NDANI YA BOKSI: Maswali na majibu kuhusu Azam TV Max

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Fahamu mambo mbalimbali kuhusu 'app' bora ya Azam TV Max inayopatikana kupitia mifumo ya 'Android' PlayStore na 'IOS' kwenye vifaa vya (simu au tablet) 'Apple'.
    NDANI YA BOKSI kupitia kipengele chake cha kitu kipya kitakuwa kikikuletea wataalam mbalimbali kutoka #AzamMedia wanaohusika na masuala ya #AzamTVMax pamoja na Kisimbuzi cha #AzamTV
    Usikose kutazama kipindi cha #NdaniYaBoksi kila Jumapili saa 12:00 jioni kupitia #AzamTWO ukiwa na Halima Shebuge pamoja naye Danny Bandezu.
    #AzamTVBurudani #AzamTVBurudaniKwaWote
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Комментарии • 4

  • @fayzaally4489
    @fayzaally4489 3 года назад

    Jaman nataman kuwamtafsiri Wa movie plz naomba connection

  • @twalibutwahilu3498
    @twalibutwahilu3498 4 года назад

    Jaman Azam tunatamani sultan mngefikilia kutuwekea hata youtube tunaimisi

  • @medimaestro
    @medimaestro 4 года назад

    mtaalamu wetu ametisha sana....