IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 сен 2019
  • IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA''
    MKUU wa jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mkutano na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya nchini wenye lengo la kupanga mikakati ya namna ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza hivi karibuni pamoja na usalama wa raia na mali zake nchini.
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App

Комментарии • 645

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 года назад +17

    JE, una habari ungependa wana You Tube waijue? Tutumie au tupigie WhatsApp No: +255 657 955825 au +255 784 888982 - GLOBAL TV ONLINE.

    • @tangaoldtv1067
      @tangaoldtv1067 4 года назад

      Safi sanaaa hii iko poa

    • @jobboniphasi1161
      @jobboniphasi1161 3 года назад

      Mmmmh vzr vzr vzr good good umeleweka kamanda huu mwaka kweli umebadilika siro ni hiyo hasa ndo Kaz yako udumu kamanda jesh lilipotea xana kushabikia wanasiasa komesha siro tunakwamini umeonesha uzalendo wa nchi yako than k u

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 4 года назад +128

    Some military values can be seen from this Man..., one clap for him 👏🏿

  • @kingkazeba9205
    @kingkazeba9205 4 года назад +269

    Misajawai kuona ushamba kama huo kama nawewe umesikia hilo mwaga like yako hapo

    • @imamuhemedi4387
      @imamuhemedi4387 4 года назад

      king Kazeba

    • @sharonpaulo8149
      @sharonpaulo8149 4 года назад

      Aisee huyu kamanda anajielewa Sana sna sna na anajua maadili na mipaka ya kazi yake Kuna wale makamanda wachache wanao lichafua jeshi kma kushabikia vyama na kulazimishwa watu washabikie chama flani wakat ni kinyume cha maadili ya jeshi hao pia angepita nao hv. Wapo na wanafahamika na hawaachi

    • @gasperwiliam7712
      @gasperwiliam7712 3 года назад

      Asante

  • @danieljames3017
    @danieljames3017 4 года назад +90

    Kumbe huyu jamaa Ana akili kiasi hiki.👏👏👏👏👏👏👏

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 4 года назад +42

    This is a statement of commander ...big up..IGP Siro...tumepita National Service Mujibu wa sheria huwa tunawashangaa Sana. Lakini sasa uko super Big up

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 4 года назад +68

    Una practice Usomi wako ...Graduated Commander big up

  • @nicolausnicolaus734
    @nicolausnicolaus734 4 года назад +90

    Hata ulipokuwa mwanza ulituongoza vzr kwenye uchaguz mshindi alitangazzwa bila kutumia nguvu siro ni mwamba sana

    • @sadicktony9725
      @sadicktony9725 4 года назад

      Trafic zako mzee wamekuwa wezi deleva wa tanzania ana uhulu wa kuendesha gari nchi yenye siyo yake kuliko kwake

    • @marrymafwa6458
      @marrymafwa6458 3 года назад

      @@sadicktony9725 nadi

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 4 года назад +52

    Hamna siku kaongea point kama hapa yani 👏👏 everybody is innocent till proven guilty🙌

  • @jojoekiza5400
    @jojoekiza5400 4 года назад +25

    Show off sir kweli God bless u. Wakumbuke Tanzania 🇹🇿 inatazamwa na dunia sio local.

  • @boniphacetabu2903
    @boniphacetabu2903 4 года назад +43

    Ukweli ni ukweli na siku zote ukweli unauma na msema kweli hapendwi. IGP uko vizuri JPM hakukosea big up tuko pamoja na wewe tunakuombea sana huku kwetu MWITONGO -MUSOMA

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 года назад +41

    IGP you have spoken sense to these dudes

    • @kiwangodaniel1302
      @kiwangodaniel1302 4 года назад

      Kamanda Mimi Ni local people Ila Leo umeongea ukweli kelikweli. Umesoma ukaelimika. Safi sanaaaaa.

  • @francismkenda
    @francismkenda 4 года назад +19

    Mkuu mm tangu nimepata akil ya kujua majukumu ya IGP ilkuwa kipind cha rais Mkapa ila wewe umewazid wotee aisee heshima yako mkuu Sirro

  • @queensadick5910
    @queensadick5910 4 года назад +32

    Umeongea point sana Siro, big up

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 4 года назад +54

    Siku zote madini haya ya speech uliyafichaga wapi kamanda wangu???

  • @chalodavid4537
    @chalodavid4537 4 года назад +24

    Surely your good enough to be you SAIMON SIRO

  • @sayman158
    @sayman158 4 года назад +11

    Dah SIRRO mungu akuongoze na akulinde...very inteligent Officer...unajua ubinadamu baba...

  • @finiaswanguba7688
    @finiaswanguba7688 4 года назад +8

    Skujua siro unajua kiasi hiki., nimependa sana hii, and am very much proud of you soldier.

    • @evenievarist9475
      @evenievarist9475 3 года назад

      Safi kamanda huo ndio uzalenda wa kijeshi ,"waz,wazi mkuu.

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 года назад +35

    E bwanaaeee Leo umeongea fact kabsa,tushaelewa

  • @jacksonsendama9458
    @jacksonsendama9458 4 года назад +20

    Hadi Mimi nimekuelewa
    Daar umeongea point
    Mambosasa alikua amezidi
    Kiherehere

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 4 года назад +24

    Hongera IGP umewapa ya ukweli wakinuna wawe na sababu!!
    Daah RPC anaitisha waandishi kumtangaza mwizi wakati hata mkuu wa kituo anaweza!! Lakini kiupelelezi wenzie si watakwenda mbali

    • @unambwenaiman5355
      @unambwenaiman5355 4 года назад

      Safiiiiiiiii Sana waambie Mana Baadhi ya MARPC wameingia kwenye siasa

    • @Missionary_work
      @Missionary_work 3 года назад

      Unaakili Sana Namba yangu iyo +255-744-191-671 unafaa kuwa rafiki yangu.

    • @stukiaally4690
      @stukiaally4690 3 года назад

      @@Missionary_work ahsante

    • @Missionary_work
      @Missionary_work 3 года назад

      @@stukiaally4690 so can you find Me on Whatsap for that my number. Have a good evening. My sister stukia Ally

  • @ibrakadabra8298
    @ibrakadabra8298 4 года назад +1

    Yani kaniosha sana kiongozi wetu IGP sirro kuanzia leo nadumisha kukupenda zaidi na zaidi kukufatilia kazi zako

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 4 года назад +8

    Kweli tunawaona tofaiti sana u a true Mr siro fika pale Hai kunakijana anasumbua sana na kuzalilisha jeshi la pls kisa mkuu wa w

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 4 года назад +10

    Siro yuko Smart sana!
    Big up!!

  • @mkalihanzuruni4924
    @mkalihanzuruni4924 4 года назад +2

    Siku zote ukweli haufichwi kwakupaka rangi, Hongera sana IGP Sirro kwautendaji wako mzuri wa kazi pia nakupongeza kwakuwakumbusha makamanda wako taratibu na mipaka ya kazi yao. Kiukweli kuna baadhi ya Makamanda wanapenda saana showoff ili aonekane anachapakazi, Nimefurahi sana kama umeliona hilo!

    • @rithaurassa
      @rithaurassa Месяц назад

      Nchi hii inatakiwa tuu watu wanye. HOFU ya MUNGU KAMA HUYU UBARIKIWE KAMANDA MUKUU BARIKIWA SANA

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Месяц назад

    Ila alipelekwa Dar Mara zote watenda haki wanaandamwa na wasiopenda haki❤❤❤❤❤bigup Sirro

  • @omerakisum
    @omerakisum 4 года назад +3

    I like you IGP Sirro....keep it up....very honourable man....you deserve to be IGP.....love and respect you.

  • @mohamedmohamed614
    @mohamedmohamed614 4 года назад +24

    Lakini huyo wa dodoma mhhhhh hapana bora umeongea ukweli mh igp

  • @godsongodson6087
    @godsongodson6087 4 года назад +14

    Jambo Afande!!! Naelewa sana kitu,, CHAIN OF COMMAND,, Mm nilijua mnawatuma kumbe ni maamuzi yao binafsi,,😎😎

  • @Sangaadam
    @Sangaadam 4 года назад +6

    Cheo cha uwaziri wa Mambo ya Ndani kingekufaa sana IGP Siro you've Great vision on how to be a Leader.....!!!

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 года назад +1

    IGP Siro, you are a leader & Manager , thanks for enlightening your juniors on how they should conduct themselves as professional police officers love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @championshahidu2465
    @championshahidu2465 4 года назад +2

    Mh. Magufuli ameonesha kila mtu/kiongozi na jukumu/wajibu wake. Asante Mh.Magu na Siro.

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 4 года назад +1

    I G P nimemwelewa Sana big up Mzee kwa kusema ukweli

  • @irenepeter8702
    @irenepeter8702 4 года назад +1

    Safi sana makamanda ichi ni kubwa kuliko chama

  • @cpabonnychris6315
    @cpabonnychris6315 4 года назад +2

    This man is very clever, Katika watu wazuri rais wetu aliochagua This Igp alicheza sana ,,hongera mkuu nimeipenda speech yako.

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 года назад +16

    Mmmmmmmh hatari , Makavu s hayo. Hadi shida, msingi Police nikufuata maadili kutoka uvaaji Hadi utendaji wake.

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 года назад

      Hapana binadamu tuko tofauti pls viongozi wa Tz cheo ni dhamana hata wewe Naona huna makosa km alikua hana uwezo kwanini ulimpa hiyo nafasi na wewe uliyoyaaongea sio ustaharabu hiki kitu ni very sensitive baba ukupaswa kuyaweka wazi tunachekwa sana hapo pengine huko sawa lkn hilikua sio sehemu yake ungeyachikulia kiheshima kwa kulinda hathi ya nchi yetu kumbuka vidole ktk viganja havilingani lakini uadahidiana mimi hilo sikuu GI mkono umemudhahilisha nafikiri kafanya mambo mengi mazuri na yeye ni binadamu km wewe piga moyo kond

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 3 года назад

      Piga moyo konde u jitafakari hongera kwa kz nzuri lkn mimi sipendi maonevu mimi ni maskini jeuri wote tuko pamoja tusaidia e kwa mapungufu yetu

  • @princeerick372
    @princeerick372 4 года назад +2

    Nimekuelewa sana Mkuu, WORK ETHICS is very important for any organisation

  • @akihose9835
    @akihose9835 4 года назад +5

    Wewe upo vzr sna IGP yni umesema ukweli mtupu MUNGU akulinde na akupe Moyo wakusema kweli daima.

  • @mustafagaula3166
    @mustafagaula3166 4 года назад +2

    Nimekuelewa sana kiongozi mkuu.....! (BIG POINT BRO)

  • @beatricelucas1454
    @beatricelucas1454 4 года назад +1

    Nimekuelewa sana mheshimiwa Ongera sana Mungu awe nawe katika kazi yako

  • @freshtiff1265
    @freshtiff1265 4 года назад +1

    IGP SIMON SIRRO NAMKUBALI SANA HUYU KAMANDA 🙌🏻🙌🏻 YAANI ANAENDA SAMBAMBA NA UONGOZI WA MH.RAISI HAPINDISHI MANENO .. HALAFU SIKU ZOTE ANAONGEA POINT TU 🇹🇿 🙌🏻🔥

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 4 года назад

    Yaani kaka yangu, umeongea ukweli mtupu. Big-up sanaa. Watu walifikia hatua ya kuwachukia mapolisi na magwanda yao ya jango!! Afadhali umeliona hilo, nadhani umeeleweka. Hotuba yako iliyojaa busara imenifanya mwili mzima usisimke kwa furaha. Mungu akubariki IGP wangu.

  • @shedrackhm2204
    @shedrackhm2204 4 года назад +10

    Professional Police Officer. Nakubali ....

  • @robertakello1666
    @robertakello1666 4 года назад +1

    I appreciate your wisdom Mr IGP

  • @frashconnect.1
    @frashconnect.1 4 года назад

    One of the best Tanzania IGP speech of all time. Big up Police Team. Sema tu tatzo la intelenjensia ya wapinzani life basi, walindwe na wafanye siasa safi. Mkizua watu kuongea, mnatengeneza matatzo. But all the best, siku hizi tunalala bila ata kelele za mbwa.

  • @officer1208
    @officer1208 4 года назад +2

    Some Dudes wataona kama you hate them but truth never die. Moja kati ya watu makini sana hapa TZ.

  • @canaljamali9036
    @canaljamali9036 4 года назад +4

    Dodoma,dar,arusha umewapta apo salute kwa IGP

  • @isayasewe7296
    @isayasewe7296 4 года назад +4

    Nakukubari sana MKUU SIRO.MUNGU AKULINDE MKUU WETU.

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 4 года назад +7

    I Understand you very clear, let see what will be the next move comes from reactions

  • @nelsonrogers8532
    @nelsonrogers8532 4 года назад +48

    Your Totally fit for that Position

  • @lordrichreuben1446
    @lordrichreuben1446 3 года назад

    Safiiii I.G.P.Ww ndyo boss wao watakuelewa sisi hawawezi kutuelewa,point kamanda unatakiwa uwe smart na ujue kufaa unform kulingana na wakati. safiiii sana

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 года назад

    Mungu akuzidishie hekima kiongoz..Simon Sirro our IGP

  • @mbegesdigita5182
    @mbegesdigita5182 4 года назад +1

    Kamanda kama kweli unanena kutoka moyoni uko vizuri

  • @innocentsmartbarnabas7597
    @innocentsmartbarnabas7597 4 года назад

    Babaa ulikuwa wapiii mudaa woteeee.....Mbona unaongea vituuu Konkiiiii afandee DA aah....Salute mkuu

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 4 года назад +4

    IGP hii spech ya leo ndio nimejua kumbe ilo jesh liko na standard km ya europe.
    Ila usipiqe kelele sana mkuu askari wenu wenqi mnaajiri kw kujuana na sio kw viqezo va elimu

  • @ebenernnko3339
    @ebenernnko3339 4 года назад +3

    Safi hapa kidogo unaturudishiya moyo kuwa tuna IGP mwelewa vizuri lkn shida ya jeshi liko linaendeshwa na wanasiaasa

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 года назад +1

    Umeongea maneno kuntu kbs hongera mkuu kazi njema

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 4 года назад +2

    👏👏👏👏dady umeongea hata kupigapiga raia wanapiga hao, na ndio maana wanageuka maadui kwa raia ahsante dady kwa kutusemea.

  • @mtatirorotale2119
    @mtatirorotale2119 3 года назад

    Mungu akulinde kiongozi siro nasikia raha Sana. Napo onaga viongozi wenye maono naupeo mkubwa Kama huu kizuri zaidi tena hupatikani Kanda yaziwa japo watu kuambiwa ukweri huchukia Ila Acha wambiwe ukweri magufuli mungu akulinde nakukupa maisha malefu mungu ibariki Tanzania nawatu wake wote

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 4 года назад

    Amen Amen. Mungu awape hekima yake.leo nimekuelewa. Mungu atusaidie .Amen.

  • @abrahamjesse4800
    @abrahamjesse4800 4 года назад +9

    Nimekuelewa sana IGP,nadhani nimekuelewa kuliko mtu yeyote aliyekusikiliza.

  • @ebaraniathomas4750
    @ebaraniathomas4750 4 года назад

    kwakweli kamanda Siro upo vizuri nimekuelewa sana polisi wengi wamekuwa wakiwaonyesha watuhumiwa kabla ya upelelezi na pengine siyo mwizi mungu akupe miaka mingi

  • @Auntieminah
    @Auntieminah 4 года назад

    Wow!

  • @ausonjustinian5494
    @ausonjustinian5494 3 года назад

    Asante boss. Ni vzr kumwamsha alie lala. Akilala sana atakoroma atachafua na hali ya hewa. Asante Magu raisi muona mbari.

  • @godfreymhochi6206
    @godfreymhochi6206 4 года назад +1

    safi sana mkuu proud of Mara regions proud of tanzania

  • @charlesbarongo6922
    @charlesbarongo6922 4 года назад

    Mmmh!!

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 4 года назад +11

    Binasfi tangu nikufahamu ukiwa Mwanza sijawahi kuwa na shaka juu ya utendaji wako. You are very very smart, umesema RPC wanapotumia jukwaa la jeshi la Polisi kufanya siasa hunufaika wao binafsi lakini hapohapo jeshi hubaki limechafuka na kuzalilika kwa kiasi kikubwa sana! Uko sawa kabisa.
    Tangu kuanza kwa utawala huu ndiyo kuliibuka haka katabia ka ma RPC kufanya siasa za wazi mbele ya camera saaa mimi nikazani labda na hiyo nayo ni moja ya ajenda za utawala wa kipindi hiki na labda na wewe kama IGP labda unaridhia huo ujinga kumbe ulikuwa unakeleka kiasi hicho! Hongera sana mzee wangu IGP Siro natamani katiba ya nchi kama ingekupa nguvu zaidi ya hizo ulizonazo.

    • @hamismnyaya1276
      @hamismnyaya1276 4 года назад +1

      Rock City Native unadhn tatzo liko wapi mpaka wameamua kupiga siasa?

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 4 года назад

      hamis mnyaya Mimi sielewi lakini huo ujinga ambao IGP Siro anaupiga vita ulianza baada ya 2015 labda hapo tusaidiane kuumiza kichwa kujua nani ni chanzo Ila mimi tangu mwanzo nilikuwa simuhusishi kabisa mzee wangu kamanda Siro na huo ujinga na leo kadhirisha wazi hayuko pamoja na ujinga huo.

    • @hamismnyaya1276
      @hamismnyaya1276 4 года назад +1

      Rock City Native Ndugu short and clear kwenye maisha ukiona mtu ana kiburi, majivuno, dharau, kujiona na mengne meng ambayo sio mazuri jua nyuma ya pazia ana vitu vinavyomsukuma au anawatu fulani wanaompa nguvu ya kutenda na kufanya lolote. Mfano anaweza akawa na pesa, elimu, mafanikio, madaraka na n. k, Tafakar hii kauli sijaongea then naamin utakua umenielewa.

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 4 года назад

      hamis mnyaya Exactly

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 года назад +1

    Huyu kamanda. Salute for you

  • @barickprogrammer
    @barickprogrammer 4 года назад +1

    Yes SIR...big up

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 4 года назад

    Your the really IGP the Republic including myself will have a pleasant night.
    May God bless your and protect your position.
    Big up

  • @renatusmushi3117
    @renatusmushi3117 4 года назад +4

    IGP upo sawa hongera kila cku umekuwa ukioñgea point

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 года назад

    Nakupenda saana silo mungu wa mbinguni akubariki naakufishe mbali

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 года назад

    Saluted!

  • @blessjo1678
    @blessjo1678 3 года назад

    Kwa Mara ya kwanza nimeikubali polisi na ni kwa Ajiri ya speech yako Sirro...maana wanatunyanyasa sana mtaani na kutudhalilisha bila ushahidi

  • @ramadhanhassan4188
    @ramadhanhassan4188 4 года назад +1

    Siro uwaga nakuku bari sanaaaaaaaaaaaaaaa safiiiisana father ake

  • @wemamshani3646
    @wemamshani3646 4 года назад +1

    Nimekuelewa sana na uko vzr

  • @athmanissa9264
    @athmanissa9264 4 года назад +3

    Kweri kamanda cheo ni dhamana mungu akuongozeee simamia kwenye ukweri

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 3 года назад +1

    Hiyo ndio Title ya kuwa IGP nimependa uwezo wako wa kufundisha. ..
    Kama RPC unapozunguza unatakiwa kujipanga. .
    Upo sawa 100%.

  • @abdallaabeid4251
    @abdallaabeid4251 4 года назад +2

    Well said IGP👏

  • @allanmedi1333
    @allanmedi1333 4 года назад +3

    For sure Mr nyakoro u deserve this position bro,enokwi agwitabhiri kaka

  • @yunuskomba510
    @yunuskomba510 4 года назад

    Kweli

  • @isaackiwelu1458
    @isaackiwelu1458 4 года назад +19

    Tell them Sir, I suspect is innocent till proven guilty by the law. This habit of show off it's only in Tanzania. Mostly by the police .it's a big shame shame shame.

  • @mpelienock
    @mpelienock 4 года назад

    Kama viongozi wote watafanya kazi wanayoijua nchi itaenda. IGP nakukubali sana, kazi hii inatakiwa kufanywa kwa weledi mtuhumiwa hajahukumiwa lakini mara nyingi mtuhumiwa anakua treated kama ameshakuhumiwa lazima protocol zifuatwe. Nasihi makamanda wengine wazingatie haya waliofanya kwa kufuata taratibu big up lakini waliofanya kwa kurupuka tu kwakua ni nguvu ya dola basi hapa tujifunze kua nguvu ya dola inaendeshwa kwa kanuni na taratibu zilizowekwa. Hizi ni post zenye akilli, yafaa vyombo vya dola wanapoita press wote tuwe attention lakini kama kila siku wana trend hata kwa mambo mepesi watazoeleka na heshima itapungua.

  • @dafamagogo583
    @dafamagogo583 4 года назад +17

    Nimekuelewa uko vzr uani nimesikiriza mpakamwisho ukojuu mkuu

  • @feyzalyusuph14
    @feyzalyusuph14 4 года назад +4

    Safi sana kamanda leo umeugusa Moyo wangu safi

    • @maxlupapa4468
      @maxlupapa4468 4 года назад

      mm najua siku zote watu makini mpo

  • @f.a6043
    @f.a6043 4 года назад

    👏🏼👏🏼👏🏼 MUNGU LIBARIKI JESHI LETU LA POLISI

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 года назад +1

    Mambosasa Ni mzuri kanisaidia sana mambo yangu

  • @manuelhealth100channel7
    @manuelhealth100channel7 4 года назад +3

    Leo umenena, big up sana mkuu

  • @sakayamolel5167
    @sakayamolel5167 3 года назад

    Mweshimiwa mungu akulinde

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 4 года назад +1

    Kamanda wako hakikosea Mwandikie Barua Au Muite Ofisini ili kulinda Nidhamu kwa Jeshi Letu Nakukubali ila hapo Sijaipenda hiyo Afandeeeee wangu

  • @Paelimbo6649
    @Paelimbo6649 3 года назад +1

    IGP hongera sana kwa kuwafunda makamanda wenzako!

  • @josephmwita8721
    @josephmwita8721 4 года назад

    Lawyer bhana siku zote wanakuwa systematic. Safi sana Siro.

  • @ojasoojaso9479
    @ojasoojaso9479 4 года назад

    Thanx kamanda naamini wamesikia na kwenye clip wanaonekana imewaingia kweli.
    Lkn pia tuwakemee waandishi wa habari wanaogeuza ofc za ma Rpc sebule zao ,wakiamka wako huko.
    Tena wanarusha.kila kitu bila kuzin gatia maadili ya uandishi. Yaani wao na vyombo vyao na hao makamanda wachache wapenda kiki wamekuwa mahakama,kila mtuhumiwa kwao tayari wanamhukumu bila ya kuckilizwa.
    Pia JAJI mkuu akemee tabia hii ya kuingilia uhuru wa mahakama ,kwani ni mahakama tu inauwezo wa kuhukumu cyo chombo kingine ,mahakama zetu zisikae kimya uhuru wake unapoingiliwa.

  • @laulymo2063
    @laulymo2063 3 года назад

    Tunakuelewa sana kamanda sirro MUNGU akulinde kamanda wetu

  • @abelwilliam7329
    @abelwilliam7329 4 года назад

    IGP siro Mungu akulinde big IP sans👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @hamilhassan9464
    @hamilhassan9464 3 года назад

    Mzee umeongea point sana sana sana leo kwanza wa dodoma kazidi sifa

  • @nassoroiddy4684
    @nassoroiddy4684 4 года назад

    Safi Sana kamanda sirro. Anachofanya Mambo sasa si sawa

  • @narashaolomi991
    @narashaolomi991 4 года назад

    Safi sana mkuu.mungu akujalie maisha marefu ili uendelee kukemea yasio faa.

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 4 года назад

    Dah,maneno mazito sana...Hawa ndo watu tunaowahitaji....hongeara sana mkuu.

  • @omaryseif5121
    @omaryseif5121 4 года назад

    Namuelewa sana kamanda siro mungu akuongoze kamanda wangu

  • @johnamosi367
    @johnamosi367 4 года назад

    Daaaah nimekuelewa sana