amen pastor hiyo roho ya maarifa Bwana ameichilia kwajili yangu, ujinga wakiroho nakimwili, unanitoka kwa mafundisho, yako, naamini sana katika Yesu nakatika pastor Tonny Kapola, kwakua neno unalo sema ni kweli kwakua linakua na nguvu ya maarifa ya neno la Mungu ndani yake, nabarikiwa kupitia wewe Pastor.
Mungu maneno yote niliyonena labda kama yananiandama basi leo nayatengua kwa jina la yesu.Naomba nianze mwanzo mpya wa maisha yangu ili bwana niijue na niuone ukuu wako kwa Maisha yangu
Ee Bwana Mungu naomba unirehemu na unipe neema niwe mwepesi wa kusikia na si mwepesi wa kukasirika na kusema katika jina la Yesu Kristo Amina. YAKOBO 1:19-20. Barikiwa sana Mtu wa Mungu.
Bwana yesu asifiwe pastor mimi niliacha school form two juu ya mazingira nliyokua ninaishi nikaoleka na mme mlevi tukabarikiwa na mtoto wa kiume lakini baada ya miaka 8 tukaachana lakini jambo la kushangaza mimi kila ninapo lala naota nko school tena na nafanya mtihani mungumu sana nawa wa mwisho katika huotihani
amen pastor hiyo roho ya maarifa
Bwana ameichilia kwajili yangu, ujinga wakiroho nakimwili, unanitoka kwa mafundisho, yako, naamini sana katika Yesu nakatika pastor Tonny
Kapola, kwakua neno unalo sema ni kweli kwakua linakua na nguvu ya maarifa ya neno la
Mungu ndani yake, nabarikiwa kupitia wewe Pastor.
God if there is any word I spoke that it's working against me today,I repent...clean my tongue,purify it
Mungu maneno yote niliyonena labda kama yananiandama basi leo nayatengua kwa jina la yesu.Naomba nianze mwanzo mpya wa maisha yangu ili bwana niijue na niuone ukuu wako kwa Maisha yangu
Ee Bwana Mungu naomba unirehemu na unipe neema niwe mwepesi wa kusikia na si mwepesi wa kukasirika na kusema katika jina la Yesu Kristo Amina. YAKOBO 1:19-20. Barikiwa sana Mtu wa Mungu.
Namkubali sana huyu mchungaji. Mimi huwa sikubali kirahisi🙏 ila msikoti vibaya mimi huwa sichukii watu.
Vema mutu wa Mungu ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri ❤
Kinywa huumba asante kwa neno MUNGU akupe maono mengi zaidi
Thanks pastor umenipa lililo jipya kwenye maisha na uzima wa roho
Nafuta maneno yote niliyojitamkia vibaya iwe mauti, kutofanikiwa lakini leo hi nayafuta kwa jina la Yesu
Asante kwa mafundisho Baba Mchungajii
Samahan pastor je nawezaje kujiondoa kwenye hayo maneno
Mungu nayatengua maneno yote niliyonena nanena uzima ,afya na ufanisi kwangu na jamii yangu eeeh Mungu nisimamie
Emeen ubarikiwe mtumishi
Aaaaameeeeeni
Mungu akubariki sana Pastor...nabarikiwa sana na mafunzo yako
May God bless u more
Barikiwa mtumishi
Mimi nitafanikiwa maishani katika jina la Yesu.
Nguvu ya Maneno.🙏🙏🙏
Emen ,, mungu wangu natamani nikujie zaídi
Aminaa baba🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
This is superior
MUNGU akutie nguvu uendelee kuihubir injil
Amen
Good Sana mchungaji
Eeeenh bwana niokoe na mauti niokoe mimi nipe nguvu mimi natoa kila rahana juu yang najitamkia maneno ya ushindi juu yang
Najisafisha kwa damu ya yesu kristo kwa kila rahana au neno baya niliotamka juu yang
Nabarikiwa sana na wewe
Amen Amen Amen
Amen mtumishi
Niombee paster jmn nimeshajitamkia maneno ...now days yamekuwa mwibaa
Mungu akubariki sana Baba
Ameeeeen barikiwa sana
Hello poster wanitianga moyo
Napenda sana magundisho ya huyu mtumishi.yuko wapi?
Njoo millen tower kesho
Anapatikana wapi
This is so true.
Ameen
🙏
Duuu
Og
God if there is any word I spoke that it's working against me today,I repent...clean my tongue,purify it
Emeen ubarikiwe mtumishi
Amen 🙏
Amen
Amen
Bwana yesu asifiwe pastor mimi niliacha school form two juu ya mazingira nliyokua ninaishi nikaoleka na mme mlevi tukabarikiwa na mtoto wa kiume lakini baada ya miaka 8 tukaachana lakini jambo la kushangaza mimi kila ninapo lala naota nko school tena na nafanya mtihani mungumu sana nawa wa mwisho katika huotihani
Ameen!!!!!nabarikiwa mtumishi,asante Mungu kwa uwepo wako
Ameeeeeeeen
Amen
Amen