EXCLUSIVE: MSICHANA ALIYEONGOZA KITAIFA KIDATO CHA NNE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 ноя 2024

Комментарии • 221

  • @Kimaro_Comedy
    @Kimaro_Comedy 5 лет назад +18

    Duuuuh! Hongera sana! Ila akaze buti coz bado safari ni ngumu mbele na ni ndefu asije akachange na matokeo yake mazuri yakabaki hayo tu ya form 4

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 5 лет назад +9

    Kujieleza vizuri huko kunathubitisha ni kwa kiasi gani uko vizuri! Big up sana!
    I wish you all the best mummy!!!

  • @kileoisaac
    @kileoisaac 5 лет назад +14

    hongera sana binti! mtangulize Mwenyezi Mungu nawe utafanikiwa zaidi ya hapo! all the best to ur studies

  • @euvassammy8537
    @euvassammy8537 5 лет назад +32

    Hongera sana mama.. Ila ukifika Changanyiken a.k.a chuo obstacle haitakuwa uongozi tena, huko kuna vijana mafundi wa kucheza na mioyo bila hata operation, ukiwamudu hao then we already have a best HEART specialist In Tz. Best wishes at yr next step.

  • @godfreyishengoma232
    @godfreyishengoma232 3 года назад

    Mungu Akubariki, Pambana mdogo wangu, Usisahau Utii, Nidhamu na Ujasiri, ipo hazina Mungu kakuwekea Pambana sana Usali sana utafika tu, this is your time to make legacy.

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 лет назад +2

    Hongera sana binti kwa juhudi zako zote ulizozifanya ktk mtihani wako wa kidato cha nne Mungu akutangulie ktk masomo yako yajayo.

    • @samwelmloha5899
      @samwelmloha5899 5 лет назад

      Hongera sana bint 4 da best u have done thanks so much

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 4 года назад +5

    Mungu azidi kukuinua Zaid ya hapo naomba mungu na mm kizaz changu kiwe Kama huyu kwakupitia huyu mtoto naomba mungu na watoto wangu

  • @asjelenterprisesltd7805
    @asjelenterprisesltd7805 5 лет назад

    Hongera Sana Binti. MUNGU Akutunze Akulinde

  • @timothysanga9746
    @timothysanga9746 4 года назад +1

    Mhh huyu mtoto, yani anavyojieleza vizuri, utafikiri ameshakuwa doctor tayari. Ana umri mdogo ila ana akili kubwa sana kushinda wasichana wengi wenye umli mkubwa zaidi yake. Na ukimwagalia tu, unaweza kuona kuwa future yake ni nzuri kisi gani, mbali na kuja kuwa dactari, namuona kuja kuwa kiongozi katika nyazfa kubwa serikalini. Kazana mdogo wangu your future is very bright like a 🌞.

  • @benedictamaganga614
    @benedictamaganga614 5 лет назад +26

    No wonder umefaulu unajitambua binti hongerah sana.

  • @nurukapoja5192
    @nurukapoja5192 3 года назад

    Hongela mwanangu mungu akulinde

  • @paulinajohn9899
    @paulinajohn9899 5 лет назад +2

    Hongera Dada mm nakuombea tu Mungu akusaidie ufikie malengo

  • @sakinasheidhan4642
    @sakinasheidhan4642 5 лет назад

    Hongera sana kaza buti safari bado ndefu na ngumu muombe sana mungu akuongoze siku zote

  • @eugentanzaniasafaris
    @eugentanzaniasafaris 5 лет назад

    Congregation Mdogo wangu umejitahidi sana.

  • @helgerkileo721
    @helgerkileo721 4 года назад

    hongera mama mungu akutangulie zaidi

  • @calvinmchopa2222
    @calvinmchopa2222 4 года назад

    Pata ccccccc then unasema umefeli du safi saana MUNGU Mwenyezi akubariki

  • @princessfairy4146
    @princessfairy4146 5 лет назад +17

    Walio dislikes 👎🏼ni wale ambao matokeo yao yametoka vbya 😜😜poleni ila mxikate tamaa elimu haina mwixho #km nimeandika pumba ww unayexoma ni kuku#

  • @rachelemmanuel6244
    @rachelemmanuel6244 4 года назад +1

    mungu akubariki xana mwanangu tunazdi kukuombea nataman na wanangu waje wapate nafas kama yako mama

  • @iziraatv6029
    @iziraatv6029 Год назад

    Hongera sana

  • @mariammtiniko2177
    @mariammtiniko2177 5 лет назад +3

    huyu dada anapiga Kingereza amenifurahisha sana hongera sana

  • @tulisalu7253
    @tulisalu7253 5 лет назад

    Hongera sana mwanangu. Mungu azidi kukuongoza ufikie kilele cha ndoto zako.

  • @matabac
    @matabac 5 лет назад

    Hongera sana dada yangu. Mungu aendelee kukusaidia ili utimize ndoto zako. Ushauri: endelea kujiepushe na MAFISI najua hata sasa hivi mate yanawatoka..

  • @nizzlejunior1183
    @nizzlejunior1183 4 года назад

    That's excellent wish you all the best mary

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 лет назад +3

    Hongera binti jitahidii zaidi ufikie malengo yako 💞

  • @rogersgeorge2920
    @rogersgeorge2920 4 года назад +1

    Good job

  • @estherwilliam4378
    @estherwilliam4378 5 лет назад

    hongera sana mdada Mungu awe nawe katika masomo yako na unachokihitaj utakipata

  • @MohdDau-e9j
    @MohdDau-e9j 9 месяцев назад

    GOOD JOB 👍👍👍

  • @deusleonard8821
    @deusleonard8821 5 лет назад +4

    Hongera karibu xana Medicine tupo!

  • @mercymoshi3666
    @mercymoshi3666 5 лет назад +2

    hongera mamy,kaza buti

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 лет назад

    Hongera sana mdogo wangu Kazana kumwomba Mungu

  • @abbydinyowakikale7730
    @abbydinyowakikale7730 5 лет назад

    Hongera ...tengenzen urafiki na yule kaka tz-one

  • @TOLLBOSS
    @TOLLBOSS 5 лет назад

    Hongera sana japo nilifeli form four ila Mungu anampangia mtu njia nyingine sasa nimetoboa kwanjia nyingine na chuo nimemaliza

  • @veronicamanyama9252
    @veronicamanyama9252 5 лет назад

    Hongera Sana my sister

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 5 лет назад +13

    KAWATAFUTE TANSAO WAPO GOLDEN TULIP DOGO WATU KAMA NINYI MNAPATA FULL SCHOLARSHIP GREAT UNIVERSITIES ZA DUNIA .......Dont waste that chance

  • @jasminemboje1850
    @jasminemboje1850 5 лет назад

    Wow hongera sana Darlng

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 5 лет назад

    hongera sana binti yetu .hongera walimu .hongera wazazi

  • @stylejordan7101
    @stylejordan7101 5 лет назад +52

    Eti ma C mengi wenzio ma C ndo 2mefaulu dah hadi hasira

  • @phibijulius4759
    @phibijulius4759 4 года назад

    Hongera sana mdgo wangu

  • @erastojacob17
    @erastojacob17 4 года назад

    Hongera mdogo wangu.

  • @mimihapamedia8542
    @mimihapamedia8542 5 лет назад +29

    Wale Wa Cardiologist
    Wale MaCO
    Wale MD tunacomment wap

  • @shiraann632
    @shiraann632 5 лет назад +1

    Hongera sana 👏

  • @veronicamanyama9252
    @veronicamanyama9252 5 лет назад

    Nakupenda na Nakuombea uzidi kufanikiwa kaza mwendo safari bado ila kikubwa mtegemee Mungu atakuongoza ktk yote.

  • @edithayoram4601
    @edithayoram4601 5 лет назад

    Hongera sana mamy

  • @isayangoiva5629
    @isayangoiva5629 4 года назад

    Safi San Dada keep it on

  • @linusiedesi940
    @linusiedesi940 4 года назад +1

    Ongeraaa

  • @edinamutakyawa6872
    @edinamutakyawa6872 5 лет назад +6

    hongera cn,kaza mdg wangu

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 4 года назад

    Hongera mdg ang

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 лет назад

    Hongera dada yangu na uongeze bidii uje kua daktari bingwa uje kutibu ulimwengu

  • @tumainipeter9996
    @tumainipeter9996 5 лет назад

    Hongera mama kaza buti

  • @kondokibugula6551
    @kondokibugula6551 5 лет назад

    Hongera bint. Hakuna kunachoshindikana ukiaamua, huku pia Mungu akikupigania. Fanya kila jambo kwa wakati wake,usichanganye. Utafanikiwa. Mwisho tambua kuwa kuna mdudu anaitwa mapenzi, hakwepeki. Ila kuwa nae makini.

  • @zanashatamilla2619
    @zanashatamilla2619 4 года назад

    Hongera mtoto mzuri

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад

    Hongera binti

  • @anethmaro8168
    @anethmaro8168 5 лет назад

    Wenye vichwa kama huyu maria huwaga na akili saana kichwa kimechongoka na akili zipo juu safii mamaI💟UI💟U

  • @kharidmohamed2952
    @kharidmohamed2952 5 лет назад

    Hongera dada allah akuzidixhiee

  • @Kafi-bin-upondo
    @Kafi-bin-upondo 5 лет назад +4

    Dada engeza bidii matokeo yako isije kuwa sabab ya kulegeza kamba, Huku chuo tupo na watu wana division one form six lakini tunawapiga chini siss wa division 3
    Hongera sana muhimu kujitambua zaid

    • @AMANISADIKIMLIPU
      @AMANISADIKIMLIPU 4 года назад

      azingatie haya-ruclips.net/video/VAtnSNqNWI0/видео.html

    • @AMANISADIKIMLIPU
      @AMANISADIKIMLIPU 4 года назад

      azingatie haya-ruclips.net/video/VAtnSNqNWI0/видео.html

  • @Mentorship_clips
    @Mentorship_clips 5 лет назад

    #please #subscribe channel angu kupata videos mbali mbali kila siku

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 5 лет назад

    Mungu akusaidie mdogo angu uendelee ivoivo mbaka chuo. Ila unge kuwa mwanang nisinge taka uhojiwe na mtu wasinge kujua kabisa dunian

  • @datsanmechant863
    @datsanmechant863 5 лет назад

    Saaafii sanaa dogo

  • @queenkweka7228
    @queenkweka7228 4 года назад

    Ongera Sana mama mung u akulind

  • @woundedpride8460
    @woundedpride8460 5 лет назад +1

    Ni mzuri

  • @emanuelgagaza4346
    @emanuelgagaza4346 5 лет назад +2

    Huyu dada wa kwanza kitaifa na kaka wa kwanza kitaifa wote mbeya namaanisha Hope na Maria itakuaje kama wakija kuishi pamoja

  • @scholasticastephanowambura131
    @scholasticastephanowambura131 4 года назад

    Perfect wow

  • @fettyhassani599
    @fettyhassani599 5 лет назад

    hongera San mdog angu, kaza buti

  • @angelikasanga1031
    @angelikasanga1031 5 лет назад

    Nakupongeza(Kutoka Njiro Tz)

  • @nelsonnovatus9670
    @nelsonnovatus9670 5 лет назад

    Hongera sana.👏🏼👏🏼

  • @gitu4me
    @gitu4me 5 лет назад +26

    Sisi ngoja tukomae na mikeka ipo siku tutaongoza kitaifaa

  • @fadhili_masoi
    @fadhili_masoi 5 лет назад

    Hongera yake

  • @salvatorypaul6113
    @salvatorypaul6113 4 года назад

    Safi mdada mtangulize MUNGU SANA

  • @zuwenahassan3461
    @zuwenahassan3461 5 лет назад

    Chunguzeni hii video ,,kma sikosei nimeona kivuli kimepta nyuma ya huyu Dada kma umekiona gonga like

  • @shadyamollel1453
    @shadyamollel1453 5 лет назад +4

    She looks like a leader anaongea ametulia,,she is a leader keep wearing those shoose

  • @magrethmkemangwa8050
    @magrethmkemangwa8050 5 лет назад

    saf hongera

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 года назад

    Kumbe kupata C ni kufeli,,,,duh! wabongo bwana!!!

  • @nachuchuna971
    @nachuchuna971 5 лет назад

    Hongera mi mtu mzima nimrjifunza kitu😘kukaa na kutafakari wapi unakosea, kupanga mambo

    • @AMANISADIKIMLIPU
      @AMANISADIKIMLIPU 4 года назад

      ruclips.net/video/VAtnSNqNWI0/видео.html

    • @AMANISADIKIMLIPU
      @AMANISADIKIMLIPU 4 года назад

      ruclips.net/video/VAtnSNqNWI0/видео.html

  • @wilfredlwanyakasura7207
    @wilfredlwanyakasura7207 5 лет назад +3

    Smart girl ,smart brain!!

  • @stellaambrose6021
    @stellaambrose6021 5 лет назад +1

    Good girl unajitambua kuwa Mungu ni zaid ya yote

  • @saadaalmamary8397
    @saadaalmamary8397 5 лет назад

    Nimependa ulivyojieleza hongera kijana kaza buti zaidi ufikie malengo

  • @selwaswaleh7531
    @selwaswaleh7531 5 лет назад +1

    Education is everything pull up your socks girl and achieve your goal everything is possible.

  • @nuruchengula11
    @nuruchengula11 5 лет назад +3

    hongera lakini kaza kamba safari ndio kwanza inaanza

  • @kenty101
    @kenty101 5 лет назад +1

    impressive veeeeeery impressive

  • @nkeshimanaotto7091
    @nkeshimanaotto7091 5 лет назад

    hongera c6

  • @martinemifuko71
    @martinemifuko71 5 лет назад

    Hongera sana!! ila kuna vijana Wanajua kuimba siku wakikuimbia utajiona upo Jupiter kabisa

  • @IsraelMsallenge-t8g
    @IsraelMsallenge-t8g Год назад

    Fact 🖐️ your are medical personnel

  • @justinekiula2831
    @justinekiula2831 5 лет назад +4

    Hongera
    Lkn punguza English ukiwa interview

  • @fettygidion5109
    @fettygidion5109 5 лет назад

    Ongela mdog wangu

  • @maikojohny345
    @maikojohny345 5 лет назад +6

    ongera

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 лет назад +4

    Usije kua vedeo vixen..ntalia sana

    • @kulwamigo9127
      @kulwamigo9127 5 лет назад +2

      Hizi comments zenu, unaweza cheka mbele ya mwenye nyumba akadhani unamkejeli kwakuwa hujalipa kodi..!!

  • @herifredrickson2040
    @herifredrickson2040 5 лет назад

    Big up.

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 5 лет назад

    Hongera sana binti 👏🤗💕

  • @raphaelrespichius8508
    @raphaelrespichius8508 5 лет назад

    Cha msingi mtangulize Mungu,kelele na maneno ya kukatisha safari yako usiofu yapo hatA KWa mitume

  • @jacksonolotu1493
    @jacksonolotu1493 5 лет назад

    Ongera

  • @evaevance5932
    @evaevance5932 5 лет назад

    Kama umegundua wanafunz bora nafas y 1 na 2 wanatoka mbeya gonga like wanyakyusa oyeee

    • @february2866
      @february2866 5 лет назад

      Acha ushamba Wewe,ukabila

    • @macaverboy8726
      @macaverboy8726 5 лет назад

      Ongera dd bt kumbuka kunamnyama wa CBG komaa lakin c zan kama utashindw mana navyokuona unajitambua na unachofanya ongera xn

    • @queencharles4823
      @queencharles4823 5 лет назад

      Wewe wanasoma mbeya ila haimanishi wote wanyakusya

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 5 лет назад

    Onqera sana

  • @shukurumwangosi1537
    @shukurumwangosi1537 5 лет назад

    Good interview

  • @estherkayinga8457
    @estherkayinga8457 5 лет назад

    Your voice is mwaaaaa

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 5 лет назад +4

    Milard uwe una andika heading vizuri

  • @sahlamussa8538
    @sahlamussa8538 3 года назад

    Sjui mdogo wangu huyu yuko wapi skuizi.

  • @zuriathkajwangya1724
    @zuriathkajwangya1724 5 лет назад

    Well done girl

  • @Chekibob
    @Chekibob 4 года назад

    Muonyeshen na wa mwisho kitaifa😀🐕🤸‍♀️🐕

  • @DrMlelwaLectures
    @DrMlelwaLectures 3 года назад

    Kumbe nilikuwa naangalia video ya TO wa 2019 na hii ni 2020 TO ndio nilikuwa namtafuta.

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 5 лет назад

    Iv shule za serikal uwa zina fundisha kitu gan. Mbona hazija wah faulisha