dhaa iyi filamu inakuonyesha exactly really life ya binadam.kuwa makini na bin adam kuna husda,hila,roho mbaya za korosho.dhaaa lameck hujui kuaachaa.muacheee mwenzio aende utampata mwengine just move on lameck
Haya na jeni nae atasema mumewe ndo chanzo au🤔🤔ndo mana tunapokufa tunaitwa jina la mama na siy baba kwani mama ndo mwenye uhakika wa nani baba halali wa watoto
Mh Kwa kweli doctor mumba anapitia wakati mgumu sana ila tutajua ukweli kesho tu kama na wew unasubiri ukweli tujuane❤
Wabongo kutoka South Africa Durban Kama kawa tupo twasubiri team rey like hanyiwi mtu😂
Huko south africa piya kuna jiji lingine liitwa Durban ❤ hata mimi natokea durba from DRC🇨🇩
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sana Ray umetisha kinoma Yani KAZI nzuri kutokea from Cap town sauz Africa
Mnanikosha moyo mlivyo ongeza dakika ❤
Ila tandi ninzuri sana utaangalia hata na familia hakuna kukaa uchi
Tandi my favorite Asante sana Jordan kwa kazi nzuri
Kutoka Kenya pokea like yangu Ray uko Bomba na sisi brother 👍🙏🙏
Jameni hii movie yanifanya ctoki pia cili,yani lm glued on screen to watch wat nxt,hongereni🎉🎉
A vossa História está em primeiro, lugar nunca vi antes assim, bom trabalho
Duuu🎉🎉pole sana doctor momba...🎉🎉unawakati mgumu
Akimu naye yamemkuta😂😂😂🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani hii tandy iko moto sana hata ifike kw maelfu isiishe kw xx ❤❤❤❤
Ray alivyoshangaa kumuona mzazi mwenzie na jean wakati ametoka kuonana na mwingine dunia inazunguka jamani duuh docter sjui itakuaje 😢😢
From NAIROBI kenya❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tandi kiukwel nakupenda sana jaman ❤❤
Jamani TANDI ninzuli❤❤❤
Paul mutuku watching from Kenya mambo hapa imeaza kwenda mpiringo kama yai ata akim?😂😂😂
Watching from kericho Kenya ❤
Magy from kenya curiously waiting
Kweli doctor momba amechanganyikiwa k ukweli.....🔥🔥
Tandi inabamba sana muendelezo 😂❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Pole sana dokta mumba 😢😢😢inaumiza kwakweli
Watching from kenya❤❤
Kongole kwenu🎉🎉🎉🎉🎉💪❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pore sana doctar mumba
😂😂😂Hii noma karibu kila mtu sahii Ana kesi
really this movie so lekker thanks a lot mr Jordan and all your team
dhaa iyi filamu inakuonyesha exactly really life ya binadam.kuwa makini na bin adam kuna husda,hila,roho mbaya za korosho.dhaaa lameck hujui kuaachaa.muacheee mwenzio aende utampata mwengine just move on lameck
Hii Tandi Noma ray ninoma
Nawapenda washiriki muko vizuri
❤❤❤kz ipo hapo
Abigael mtoto mzuri inatakiwa kua na uvumilivu mama lameke kasha kufa kwako kabisa ndio mana anaendelea kukusumbuwa mlembo abigael 😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tandi 😅😅😅like mother like daughter
Kwenye maisha Kuna baba aina mbili tuu,Kuna baba Bora na Bora baba Kwa hio basi doctor mumba ni baba Bora.
Kma unaikubali tandi gonga like tusonge mbele
❤❤❤❤waiting
From Belgium 🇧🇪
Kazi nzur ❤❤
Congolais here we are
Waiting
Asante sana kwa mafunzo
Best series❤❤❤
Haya na jeni nae atasema mumewe ndo chanzo au🤔🤔ndo mana tunapokufa tunaitwa jina la mama na siy baba kwani mama ndo mwenye uhakika wa nani baba halali wa watoto
Tandi much love from Kenya ❤❤
Bom trabalho, "kigosi" você é mau rendi neste história.
Kuzaa si kazi kazi kulea hanaelea ndio mzazi
From panguso to tandi twende nalo from nairobi team kigosi 🔥🔥🔥🙌
Watching from Malaa. Kenya
Mombasa kenya iko ndani
Leteni twasubiri Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Kansas City USA
Nawapata vzr
Inasikitisha kweri anaco kipitia doctor mumba
Next plzz ya kumi na 18
Watching from Kenya
Tuma nyungine boss😊
Doctor momba anapitia wkt mgumu
Twende nalo pk ifike 150 hakuna shida 🎉❤😂😂😂
Watano 🎉🎉
Wa Congo 🇨🇩 🇨🇩 tujuwane. Like banduku ❤❤.
Sisi apa🎉
Mimi Leo nimeçhelewa jamani sitaki like zenu
Nawapenda xana
Congolais here we are 🇨🇩
Hiyo mwanamke Linda Mr Jordan mpige anakuchezea
Naombeni like❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mda wangu na wenu uko tofauti sana ila nipo ba moja nanyi wabongo
Tunasubiri😊😊
Wamwisho tena mm jamn naombeni taño like
Nous congolais 🇨🇩 si nous suivons tandi ensemble manifester vous ❤❤❤❤
😂😂🇨🇩🇨🇩🤞
Nous sommes là 🇨🇩
Bdo tunasubr wadau
Nafikiri baada ya DNA watoto watakuwa wa Dr.Momba
Tandi kumbe nawee umbea km mamako😂😂
Acompanhei quase do princípio até agora, de facto tem bom aprendizado, mas do episódio 115 para cá não estou a entender nada gente!
Yani hii movie Haina muelekeo Haina story moja
Mmmh cnachakusema nasubili kitakacho jirii kwa mme wa jeni atalichukuliaje ?? Hilii daah
Jaman nimewahi 2peane like ooooh waoo
Abby unanikosha kweli kweli
Tandi karithi😅😅😅😅
Watatu
Tandi kapatikana yooooh
Nitibwiri dokta pore kuleya watoto wasiyekuwa wakwako😢
tunayo
Tandy amechukua tabia z mmke kbsaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nice
Tunahitaji Lilian arudi bana
❤🎉🎉🎉🎉🎉
tuongezee vipande jmn
Ss we lamik huyo mke wampenda kweli mbona wan mcngizia wezi mwanamke unanye mpenda je atarudi kwako tena
Mniamshe after 9hrs nisibaki nyuma
Hawa watu hawalali 😂😂
Mbona hakuna saunti plzz
Mm Abigail 😂😂😂
Watu hamlali😂😂😂😂
Kwanini movie zako niki zi download zingine ha zina sauti shinda nini
wa 19
Mmerudia ìi
Tandi
❤❤❤
Tandi na dereva bajaji😂
Next plz