Sijakuelewa hapo mwisho mbona point za msimu huu zimepungua Yani zamakek kutoka 48 Hadi 34, Simba kutoka 39 Hadi 30.5 kivipi? Mie nilitegemea kwa msimu huu zipande sasa mbona zimeshuka?
Eliasbenjamini. Ni kwasabab huu ni msimu mpya 2024/2025 so point zinahesabiwa Kwa misimu mitano mitano yaan 2019/2020, 2020/2021, 2021/2022, 2022/2023 na 2023/2024 apo Simba an point 39. Ila Kuna huu msimu wa 2024/2025 utakuwa mpya na point zake ndogo hivyo zinashusha point zake pia Kuna msimu w 2019/2020 point zake zitatoka au kufutwa kwakuw umeshapita na izo 39 point zilihesabiw kuanzia 20219/2020 maana huo mwaka umechangia point ndan ya 39. Sasa tunaanza 2024/2025 Ili Simba aongeze point anatakiwa aende mpka final ili afikishe 35.5 msimu 2024/2025
Wakwanza jamani tumpe like Big brother mwaduke🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Sio mwaduke ni mbwaduke 😂😂
Uy lama anatixha
Aisee Tz tungekuwa na watu kama hawa kila media hakika tungefika mbali kisoka. Jembe langu la ukwee nakukubali sana my brother. Frm DSM
uko vizuri kaka kwa kunielewesha mambo ambayo nilikuwa siyajui
Duuuuuue, Hakika nacho ni kipaji Mbwaduke Mungu akutunze.
safii sana mwaduke kutujuza mambo mazuri
Nice brootheer❤❤❤🎉🎉
Safi kabisa Mzee wadata nmejifunza meng
Sha Love my bro uko vzri
Asante mbwaduke
Nakupat kiongozi❤❤❤
Asante sana kaka unajua sana
Mchambuzi pekee aliyebaki. Tz🇹🇿
naitwa Hamza muamed kutoka msumbiji montipweshi Kaká nakupata vizuri kaka
Umeeleweka father mwaduke
Mwamba wa izi kazii👏🎉
Bonge la mwalimu usipoelewa bc ni kichwa kizito
Huna baya chabuzii ngoja tuongeze point 5 tenaa
Uko vizuri
Asante sana Mwalimu umeeleweka sana
Unajua kaka
Your right brother
Safi sana kijana
Asante mbwaduke ❤❤❤
🎉🎉🎉Maua yako Mwalimu
Very good for this analysis
Mbwaduke mko vzr sana
Unyama mwingi sana
Simba nguvu moja ❤❤❤❤
Safiiii sanaaaaa mimi munyama
Nakubali saana kwa uchambuzi
WEWE NI BORA SANA KWA UCHAMBUZI WAKO.
Mwamba kabisa unajua mzee
Naomba ufafanuz et caf point uwawanaesabuje
Asante kwa uchambuzi mzuri
Nakukubali sana katika uchambuzi unajua kuchambua ukweli
Nice brother
Asante Mwaduke
Mnyama Simba huyo!!! Angekuepo Champions Ligue Angekukua Port 2.
Kweli unajua tukupe maua Yako,
Ni kweli inaweza kifuka
Tunataka ubingwa CAF
Upo vizuri kwenye namba
Imekaaa sawa
braza mwaduke ukovizuri sana
Huu mwaka sioni WA kumuzuia Simba
chambuzi uko vizuri
Safiii. Snaaaa
Nyuma mwiko najua hapa hawatacomment😂😂
Life is star,or Life is about star kaka unachambua
Mbwaduke ni hatar, uyu jamaa Ana kichwa
Ndio yupo pot 1, rakini ni mashindano gan
UBAYA UBWELA
Mbwanuke niuzie hio kalamu yako
Hasante sana Kwa ufafanuzi lakini pia ndio ilikuwa timu ya kwanza Kwa Tanzania kuwa kwenye poti B ya caf champions league
Ni Ahsante sio hasante.... Comment nzuri hongera
Huyu jamaa ni mfuatiriaji haswaa
Safi
❤
Cjaelewa kitu k1 Kuna uchambuzi ulisema Simba ina point 30.5 na apo unaema 39
Point zimeongezeka baada ya kufuzu makund pia msimu huu kwaiyo point zmeongezeka kutoka 35 mpka 39
Simba mwaka huu watafika fainali ya shirikisho
🦁🦁🦁🦁🦁👏👏👏
Kaka katika wachambzi wewe nakufalia sana pia Nina imani na unavo chambua mpira
munyama mukali du kwer simb nguv 1 yaniiiiiiiiiii ubay ubwer
Bro umeelewaka kabisa
Wapi Salamba
🙏🙏🙏
Unajuauchambuzi
TUCHAMBULIE KUHUSU WALE DAMPO FC MWIKO WA NYUMA 😂😂😂😂
👍
Makini
ila wewe mzee sio siri unajua weka namba yako ya simu japo nikupe ya maji
Bila uchambuzi huu kungekua na ubishani mkubwa mtaani, ukisema Simba ni no tatu
🎉🎉🎉🎉🎉
Hakika wewe mbwaduke unafaaa sana kuchambua ila kunawengne wanavichwa vigumu kama vya kolokolo
Mbwaduke mpila unaujua San KWELI utuuzima dawa
Nimekupata kwa uzuri
utopolo mnateseka mkiwa wapi siku sote tunawambia mna pangwa na vibonde mna jisima data 😂😂😂😂
Mr Mbwaduke ushawahi kuwa mwalimu?
Huyu jamaa anastahili awe na subscribe miloni moja Mtaalamu kabisa huyu
Wale wanaojiitaga mabingwa wa Historia
mbona wako kimya ? Na hii watasema wameiandika wao kuwa port no1 😂😂😂😂😂
Ubaya ubwela
Bravo inatoka Angola
Yes! Bravos ya Angola. Shukran!
Kipindi kizur sana
Na fainali itakuwa zamalek na rs berksne
FAINALI ITAKUWA VITAL.O NA WALE CBE WALE MAKARANI WA BENKI VIBOVU WENZENU 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO