CHINA yalijaribisha Kombora hatari la JL-2 wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akiitembelea

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 120

  • @augustinemagesa5743
    @augustinemagesa5743 Месяц назад +41

    Huko wanaume wanajaribu makombola kwa ajiri ya ulinzi wa nchi zao, huku bongo tunajaribu V8 za wakuu wa wilaya 😅

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  Месяц назад +12

      😆😆

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад +3

      Afu tukifika kwenye comment tuna shadadia vitu tusivyo vijua ili mradi kwetu tu comment tu 😩😩😩Tanzania is a joke to well developed and educated countries 😊

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Месяц назад +3

      Na maazimisho ya mapinduzi ya zanzbar

    • @zaidyabed
      @zaidyabed Месяц назад +2

      😂😂😂😂

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Месяц назад +3

      Ndio zetu

  • @omarybakary1234
    @omarybakary1234 Месяц назад +11

    Napenda Sana combination ya Sky na Alli SNS aiboi wala aipoi halala 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @kherisalum6304
    @kherisalum6304 Месяц назад +7

    Hii ni zaidi ya Elimu tunayofundishwa darasani,,,mbarikiwe sana

  • @cchimodzi3858
    @cchimodzi3858 Месяц назад +5

    Jamaa mchambuzi mzuri sana, mimi nimesoma International Relations.. anagusa mulemule safi sana

  • @WilhelmIbaganisa-bx7zj
    @WilhelmIbaganisa-bx7zj Месяц назад +6

    Jamani hii channel naipenda jamanii inatupa mambo mengi hasa siasa . Jamani Mimi napenda sana kufatilia haya mambo ya 1:45 1:47 1:48 1 1:49 1:50 1:51 1:51 1:51 1:52 1:52 1:53 1:53 1:53 1:53 :48

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 Месяц назад +1

    Habari nzuri hio kwa wasiopenda amani hasa Marekani na wenzie

  • @IsayaMorange-wb5ek
    @IsayaMorange-wb5ek Месяц назад +2

    Mr Sky,, hongera kwa kazi nzuri mnayoifanya,, Mimi miongoni mwa Wana SNS naomba siku moja mtuletee mchambuzi mmoja anaitwa Thabiti Mlangi.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Месяц назад +6

    Marekani ameenda kuwabembeleza wachina wasimuunge mkono mrusi imekula kwao

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp Месяц назад +1

      Hahaha ety kubembeleza 😂😂😂😂wanajua china hawez kucha hela ya mrusi ni mtu na mdogo wake na wapo jiran hasa

  • @majimbeTV
    @majimbeTV 17 дней назад

    Namkubali sana uyo Ally masubi anajua sana daaaaaaa mpaka rahaaaaa👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿

  • @Agath45
    @Agath45 Месяц назад

    Much love#sns mnaupiga mwingi

  • @lucasmartin431
    @lucasmartin431 Месяц назад +6

    Masubi Ulianza kihojiwa Unatetemeka lakini Now your doing Very Good.....Nice to see you from O to O

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 Месяц назад +1

    My best Medio ni SnS kwangu mm lazima nipitie hapa

  • @NuhuHamisi
    @NuhuHamisi Месяц назад +4

    Baba unaupigwa mwingi sana kakubali sana kazi zenu

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 Месяц назад

    OUR FELLOW CHINA, from TANZANIA

  • @user-dk4iq5ct6r
    @user-dk4iq5ct6r Месяц назад +4

    Acheni wivu nyie usa km mmewatenga wenzenu sasa mnaenda kwao kufuata nn wanafiki wakubwa imebaki tu mpigwe kutoka kila kona na kila nchi iwafumue

  • @suleymanboko
    @suleymanboko Месяц назад +5

    Picha za makombora zimeachiwa wakati wa ziara ya blinken ili kumuambia njoo tujadili usilete mikwara tunaweza usichoweza

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Месяц назад +4

    Nyie tuuwen tu..mana naona tunatishiana Sana amani yani

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche Месяц назад +3

    China uchumi yupo juu. Na viongozi wa marekani na umoja wa ulaya wana mbembeleza aimalize vita ukreine

  • @GeorgeMpweto
    @GeorgeMpweto Месяц назад +6

    Awa wa Jama wana ichezea sana Dunia

  • @user-wc3hn4kt1x
    @user-wc3hn4kt1x Месяц назад +1

    Aisee bado sana..

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Месяц назад +3

    Sana

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 Месяц назад +1

    Kwann makomboraa mengi yakitengenezwaa wanatafyta lakufika marekanii

  • @SalmaKhamis-io4ei
    @SalmaKhamis-io4ei Месяц назад

    Nakuelewa broo unanishawishi nikuskilize

  • @TibaTito
    @TibaTito Месяц назад +4

    Haya ndo matokeo ya kuwa na pesa mingi, wanaume wanavimbishiana vifua. Asa atokee kenge yeyote wa uchumi wa kati avimbe na yy atawafanywa kitu mbayaaaa km shilohima

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w Месяц назад

      😂😂😂😂shilohima sio kwamba alikuwa mnyonge ila alimzidi marekani nguvu na akili katika vita ndio maana marekani akabidi apige nuclear mbili maana Japan hakuwa na nuclear na hana mpaka leo kwasababu hawataki kuwa na nuclear

  • @Msumbwa23
    @Msumbwa23 Месяц назад +3

    marekani hawapnd kuona taifa lolote linawapit ktk maendleo yyt ndo maana hawalali kuhakiksha wanaendelz kuvurg kila viashiria vya kuwazd ila pmoj na yot asiyekubl kushndw atakos ushndn

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue Месяц назад +4

    Mungu anasubiri Nini kuingamiza marekani Dunia itulie

    • @user-ew4qf9ud4v
      @user-ew4qf9ud4v Месяц назад

      Nadhani hatuwezi kumpangia Mungu chakufanya

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Месяц назад +6

    Sisi ni wapenzi wasindikizaji yaani hatuna hata kiwanja cha Magobole au AK-47, kama huna kiwanda chochote cha silaha utabiki kuwa Bibi wa Wanaume wa watu hata kama ukiwa ndani unajijitumua lakini huko Nje unaonekana Bi harusi

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w Месяц назад

      Mzee hujui tuna kiwanda cha silaha ila bado hatujaweka nguvu sana katika hicho kiwanda cha Nyumbu JKT na wanazalisha vifaru kwetu

  • @YONERU
    @YONERU Месяц назад +6

    Sns mupo vizur nawaombea mupate tiv na redio

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 Месяц назад +2

      Af wewe unatokea Kigoma maana sio mupo, ni MPO VIZURI na MPATE sio mupate bn

    • @chancekambale3498
      @chancekambale3498 Месяц назад +4

      😂😂unawaombe afazali ungewachangia wabingo kwenye hela 😂😂😂

    • @hajimbwanahaji7197
      @hajimbwanahaji7197 Месяц назад

      ​@@salehkhamis3000Ndo Kiswahili Fasaha. Sisi Waswahili tunaitumia kwa mtindo wetu

  • @HamzaMbasha
    @HamzaMbasha Месяц назад +1

    China uchumi wake ni mkubwa kuliko Marekani hilo liko wazi sema huwaga wanatengeneza Data zao..

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 Месяц назад +3

    Saw bhana wakubwa tuna wasubr Mbinguni 😢

  • @TygerOG255
    @TygerOG255 Месяц назад +3

    Hivi mbona Mmarekani yeye haoneshi vitu vyake 😂😂😂😂

    • @erickmillanei4346
      @erickmillanei4346 Месяц назад +3

      Alishaoneshaga Saana Kitambo Icho Now Mataifa mengi Yapo KWENY Ile Level Yake Kwahiyo Hana Jipya lakuiambia Dunia

    • @RaymondPaul-bs7su
      @RaymondPaul-bs7su Месяц назад +2

      Alisha oneshaga zipo mtandaoni,na bado anaonesha hizo anazopeleka Ukraine

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Месяц назад +5

    UKIWA NA NYUCLIA WAMARECANI WATAKUBWEKEATUUUU ,ILA HAWAKUGUSI 😂😂😂

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 Месяц назад +5

    SEMA CHINA MPOLE SANA ILA NI HEAVY WEIGHT 🎯

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Месяц назад +2

      Amejikita kwenye kujenga uchumi coz huko ndo anaona anawaacha wengine

    • @dicsonbiko-wz7ym
      @dicsonbiko-wz7ym Месяц назад +3

      wamejipanga kwa yoyote atakayewavamia pia hawa ni wajamaa hawapendi uchokozi na majirani

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад +1

      Mpole? Unajua Taiwan 🇹🇼 nini kinaendelea?

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад +1

      Au Phillipines??? Au saabu haipostiwi na sns? 🤣

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Месяц назад

      @@atutweve4160 we kikikinga pro usa sana mpaka unakosa content of purpose haya basi zanzibar inavyosema ijitenge basi iachwe ijitenge someni acheni kuashangilia vitu kwa mihemuko sio tu Taiwan angalia na Hongkong kaangalieni one China two state theories mkajue Leo usa Puerto Rico inaweza ikasema iwe huru na federal usa wakukabali nenda United Kingdom Ireland na hadi Scotland wanataka watoke United Kingdom wameruhusiwa nchi hazikuja tu hakuna mawazo yakisiasa yanayoweza kukubaliwa tu eti kwakua wanasema usa Leo mtukane hata Mungu hakuna ataekugusa zungumzia uvunje state hutochukua dakika tano ukiwa hai.

  • @AbubakaryManeno-re1jq
    @AbubakaryManeno-re1jq Месяц назад +4

    Hhhh nimeipata hbr nikiwa mtu wa mwanzo

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 Месяц назад +1

    Wanajaribu kuwarubun wachina lakn walishachelewa

  • @khamiswastarwastar4145
    @khamiswastarwastar4145 Месяц назад +1

    Huyu mmarekani kwani yeye ni nani yeye anauwa ni sawa anapo uwa mwenzake yeye anamuwekea vikwazo

  • @user-ww5iu4gz4b
    @user-ww5iu4gz4b Месяц назад +1

    Hawa wachina wanawakaribishaje hawa mashoga

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Месяц назад +3

    Lazima Acĥemshe Mmarekani 😂😂😂

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 Месяц назад

    Yaani watu wangine bwana, yaani wao wafanye mambo kisha walazimishe na kuwapangia watu bei

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Месяц назад +2

    Sisi atutaki vita

  • @ismailjohn6108
    @ismailjohn6108 Месяц назад +5

    Nailewa Hii collaboration yenu mmkua kama skynews franii hivii

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Месяц назад +3

    👊✌️👍.

  • @GeorgeMagadula
    @GeorgeMagadula Месяц назад

    Ally masoud ww bora sky bundala apo uliupiga mwingi snaà

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Месяц назад +2

    Hhhhehehehehehehe wold is high Quality

  • @Fatom729
    @Fatom729 Месяц назад +2

    How about Africa kwana atuna😢

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm Месяц назад

    Marekani ndio mwenye uchumi mkubwa zaidi duniani angalia ata misaaada mingi mikubwa duniani pesa yake watu wake nk. Alafu marekani mwinzi mjanja sana akitoka marekani ni china

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Месяц назад +1

    Cjui kwann Rais Samia anashindwa kumpatia kaz huyu sns

  • @aliysaid6162
    @aliysaid6162 Месяц назад

    Huku kwetu makomando wanapasua matofali kwa kichwa

  • @jerryndondole1965
    @jerryndondole1965 Месяц назад +2

    Mr Ali andaa makala itakayoelezea kwa njia gani Mrusi ana survive licha ya vikwazo

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад +2

      Anasapotiwa na china na nchi rafiki zake kama korea ile ya Kim Jong un

    • @jerryndondole1965
      @jerryndondole1965 Месяц назад

      @@atutweve4160 in details plz

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Месяц назад +2

      ​@atutweve4160 BRICS countries

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад +1

      @@Gulfnas1 ivo ulivoandika kuna wadau hapa hawatajua, hawajui hata maana ya Alliances , they keep on attacking America hawajui kama ipo kimkataba toka vita ya pili ya dunia ilivyoisha, sipendi watz wanavoshabikia bila kuwa na elimu yeyote ya vita ya kwanza, pili na hivi sasa kwanini Marekani anakua hivi, naona Taifa letu changa sana halielewi kitu 😳

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Месяц назад

      @@atutweve4160 Taifa lip changa??

  • @eliudimb4932
    @eliudimb4932 Месяц назад +2

    Wapili

  • @dicsonbiko-wz7ym
    @dicsonbiko-wz7ym Месяц назад +3

    kuna hatari ya ww3 japo hatuombi vitokee waafrika tuzinduke vita vikisharimi tutateseka

  • @user-kx5oc7nt5p
    @user-kx5oc7nt5p Месяц назад

    Kwa America hawa bado wa chumba tuu

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 Месяц назад +1

    USA atulie nchi zote hizo zinazo onyesha makombora yake ya Nuclear ni kwa sababu ya USA na NATO coz wamezidi uonevu.So wakae tayari USA wakichengua tuu,watazinguliwa.Blinket aende kuwaeleza democratic na congress kwa ujumla

  • @user-px3po9lt8g
    @user-px3po9lt8g Месяц назад +2

    Kwani uyu mmarekani anataka kuipeleka dunia wapi

  • @user-ki9wu6no3d
    @user-ki9wu6no3d Месяц назад

    Me napenda kusema kuwa Marekani Amejijenga mda mrefu sana Kiuchumu haswa upande wa kuhakikisha fedha(DOLLAR) yake ina nguvu katika kibiashara ndio maan USA Anaweza na Ana nguvu ya kufadhili Vita vyovyote na Bado asitetereke kiuchumi kitu ambacho Mchina na nchi nyingine Japo ni Bora kiuchumi lakin zikifany kam marekani alivyo na uwezo kufadhili uchumi hauwez kuwa Imara lazima ushuke sababu Bado PESA ZAO HAZINA NGUVU KIBIASHARA HII NDIO SABABU KUBWA SANA KATIKA KUWA SUPER POWER Na kufikia mpaka Fedha Za Nchi kama ZA BRIXIT Kuwa na nguvu kibiashara Itachukua muda sana Labda hata miak kuanzia 50 kuendelea

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 Месяц назад

      Wewe kweli Ndiyo wale wanaoambiwa na wazungu waafrika ni Nyani na huamini

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 Месяц назад

    Kila siku balistic balistic, balistic ya nyoko??

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 Месяц назад +2

    Hata Marekani au Nato hawakua na uhasama na Urusi Ni vile mrusi aliwasaplaizi kuvamia Ukraine, na wao walifanya biashara nyingi na mrusi alikua rafiki yao mzuri tu

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 Месяц назад +1

      Acha upuuz wew jamaa

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад +2

      @@kamanapomo7029 🤣🤣🤣watz hampendi ukweli 😩, sasa hujui kama walikua marafiki wa biashara vizuri tu miaka yote? Au unajibu na hujui kitu , hii sio simba na yanga Afu mie sio jamaa 😊

    • @murishokasimu4276
      @murishokasimu4276 Месяц назад

      Ndugu uhasama kati ya Urusi na Marekani upo kitambo kireeeefu saaaaaana ,hata kabl ya ku vamia Ukraine, na haujawahi kuisha lakini linapo kuja swala la biashara kila mtu hutafuta maslahi yake,
      Kama hujui uhasama uliopo baina ya Urusi na Marekani, haukuanza leo, wewe labda ni kizazi kipya cha miaka ya 2000.

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад

      @@murishokasimu4276 hujui kitu, vita za zamani za Sovereignty uilivoisha walisaini mikataba ya amani na ndomana Marekani akawa nato kama hivo unavosema basi Marekani angekua upande wa mrusi mana ndo alikua mshirika wake kipindi cha vita ya kwanza na pili eti sijui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣, soma historia vzr basi na Ndomana waliishi kwa amani saabu mikataba ya amani ilisainiwa na viongozi wa nyuma kabla ya putin ambapo putin kavunja mikataka kwa kutaka u legend

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 Месяц назад

      @@murishokasimu4276 eti wa 2000🤣🤣🤣sasa wewe Ni wa 1945? Au umesoma historia tu ka mimi? Sema naonesha nlikuzidi kuelewa ulisoma kayumba

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 Месяц назад

    China mm nilisema kitambo kwamba ipo juu sana kiuchumi ila hamujamini huawei ndio simu bora zaid kwa sasa

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 Месяц назад

    Huyo ali anajua mambo mengi namna anavyo elezea very bad

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Месяц назад

    Tumechoka na taarifa zenu za kichochezi bana hivi siyo vitu vya kushangilia ...

    • @Gulfnas1
      @Gulfnas1 Месяц назад

      Kwan we umeelewa vip

    • @TibaTito
      @TibaTito Месяц назад

      Tuna wasiwasi na uelewa wako, ndo wale mnapigaga makof mezan

  • @WilhelmIbaganisa-bx7zj
    @WilhelmIbaganisa-bx7zj Месяц назад

    #sky huyu mchambuzi ulichelewa kumpata anatuma madini adimu sana , nachompendea hana upende . #DJSMASH NI MZURI SANA LAKINI NI ANAONEKANA NI ANA KAUJAMAA FLANI HIVI YAANI UPUTINI FLANI NA UCHINA ANAEGEMEA HUKO KAMA YERICKO NYERERE MJAAA ALIYEKOMAA NA KUWA MKOMINIST FULL . 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15 10:15

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Месяц назад

    DUNIAHII HAKUNA NCHI YENYE VIONGOZI MABWEGE KAMA AMERICA NA UFARANSA UINGEREZA NA UJERUMANI. WENGINE NI MIKIATU.

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 Месяц назад

      Hio ndio Dunia ya kwanza, kwenu Tanzania third world nae wizi! Jiulize?

  • @PatrickKagiraneza-ok8cw
    @PatrickKagiraneza-ok8cw Месяц назад

    China kafanya vema kumuonesha blinken...uwezo wanawo...