PUTIN: Nchi za Magharibi zimeshindwa kuiangusha Urusi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 115

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 Месяц назад +27

    Salute kwenu SNS, pia pongezi nyingi kwa dj Sma, katufungua fikra wengi

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu Месяц назад +24

    Mungu mpe maisha marefu putin na umjaalie afya njema na umfanye awe muadilifu kwa kila pande ya dunia

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 Месяц назад +31

    Putin genius ❤❤

  • @goodlegacytv5068
    @goodlegacytv5068 Месяц назад +23

    Master Putin

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Месяц назад +12

    Nikweli kabisa Putin yupo sahihi kabisa Nchi za magharibi ni mbwa koko

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Месяц назад +16

    Respect sanaa putin❤💪

  • @felixrumisha5132
    @felixrumisha5132 Месяц назад +10

    Kama mtu humuelew Putin sijui unataka umuelewe nani

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu Месяц назад +6

    PUTIN PUTIN PUTIN I CALL YOU THREE TIMES... GOD BLESS YOU ALWAYS 🇷🇺 AFRICAN MUST WORK UP

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Месяц назад +7

    Ubarikiwe Saaana Mr Putin

  • @allymbaruku4710
    @allymbaruku4710 Месяц назад +7

    Big up sana bro...wewe ni journalist Original niwachahe wanaosoma habari vizuri kama wewe napenda sana unavyosoma habari yani aunapresha waandishi wengine waige mfano wako na appreciate sana kaka...🤝✊👍

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 Месяц назад +1

      Kaka sky ni kizazi cha vijana waliobaki kwenye tasinia ya uandishi .

    • @ce-08
      @ce-08 Месяц назад

      🎉🎉🎉

  • @kendwahamisi4903
    @kendwahamisi4903 Месяц назад +12

    Urusi imeshafungua tool box mpya Ukraine watakoma sasa

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 Месяц назад +9

    Huwa nafikiri hawajamaa waliwezaje kututawala ..maana naona kabisa huwa hawatumii akili

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km Месяц назад +5

    Putin ameongea kile dj smaa alichotwambiaga 😊

  • @augustinemagesa5743
    @augustinemagesa5743 Месяц назад +1

    DJ SMAA anapokuja na FUSE wengi tulikuwa tunajua jamaa anapendelea Urusi. Nakumbuka toka mwanzo katupa notes za kutosha. BIG UP SNS

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Месяц назад +1

    Na sasa amesema waislam wote wapige picha za paspoti na ijabu sasa kwann asibarikiwe na kuwapa waislam wajenge misikit wawe free atabalikiwa sana

  • @PAULNYANDILE
    @PAULNYANDILE Месяц назад +2

    jamani mbona wale mmbwa wa kushabikia wamagharibi siwaoni, maana wenyewe hawaujui ukweli wa mambo Bali wanaangalia movie za Rambo na anold ndiyo wanaujua ndiyo ukweli et😂😂😂😂. ACHANA NA RUSSIA KABISA NI TAIFA JINGINE KABISA KATIKA HII DUNIA LABDA MUNGU ATAKE.

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg Месяц назад +2

    Huyu jamaa ni jiniaz sana mungu ampe nguvu na umri mrefu

  • @othumanahmad
    @othumanahmad Месяц назад +2

    Master mind

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s Месяц назад +3

    Mimi nipo hapa nimekaa pande za Uroa skuli Zanzibar wacha

  • @hizzasheshe3209
    @hizzasheshe3209 Месяц назад +4

    kusema ukwli putin anaakili sana hawa manyang'au wa ghalibi amewachanganya sana yani hawajui lakufanya kwa sasa

  • @PAULNYANDILE
    @PAULNYANDILE Месяц назад +1

    safi saana the don of master plan him self Putin

  • @BesterNyalus
    @BesterNyalus Месяц назад

    ❤ simuliz na sauti

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад +2

    Mashoga hawaezi vita kwanza wanaogopa kufa maana wanajua wakifa moja kwa moja motoni

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k Месяц назад

    Karibu Tanzania mh. PUTIN

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 Месяц назад +5

    Urusi must be cruel at the battle

  • @WadySaidi
    @WadySaidi Месяц назад +4

    Nakupenda vladin putin

  • @mohammedshada7901
    @mohammedshada7901 Месяц назад

    From kizimkazi Zanzibar

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 Месяц назад +1

    Mungu amsimamie Putin ashinde🔥🔥

  • @nathanpaschal907
    @nathanpaschal907 Месяц назад

    Huyu ni Rais wa Dunia

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 Месяц назад +2

    Putin yupo sahih kbsaa huo ndo uhalisia

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Месяц назад

    Tupo pamoja sana master wa vita Putin

  • @ramadhanmkombelwa3065
    @ramadhanmkombelwa3065 Месяц назад

    Hii Sauti ❤

  • @NsekaboAsumani
    @NsekaboAsumani Месяц назад

    Mwanaume katika waume ni huyo Putini Jogoo

  • @HonestKinyaiya
    @HonestKinyaiya Месяц назад +3

    Mtakatifu wa vita

  • @Goshi-ov2wy
    @Goshi-ov2wy Месяц назад

    Safii

  • @NsekaboAsumani
    @NsekaboAsumani Месяц назад

    Putini oyeeee!!!!Urusi hongera

  • @YamusahSudy
    @YamusahSudy Месяц назад

    Master plann

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Месяц назад +2

    Ukraine kwisha habari

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 Месяц назад

    Yuraaaaaa

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 Месяц назад +4

    Mwamba Putin viva Russia more power

  • @ramazanitr8541
    @ramazanitr8541 Месяц назад +1

    Ndoto yangu ni kukutana na uyu mwamba, nahisi sio binadamu wa kawaida

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 Месяц назад

    Putin baba lao ❤❤🌹🌹
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jumasuleiman7171
    @jumasuleiman7171 Месяц назад +2

    Uraaaaaaaaaaaaaa

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon Месяц назад +1

    Hoja mezani ismezwe na mambo frani hasa hoja ya ushoga maana kunawatu humu ukijenga hoja ambayo inaonekana inaunga mkono magharibhi gafra unashambuliwa nawatu frani wanajiita watetea ushoga yani kiufupi wanapromoti ushoga bila kujua sasa wanatoka kwenye hoja yamsingi wanakimbilia kwenye mgawanyo

  • @mwinyiothman5106
    @mwinyiothman5106 Месяц назад

    Uko sahihi baba

  • @saidibuja5050
    @saidibuja5050 Месяц назад

    L'Homme 🇨🇩

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Месяц назад

    Anajua wameshindwa

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Месяц назад +1

    Bingwa ata wasi ana

  • @kolokokoloko9276
    @kolokokoloko9276 Месяц назад

    Ninaomba mungu aendelee kuibariki Russia na uongozi wake

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm Месяц назад +1

    akili nyingi... sema waukrain wanshida.. hv kwann wasiingine mtaani kumkataaa huyu jamaa

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p Месяц назад

    Hivi vile vikwazo viliisha au kuna vilivyobaki

  • @GabrielSky64
    @GabrielSky64 Месяц назад

    Dah Mzee anatia huruma. Ye mwenyew kazidiwa hapo kama umemuelewa ni anatafuta suruh kikubwa ye mwenyew hali tete

    • @SaidMkome
      @SaidMkome Месяц назад

      Unafikili Iraq ile dogo xoma ictory😂😂

  • @richevance5894
    @richevance5894 Месяц назад +2

    Ngusa uone

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Hapa tupate somo ili nchi iweze kupigana vita ni lazima iweke msingi wa kujitegemea mapema sana lakin kutegemea msaada utapigwa kama ngoma hata na nchi ambayo umeizidi ubora wa kijeshi

  • @abuuabuu274
    @abuuabuu274 Месяц назад +1

    Mwamba anamsimamo

  • @medsonulendo4221
    @medsonulendo4221 Месяц назад

    Mwamba Valdlin Putin ikomboe dunia

  • @Anandezi
    @Anandezi Месяц назад +1

    Power plant on fire right now.

  • @DanielMwangosi-c7c
    @DanielMwangosi-c7c Месяц назад

    Nko na mwamba putin mpk mwisho

  • @ndebeukae
    @ndebeukae Месяц назад

    SNS ibalikiwe

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад +1

    Putin afe

  • @jamalikatikiro6145
    @jamalikatikiro6145 Месяц назад

    Mkuu Putin piga hao mashoga

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f Месяц назад

    Putin angeamua kumpiga ukrein bac naona ni wiki mmoja tu, sasa shida pale ukrein kuna warusi wengi sana ndo maana vita vinaenda taratibu.

  • @ms123ru
    @ms123ru Месяц назад

    Hulĺah

  • @habibumallanga2381
    @habibumallanga2381 Месяц назад

    Mwamba uyu apa

  • @OmarHamza-j5v
    @OmarHamza-j5v Месяц назад

    HUYU PUNTIN, NAMKUBALI SN, HIDUNIA KM WANAPATIKANA VIONGOZI KM HAWA ZULMA INGEISHA

  • @EmanuelMkongwi
    @EmanuelMkongwi Месяц назад

    Kashaanza kuwavimbia sas watafanyaje awaa wa magharibi

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata Месяц назад +1

    Ngoja tione mwisho wake utaoshia wap

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 Месяц назад

      Yes sababu putin ni speek more and action poor bcz alisema wiki ukraine anaisha saivi miaka 2😅😅😅

  • @flashbreezytz7472
    @flashbreezytz7472 Месяц назад

    Putin

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq Месяц назад

    Waliizarau Putin kwakuwa wao wapo wengi na kujihisi wana nguvu kuliko yoyote yule hawakujua putin ni genius na anawashirika wengi na yupo na uwezo mkubwa wa kitechnologia na kijeshi Ukraine inatia huruma na deni walilonalo saivi hawatoweza kulilipa kamwe😂😂

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o Месяц назад +3

    WATAWEZA WAPI URUSI SIYO BALI URUSI NIKAMA BARA,NA WAO NDOMABWANA WANISHATI ZAIDI YA NCHI ZA ULAYA.. WATASUWEE MWISHO WATAKUJA HAPO HAPO KWA MRUSI😅😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад

    Ukraine lipua

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy Месяц назад

    Huuuraaaaaa

  • @Mumewangu
    @Mumewangu Месяц назад +1

    Wanajuta mashoga chezea urusi wewe!

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад

    Wasomi wpumbavu wa kimarekani ambao hawana maono

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ Месяц назад

    Putin tawala milele , mitano tena , chukua na Ukraine itawale kabisa ....wao wameshinda kwenye media zao za propaganda za kutoa habari za uongo..Sisi tutasikiliza SnS😂😂😂

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky Месяц назад

    Smaa mtu safi sana jamaa anaongea kitu ambacho leo kinaonekana wazi wazi vikwazo vyao vinawaumiza wenyewe..
    NATO ni lidude likubwa kwenye nchi ndogo hila sio kwenye nchi zenye jeshi kubwa na uchumi...

  • @Anandezi
    @Anandezi Месяц назад

    Pamoja na kujikaza kuongea, sasa hivi wanakwenda kumnyoosha, no power mosco right now, International airport imevamiwa jana, yuko vibaya wamempania sana, anajua kuondea ila anavyosema sio vya ukweli vingine. Alisema jeshi lake ni powerful,kashidwa hata kujibu mashambulizi sasa yanakwenda mpaka Mosco. Hawezi kushindana na hawa magharibi.

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @MartinKipenya
      @MartinKipenya Месяц назад +1

      Unaumwa wewe😮😮😮

    • @kafwimbimilambo8556
      @kafwimbimilambo8556 Месяц назад +1

      Ndoto

    • @leecode6135
      @leecode6135 Месяц назад

      Gen Z. Huyo 😅

    • @Anandezi
      @Anandezi Месяц назад

      @@leecode6135 madaraja manne yamavunjwa, kubwa zaidi la clamia. Tatizo lenu hamfuatilii nyuzi sehemu zote. Yeye mwenyewe amesema I have tough time after Ukrain invention to some parts of Rashia.angalie word news na CNN, huyo jamaa he is test of his own medicine 💊, alivamia wamemvamia, nampenda Mr. President Putin, lakini ukweli tuseme kashikwa pabaya. Angalia military channel

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 Месяц назад +1

    @djsma255 aliwahi kuywambia😂

  • @YamusahSudy
    @YamusahSudy Месяц назад

    Master plann