KIJANA MZALENDO AWASHA MOTO "KUIPANGA K'KOO WALIMPUUZA TIBAIJUKA KUNA MTU ATAANGUSHIWA JUMBA BOVU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 110

  • @AndrewJohn-z8v
    @AndrewJohn-z8v 6 дней назад +6

    Ngosha magufuri katuamsha saivi usingizini Asante umetuwakilisha vizuri

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 6 дней назад +3

    Uwa nakuelewa sana. Shida ukisema ukweli umekuwa adui, angalia usijetekwa. Maana kuna kitu kinaitwa kukunyamazisha.

  • @DianaNyange
    @DianaNyange 7 дней назад +5

    Upo sawa kabisa watuu wakielezaukweli kuhusu tatizo! Anasimamishwakazi!!!inamaana tatizo badolipo kwenye magorofamengine kwahiyo watuu wakariyakooo wakaekwatahadhari sn!!jmn watanzania tunapenda kuchukuliya mambo poa sana!!!kumbe kilakitukipowazikabisa mimi lawama naitupiya kwaviongozi wanajuwa kila kitu!

  • @Ängelholm-Germany
    @Ängelholm-Germany 4 дня назад +1

    Huyu ni nani......Nimependa anasema UKWELI ❤❤❤❤❤

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 5 дней назад +1

    Ahsante .watanzania hatuna uzalendo..Hatuna uchungu na nchi yetu..Ubinafsi...

  • @Ambwene
    @Ambwene 6 дней назад +6

    Huyu Jamaa anaakili saana aiseee

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 6 дней назад +2

    Kijana mzalendo yupo vizuri sana🙏

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 3 дня назад +1

    Ona hata aibu kusema majengo hayana mwenyewe, nani anapokea kofi?

  • @platinummarcus1341
    @platinummarcus1341 5 дней назад

    Aisee safi sana kaka

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 6 дней назад +4

    Ndugu maneno mengi hayo utakosea umeulizwa habari za ghorofa kuanguka kariakoo

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 4 дня назад +1

    Samia mitano tena

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 4 дня назад

    We unatuchelewesha bana!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 дней назад

    Nyarobi unaijua kazi yako na unajuq kuhoji vizuri wakuongeze mshahara

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 7 дней назад +1

    Nyorobi,uko sawa,hata kama ujui kusoma na kuandika hata picha huoni.

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 6 дней назад +1

    Ongea baba mi nipo na wewe hongera sana lakini ukweli ndio huo.

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 6 дней назад

    Kaka alivyocheka,anashangaa,kwa kweli wavunje khaaaa aisee

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 6 дней назад +1

    Hayo maneno sio kweli sio rahisi kujenga ghorofa bila kibali hasa kariakoo wakati ule kila kata alipangwa Engineer. We unasema sio mtaalam wa ujenzi unazungumziaje mambo usiokuwa na ujuuzi nayo?

  • @RahmaIsambo-t2h
    @RahmaIsambo-t2h 6 дней назад

    Yaani kaka upo vizuri

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 6 дней назад +1

    Kweli kabisa msukuma

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 6 дней назад +2

    Sasa Kwann hawarumii tunu ya ta🎉ifa tibaijuka,kumbe ni msomi,,watu Wa hvyo sio wakuacha,mama Yetu samia mfikirie tibaijuka Kama ni tunu asaidiwe

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 5 дней назад

      Yule mama ndio alitakiwa kuwa rais kwasababu anauwezo mzuri ,msomi na ni Mtanganyika harisi mwenye uchungu na nchi yake.

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 5 дней назад

      Vijisenti vya mboga awe Raisi hahh​@@kwisa4899

  • @bibylicious8201
    @bibylicious8201 5 дней назад

    Mm
    Sio mtaalaam
    Lakini mizigo nayo ni mingii nahisi uzito nao umechangia

  • @KheiriBafadhili
    @KheiriBafadhili 3 дня назад

    Tanzania muharii mkubwa sana viongozi kuto jua wajibu wao kwani kila kitu ni kusifia tu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 6 дней назад +1

    Kudondoka jamani nyumba inadondoka 😂😂😂😂 lugha ya Kiswahili Mhhhh

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 6 дней назад +1

    Walisema kwamba lilikuwa linaongezwa urefu chini ya ardhi, sasa hapo mm12 zilibaki zinaning'inia likarudi chini, jamani

  • @yasinmalembo3016
    @yasinmalembo3016 7 дней назад +5

    nondo hata ya mm10 inatumika kwenye ujenzi wa ghorofa, kinachoangaliwa ni ubora wake, na mahali gani itumike.

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 5 дней назад

      People are so stupid. Mtu kama wewe si ajabu ukatuambia:
      " Kuleni hata miguu ya kuku Sana ina protein nyingi!'

  • @eliasnicolaurobath6864
    @eliasnicolaurobath6864 6 дней назад

    Ukweri taifa ra tanzania ni vituko ukweri ni huo sema kaka tibaijuka ni kichwa ira taifa letu ni umimi na roho mbaya sana

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 7 дней назад +2

    Roho mbaya na rushwa umepatia mzee

  • @GiliardLugala
    @GiliardLugala 6 дней назад +2

    Kiongozi unatuchanganya,,kibali na ubora ni vitu viwili tofauti

    • @EmmanuelSabibi
      @EmmanuelSabibi 6 дней назад +1

      Ukipata kibal lazma wajue unatengeneza ktk kiwango kip, ndio maana anakizngmza kibal

  • @johnlufitola-ng2is
    @johnlufitola-ng2is 5 дней назад

    😂😂😂❤ asante ngosha umefanya vyema

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 6 дней назад +3

    Mambo unayoongea ni ya watu weupe tu ndiyo wanayafanya hii ngoz nyeusi ni shida tu

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 дней назад +1

    Dah

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 6 дней назад +1

    Msukuma❤

  • @gaitasanda2745
    @gaitasanda2745 5 дней назад

    Rushwa milele

  • @Judithmlay
    @Judithmlay 4 дня назад

    Mashaka kama mashaka umetuhama watu wa foresty

  • @ChenChen-i8c
    @ChenChen-i8c 6 дней назад

    Mashaka kama mashaka product ya CBE,shkamoo kwako

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 6 дней назад

    Kkoo inatakiwa kupangwa upya jamani..imekaa hovyo sana sana hakuna kiongozi aliyewahi kuona hii shida namna hakuna njia za waenda kwa miguu. Njia za miguu zimejaa biashara za watu waenda kwa miguu wanapita kwenye njia nyembamba za magari...kiukweli ni soko la kimataifa linalotegemewa lakini limekaa vibaya mnooo

  • @HanceBablo
    @HanceBablo 5 дней назад

    Sasa iv ni bora tuongee ukwel kama kufa kila mtu atakufa haina haja kukaa kimya watu wanakufa ovyo kwa upuuzi wa watu wasio jielewa

  • @JoelSanka-u3n
    @JoelSanka-u3n 5 дней назад

    Jamani hiyo singe uliza magufuli😢

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 4 дня назад

    Watu kama huyu kaka na Adimu xana kuwapata kasema ukweli mtupu

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 7 дней назад

    Nikisikia hivyo nalia jamani.yaani tuna wabunge na viongozi wakuu serekalini,na hakuna mjadala wala hatua yeyote hadi leo.Mungu wangu nchi hii mbona hivyo?.

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 5 дней назад

    Dubai imepangwa na Muhaya...hapana!

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 6 дней назад +1

    Kuna watu wamejaa mambo ya ovyo ovyo vichwani MTU mwenye akili wakitoa mawazo mazori utaona jitu linabisha na watu watamuunga mkono hapo utaona uwezo WA watu wetu

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 5 дней назад

    Niliandika;
    " Kuporomoka kwa gorofa Kariakoo is symbolic. Ktk fasihii ( literature) sio ajali ya bahati mbaya.
    Kwa serikali kama ya Samia iliyojaa irresponsibility, corruption,nepotism, embezzlement na Kila uchafu tutegemee kuumia na vifo Kila siku.
    Nikulize; why kipindi Cha Magu ajari Barbarani zilikoma?

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 6 дней назад

    Kumbe machawa walianza zamani, ila kwa sasa yameongezeka kwa sababu ya ukosefu wa ajira, wanaramba viatu vya watawala.

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 7 дней назад +2

    Umeongea vyema kuhusu mama Tibaijuka.huyu mama bado ni hazina .mwandishi huna kumbukumbu au hujui .rejea mji wa kigamboni alitaka ujengwe mji wa namna gani.sikiliza hizo interviews zake bado ni hazina.

  • @WILLIAMCHINA
    @WILLIAMCHINA 5 дней назад

    Kikatiba Naibu Waziri Mkuu Yuko Sura Ipi ya Katiba

  • @shehanimzee9953
    @shehanimzee9953 4 дня назад

    Kwahiyo unamaanisha majaliwa hajui wsjibu wake?

  • @veronicmkenda9939
    @veronicmkenda9939 6 дней назад

    👌

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 6 дней назад +2

    Yaani watu wazuri wote lzm wapigiwe kelele Africa kunatakiwa maraisi wababe km kina magufuli ili nchi iendele

  • @evasiusmlengowa3454
    @evasiusmlengowa3454 3 дня назад

    Huyu jamaa hana akili. Anasema kuna report ya waziri Lowassa apewe Samia kuhusu majengo ya Kkoo. Ana uhakika lile jengo kwenye report hiyo limo? Akili kisoda.

    • @MICHAELMAHONA-x2l
      @MICHAELMAHONA-x2l 3 дня назад +1

      Wew hujaelewa kaa kwakutulia anacho zungumzia yeye kama hayo magorfa yako chini ya kiwango yabomolewe ili kunusulu maisha ya watu kunasiku wew utakuwa karikoo unatembea likikwangukia sikuhiyo ndiyo utajua maana ya tahadhali

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 7 дней назад +1

    Ukweli baadhi ya wataalam wanapuuzwa.

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 6 дней назад

    Upo sawaaa kamanda 😂😂😂😂

  • @TheodoraAnatory
    @TheodoraAnatory 6 дней назад

    Majaliwa wetu amepigwa kibuti kuwekewa Naibu, yaani mambo ya sisiemu hapo ndipo kuna shida kama Mbunge alivyompiga kibuti Diwani katika eneo letu, matokeo yake diwani alikuwa akiwajali wananchi, huyo mlala bungeni akaona nafasi ya ubunge kwake itashindikana maana diwani anatosha, matokeo yake wananchi tuko gizani maendeleo hakuna alafu utasikia eti mbunge anaomba kura, atapewa na nani?

  • @happyemanuel9324
    @happyemanuel9324 6 дней назад

    Kuna tu fact kweriiiii

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 7 дней назад

    Acha ya ukarabati bro hata zingine zinajengwa juu na chini watu wapo wanafanya biashara zungukeni muone na sheria hairuhusu ujenzi na watu wakiwepo

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 6 дней назад

    Du Kwa hiyo tutegemee maana zaidi? Si mengi ni mazee sasa

  • @MozaSalim-d5e
    @MozaSalim-d5e 5 дней назад

    Mwanawane 😅

  • @evelina9621
    @evelina9621 6 дней назад +1

    Tanzania.unafiiki.watu.kama.tibajuka.tanzania.mm..mwenye.nachukia.mambo
    Yanayotendeka.tanzania.kuzura.kote.nchi.za.wenzao.hawaoni

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 6 дней назад

    Anahujumiwa😢😢

  • @estherwigfall2558
    @estherwigfall2558 6 дней назад

    👍

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 6 дней назад

    Kuunda kamati wakati tatizo liko wazi na ripoti zipo ni kupoteza muda na pesa

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 6 дней назад

    Hawa ndo wakupewa nafas za uongozi

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 3 дня назад

    Mwenye jengo lilibomoka yuko moshi

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 6 дней назад +1

    Dubai&Tibaijuka😂😂😂😂

  • @InnocentAbel-e2t
    @InnocentAbel-e2t 6 дней назад

    An ajali ikishatokea waongeaj wanakua wengiii na unawajua usiowajua

  • @stamped2555
    @stamped2555 6 дней назад +2

    Huyu kazidisha sasa,eti Dubai,Nairobi na Kigali zmepangwa na Tibaijuka ambaye aliingia UN juzi juzi tu kipindi cha Mkapa,inaelekea hata hajui hii miji imejengwa lini,asiwafanye watanzania mazuzu kiasi hicho,ni bora akalale kuliko kupigia watu kelele kwenye mitandao.

    • @evasiusmlengowa3454
      @evasiusmlengowa3454 3 дня назад

      Huyu akili kisoda, ni suti tu. Wanaomhoji mnaharibu taaluma

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 6 дней назад

    Alaf eti useme tunaviongoz !!? Wakat hata usimamiz wa mambo hua hayaonekan kama hayo ya kusimamia ujenz ili uwe na ubora

  • @jaysele2784
    @jaysele2784 5 дней назад

    Bora uchaguzi upite tupumzike kusikiliza porojo.

  • @AllySalum-y9n
    @AllySalum-y9n 6 дней назад

    Sasa unazungumzia Nini wakati hunaujuzi unasema sababu umevaatai

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 7 дней назад +2

    Viashiria fulani, wasiojulikana wenyewe serikali si itaifishe

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 7 дней назад +2

    RUSHWA NA UFISADI IMEKITHIRI KATIKA SEKTA HIYO YA UJENZI WA MAGOROFA DAR NA NCHI NZIMA....SIJUI KAMA SERIKALI YA CCM ITAKUWA NA 'UBAVU' WA KUBOMOA MAGOROFA HATARISHI NA MABOVU DAR NA NCHI NZIMA.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 7 дней назад

      Nani amfunge Paka Kengere?!
      Wahusika/Watendaji (Wahusika) Wakuu hawana Khofu ya Mungu 🙌

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 7 дней назад

    Upuuzi tu

  • @DayuuChuu
    @DayuuChuu 7 дней назад

    Polenisana

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 дней назад

    Acha kijana musuku wazee Wales chakula ss waki na mzee wasila ss ndio wazalendo wewe bani anakujua

  • @abdalahmjomba471
    @abdalahmjomba471 7 дней назад

    Kingereza kigumu jamani daaah

  • @BizzBoy-g9k
    @BizzBoy-g9k 6 дней назад

    Sisi tuna Jenga vyumba viwili kibali
    Wenzetu hakuna vibali upuzi mtupu.

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 6 дней назад

    Sio kila jengo linaloanguka limejengwa chini ya kiwango!

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 6 дней назад

    Haya nagorofa yapolomoka Tena tu yavunjwe

  • @evelina9621
    @evelina9621 6 дней назад

    Siri.ya.serikali.kuajibishwa.huko.kutembea.nchi.za.wenzao.halinnganìshi.

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 6 дней назад

    Yakaguliwe

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 6 дней назад

    Namuomba MANGU viongozi watu wewe wasikivu na wakubali kukosolewa

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 6 дней назад

    Hakika ww ni hazna kubwa ktk taifa letu

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc 7 дней назад

    Rushwa

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc 7 дней назад

    Umeme mgao kilasiku upo

  • @HenryInyasMrema
    @HenryInyasMrema 6 дней назад

    Rais hajahujumiwa. Inawezekana hata yeye mkuu wa nchi hajui namna ya kuisimamia nchi yake.Wanao jiita wataalamu wamebaki kumsifia sifia rais nae amekubali hali hiyo na hawezi kuwa wajibisha wote walio chini yake. Ccm imeporomoka na wataalamu wake.

  • @ChachaRichard-h1e
    @ChachaRichard-h1e 7 дней назад

    Kawaida lazima watafute mtu wa kuangushiwa jumba bovu

    • @harounmaarufu3241
      @harounmaarufu3241 7 дней назад

      Wenye shida ni hawa waandishi wa habari.hasa huyu dogo mwandishi mmbeya sana.

  • @yussufhashim4472
    @yussufhashim4472 6 дней назад +1

    🎉watazania msiwe wajinga ajali niajali msimpe mwenye gorarofa kesi nikama unampa kesi mwenda andesha pikikipi kugonganga mwendesha mkokoteni

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy 6 дней назад

      Kwa hiyo kama aliyesababisha ajali alikuwa kalewa asishtakiwe kw sababu ajali ni ajali?

  • @MbandaMohammed
    @MbandaMohammed 6 дней назад

    😅

  • @MusaJuma-y6s
    @MusaJuma-y6s 7 дней назад

    Inaundwa kamatiyanini na vituvinaonekana

  • @hatibuamrani397
    @hatibuamrani397 6 дней назад

    Kama hauna taaluma ya kitu kaaaa kimya
    Mpka mm6 zinatumika

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 6 дней назад

    You’re speaking rubbish,

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 7 дней назад

    😂😂😂😂😂 plofesa

  • @happyemanuel9324
    @happyemanuel9324 6 дней назад

    Kuna tu fact kweriiiii

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 6 дней назад

    Alaf eti useme tunaviongoz !!? Wakat hata usimamiz wa mambo hua hayaonekan kama hayo ya kusimamia ujenz ili uwe na ubora