Neno la Mungu si la kushindana bali la kufundishana na kuelekezana hata kama kuna mmoja amekosea,MSIFANYE NENO LOLOTE KWA KUSHINDANA...wote nyie nia yenu ni moja kumtafuta Bwana na mwisho kukutana naye na sio kumtafuta mshindi wa neno...Ushauri wangu wote muwe makini Shetani anaweza kutumia jambo hilo kuwapepeta nyote kama ngano...Hekima Ya Mungu inahitajika sana na kujinyenyekeza
Mtumishi Onyano usimkazie sana makoya kwani nyote mwatembea njia moja. Makoja kweli anatumia logo za wenyewe naw e katika kuamini kwako unakubari kuwepo kwa == (1) makambi (2) utoaji wa zaka (3) ubatizo kwa maji mangi namengineyo Hayo yote ni kutoelewa ujuzi wa Mungu Ujuzi ndio huu"‹ Kwanza naomba usome fundisho la maagano mawili
kiongozi mambo ya MUNGU ayaendi hivyo chakwanza ulimfwata kumshauli kama kweli nimuongo kama la hiyo siyo njia sahihi na wewe umekosea. cha kwanza unabidi umuone private afu kama akikataa jalibu kumuita mtu mwingine ili muende kumshauli. nakushauli apo sio vizuri maana naona wewe unaenda njia sio sahihi kiongozi. kwani mtu akitumia iyo logo mnaosema siyo ya kikristo harisi ndo asitangaze ukweli. we nakuona unawaibisha watu afu kuwa na adabu huyo ni mtu mzima wako acha kupaniki kijana. Kwenye mahubili yake ametoa namba yake ebu mpigie siokumchafua jina lake hadhalani. (Kuwa na adabu kijana tena naona unaenda kupotea ebu badilika maana unaenda hata kinyume na biblia ilivyo)
I think this was to be made privately.Then Christians are there to listening to the word of God from you preacher and our interest is not knowing who understands the bible more. Everyone has to preach according to the light given to them.
So what's your definition of humility brother. How should a simple invitation to a brother for a good discussion be made?.There are people who are just negative in everything even in things which don't concern them.
kiongozi mambo ya MUNGU ayaendi hivyo chakwanza ulimfwata kumshauli kama kweli nimuongo kama la hiyo siyo njia sahihi na wewe umekosea. cha kwanza unabidi umuone private afu kama akikataa jalibu kumuita mtu mwingine ili muende kumshauli. nakushauli apo sio vizuri maana naona wewe unaenda njia sio sahihi kiongozi. kwani mtu akitumia iyo logo mnaosema siyo ya kikristo harisi ndo asitangaze ukweli. we nakuona unawaibisha watu afu kuwa na adabu huyo ni mtu mzima wako acha kupaniki kijana. Kwenye mahubili yake ametoa namba yake ebu mpigie siokumchafua jina lake hadhalani. (Kuwa na adabu kijana tena naona unaenda kupotea ebu badilika maana unaenda hata kinyume na biblia ilivyo)
Neno la Mungu si la kushindana bali la kufundishana na kuelekezana hata kama kuna mmoja amekosea,MSIFANYE NENO LOLOTE KWA KUSHINDANA...wote nyie nia yenu ni moja kumtafuta Bwana na mwisho kukutana naye na sio kumtafuta mshindi wa neno...Ushauri wangu wote muwe makini Shetani anaweza kutumia jambo hilo kuwapepeta nyote kama ngano...Hekima Ya Mungu inahitajika sana na kujinyenyekeza
Acts 18:28
Whatever that's a mystery leave it to God
Present the Present Truth,we don't have time to waste
Signs of the times shows we are at the hedge
Kasome ujumbe wa Mokaya kwenye kufa na kupona, mahibiri ya kubishana na midahalo si sahihi achana na huo ujumbe.
Mtumishi Onyano usimkazie sana makoya kwani nyote mwatembea njia moja. Makoja kweli anatumia logo za wenyewe naw
e katika kuamini kwako unakubari kuwepo kwa ==
(1) makambi
(2) utoaji wa zaka
(3) ubatizo kwa maji mangi namengineyo
Hayo yote ni kutoelewa ujuzi wa Mungu
Ujuzi ndio huu"‹
Kwanza naomba usome fundisho la maagano mawili
Wewe achana na Mokaya bwana huyo amefanya research yakutosha.
Sasa mjadala wa Nini, neno la Mungu linasema tusiwe na mashindano, hiyo ni njia ya shetani kufurugha ukweli wa sasa
Barikiwa mtumishi Frank
Vizuri sana,ajitokeze hadharani kwa mjadala
Karibu Charles Mokaya.
Apo sawa mtumishi 🙏🏽
Ndacha tafuta wakatholic mjadili haya mada
Onyango akosawa kabisa
Nina furaha mumepatana na ujumbe wake .....naomba sasa aelezwe ukweli maana mafundisho yake yanakanganya
kiongozi mambo ya MUNGU ayaendi hivyo chakwanza ulimfwata kumshauli kama kweli nimuongo kama la hiyo siyo njia sahihi na wewe umekosea. cha kwanza unabidi umuone private afu kama akikataa jalibu kumuita mtu mwingine ili muende kumshauli. nakushauli apo sio vizuri maana naona wewe unaenda njia sio sahihi kiongozi. kwani mtu akitumia iyo logo mnaosema siyo ya kikristo harisi ndo asitangaze ukweli. we nakuona unawaibisha watu afu kuwa na adabu huyo ni mtu mzima wako acha kupaniki kijana. Kwenye mahubili yake ametoa namba yake ebu mpigie siokumchafua jina lake hadhalani. (Kuwa na adabu kijana tena naona unaenda kupotea ebu badilika maana unaenda hata kinyume na biblia ilivyo)
I think this was to be made privately.Then Christians are there to listening to the word of God from you preacher and our interest is not knowing who understands the bible more. Everyone has to preach according to the light given to them.
Well said thank you
Matengenezo gani nyie mbona hamjielewi hakunakutoka ndan ya kanisa nitafute mm nikunyoshe ww onyango
Wacha ajitokeze tunamshubiri kwa hamu na gamu
Ajitokeze ukweli ujulikane
Yampasa ajitokeze kama anaamini anachofundisha abacho kilinishangaza ata mimi
nakumbaliana nawe mtumishi sababu kuna siku nilimuuliza swali akaniambia nijue vile najua
Wapi number yake ya simu
😅😅
Kumbe wewe ni mpinzani wa Utatu Mtakatifu??
Mkimalizana naye pia mimi namngoja kwa mjadala mkubwa wa kihistoria. Ukweli lazima ubainike kwa maana tunayo mda mfupi tu.
This is not humility brother. Lets avoid chest thumping, it is not about an individual but God. You have been doing a good job in uon.
Blind Job I did back then.I just realized it was heading nowhere.
So what's your definition of humility brother. How should a simple invitation to a brother for a good discussion be made?.There are people who are just negative in everything even in things which don't concern them.
Sisi wanamatengenezo ni wajasiri kama simba
Juu ya nini? mnatengeneza nini?
Nadhani hii siyo sawa , hiyo ni kujiinua ,acha ukweli ndo uamue siyo kujipiga kifua kimwili hivyo.
Kile nimegunduwa wooote huja na kujadili na wanamatengenezo kwa Ukweli..huwa wanaenda kimia tena hawasikiki...Heri wanaojadili na kurudi zizini...
Huenda wanaokoa muda wao, kuliko kupoteza muda na mtu/ watu wasiokubali kusikia kingine tofauti na vile wanavyoelewa wao, mithali 18:1-2.
Zizini ni wapi