sana
Halafu kaiba idea ya video fulani Nigeria.
Nyimbo tamu nyimbo yenye ujumbe mzito tunao ishi nao god bless you Appy
Vocal fulani hivi za kimamtoni ka Rihanna vile👏👏🇹🇿🇹🇿
Yan we dad unajua kuimba san yan nyimbo yak inaisia san naimetulia san ❤❤❤❤
Nani anaangalia hii video huku akisoma comments za wadau Kama mm mko wapi kujen hapa niwaonee Enjoy good music nawapenda wote❤️🙏🕊️
+254 KE.. KE HAS APPROVED
nyimbo nzuri dada ila video ujaitendea haki🎉🎉🎉🎉
Mbovu kabisa
Moto sana
Umeua Xan
Sauti iko very incredible...nyimbo ina felling hasa Kwa wale wanaosnichiwa all over the world
I love the message from this track..and the voice on point❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nampenda sna appy
Director anatuzingua I was expecting something hot video than this Guru film pambana zaidi ya hapo bado.
That's called first voice video,chanuka ili uelewe
Remix waingie watu kibao . Lunya , kadiography , all tz hip hop and rnb . Watu kama 9 hivi it will be every where
Wimbo ni kama idea wimbo wa Labianca ’People‘. She‘s so talented and deserves a recognition
The first man of peace kenya 🇰🇪 approve everything beatz,lyrics ,video and beauty
Hi
Pamoja unajua bwana❤❤
this is the best tanzania hit i eve heard.Achana na diamond na wenzake
Lets be honest this song gives a very beautiful vibe to someone like me whose has been betrayed by my friends...love the jam my fav❤
My best song, unaimba stail ya kwako kipekee 🎵✊ maisha halisi,, NAKUPENDA ❤❤
Nyimbo kali ile video ailete husika … rudia ama fanya remix
I agree
Nashauri remix ije ft lunya af video iwe Kali kushnda hii itakua poa sanaa
Wimbo mzuri nawe pia upo vizuri na umepangalia vizuri
Audio is the best than video this video i give two star⭐⭐ lakini audio ya wimbo ni 🔥 i gave five star ⭐⭐⭐⭐⭐
Jesus!! I haven't Heard search unique Vocals in along time ..much love❤❤❤ from Kenya 254
Nimekimbia morning run 🏃♂️ 10KM na hii ngoma on repeat. Simply amazing
Very true..ukiwa na shida hakuna mtu anaye kujali but Mungu yuko nasi sisi wote
wako ni venye ni ngumu kupata
Video ya kikibwa mnoo.. umetisha mpenZ
Dada nyimbo kali
What a difference from the usual bongo songs with same old lyrics. I love this❤ refreshing beats, lyrics and contemporary dance moves❤❤
Nimekubali from Kenya 🇰🇪
watu bana wanatamani waone magari nyumba kali na mademu wazuri ndo uje kusema kichupa kikali q
Au mtu avae bikini
Mistar og,melody og,singer og,beat og lakin video na yenyew og,,,,,gonga like kama ww ni shabiki og
Nasubiri REMIX ya hii ngoma wakiwepo
T gun tozy
Young lunya
Con boi
Harmonize
Yuzo mwamba
Rapcha
Ongeza wengine 🎉
Wote uliowataja humo sioni wakifit kwenye hii afro pop, labda harmonize
Abby charms
Bruce africa
Gosby
Mapanch BMB
Hawa ni kama unataka Rmx nzuri
For the first time I can't believe if your a musician from Tanzania congratulations Appy
Appy anajuwa but director kazingua Dada wataifa nilivyo tarajia sivyo Da!!!!!!!!!! By the way big up but story ya nyimbo na video tofauti kabisa 🙏🙏🙏🙏
Kabisa director ameharibu uta fikiri Ametumia sim But labda director ni mwanafunzi pia
Wimbo mzuri sana. Usibabishwe endelea kufanya huu mziki.
Iseeee.
Huyu kaangusha hii nyimbo kinyama❤
Hii nyimbo naipenda sana natamani kuona inafika mbaaali. Usirudi nyuma keep doing what your doing ❤💪🏾💪🏾
Mwenye atakuwa hapa mwaka wa 2030 nipe like😂
zaidi ya ngoma sura mzuri big up #####team true
Much love from Kenya....I'm sure watu wengi wanarelate....BIG UP!
Hii style noma yani kiswahili kinaimbwa km kingereza big up sana ster ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hii ndiyo inafaa kuwa Anthem ya current generation.The best message this season.Thank you beautiful girl.Lovely vocals too.
Kosa hela ndio ujue rafiki wa dhati
I wonder why this song ain't big yet🔥🔥🔥🔥Appy has an amazing voice...Kama Shakira💯💯
We have to give it to Appy, she's got one of the most unique vocals in the continent. Keep up the great work!
Kama unamkubali APPY like apa🔥🔥
Namkubali❤
If Appy is from Tanzania, she really having an amazing voice, I can say golden voice no one like Appy in Tanzania and may be in Africa as well, I appreciate 🙏🙏
Bila kuiga south wala naija bado tunaweza kufanya muziki mzuri sana, skia vocals hilo la kipekee.Kama linakwama hiv kumbe ndo liko mahali pake.
Ndgu wakwel mafanikioooooooooooooo ✊✊✊✊✊ kabisa appy
🇨🇦Kwenye video zake zote shida ni Director ni feki sana…
Tatizo mda hasikilizi maoni na comment za sisi mashabiki…mimi bora nisikilize tu Audio 😌
Dada sema tu hujauona moyo wangu kwa sababu tu mi ni mtoto kiukweli ningelikua mkubwa ningekuoa nakupenda sana Appy ila dah! Unaniumiza sana mi ningekuoa tunge funga ndoa nakupenda sana😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉💕💘💞💓💖💯💔💯💔❣️💋
Yo..I heard this jam just before I entered a meeting..The lyrics stuck so much I dont even remember what my boss was talking about..'Au mnasubiri nife ndo mniposti'..Damn..FIRE 🔥FIRE🔥 FIRE 🔥FIRE🔥 jam.. Speechless maze..
Nimeikubali hiii ngoma Sana wakikosa sufuria watakupika majungu
Our very own Tanzanian Libianca…
Wimbo una ujumbe mzuri,no chance ya watu feki, rafiki feki,na ndio waliojaa,sure rafiki wa kweli mafanikio.
Dada upewe maua yako 🎉🎉🎉tisha kinoma
Waow amazing sound ……….. sababu ya changa moto kawa single mama
Wow unajua kuimba aseee
Dada mi sio mpenzi wa nyimbo za bongo ila sauti yako na jinsi ulivyoimba ni 🔥 hongera nimependa na ujumbe safi