KIMENUKA HUKO, KABURU AMSHTAKI MTUMISHI KWA MAKONDA ''HUWEZI KUONGEA KWA KURIPUKA,KUNA VIONGOZI WAKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 23

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 21 день назад +4

    Kijana wangu Makonda unakazi ngumu sana. Tunakuombea Mwenyezi Mungu akulinde kwa Utumishi wako huu bora uliotukuka. Amlinde na kumtunza Mheshimiwa Raisi wetu aliyekuteua. Bila Mungu usingeweza na hutaweza bali kwa msaada wa Mungu unayemwamini. Ubarikiwe. AMINA.

  • @manfredkibona3126
    @manfredkibona3126 21 день назад +4

    Mzee baba umenyooka vizuri sana

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 21 день назад +3

    WAFANYA BIASHALA MKOA WA ARUSHA UTAJILI UPO WAZI KWENU KUPITIA MKUU WA MKOA MAKONDA ANATAKA AKI KILA MFAYA BIASHALA AKUNA RONGORONGO ARUSHA UTAJILI HUYO NDUGU ATA WAFANYA BIASHALA NDOGO NDOGO MMEITOA HUONGOZI SUPER 👌 👍

  • @musaleopards1850
    @musaleopards1850 21 день назад +2

    Inabidi government iwe namfumo au system moja kwa sababu kuna wizi wengi.

  • @peterdamiano6740
    @peterdamiano6740 21 день назад +1

    Huyu mzee katisha sana

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 21 день назад +3

    Mkurugenzi mwili mkubwa akili ya panzi apite hivi aje mtaani auze mchicha ajue Maisha yakoje huku duniani maana anacheza na.maisha ya duniani

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 21 день назад +2

    Sasi sana mifimo yooye ya nch imeooza

  • @peterdamiano6740
    @peterdamiano6740 21 день назад +1

    Mwanaume kula hela ya mwanaume haiwezekani haiwezekani

  • @jacksonrabson6439
    @jacksonrabson6439 21 день назад +3

    Mkurugenzi kajambishwa😅😅

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 21 день назад +2

    Yataisha hayo mwamba yupo hapo

  • @bugapeasant1827
    @bugapeasant1827 21 день назад +1

    Kikweli wafanya biashara wala siowabishi kulipa kodi lakin waonao kusanya ndio wanazila hicho ndicho kinakatisha tamaa kulipa kodi

  • @maneno_kairuki
    @maneno_kairuki 21 день назад +1

    Leo ndio kimenuka kabisa chambulo kamuumbua Mkurugenzi

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 21 день назад +3

    Mimi bado naamini tunahitaji katiba mpya tuitoe ccm madarakani.
    Kuna madudu ya kutosha ndani ya serikali ya ccm Kila Kona ya nchi hii

    • @jaydenbedas5729
      @jaydenbedas5729 21 день назад

      Katiba nzuri ukimpa mkurugensi huyu is nothing

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 21 день назад +2

    Nchi imeooza

  • @joetemu8127
    @joetemu8127 20 дней назад

    Very sad wanaharibu

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 21 день назад

    Samia Hoyee Nani Kama Mama.

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 21 день назад

    Mimi Huwa nawaambia watu madiwani Ndio tatizo, mama samia wape watanzania uchaguzi huru,.

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 21 день назад

    Matatizo hayo ni Tanzania nzima,

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 21 день назад

    Kweri Tatizo ni kubwa,

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 21 день назад

    Hayo yanafanyika Arusha Kwa Wajanja je mikoa mwingine kutakuwaje. ????.

  • @bugapeasant1827
    @bugapeasant1827 21 день назад

    Huyu mfanya biashara hadi raha anachukia sana ufisadi