POLISI WATANGAZA KIYAMA kwa WALIONASWA na KAMERA za CCTV WAKIIBA NDANI ya GARI TOYOTA ALPHARD ARUSHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 27

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  13 дней назад +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @bockerNyarusahi
    @bockerNyarusahi 13 дней назад +6

    Watu wazima na vitambi vyao,hauwezi amini kama ni vibaka

  • @SaidyFaranda
    @SaidyFaranda 11 дней назад

    Sawa

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 13 дней назад +2

    Dah kama baba akohadi aibuu

  • @SalumMwachula
    @SalumMwachula 13 дней назад

    Police Arusha excellent

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 13 дней назад +1

    Libinadamu kama Hilo ukijilidhisha ni kweli lenyewe dawa yake linachezea shaba tu kubabake

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 13 дней назад

    Hawa. Ndo wanaotekana Kutekw kunawahusu. Hawafai kwa jamii. Maana mhusika wa mali iliyoibiwa akimfaham mwiz ndo mambo yakutekana wao yanakuepo hapo inasingiziwa serikali imeteka,!! Nawakiperekwa kwenye vyombo vya sheria. wanatumia hongo tu nawanasheria njaaa ili kupindisha haki nk💪

  • @ImmanuelSenior
    @ImmanuelSenior 13 дней назад +1

    Modern jounarist huyu dogo anasoma fresh ila jitambulishe sasa

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 13 дней назад +2

    Mi nauliza zile nguvu za kuvunja kio kwa mkono na haijafik at dakika zimetok wapi

    • @bugalirecords4862
      @bugalirecords4862 13 дней назад

      Kuna dawa ya kuyeyusha kiooo ukikisukuma inaachia ilishatokeaga hapa mtaani

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 13 дней назад

      Hao jamaa inaonesha ni wazoefu sana

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 13 дней назад +1

    Yanyongwe hadharani,wake xao na mitoto inasoma shule xa gali kumbe waume ni majixi

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 13 дней назад +3

    Hawa majambazi ni wazoefu inavyoonekana walimfuatilia muda mrefu 😢

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 13 дней назад +1

    unajua kiama wewe au unaandika tu

  • @Tiger-i8b6i
    @Tiger-i8b6i 13 дней назад

    Wakikamatwa wakatwe kende

  • @aika9116
    @aika9116 13 дней назад +1

    Huyo dada wa elimu na ujuzi apo mwanzo apunguze sauti jamaniii hadi nashtuka

    • @AgnesMleshi
      @AgnesMleshi 13 дней назад

      😅😂

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc 13 дней назад

      😂😂😂 ila Tanzania ndio maan Kuna zanzabari na zanzibara😂😂

    • @salummussa1139
      @salummussa1139 12 дней назад

      Pole aika

    • @aika9116
      @aika9116 12 дней назад

      @@salummussa1139 asante maana ni mkali sana huyo dada

  • @muhidinsultan2049
    @muhidinsultan2049 11 дней назад

    Hivi kweli mtu kama huyo anachukuliwa hatua kali utasikia watu wanasema kwa kucoment haah anaonewa,

  • @KivungeMmbuji
    @KivungeMmbuji 13 дней назад

    Inasikitisha sana hali ya rushwa kwa traffic ni mbaya sana, wala hakuna kiongozi anayekemea. Je imeruhusiwa ?

    • @AngelMhina-s6z
      @AngelMhina-s6z 11 дней назад

      Na wew unaetoa rushwa umeruhusiwa ?,ifike hatua tusiw watu wa kulaumu na wepes wakukosoa na wakati sisi raia ndio tunaongoza kuvunja sheria kwa makusudi wew unamuangalia tu traffic vip kuhusu dereva na conda wake mpka amefikia hatua ya kutoa rushwa mwenyew hakuwa na kosa? Tunakuja kwa abiria nao pia kuna muda tunamakosa unaona kabisa gari limajaa lakin wew unalazimisha kupanda ili usimame hpo hujavunja sheria km unataka haki kweli bhas dereva, konda na traffic wote wachukuliwe hatua na sio kumkandamiza mmoja.

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 13 дней назад

    Wameisha awakujua kama Kuna camera.mtakamata iyo gari mpaka wapatikane

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 13 дней назад

    😮😮😮

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 13 дней назад +2

    Dah mtu na eshima zao kumbe ni wezi