Mateso ya Watoto. Ukiukwaji wa haki za watoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 окт 2024
  • Chilolo is a young daughter who faces harassment after her father passed away and she is left with a stepmother (stepmother) with her stepmother who abuses her and deprives her of her basic right to study and play as a child. This film tries to reflect the lives of many children who face challenges after their parents die. This situation causes these children to flee their homes and seek shelter elsewhere and sometimes these children roam the streets and become street children (Street Children). Therefore, this film asks the members of society to change their attitudes and raise these children with compassion and fear of God without doing cruelty to them. But also if it is not enough, this film emphasizes the society not to have desires for wealth, because having desires for wealth is the source of torturing the children of the deceased. So society should change.
    Chilolo ni bint mdogo anakutana na manyanyaso baada ya baba yake kufariki dunia na kubaki na mama wa kufikia (mama wa kambo) akiwa na bibi yake wa kufikia wanamfanyia madhira na kumkosesha haki yake ya msingi ya kusoma na kucheza akiwa kama mtoto. Filamu hii inajaribu kuakisi maisha ya watoto wengi wanao kumbana na changamoto baada ya wazazi wao kufariki. Hali hii inasababisha watoto hawa kutoroka makwao na kutafuta hifadhi mahala pengine na muda mwengine watoto hawa huzurura mitaani na kuwa watoto wa mitaani (Street Children). Hivyo basi filamu hii inawataka wanajamii kubadili mitazamo yao na kuwalea watoto hawa kwa huruma na kwa hofu ya mungu bila kuwafanyia ukatili. Lakini pia kama haitoshi Filamu hii inaihasa jamii kutokuwa na tamaa za mali kwa maana kuwa na tamaa na mali ndio chanzo cha kuwatesa watoto wa marehemu. Hivyo jamii inapaswa kubadilika.
    Starring: JOKATE ERICK, Bi Zuki J Kilo, Amina Mjungu, Msafiri Sangali, Mmasai, Ratifa Mgeni,

Комментарии • 17

  • @barkyabdallah170
    @barkyabdallah170 3 месяца назад +1

    Roho mbaya haijengi jamani hata ww masai una shindwa kumtetea mtoto kisa unachinga kazi huo ni uzembe

    • @hussein45606
      @hussein45606  3 месяца назад

      Watu wanaroho mbaya kwelikweli

  • @Byaunda-zi7ue
    @Byaunda-zi7ue 4 месяца назад +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ruthinyange3569
    @ruthinyange3569 10 дней назад +1

    Nice job👏👏

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 9 месяцев назад +1

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪😢😢😢 inahuzunisha na kuelimisha mbarikiwe jamaa zangu

  • @KassekohBunzary
    @KassekohBunzary Год назад +2

    Wa mama kamahao awafai katika jamiiii,,,,,,,,😊😢

    • @hussein45606
      @hussein45606  Год назад

      Kwa kweli. Jamii haiwaitaji kabisa

    • @KassekohBunzary
      @KassekohBunzary Год назад +1

      @@hussein45606 ila uyo mtoto chilolo anafundixha xana

  • @HillaryMkangwa-rb8bf
    @HillaryMkangwa-rb8bf Год назад +2

    Kaz nzuri

    • @hussein45606
      @hussein45606  Год назад

      Ahsante Hillary tunashukuru kwa comment yako. Karibu SUCCO MEDIA uwendelee kufurahia Filamu zetu

  • @mariakashamba5086
    @mariakashamba5086 Год назад +1

    Nice choice 💞💞💞💞

    • @hussein45606
      @hussein45606  Год назад

      Thanks 🤗

    • @EudiChilolo-cj5xt
      @EudiChilolo-cj5xt 4 месяца назад +1

      Jamn CHILOLO wangu jina langu jaman we mama Na mwanao latifa mntakiwa mfe mzikwe bila ibada yan

    • @EudiChilolo-cj5xt
      @EudiChilolo-cj5xt 4 месяца назад +1

      Jamn CHILOLO wangu jina langu jaman we mama Na mwanao latifa mntakiwa mfe mzikwe bila ibada yan