KURA YA MAPEMA PRESHA YAPANDA ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 118

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 3 дня назад +7

    Zanzibar haiwezi kwenda mbele kwa mijitu kama hii

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 3 дня назад +5

    kashapewa chake huyuu mwinyi kamwaga bilion 1 kwa ajili ya uchaguzi tuh so unatumika vizuri sanaa

    • @sabrimohd753
      @sabrimohd753 3 дня назад

      Yani pesa zetu wanyonge wao ndio wanahongana leo umeme unaenda hatar vitu vyote bei iko juu juzi nilikuwa nanunua aro kwa elf 5 saiv elf 6 kumamamzao hawa daah.

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d 3 дня назад +5

    Kiongozi wetu Omo usimjibu mpumbavu huyu tuachie sisi

  • @OmaryZahran
    @OmaryZahran День назад

    Jamani tusimlaumu sana huyu jama ninjaaaa t

  • @KhalidAbubakri
    @KhalidAbubakri 2 дня назад +2

    Hizi mbinu anazozitoa kwa wenziwe yeye kafanya ipi akafanikiwa. au ni mpango wa kutafuta bahasha kutoka kiswandui? maana kuna vyama vipo mkobani vinajitokeza wakati wa Uchaguzi kutafuta huruma kwa serikali ili waishi.

  • @SaidOmar-iw9kk
    @SaidOmar-iw9kk День назад

    Kumbe mfia tumbo huyu jamaa 😂😂😂😂😂 njaa bana

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 День назад

    We unachama una Gengeeeee

  • @zarihaSalum
    @zarihaSalum День назад

    Huyuu mpuzi sana tuuu jamaaaa

  • @tupendanevilla3183
    @tupendanevilla3183 2 дня назад

    Mzee.hiyo.sio.heshima.unanachokoza.moto.tuwa.kali.mwepesi.ww.akisema.jusa.kama.hivo.unavosema.ww.itakuwa.shida job

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 3 дня назад +3

    najaribu kumsikiliza mara ya pili hii lakini sielewi nini anaongea

  • @fadelsaed8598
    @fadelsaed8598 3 дня назад +3

    Wewe ushapewa pesa Huna lolote mshenzi sana

  • @OmarKombo-h2j
    @OmarKombo-h2j 3 дня назад +1

    Kiongozi uko vizuri sana endelea kutoa elimu kwa vyama vya upinzani waelewe kuwa chama tawala ndio mkombozi wa taifa letu

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 дня назад +1

    Mzungumzaji ana dhihaki wananchi

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 2 дня назад +1

    Saa nyengine musituharibie MB zetu kwa utumbo huu

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 3 дня назад +2

    Huyu mzee natamani awepo karibu yangu nimpe za uso

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf 3 дня назад +2

    Wwe mwenyewe hujitambui hooi bin taaban

  • @mohamedmillanzi9070
    @mohamedmillanzi9070 3 дня назад +2

    Na huyu naye ni kiumbe wa Mungu.

  • @zarihaSalum
    @zarihaSalum День назад

    😂😂😂😂😂😂😂 huyuu jaama duuuu

  • @allyhamad8492
    @allyhamad8492 3 дня назад +2

    Hajui hata anaongea nni naona anajizonga sana

  • @maalimmziwandangwali1736
    @maalimmziwandangwali1736 2 дня назад

    NONE SENSE

  • @omarkb6775
    @omarkb6775 День назад

    Act tushamaliza hakuna kura y siku mbili hapa njaa rudisha tumboni usiitie kichwani

  • @zarihaSalum
    @zarihaSalum День назад

    Huyuu ana jaaa kweli katumwa huyuuuuuu jamaaaa

  • @narasasuleiman145
    @narasasuleiman145 3 дня назад +1

    Wakutegemewa Mwenyezi Muungu njaa inakutesa subiri time ifike utumike upate pesa

  • @Suleimanomar-q8g
    @Suleimanomar-q8g 3 дня назад +2

    Hivi vyama vengine vinastahiki kufutwa hasa maana havionekani mpk wakati wa uchaguzi

  • @HajiHaji-w2n
    @HajiHaji-w2n 2 дня назад +1

    Kwani nae huyu mpinzani au proxy wa ccm naona anaporoja tu,,,, hv anadhani kua cc wananchi niwajinga au vp

  • @ZimamMbaruk
    @ZimamMbaruk 2 дня назад +1

    Tayari Mayahudi wa Kizanzibari wakishirikiana na Mayahudi wa Tanganyika wameanza mipango rasmi ya kuendeleza mauwaji yao ya Wazanzibari na dhulma zao dhidi ya Wazanzibari kwenye uchaguzi ujao, Nawewe tayari inaonyesha umelaaniwa, Njaa itakuuwa sikuzoote hizo ulikua wapi mbona ulikua huyasemi, wewe ninjaa tu inakusumbua

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 2 дня назад

    Njaa,mbaya

  • @lukmanshehe9765
    @lukmanshehe9765 3 дня назад +1

    Njaa inakusumbuwa Koko weye

  • @MshamAli-o4e
    @MshamAli-o4e День назад

    Hili bunju

  • @alijumes3580
    @alijumes3580 2 дня назад

    kkumbe mpumbavu hivoooo

  • @Umearhassan-x4t
    @Umearhassan-x4t День назад

    Wscha njaa mjinga makoti

  • @AllyMwinyi-rx8gr
    @AllyMwinyi-rx8gr 2 дня назад

    Habithi wewe bichwa lileeeee

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 дня назад

    Aka kajamaa itakua kiliwahi kubakwa sio bure,kauza banda kwa ccm bila hisia😢😢

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 День назад

    Utapewa uo umakamu wa kwanza mzee mana si kwa kupayuka hukooo

  • @ThaniMussa-be5bn
    @ThaniMussa-be5bn 2 дня назад

    Acha uongo ccm haijadai uhuru usipotoshe

  • @AlawyAlawi
    @AlawyAlawi 13 часов назад

    Ugonjwa ni wa Aina nyingin au tuseme yote hii ni njaa ama kweli nja ikihama tumboni ikahamia kichwani ni mtihani mkubwa

  • @jafarmohd5217
    @jafarmohd5217 18 минут назад

    Kwel we hujielew

  • @songombingo108
    @songombingo108 3 дня назад +1

    Cheki bichwa lake😂

  • @alijuma1442
    @alijuma1442 3 дня назад

    Mzee njaa inakusumbua

  • @SalumKhamis-t5d
    @SalumKhamis-t5d 3 дня назад

    KIBARAKA NJAA HUYOO

  • @maalimmziwandangwali1736
    @maalimmziwandangwali1736 2 дня назад

    😅😅😅😅😅😅

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 3 дня назад

    Mwacheni musimuonee, Ndo mungu alivomjaalia aseme ivo huyo
    . Msameheni naye binadamu unlimi hauna mfupa. Kweli tubadilishe ugha zetu babu nimekusikia uko kwenye mstari.

  • @OmanIbri-hj8ss
    @OmanIbri-hj8ss 3 дня назад

    Wewe na icho Chama cahko note n wasengee

  • @omarkb6775
    @omarkb6775 День назад

    Ww ndio wakuombewa mwanzo kwasababu njaa ishapanda kichwani tatizo kubwa ilo kwenye maisha ya mwanaadamu😂

  • @RajabQassm
    @RajabQassm 2 дня назад

    Mzungumzaji hana akili timamu

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 3 дня назад

    Hawa hawana vyama,maana chama ni watu na watu hawana, kwa io ilobaki ni ujinga na porojo.

  • @abuuraslani4133
    @abuuraslani4133 2 дня назад

    Ametumwa na ccm

  • @humoudalexy2866
    @humoudalexy2866 3 дня назад +1

    Tafsiri ya bendera yako inaonekana nyuma yako hii kwa mwenye akili wowote atajua kama upo kwa niaba ya nani😂😂

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 2 дня назад

    Act imeshasema wala hawarudi nyumba

  • @Talib-j5x
    @Talib-j5x 2 дня назад

    Kwa pesa gani anayolipwa

  • @SharifRashid-g1j
    @SharifRashid-g1j 14 часов назад

    Kumamayo

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 3 дня назад

    Huyo babu musimnange, muhifadhini ndugu zangu.

  • @abuuraslani4133
    @abuuraslani4133 2 дня назад

    Mishemzi haya

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 2 дня назад

    Wapumbavu kama hawa wanapotezea waandishi muda,hana chochote cha msingi, anaporoja ili mabwana zake wamuone wamgaiye mkate.

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d 3 дня назад +2

    Kaka yangu hapo unakosea ccm imezaliwa mwaka 77 inakuwaje kuwa wao ndio walopigania uhuru wa Nchi hii Wacha unafikiwacha tamaa

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 3 дня назад

      CCM ni mazao ya tanu na Afroshirazy kwaiyo yupo sahihi kusema ccm ndo walopigania uhuru wa nchi hii jee vyama vyengine ni mazao ya nini jawabu itakuja ccm

  • @tupendanevilla3183
    @tupendanevilla3183 2 дня назад

    Unaunga.mkono.kura.ya.mapema.acha.unafiki.ww..muheshimiwa.sheriya.ipi.

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 2 дня назад

    Mmmh hujielewi wewe

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 дня назад

    Ushapokea hongera hapo katk sms

  • @AnnoyedChickens-eg5pb
    @AnnoyedChickens-eg5pb 3 дня назад

    Ww unahitaji kupimwa akili na hufai hata kuongoza kuku

  • @ThaniMussa-be5bn
    @ThaniMussa-be5bn 2 дня назад

    Inaonekana wwe kibaraka wa ccm endelea kuitumikia ccm

  • @allyhamad8492
    @allyhamad8492 3 дня назад

    Unaweza kuwa na elimu lakini ukawa mjinga

  • @tours15
    @tours15 2 дня назад

    Sometimes you should stay quiet.

  • @khamisdaima1455
    @khamisdaima1455 21 час назад

    Twambie 2020 watu waliuliwa na Nani?

  • @OmaryZahran
    @OmaryZahran 2 дня назад

    Mzee usiseme uongoo ccm haija dai uhuru alipo uwawa karume ndy ikaundwa ccm ww njaaa tuu inakusumbuwa kwaza sisi sio watanzania sis ni wazanzibar mjinga m1ja ww

  • @RajabQassm
    @RajabQassm 2 дня назад

    Kwani Ada tadea ni nini?

  • @jafarmohd5217
    @jafarmohd5217 17 минут назад

    Hamutak et kudaidiwa munawaza ujinga tuu

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 3 дня назад

    Bado hujasema ukiwa tayari utasema

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 2 дня назад

    Anasema nini mpumbavu jitu kma.halijasoma nisawa na boma la nyumba

  • @ahmedalkiyum7592
    @ahmedalkiyum7592 2 дня назад

    Anapembejea hio ruzuku tu huna mpya kama unataka iongoze serikali hio hio bc wekeni ufalme iwe serikali ya kifalme bc

  • @HamisJuma-sl1ye
    @HamisJuma-sl1ye 2 дня назад

    Kwani Omo anaongea nawewe ?

  • @khatibumakame6014
    @khatibumakame6014 3 дня назад

    Una chama gani mhe

  • @SaidHassan-ot3un
    @SaidHassan-ot3un 3 дня назад

    Jadili ya tadea ya act hayakuhusu

  • @HassanMchoro
    @HassanMchoro 3 дня назад +1

    Weee mzee bwegee kweli vyote tunavyo uliwa tunapigwa tunazulumiwa unatak kiki kwa ccm hem nenda uko uso jiyelewa uko kwenye pesa utu huna mzanzibar ww unajuwa uchungu wa nchi shenzi

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 3 дня назад

    Miaka 30 Sasa tuelewane don't care you understand me know let you know people stand up

  • @aliomar9763
    @aliomar9763 2 дня назад

    Ww wacha kupotosha kibaraka mkubwa, chama au serekali wote wanatumia kadi zetu

  • @hashimhamis-bj1kf
    @hashimhamis-bj1kf 2 дня назад

    Hujitambui ww ni wale wale ccm

  • @suleimanmajani6187
    @suleimanmajani6187 3 дня назад

    Wewe. Ulitaka. Asemeje

  • @mohammedhaji7382
    @mohammedhaji7382 3 дня назад

    Njaa hio , sema nayo. Huna chama subiri utumike kama chawa

  • @RashidiHassani-in9rb
    @RashidiHassani-in9rb 2 дня назад

    Kwiyo waliodai uhuru ni ccm sio wazanzibar kumbe ww ndo unahitaji kusoma maana hujui hiyo historian ya nchi

  • @khamissaid5525
    @khamissaid5525 3 дня назад

    Acha kutumikiwaa usidanganywe natumbo ww

  • @RajabQassm
    @RajabQassm 2 дня назад

    Kwani walioeka hiyo sheria ni nani na wanaokataa ni nani?

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 2 дня назад

    Unatafuta huruma kw ccm ww unatetea tumbo lako kura ya mapema ni dhulma t inataka kufanyika

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 дня назад

    Kwanini hutoi sera ya chama chako kuliko kumsema mtu.

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 3 дня назад

    Watu wa kangagani mtoto wenu amepoteza muelekeo

  • @juwairiyaburhan3673
    @juwairiyaburhan3673 3 дня назад

    Ww msomi gani

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d 3 дня назад

    Mimi niliona utazungumza uchafuzi uwe huru na haki kumbe unatuletea upumbavu litizame jiso baya

  • @sabrimohd753
    @sabrimohd753 4 дня назад

    Huyu mzee juso lako kama mkundu wa kima

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 2 дня назад +1

    Vijana hawana Ajira.Huduma za Kijamii ni Mbovu,Hispitali hazina Wataalamu,Shule hazina Waalimu Wewe uko hapo unaongea Ujinga.Mpuuzi mkubwa.Ulaaniwe wewe na Kizazi chako.

  • @fadelsaed8598
    @fadelsaed8598 3 дня назад

    Wewe kuma Huna la kusema wewe upo hapo kwa kula umetumwa

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d 3 дня назад +2

    Hebu nitajie chama chako kina wanachama wangapi naomba unitajie

  • @bakarfarsi4162
    @bakarfarsi4162 3 дня назад

    Wlewe nfla

  • @ismailmakame3972
    @ismailmakame3972 2 дня назад

    Achaujinga huu wewe ninani. Ndio kwaza uzaliwe au madaraka yamekutamkia. Tuachieni zanzibar yetu.

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 3 дня назад

    Wewe kweli ni Mzanzibari mzalendo wa kweli, unajitambua nasaba, asili na utu wako, siyo wale wanaojikataa na kutukuza watu wengine ambao waliivamia Africa na kututawala.

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 3 дня назад

    So what, umm

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 3 дня назад

    Siasa unafik mtu .....

  • @KhamisSalum-wz8cy
    @KhamisSalum-wz8cy 3 дня назад

    Hahahaha hujasoma wewe ni ...........

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 2 дня назад

    Wewe Unajua Sheria Pimbi wewe Mchumia Tumbo

  • @Suleimanomar-q8g
    @Suleimanomar-q8g 3 дня назад +2

    Hana ishu huyo shida yake ni ruzuku apewe ruzuku wakati hana hata diwani njaa tu hio ashaina uchaguzi unakaribia

  • @JumaAli-h6g
    @JumaAli-h6g 2 дня назад

    Wewe hauna sababu ya kusema wewe una chama cha siasa wewe ni dhalim kama c c m yeyote

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 4 дня назад

    Napita tuu sijamuelewa anaongelea nini