M'beto, Zanzibar hakujawahi kufanywa uchaguzi ulio huru na haki, naww pmj na wana wana ccm munajua, mfano, halisi nikua, munawanyima wazanzibar halisi vitambulisho vya kura namunawapa wazanzibara wasio na hata asili,,,,, pili tulishuhudia mwaka wa 2015 wkt uchaguzi ulifutwa wkt ulishakamilika,,,, M'beto munayoyasema nakuyatenda ni tofauti
kiongozi wa nchi yetu itulize nchi yetu Kila ikifika kipindi cha siasa raiya hatuna amani viongozi wetu nyinyi hamuelewani jee wananchi itakuwaje twaiharibu nchi yetu kwasiasa tu Raisi wetu tutulizie amani nchi yetu kwamaneno tuu bila kuwaamrisha vyombo vya Dola
CCM wanahof na ACT hii yote kwasababu CCM hawana mtaji wa wanachama wakweli kama wao wasivyowakweli kwa raia bas mungu nae amewafanya wananchi ambao wanitumikia CCM sio wakweli wanawalapesa wanachukuwa ajira kura kwa upizan
Nyinyi Sheria ngapi mumevunja jecha kukukataa uchaguzi na matokeo yake mwaka 2015 ni uvunjifu wa Sheria na watu walikataa jee nyny mulikubali? Chaguzi ngap zilikuja na dosari kubwa na mbovu mbona haxikurejewa na muliendekea na matokeo? Nyny CCM ni wanafiq na huu ndio mwisho wenu
Laiti kama hizi comments ndo kura basi Mbeto tayari tumeshakupiga bao zamani..Mbona bara hawapigi kura mara mbili na ni nchi moja? Mbona uko botswana wamepiga kura mara moja na zanzibar na huko watu wengi wapo huko.

Ccm,imeishiwa
Zenjibar TV hata nyiye mutamcheka kwani anachokiongea ni tofauti na anachomaanisha
CCM wanahof na ACT hii yote kwasababu CCM hawana mtaji wa wanachama wakweli kama wao wasivyowakweli kwa raia bas mungu nae amewafanya wananchi ambao wanitumikia CCM sio wakweli wanawalapesa wanachukuwa ajira kura kwa upizan
Marekani wamefanya ndio siku 2?
Ww wacha kujependikiza
Mumewahi kusema hadharani kua ccm haitatoa nchi kwa vikaratasi
Mbeto kiburi hakifai kumbuka ipo siku hayo usemayo yatakujakukutia motoni
Muongohakusema hivyo
Vikao kama hivyo haviruhusu kuingiza mbogo kama wewe vikao vya mmbogo kiswandui
Kwanini mlazimishe kura ya siku 2 kwani uchaguzi ni wa chama tawala pekeee??
Nyinyi Sheria ngapi mumevunja jecha kukukataa uchaguzi na matokeo yake mwaka 2015 ni uvunjifu wa Sheria na watu walikataa jee nyny mulikubali? Chaguzi ngap zilikuja na dosari kubwa na mbovu mbona haxikurejewa na muliendekea na matokeo? Nyny CCM ni wanafiq na huu ndio mwisho wenu
Huyu mbeto ayo maneno yake ni ya kijinga km alivyo mjinga yeye mwenyewe.ukimskiliza huyu utaharibu bando yako tu.😂
Hivi kwani huyo aliemuapisha yeye hakuapa?vp anaifuata hiyo katiba? Mbona vitambulisho havitolewi ?
Laiti kama hizi comments ndo kura basi Mbeto tayari tumeshakupiga bao zamani..Mbona bara hawapigi kura mara mbili na ni nchi moja? Mbona uko botswana wamepiga kura mara moja na zanzibar na huko watu wengi wapo huko.
Sikiliza mbeto muheshimiwa osman masud mwanasheria wa kimataifa hawez kushindana na mbogo kama wewe mtapio mlo
Na wewe ni mshamba wa cheo