MAKALA YETU-02 | FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA UFUTA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 сен 2024
  • Je unafahamu kuwa soko la ufuta kwa Tanzania sasahivi ni zaidi ya mara tatu ya uzalishaji wake, kwa mantiki hiyo zao hili lina soko kubwa sana ndani na nje ya nchi.
    Zamani uzalishaji wa ufuta ulikuwa ukifanyika kwa kiasi kidogo sana, kwa sababu wakulima walikuwa wakilima zao hilo kwa mazoea bila kuweka nguvu kubwa kutokana na uhitaji wake kuwa wa kawaida, mara nyingi zao hilo lilikuwa likitumika kama nafaka zingine za kawaida na lilikuwa likitengenezea vyakula vya starehe na kutumika kama kiungo cha kuungia mboga za majani, ama kuliwa kwa kuchanganya na mihogo ya kuchemsha ama kuliwa lenyewe kwa kutengeneza kashata za ufuta.
    Lakini kwa sasa kilimo hiki ni kilimo chenye uhitaji mkubwa sana na kinalimwa sanakwakua ni moja ya zao la biashara na ni moja y azao lenye tija ambalo linalenga mno kukomboa jamii yetu kutoka katika dimbwi la umasikini.

Комментарии • 2