URUSI yaonesha silaha za NATO na UKRAINE ilizozikamata, yasema ‘Ushindi haupukiki’

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 147

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 Месяц назад +41

    Kwakweli Sns Ndio Imekuwa Chaneli Bora Kwa Sasa Kwenye Kuyafuatilia Na Kuyachambua Haya Masuala Ya Kivita Tena Kwa Facts Zilizoshiba Kazi Nzuri Kwenu👏

  • @aminaali792
    @aminaali792 Месяц назад +23

    SNS tunawapenda Allah azidi kuwapandisha kimafanikio 🙌🏾🤲🏼🤍

  • @user-lv4cx1sc5d
    @user-lv4cx1sc5d Месяц назад +10

    Ushindi wa urusi ni lazmaa tumesema NATO ni mashoga tu mwanaume ni urusi

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz Месяц назад +9

    Asante uruss kwa kazi nzuli kaza but usiruhusu ushindi uende kwa mbuzi

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh Месяц назад +24

    Naona urusi ndo taifa kubwa duniani kwa sasa kama sikosei

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 Месяц назад +5

      UPEW ULINZ WAKUTOSH

    • @fakijecha
      @fakijecha Месяц назад

      Uko sahihi walobaki kelele tu sasa shoga ukampeleke vitani utageme ushinde hhh

    • @ramaturuku863
      @ramaturuku863 Месяц назад +1

      @@liberatusjackson5045 Hollywood ilikudanganya sana kuhusu nguvu za marekani , Magharibi wazee wa kucheza na media wamelituaminisha uwezo walionao hakuna wakuwaweza😂😂

    • @josephjulio6112
      @josephjulio6112 Месяц назад

      Uko sawa

    • @KingRomyJay
      @KingRomyJay 29 дней назад

      ​@@fakijechahakuna nnchi ambayo akuna mashoga ata uko Russia kuna mashoga wa kutosha hili ni janga la kidunia mzee shetani afanyi kazi kwa marekani tu na washirika wake mpaka Korea kaskazini na Russia yupo we fikiria mashoga wapo mpaka kwenye nnchi za kiarabu tena zenye sheria kali lakini bado wapo tena wao ndy wanajifanya wanashika dini

  • @SijaOlomi-cm4cw
    @SijaOlomi-cm4cw 22 дня назад

    Ali chapa chapa unatupa burudani unachambua tunaelimika hata midia kubwa tz hazichambui kama sns Ali sns big up

  • @zagadat1129
    @zagadat1129 Месяц назад +3

    Ula uchqmbuzi wa ally nihatari sana yuko straight sana and confident enough and simple

    • @reej5715
      @reej5715 Месяц назад +1

      Ally yupo vizuri kwenye kuchambua Masha Allah safi kaka

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 Месяц назад +7

    Me niwape cri mruc na Ukraine wapo xauri 1 kuianguxa ulaya

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations Месяц назад +5

    Muko vizur sana SnS

  • @innocentmtondo9656
    @innocentmtondo9656 Месяц назад +2

    Izi story za urusi nazipenda sana yan kila siku lazima nizitazame

  • @Crisparis333
    @Crisparis333 Месяц назад +6

    Sky u are so genius

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 Месяц назад +6

    Pia ujumbe mungine iliyoutoa urusi kimataifa ni kwamba urusi nitaifa lililojaa utisho ambao MUNGU kaijaalia Urusi maana silaha kama hizo zingekua ndiyo zimekamatwa na nchi kama Iraq au Libya wangeweza kwenda kuzipora, huo ni ushahidi kwamba nato na marekani wanaiogopa urusi maana wangeweza hata kuzishambulia hata kuziteketeza tu lkn wanaiogopa Urusi kuliko MUNGU mashoga hao wa ulaya na marekani

    • @johnnsembele4401
      @johnnsembele4401 Месяц назад +1

      apo pagumu manake ukijaribu tu jamaa ndo anaongoza kwa nyukria dunia nzima iyo ni balaa

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 29 дней назад +1

      Putin mwamba

  • @godfreykeita9804
    @godfreykeita9804 22 дня назад +1

    Ally Masuby💪

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 Месяц назад +11

    Teknolojia y a NATO imeingia Urusi,,,😂😂😂 nikisema NATO maumbwaaa tu mnabisha

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 Месяц назад

      Unafikiri kama za 1954,,,wewe Putin yeye destructive weapon unafikiri katumia😀😀 Ile Ukraine ingekuwa majivu,,,saizi tu Kuna magofu,,,unachezea mtakatifu wa vita wewe,,,,Putin sio sadam Hussein au Gaddafi,,,yule nijasusi wa KGB kakaa ujerumani miaka mingi anawadukua ,,,watamwambia ,,,nchi zote za manyang'au zimeungana na wameshindwa kumtoa ndanibya Ukraine je siku CHINA akinukisha watamuweza? NATO maumbwaa tu narudia Tena Maumbwaa tu NATO

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 29 дней назад

      Nato mashoga

  • @user-gb5vz6wm2q
    @user-gb5vz6wm2q Месяц назад +1

    Asante sana SNS kwa kutupa habari nzuri

  • @HajiJuma-xw7vh
    @HajiJuma-xw7vh Месяц назад +3

    Asante mwalim wa uchambuzi

  • @hamismaulid270
    @hamismaulid270 Месяц назад +3

    Sema "WO"
    sio "WA"

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 Месяц назад +2

    Ahsante sana

  • @antonydorian1402
    @antonydorian1402 Месяц назад +1

    Urusi iko pamoja na mungu

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Месяц назад +6

    NATO washaamp urusi materials ya kutengenezea silaha zingin na tyr wanaend kupat ideas za silaha za NATO na inaend kumpa fursa urusi kutengenez silaha bora zaid kushinda hiz zao...Urus amepata faida kubwa ktk hii vita licha ya kupoteza baadh ya kamanda wake kwa kifo na ata vilema

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 Месяц назад +4

    Ninaomba muongelee ni kwa Nini Urusi ameonesha ICON YA YESU CHRISTO.
    NI MTU MWEUSI,
    NI INSHARA GANI INAONESHWA HAPO KWA DUNIA .
    JE TULIFICHWA NINI AMBACHO HATUJUI

    • @EzzyEddy-il3ce
      @EzzyEddy-il3ce 29 дней назад +1

      Imenipita hiyo walionesha lini hiyo Icon ya Yesu kaka??

  • @khadijaalimohd1320
    @khadijaalimohd1320 Месяц назад +3

    SAFI SAANA.

  • @mialanomanqobo6639
    @mialanomanqobo6639 Месяц назад +7

    Ally Masumbi analyst nzuri
    Hana part taken kama yule Dj sma

    • @hassansaul7098
      @hassansaul7098 Месяц назад

      Sasa shida yako ni ipi?! 😅 Usiwi unamskiliza huo Dj Samaa tupo tunaoelewa analysis yake, wewe mskilize unamtak

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Месяц назад

      Shida zenu hizi mambo za analyst mmezijua juzi ndio maana mnalaumu nenda hata ivyo vyombo vikubwa duniania na wachambuzi wakubwa duniani Hua na mlengo wa nao Amini si dhambi mchambuzi kusimama kwenye anachokiona ila kwa ushamba na uswahili mnaanza kutoa vikasoro shida iko wapi habari siku hizi ziko wazi huna haja yakumsikiliza mchambuzi yoyote na bado ukaelewa kwani hao wanachofanya ni kuskiliza vyanzo mbalimbali na wakukuletea mvivu wewe.

  • @mubarakahussein9950
    @mubarakahussein9950 Месяц назад +2

    Asante sana Ali masubi

  • @bugusambalinga3603
    @bugusambalinga3603 Месяц назад +3

    Wakuu mko vizuri sana Kwa uchambuzi kiunabii wa Biblia NATO kwa urusi haitiboi watachapika mpaka wawe malofa kama unavyoona wakimbizi wa kongo au sudani na nchi zingine zenye vita.
    Ila urusi itakuja kukwama siku majeshi yake wakikanyaga ardhi ya Israel ili kupigana na taifa teule

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 Месяц назад +7

    Kuna mashoga hapo nimeona wanapinga mafanikio ya urus

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Месяц назад +1

      Ata mm nimewaona sijui wanataka nn sasa wanalazimusha ukrein kashinda sasa sijui wanataka kuambiwa hivyo

    • @user-cu6vj7iw5z
      @user-cu6vj7iw5z Месяц назад +1

      Wanata babas

  • @officialyohana2662
    @officialyohana2662 Месяц назад +2

    Dj sma anachambua vzuriii

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад +2

    kwani kuna ubaya gani?

  • @RashidyNgunga
    @RashidyNgunga Месяц назад +1

    Wanao waunga mkono America wanaunga mkono Ndoa ya Jinsia Moja Mungu awezii Wacha awapa pumbavuu America Uraa,,, Uraaaaaaaaaaaa,,

  • @malickabbas8271
    @malickabbas8271 Месяц назад +2

    Viva urusi

  • @ikeedaudi
    @ikeedaudi Месяц назад +3

    Kama ulisoma comment na kusikiza uchambuzii ,,,,, piga like tujuanee😮

  • @user-vv6xw5qj4p
    @user-vv6xw5qj4p Месяц назад

    Very good

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 Месяц назад +3

    😂😂😂😂 makaripi inaenda kuanguka

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 Месяц назад +3

    How South Africa counter part wa Russia walipeleka Silaha Ukreine

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 Месяц назад +7

    Kuna mashoga humu RUclips kaziyao kutetea ushetani wa marekani na wenzake mashetani huwa wanakuja na reply hataukiona wanavyo reply utajuwa hana akili. Wengine acha tuseme uraaaa tunaendelea kumwombea Mrusi atunyooshee hawa mashetani

  • @babalao910
    @babalao910 Месяц назад +1

    Utusi+Iran+North Corea, God Nations.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Месяц назад +8

    Hura Huraaaaaaaaaaa! Viva Russia viva Putin👏👏🔥🔥💪

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 Месяц назад

      Sio 😂😂hura bali ni URAAA URAAAA 😅😅

    • @user-qq6mv6vh3e
      @user-qq6mv6vh3e Месяц назад

      Tafsiri yake ila samahani​@@murtalla2826

  • @tsitingilembombo9995
    @tsitingilembombo9995 Месяц назад +2

    Kwani Marekani hana vifaa vya Kirusi, pontless.

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 Месяц назад

      Hii haimaanish tu kwa upande wa vifaa lkn pia inathibitisha kua Urusi haipambani na Ukrain tu bali na Marekani na Washirika wake...na yyt atakaeshind ktk vita hii ndo atabadilisha Geopolitics ya Dunia (km unafaham Geopolitcs n nn na umuhm wke)

    • @hassansaul7098
      @hassansaul7098 Месяц назад

      Hatujui Sbb hawajatangazaga, sisi tunafwata kilichotangazw

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Месяц назад

      Alivitoa wapi sasa ivo vifaaaa

    • @user-lv1ki7nn7t
      @user-lv1ki7nn7t Месяц назад +1

      Marekani,hajawahi kushinda vita popote duniani akiwa pekeake marekani Wamewaweza nyie kwa kutumia media zao kuwadanganya ila ki uhalisia wanaovijua vita ni warusi mzee

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Месяц назад

    👍✌️✌️.

  • @fakijecha
    @fakijecha Месяц назад +1

    Wamepeleka mashoga vitani hhh ndo mana urusi anateka had gari zao hhh putin sio mtu mjinga ukenda kwake ujipange kiakili kwanza usikurupuke

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 Месяц назад +1

    Punt baba lao ❤❤❤🇷🇺🇷🇺🔥🔥🔥

  • @kassimbayuu5217
    @kassimbayuu5217 Месяц назад +6

    Putin anatakiwa atengeneze kiongozi mpya mwenye maoni kama yake

    • @openglo
      @openglo Месяц назад

      Ndo kikubwa maana yeye umri unakwenda.

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 Месяц назад +2

      wewe unafikiri wamekaa tu.? huo ni mfumo na hata ikitokea leo Putin katangulia mbele ya haki Urusi haitatetereka kwasababu viongozi wapo wenye haiba kama Putin

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke Месяц назад

      ​@@opengloUrus ndio msimamo wao kwa viongozi uko ivo kama korea kaskazin

    • @abubakarbarkat2326
      @abubakarbarkat2326 Месяц назад +4

      Katika uchaguzi uliopita wa urusi wagombea wanne wa uraisi, putin peke ake ndo anaonekana mpole yan ndo mwenye huruma ao wengne waliobakia hawafai hata kurumagia yan wenyewe wanamshangaa Putin kwanini anaionea huruma Ukraine 🤠🤠

    • @user-nv7jg6xc8l
      @user-nv7jg6xc8l Месяц назад

      ​@@abubakarbarkat2326mwanangu nmecheka sana

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 Месяц назад

    Simulieni sana ipo siku

    • @user-lv1ki7nn7t
      @user-lv1ki7nn7t Месяц назад

      Siku labda ya kuolewa marekani kwa mara ya pili kama ndio unaisubiria wewe shoga mwenzao mbwa kabisa wewe

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 29 дней назад

      ww mtoto shoga

  • @tanaidhouse369
    @tanaidhouse369 Месяц назад

    Sijaona challenger, au ziliteketezwa zote

  • @aminielkombe66
    @aminielkombe66 Месяц назад

    Naweza kufahamu nini nia/faida kwa Urusi kuonyesha hizi silaha

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Месяц назад +1

    Hizi habari também japo vita sio kitu kizuri kwa mwanadamu

  • @officialyohana2662
    @officialyohana2662 Месяц назад

    Where's dj sma?

  • @YasiniMomboka
    @YasiniMomboka Месяц назад

    Duuuh hiki nikiwango chalami cha dharau,

  • @DaudiHamisi-un2uu
    @DaudiHamisi-un2uu Месяц назад +1

    South Africa nae alipeleka siraha

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 Месяц назад +3

      Hapana, enzi za nyuma nchi mbalimbali zilizoendelea zilikuwa zinanunua silaha bora kwa nchi tofauti kwa lengo lakuangalia uimara na ubora wa silaha husika, hvyo Ukraine walizinunua silaha kutoka South Africa kabla ya mgogoro, so baada ya mgogoro Ukraine walilazimika kutumia silaha walizozinunua kutoka South Africa!

    • @DaudiHamisi-un2uu
      @DaudiHamisi-un2uu Месяц назад

      Nimekuelewa

  • @Soon815
    @Soon815 Месяц назад

    Walisema wataipiga ukraine ndani ya saa 72!! Miaka imepita hakuna kitu!

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 Месяц назад +1

    SA c

  • @Crisparis333
    @Crisparis333 Месяц назад +2

    Kwani huyu Ali masudi Yuko mambele?

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 Месяц назад

      Yupo hapa hapa bongo na bado anasoma

    • @Crisparis333
      @Crisparis333 Месяц назад

      @@sultanbakary4292 mmh ni specialist wa vita 🤣

  • @user-mn9nz4mg4v
    @user-mn9nz4mg4v 29 дней назад

    Imekuwaje south Africa amepeleka slaa nawakati ni mwanachama wa brick

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn Месяц назад

    Nato waingie mazima vitani kama wanaweza Ukraine hawezi kushinda kwa misaada

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Месяц назад

    Hizo ni porojo Russia akuna kitu

  • @eliachalamila2259
    @eliachalamila2259 Месяц назад +1

    Dj sma yuko wapi?
    Yule ndio alikuwa vizuri mnooo

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Месяц назад

    Bbc apo kama vile hajuwi kinachoo endelea

  • @user-ob9nu5dp1s
    @user-ob9nu5dp1s Месяц назад +1

    If you gave DJ asthma, he would explain it well

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 Месяц назад

    ASANTE URUSI TUKO PAMOJA

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y Месяц назад

    ndo watu wajue kua marecan awana nguvu mpaka wajiunge wote ndo wampige mtu mmoja sasa south African wanaingilia vita yanini wenyewe wangoje watakanyo tungulia na rashia wasije sema mrusia mbaya sema puttin angewapa combora za maana awamalize awa wazungu

  • @user-op5gz7vj6w
    @user-op5gz7vj6w Месяц назад +1

    Amnaaa kituuuu Aminiiii .... Watashindwaaa tuh n saw la mda, vitaa badooo

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Месяц назад +1

      Vita bado mwaka pili huu we unajua vita ? Hata kuku anakupiga senene wewe

    • @mahmudahmad5369
      @mahmudahmad5369 Месяц назад

      Wewe unaunga mkono mashoga WA magharibi hauna akili wewe

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Месяц назад

      Ajitambui aende mwenyewe akaakikishe pimbi uyo

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 29 дней назад

      Ww mtoto shoga

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 29 дней назад +1

    Huyu ndio mchambuzi sasa sio yule jamaa kingereza kingi uchambuzi kidogo I HATE YOU

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 29 дней назад

    😂😂😂😂😂😂 Aibu kwao wamalekani, siku nyingi nilikua najua kwamba hakuna nchi ambayo itaweza kusimama na marekani kupambana kumbe sivyo Kuna nchi kama Russia walikuwa kimya Sana kumbe Sasa najua kwamba Russia ndiyo nchi tishio na wababe wa Dunia.🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪💪💪

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Месяц назад

    Hizo ni Propaganda za kivita, Kwani Ukreni haijakamata Silaha za Urusi

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 Месяц назад

    Putini ninoma

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 Месяц назад +2

    Hii media ya Urusi nini? 😂😂

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 Месяц назад +1

      Ya kwako kwan?i😂😂😂

    • @rajabhamis3494
      @rajabhamis3494 Месяц назад +1

      Nawe pia ni mrusi

    • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
      @CharafimalisalimoAli-qw3hk Месяц назад

      HII NI MEDIA YA WATU WASIOTAKA KUDANGANYWA KAMA SISI. UKITAKA KUDANGANYWA NENDA BBC AMBAO WANAUME WA AFRICA YA MAGHARIBI AKINA TRAOLE WAMEWAFUNGIA KWA AJILI YA UWONGOWAO KUWADANGANYA WALIMWENGU ,WAKIWAPAMBA MAZUNGU WAONGO NAWASHENZI WANYONYAJI WWZI WA AFRICA. NAKUWACHAFUA WATU WEMA KAMA WARUSI WA IRANI WACHINA NA KOREA. AU PIA NENDA DE NA VOA UKADANGANYWE KAKA.

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n Месяц назад +1

    Nyny niwasheheleshaj siowachambuz sjawai ona wachambuz wanahegemea upande mmoja

  • @juliusejulius6704
    @juliusejulius6704 Месяц назад +1

    Huyo anafafanua kwa kuegemea upande mmoja na kidini zaidi

  • @matanohassan9667
    @matanohassan9667 29 дней назад

    KELELE KWA SNS WEWEEEEEEE YAANI KWA SASA HIVI CHANNEL ZILIZOBAKIA BABAISHO SNS KIBOKO YAO MI NIKO K.S.A SIBOEKI YAANI MI TAJIRI WA NES NIKIWA NA SNS MASJA

  • @AishaOnlineTV
    @AishaOnlineTV 29 дней назад

    WAFANYAKAZI SMZ KICHEKO DR MWINYI MAMBO SAFI
    ruclips.net/video/pWJy_Mv1mok/видео.html

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n Месяц назад +2

    Hakuna mafanikio yoyote aliyopata hurusi acheni kubun bunimaneno yauwongo izostori nymnalala nakufkria nakuongea

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 Месяц назад +1

      Jifunze kuandika kwanza ndio uje kuongea😂
      Hurusi ndio nchi Gani?😂😂😂

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Месяц назад

      Wewe na ww unakisim kitochi em acha kuzingua ujui kitu mbwa kinyonyok ww

    • @FerdinandCharles-ko7de
      @FerdinandCharles-ko7de Месяц назад

      🇷🇺🇷🇺 tuko wote❤️

    • @mayombomajenga9778
      @mayombomajenga9778 Месяц назад

      Uzao wa BBC news huna jipya kusoma hujui hata picha huoni

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 Месяц назад

      @@FerdinandCharles-ko7de hahahahaha matusi ya Nini?😂😂😂
      Wakati haujui kuandika😂

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Месяц назад

    WALISEMA TUTAVIVUNJA KAMA TUNAVYOZIVUNJA NAZI😂😂😂