MACHWEO FULL MOVIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 37

  • @MhangwaJoseph
    @MhangwaJoseph 9 дней назад

    Mhhh mzeee anamkwara daaahhh

  • @sharonbhoke-hk2my
    @sharonbhoke-hk2my Месяц назад +5

    Good job sarah ❤❤❤❤❤❤

  • @AliKishombo
    @AliKishombo Месяц назад +3

    Kazi nzuri

  • @JoshuaKoneibrahimu
    @JoshuaKoneibrahimu 6 дней назад

    Ninatoka kongo nimependa hii mvi lakini sijaelewa tuelewesheni

  • @StephenNyamhanga
    @StephenNyamhanga 18 дней назад +1

    Mmezinfua yaani movie hata haieleweki kabisa hapa lazima tuwaambie ukweli

  • @NicksonKakore
    @NicksonKakore Месяц назад

    Hilo balaa sio lakitoto yanii ni mbayaa sanaa

  • @AngelJohnson-q5p
    @AngelJohnson-q5p 15 дней назад

    Mwasi nimzuri jamani

  • @JoaoGermano-cb9mg
    @JoaoGermano-cb9mg Месяц назад

    Muito obrigado ❤❤❤❤

  • @josephgikonyo9085
    @josephgikonyo9085 16 дней назад +1

    Kwa kweli Hii haieleweki.. We don't know what is going on in this movie

  • @ChatalaMwalami
    @ChatalaMwalami 25 дней назад

    Move nzuli xana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @brendahakoth4185
    @brendahakoth4185 16 дней назад

    Sasa hii ni movi gani surely

  • @Bintnailah
    @Bintnailah 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂umaskini balaaa

  • @mustaphatibaijuka6995
    @mustaphatibaijuka6995 Месяц назад +2

    Kwa kweli Sina aman

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r Месяц назад

    Muvi ninzuli sema uyu mzee aliekuja kumtoa mulendani ndio kazingua yeye ndio mtaalam ilibidi atuambie changu uyu jamaa kafanyaje adi kumpelekea kufanyiwa vile

  • @Mtemele
    @Mtemele Месяц назад

    Mimi naenderea kuiangalia ila bado sijaelewa jamaa amefia geto demu hajui afanyajee

  • @JoshuaKoneibrahimu
    @JoshuaKoneibrahimu 6 дней назад

    Eeeee imegeuka imekuwa mzim

  • @zahina-l9k
    @zahina-l9k 2 месяца назад +3

    ❤❤❤❤❤

  • @YousterGodfrey
    @YousterGodfrey Месяц назад +2

    Ata sijaelewa hii movie je udindile ni nani binadam wa kawaida au ni jini na Kwann alikimbizwa je aliiba?? Na Kwann alikufa alafu akafufuka ktk Hali ya kutatanisha yaani kama jini hv je Sarah na mume wake wameishiaje alimuamini Sarah au Sara alikuwa tajiri ?

  • @sharonnanjala3461
    @sharonnanjala3461 Месяц назад +2

    Huyu mwasi n mke au mme 🙄

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 2 месяца назад +1

    Angelijua,asinge mpa hifadhi

  • @valeriankinyaiya8278
    @valeriankinyaiya8278 Месяц назад

    Mbeba taka tamaa imemponza

  • @MolingaMusa
    @MolingaMusa 29 дней назад

    Mna muvie za kutisha

  • @suleimaanunda
    @suleimaanunda 2 месяца назад

    ila tashi bw 😂yaani hadi alikuwa anahifadhi dhahabu ili aje kuomoka kitaratiiibu 😂kumbe yuauponza

  • @MariamBakar-hb3pj
    @MariamBakar-hb3pj 2 месяца назад

    Kzi ipo😂😂

  • @chacreation255
    @chacreation255 2 месяца назад +1

    Good

  • @AyubuKapambila
    @AyubuKapambila Месяц назад

    Thengyou

  • @anitakerubo9429
    @anitakerubo9429 2 месяца назад +1

    Nice movie

  • @CavogoCristiano
    @CavogoCristiano 2 месяца назад +9

    Sasa utakuaje warudie tena kupost kipande hikiii ?

  • @Omary123-f8x
    @Omary123-f8x Месяц назад

    Ata aieleweki

  • @RehemaMemsap
    @RehemaMemsap 2 месяца назад

    Ata sijaelewa

  • @sandrahnsengo1
    @sandrahnsengo1 Месяц назад

    🫡🔥💞

  • @jenifajeni9951
    @jenifajeni9951 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤