Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kama umechaguliwa 2020 after covid 19 gonga like
Daah, nyumbani kabisa (kilimanjaro District) ❣️🇹🇿
R.I.P fundi wa mziki
My JAM !!!
Yakumbusha wajuzi MA watunzi
Loooove this! Anybody has a good recording of the album?
Loooh huu wimbo nakumbuka shangazi alikua anapenda kuusikiliza huku anapika ubwabwa wa Nazi njee.Mpangilio wa vyombo na sauti izo mie hoi wallah
Poa sana
Dahh makukumbu ya Nyumbani kule Nyumbani (Himo)
Kitambo sana baba na mama waliniacha kwenda kwenye harisi ya mjomba nilikuja kuona tu video nikiwa mtu mzima wimbo huu ndio wanacheza ukumbini
jamani zamani sana hii kitu inanikumbusha RTD enzi hizo
Yeah, nilikuwa shule ya msingi darasa la sita wakati wana u release huu wimbo
26/09/3024 .. 🔥🔥
hatari na nusu enzi hz
Enzi za kunduchi Beach hotel ila Kuna ule wimbo unaitwa nampendampenda jamani sijui ntausikia wapi
😊
You tube.
Link please
nilikuwa mdogo sana kipindi wanapiga kunduchi beach
Nimeshasuuza roho!
Kama umechaguliwa 2020 after covid 19 gonga like
Daah, nyumbani kabisa (kilimanjaro District) ❣️🇹🇿
R.I.P fundi wa mziki
My JAM !!!
Yakumbusha wajuzi MA watunzi
Loooove this! Anybody has a good recording of the album?
Loooh huu wimbo nakumbuka shangazi alikua anapenda kuusikiliza huku anapika ubwabwa wa Nazi njee.
Mpangilio wa vyombo na sauti izo mie hoi wallah