Sand is become dark ...mchsnga umekuwa mweusi kwa uchafu coco beach instakiwa kusafishwa ndani ya maji na nje ya maji kwa kuondoa maukoka ndani ya maji na kumwaga mchanga safi mweupe
Nimeishi Oyster bay muda mrefu toka 60s sijaona dampo na zaidi kulikuwa na nyumba ya kujirefresh ukitoka kuogelea na safe boxes za kukodisha sijawahi kuona dampo upande wote wote, Ila plan iliyowahi kuonyeshwa aliyo kuwa nayo hayati Yussuf Manji kabla haja zuiwa ingeifanya Coco kuwa kipande cha Miami beach sijui kwanini haikufuatwa naye Makonda skies mkuu wa jiji la DAR alipewa Bilioni 52 na Hayati Magufuli kuitengeneza Coco ili iendane na daraja la Tanzanite kuweka mvuto mchapa kazi huyo sijui alifeli nini pesa zikakaa kwenye account Hadi zikarudishwa treasury pamoja na za machinjio.
Cocoa Beach (Coco Beach) looks much better now compared to before. Thanks to the beautiful transformation.
Mzuri sana kweli
Sand is become dark ...mchsnga umekuwa mweusi kwa uchafu coco beach instakiwa kusafishwa ndani ya maji na nje ya maji kwa kuondoa maukoka ndani ya maji na kumwaga mchanga safi mweupe
❤❤❤
DUH, WE MKUNYA 🇰🇪 ACHA UONGO!! COCO BEACH HAIJAWAHI KUWA DAMPO HATA SIKU MOJA, ACHA KUNAJUSI HISTORIA YA ENEO HILO MPUMBAVU MKUBWA WEEE...
Nimeishi Oyster bay muda mrefu toka 60s sijaona dampo na zaidi kulikuwa na nyumba ya kujirefresh ukitoka kuogelea na safe boxes za kukodisha sijawahi kuona dampo upande wote wote, Ila plan iliyowahi kuonyeshwa aliyo kuwa nayo hayati Yussuf Manji kabla haja zuiwa ingeifanya Coco kuwa kipande cha Miami beach sijui kwanini haikufuatwa naye Makonda skies mkuu wa jiji la DAR alipewa Bilioni 52 na Hayati Magufuli kuitengeneza Coco ili iendane na daraja la Tanzanite kuweka mvuto mchapa kazi huyo sijui alifeli nini pesa zikakaa kwenye account Hadi zikarudishwa treasury pamoja na za machinjio.
Has never been a dump. It was open public beach same way it is now
It was never a dump, what are you smoking? 😅
❤❤❤