Amen ubarikiwe sana baba uwa unatubariki sana kabisa, Mungu ange tupa wana ume kama wewe na juwa inchi yangu ya congo 🇨🇩, ingepona kabisa kabisa, mahana sijawai kuona mwana ume shujaa kama wewe katika inchi zetu zawa African
Huu ujumbe unaonyesha WW N JASIRI TENA SHUJAA...HODAR MTU MAHIRI KATIKA TAIFA... Mm nakupenda mno. Nakupenda mno na ntaendelea kukupenda sana sana. Pia nakufatilia kwsbb napokea kitu kizur sana Nakupenda
MAN OF GOD, you teach very extraordinarily with extraordinary power coupled with extraordinary clarity which penetrates even the ordinary mind of the ordinary person. You are exceedingly the best in the contemporary epoch.
Nakuelewa baba hakika Mungu amekutumia Kama Kuna watu wanakuita Freemason Basi mm Nasema Mungu ndio kakupeleka huko ukajue Siri zao na utupu wao ili nawe uje utujulishe watu wake Amina Amina
Sisi sio nyani wao tenaaaa Mungu katusimamisha watapigwa waoooo sisi tutazidi kusonga mbeleeee hakuna siraha itayotupiga iwe Corona iwe ukimwi iwe Tb na yote waliotutengenezea yawarudie wao wenyewe ktk jina la Yesu Kristo Mungu ulie hai Amina Amina
Halellujah Ameeeen asante Baba kwa mafunzo na maombi na sana kusimama na wateule wote Duniani tuko na imani ya kwamba mabaya hayatatupata kwa damu ya yesu kristo tumefuka tayari Baba Barikiwa Sana na Bwana wa Majeshi Ameen.
Mimi ni mkesho ila napenda sana mafundisho yako ww mpakwa mafuta wa Bwana. Kwakweli kunakitu kikubwa ndani yako ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu mm naomba neno moja tu kutoka kwako 🙏🙏🙏
Yani mimi nilikuwa gizani jamani toka nimeaza kukusikiliza mtumishi kwakweli najifunza mambo mengi sana ila mimi nataka nikuone wewe binafsi sasa nakupataje nawe uko dodoma mi niko dar es salaam
Mtu Katika zamu yake na aliyeiona kesho,, hakika anayechukia mafunuo haya ama ni shetani ana amelogwa! KWA sababu maneno haya ni ya muhimu saaaana tena ni afya saana
Jamani masaa zaidi ya matatu ni mengi sana kukaa na kumsikiliza mtu mmoja, gwajima did you think about those children who sat there with their poor mothers, the children looks tired and bored. Jaribu kufupisha misa zako ili uwape nafasi watoto warudi nyumbani na mama zao. You are there jumping left and right enjoying looking at desparate people. Waziri wa watoto hembu liangalie hili swala la watoto wanavyo teseka hapa kwenye kanisa la gwajima kisha toa tamko Hii ipo pia kwenye makanisa mengi except ya katoliki
Unamkumbuka Yesu, watu walimfuata kwa muda WA karibu siku tati.utamubwa neno unakufanya hata usichoke.we kama unachoka ni we.harafu kaka unazani we ndio unawapenda sana halo watu au wamekutuma uwasemee ndugu
We umetumwa kabisa wewe. Wewe umetoka kuzimu kabisa hujui ibada Ni Nini nenda mbali kabisa kwa jina la Yesu sisi hatukaagi masaa matatu tu Bali kutwa nzimaa tunakaa na watoto wetu
@@johnvascogodfrey7070 Ndio sasa waziri wa watoto aingilie kati kwani hiyo ni abuse to the highest level, l love gwajima and l listen to him every Sunday but when l see them children on their mother hands it break my heart. The children don’t need that long stay in that confined area and the teaching is not for their age. Gwagima is a father and his wife is a mother please rethink about your loooooong mass the children are suffering.
Amen ubarikiwe sana baba uwa unatubariki sana kabisa, Mungu ange tupa wana ume kama wewe na juwa inchi yangu ya congo 🇨🇩, ingepona kabisa kabisa, mahana sijawai kuona mwana ume shujaa kama wewe katika inchi zetu zawa African
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Unatisha man of God. Nakukubali sana Kwa mafundisho yako.
Kwa tz nawahesabu wawilintu yaani wewe na Mwalimu
Nakupenda Baba Gwajima only God knows 💕🙏
God bless you and receive more power from the Lord
Amina baba yangu kila ninapokusikiliza najifunza kitu Bwana Yesu akutunze sana
Huu ujumbe unaonyesha WW N JASIRI TENA SHUJAA...HODAR MTU MAHIRI KATIKA TAIFA...
Mm nakupenda mno.
Nakupenda mno na ntaendelea kukupenda sana sana.
Pia nakufatilia kwsbb napokea kitu kizur sana
Nakupenda
🙏🙏🙏
MAN OF GOD, you teach very extraordinarily with extraordinary power coupled with extraordinary clarity which penetrates even the ordinary mind of the ordinary person. You are exceedingly the best in the contemporary epoch.
Ameeen dady Gwajima. Ni saa ya M/kondoo kutenda kazi. Haleluya!
Amen be bless man of God watching from USA
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.asante kwa chakula cha roho.Amen
amina corona itageuka vitamini ndani yangu
Nakuelewa baba hakika Mungu amekutumia Kama Kuna watu wanakuita Freemason Basi mm Nasema Mungu ndio kakupeleka huko ukajue Siri zao na utupu wao ili nawe uje utujulishe watu wake Amina Amina
Amen. Thank you Man of God. Watching from North Carolina.
Sisi sio nyani wao tenaaaa Mungu katusimamisha watapigwa waoooo sisi tutazidi kusonga mbeleeee hakuna siraha itayotupiga iwe Corona iwe ukimwi iwe Tb na yote waliotutengenezea yawarudie wao wenyewe ktk jina la Yesu Kristo Mungu ulie hai Amina Amina
Ahsante Baba niko ufaransa na hiyo chanjo wengi hawachanji kabisa
Halellujah Ameeeen asante Baba kwa mafunzo na maombi na sana kusimama na wateule wote Duniani tuko na imani ya kwamba mabaya hayatatupata kwa damu ya yesu kristo tumefuka tayari Baba Barikiwa Sana na Bwana wa Majeshi Ameen.
Amen baba
Ameeeeen najiunganisha na madhabahu hii ya ufufuo na uzima
Aminaa Amina
Amen daddy God bless you Daddy 🙏💗
Waangamizi wangu wote na wa wanangu waangamie wote milele kwa jina la yesu
Amen mtumishi wa Mungu Mungu akuongezee hekima na maarifa ya yake
najifunnaz naomba nifundishe mimi nakuangalia sana na ninamuomba roho mtakatifu anionyeshe ukweli wa dunia
Wachawi wangu wote na wa wanangu waokoke leo ama wakufe leo kwa jina la yesu
Mimi ni mkesho ila napenda sana mafundisho yako ww mpakwa mafuta wa Bwana. Kwakweli kunakitu kikubwa ndani yako ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu mm naomba neno moja tu kutoka kwako 🙏🙏🙏
Amen Man of God! Thanks ✋ for Reminding n Boost my Faith!
Amen Sanaa baba.
Magufuri mzeee magufuri njoooooo
Amina dady
Natamani ingekuwepo wizara ya spiritual affairs,gwajima ingekufaa kabisa mtumishi
Sema mtumishi wa MUNGU
Hallelujah 🙏
@@rachelmakokha7389 kabisa Rachel,upo Dar saiv
Kweli hiyo ume i-name vizuri SASA, SASA hatari yake je atakayekuja atakuwa na msimamo kama wa Askofu, ama unakuta tofauti
Amen
Amen daddy🙏🌷🌷
Ammmmen🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✋
Amina God bless you
Amen amen daddy
Amen Amen Amen
Ameen Dad
Mungu hametupa nguvu yakufata kila jambo ameen Daddy
Leo ni meelewa nini Naivera may u live long man of God
Amen,bishop
Man of God, I connected with Prayers 🙏 .
Powerful
Nitamlisha ili apate nguvu ya kunipeleka,,,,haleluyaaa....
Ameen Baba
Amennn
Amen Dady
Amen daddy...watching from Kenya
Amen Daddy
Ufufuo na Uzima kahama Tuko pamoja nanyi
Nimeijua siri
Good
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Truth be told. Amina🙏🏾
Amen amen
Praise lord how do I communicate for prayers Bishop thanks GOD bless 🙏🙏🙏
Whatsapp me on +254723514631. I will direct you
Baba askofu wamesema sahizi huchokoneliwi puani sahizi ni sehemu ile kinyezi hutokea
Yani mimi nilikuwa gizani jamani toka nimeaza kukusikiliza mtumishi kwakweli najifunza mambo mengi sana ila mimi nataka nikuone wewe binafsi sasa nakupataje nawe uko dodoma mi niko dar es salaam
Chuma ni chuma
You have a PhD in bible studies.God bless y
Mtu wa zam yake
Ametokea tayali anesema tanzania wamekataa chanjo
Ameen
Nilivyozima tu data mahali,alijiinua mtu na kusema mimi nimtubaki kwanini nipewe umiliki wa dukazima 😂😂😂😂Wacha niendelee kuuchochea moto
Mtu Katika zamu yake na aliyeiona kesho,, hakika anayechukia mafunuo haya ama ni shetani ana amelogwa!
KWA sababu maneno haya ni ya muhimu saaaana tena ni afya saana
nunua kbuyu sikijaze maji kama kitajaa maji?????????????
nisaidie unajuaje nimechakata kwa roho mtakatifu maono na focus ...nikaona siyo yenyewe???????????
Jamani masaa zaidi ya matatu ni mengi sana kukaa na kumsikiliza mtu mmoja, gwajima did you think about those children who sat there with their poor mothers, the children looks tired and bored.
Jaribu kufupisha misa zako ili uwape nafasi watoto warudi nyumbani na mama zao.
You are there jumping left and right enjoying looking at desparate people.
Waziri wa watoto hembu liangalie hili swala la watoto wanavyo teseka hapa kwenye kanisa la gwajima kisha toa tamko
Hii ipo pia kwenye makanisa mengi except ya katoliki
Huwa tunawabebea c hakula mama yoyote lazima abebee watoto wake c hakula na uzuri tuko kiroho lakini ukiwa kwi mwili ndio unachoka
Kila kanisa lina mfumo wake
Unamkumbuka Yesu, watu walimfuata kwa muda WA karibu siku tati.utamubwa neno unakufanya hata usichoke.we kama unachoka ni we.harafu kaka unazani we ndio unawapenda sana halo watu au wamekutuma uwasemee ndugu
We umetumwa kabisa wewe. Wewe umetoka kuzimu kabisa hujui ibada Ni Nini nenda mbali kabisa kwa jina la Yesu sisi hatukaagi masaa matatu tu Bali kutwa nzimaa tunakaa na watoto wetu
@@johnvascogodfrey7070
Ndio sasa waziri wa watoto aingilie kati kwani hiyo ni abuse to the highest level, l love gwajima and l listen to him every Sunday but when l see them children on their mother hands it break my heart. The children don’t need that long stay in that confined area and the teaching is not for their age.
Gwagima is a father and his wife is a mother please rethink about your loooooong mass the children are suffering.
Amen Amen Amen
Amina God bless you
Amen Daddy
Amen
Amen amen
Amen 🙏🙏🙏🙏
Ameen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen 🙏