IBENGE KUTUA DAR!/ AWAKATAA AL HILAL/ MGUNDA ACHEKELEA/ KUIKABILI AZAM FC/ TAJIRI KUTOBOKA MFUKO!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 май 2024
  • Klabu ya Simba SC iko katika nafasi nzuri ya kumtwaa kocha Florent Ibenge, baada ya mwenyewe kuomba kuondoka ndani ya timu ya Al Hilal ya Sudan, huku uongozi wa timu hiyo ukiendelea kupambana kumbakisha.
    Taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo amekaa vikao viwili na mabosi wa Al Hilal wakimweleza kuwa wana imani naye, lakini mwenyewe amesisitiza kuwa anataka kuondoka na sababu kubwa ni kutaka kuifundisha timu inayocheza Ligi Kuu na kupambania mataji.
    Ibenge anatajwa kuwa kwenye orodha ya wanaotakiwa na Klabu ya Simba na kupewa nafasi kubwa ya kuwa kocha mkuu, baada ya kuondoka Abdelhak Benchikha, huku kitendo cha kuomba kuondoka Al Hilal kikionekana kuwa huenda tayari ameshafikia makubaliano na kabu hiyo.
    Hii si mara ya kwa klabu hiyo kumuhitaj lbenge ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, na ilibaki kidogo imnase mwaka 2022 lakini ilishindikana na kuangukia, kwa Zoran Maki.
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #simbasc #ahmedally #usajilisimbasc
  • СпортСпорт

Комментарии • 14

  • @ramadhankilango9088
    @ramadhankilango9088 25 дней назад +1

    Nafikir Ibenge na mgunda wakipewa uwezo wa kusajir kwa uhuru kitu kikubwa kitapatikana

  • @PaulMasolwa-ir4fp
    @PaulMasolwa-ir4fp 24 дня назад

    Kwa hiyo simba tunahitaji kocha wa nje tu hata kama hawatupi matokeo

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 25 дней назад +1

    Ahmed Ally kauli zake ni hizo tu misimu yote usajili, labda tusibiri tuone

  • @HajeebasJr
    @HajeebasJr 21 день назад

    Kikubwa mulete wachezaji wenyeviwango

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 24 дня назад

    Ibenge wanini wakati mgunda ni bora kuliko ibenge?

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 25 дней назад

    Mgunda abaki kua msaidiz wakishirikiana wataipeleka team juu Tena

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 25 дней назад +1

    MNAZO CHUPI ZA KABUNYAU AU.

  • @abuushaymaatzkajoki7107
    @abuushaymaatzkajoki7107 25 дней назад

    Tutafika sehemu tusitake kuiona hata Simba kbsa

  • @BoniventureRiwa-fs2py
    @BoniventureRiwa-fs2py 25 дней назад +1

    Mgunda apewe timu chamsingi aletewe wachezaji wazuri

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 25 дней назад

    Mpe mgunda timu

  • @georgegregory8414
    @georgegregory8414 25 дней назад

    Tuachieni mugunda wetu anatutosha hao wengine wasubiri kwanza, Anawachezesha watoto na tunapata ushindi

  • @athumanhatibumkombolaguha
    @athumanhatibumkombolaguha 25 дней назад +2

    IBENGE wanini sasa,? Timu apewa Mgunda anatosha sana, Mbona wanamfanya coach Mgunda kama spare tairi,,?