No matter what side you are - Kenya Kwanza or Azimio - it's time as a people we started demanding better. Nassir ako na point hapa - kura ya Mombasa na Kakamega haikufaa kuhairishwa. Chebukati needs to be in jail if we were to be honest with each other. May God prevail.
Heheheee, Mr project ole wako nakwambia hautaamini macho yako. Kura ni kwa Hassan Omar Hassan upo? Andaa safari ya kwenda kortini mlivyozoea watu wa azimio na tumewazoea.
voice of the peolple of mombasa big love and the whole mombasa is with u
Nassir all the way like oxygen wish you all the best
Nassir is just another poverty for Mombasa,
Iam glad to see honorable Martha kurua and honorable Raila Amolo Odinga being Mombasa together...
Ameleta macho pekeyake Azimio.
@@miryamorungo4451 her value to the coalition is more than just votes. Her loyalty is priceless and her experience is worth every penny
Recount of the votes would be to Ruto's advantage. Kenya Kwanza was at disadvantage to all the election exercise countrywide.
Hatumjui Joho Twamjua Nasser 👍
Nassir u r good leader bt ua supports wanaeza kufanya hutafaulu
Babaaaaaa twakupenda bure live long And long ❤❤❤❤❤❤
Abdulsamad u hv my vote
Kama huyu ndio gavana mutarajiwa ,mombasa iko mashakani !!,uza sera baba!
Spot on
Martha warming up to Join yello yello...hatukutaki...
Mombasa tuna Siri na Abdulswamad 💙💙💙✌✌
Wewe sio Mombasa kura ni kwa Hassan Omar.
Reminds me of Justice Maraga, " we will revisit " by UK
He has a beautiful voice
Ona uhuru ashakupa m.mungu atakulinda,lakini stadium joho akupi
Hatutaki project
Martha looking very smart in that UDA attire
Kakamega next governor is for azimio
Instead of campaigning again mnatukanana, mkishindwa mseme mmeibiwa 🤣🤣🤣
Nashangaa😂
Mama Martha always look out of place.
Always Be Polite In This Life..Ruto Hakuwa Mwizi..Kindly Apologise
Hadithi na hekaya za abunuasi hakuna sera za mwananchi. Hii ndio ilofanya Azimio waende nyumbani lakini inaonekana hawakusoma lolote
No matter what side you are - Kenya Kwanza or Azimio - it's time as a people we started demanding better. Nassir ako na point hapa - kura ya Mombasa na Kakamega haikufaa kuhairishwa. Chebukati needs to be in jail if we were to be honest with each other. May God prevail.
Ehh jama anatisha
Signs of defeat....Re visit how???
No it is staying the course for justice
Heheheee, Mr project ole wako nakwambia hautaamini macho yako. Kura ni kwa Hassan Omar Hassan upo? Andaa safari ya kwenda kortini mlivyozoea watu wa azimio na tumewazoea.
Kabsa
Hatutaki Joho project mombasa
Twataka AbdulSwamad Joho kwisha mambo yake
@@b.truthful gora moja yeye na Joho. Ubaya alitegemea joho amshike mkono.
Tumia akili huo niupotovo mkubwa
@@rahmasharif5592 niache na akili yangu we tumia yako
ASN NDANI YA COUNTY
I hope Chebukati doesn't mess up Mombasa and kakanega elections.
Abdulswamad na Joho ni kama Maji and water😁 no More love 🚫❌
Siasa ziliisha Abdulswamad tulia hizi kelele ndo zinafanya mkishindwa mwaenda kortini.Hatupei governor mwenye hayuko kwa gorver tia iyo akilini
Si kwa uwezo wako bali kwa uwezo wa Allah azimio itapata ushindi na Abdiswamad atakuwa governor mombasa 🤲
My governor in waiting
Papa akizaliwa hafunzwi kuoga😛
AMA?
🔵🔵🔵🔵🔵🔵
A governor should be reasonable and goal oriented, uyu na shisha boy 01, same breed.
Kwa kweli nyani haoni kudule!! Je naye maraya wenu Aisha Jumwa utamsema je?
Amani muhimu
Na bado mtashindwa
Ati mnasema Joho ako wapi wakiwa na Junet?
Hata shosho ameona ni kubaya amanza kuitikia mwito wa UDA hata mavazi iyake ko wazi sasa bado GUKA 🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
His speech sounds like a script from Joho wololololo….hamna sera
Sera unayo wewe
Wacha uchochezi,umeanza kuogopa eti utaibiwa?....na bado
Leo Asimio amevaa nguo za Uda, maybe to confuse people thats uda they vote for them, ngoooooo
Akili punguani mchenzi huyu
I thought Azimio is government
Karua amingia UDA mavasi nayo
kwendaaaa wewe ni muoga
Joho na junet are hiding
WHAT is THIS THING baba?
Kwendaa kwan lazima wewe
Joho has been kicked out
Karua yellow is the color karibu UDA na utoe gogo's
ujinga ndio unayo mingi Sasa mtu asi vae nguo yake 😳😳
Watu waruto wanavaa akili kwa kichwa kama kofia😆😆
She looks more presentable that during presidential campaigns
@@fathmaibrahim1843 zoea mapema raisi wako watano
@@Titustv671 hebu mwambiye waache chuki mombasa ni azimio
Mama leo nimeona uko ndani ya UDA karibu nyumbani ama uende bondo
🤣🤣🤣🤣🤣
Hehe anawashow soma rabel
Karua Leo ni yellow. UDA