Tulisherehekea ngumi za mwalimu tusiempenda Kwa na mwanafunzi. Na kumzomea Sana kilichofuata staff teachers wote walihamia darasani na kutembezewa kichapo😂😂
nilikunja kalatasi nikatupa kwa mwalimu mwanafunzi ambaye alikuwa nyuma yangu alikunja karatasi akaweka jiwe ndani akatupia mwalimu kwa sababu mwalimu hakuwa anjua aliyefanya hivyo ikasababisha darasa lote kuchapwa
Tulisherehekea ngumi za mwalimu tusiempenda Kwa na mwanafunzi. Na kumzomea Sana kilichofuata staff teachers wote walihamia darasani na kutembezewa kichapo😂😂
brother kua unaweka mwenderezo😂😂🎉🎉 ma kazi zako nzur nagisauti cho 😂❤ kizuri.nagipen😂. ❤🎉Congratulations 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️♥️🎆🎉
Much love from Saudia ❤❤❤❤and big up🥰🥰
❤❤😂😂😂😂❤❤Congratulations ❤❤❤❤Congratulations ❤❤ mimi.nirikuwa mlfu sana kuriko wangine❤ 😂❤ nikawa nawa, somesha😂
Assalamu alikum karibu kenya dijeni🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤ muko na kz zur 😅😅😅😅😂
Bawili natokeya marekani Kentucky nawapenda sana 🥰🥰🥰🥰🤣🤣
Sasa siunibebe namimi marekani 😅😅😅
Tulimucheka Mwalimu wA kingereza alisoma vibaya from BURUNDI ❤❤❤🎉🎉🎉
Naitwa amina kutoka oman mimi nilikimbia shule kwa kwa kumpiga mwalimu mayai yalioza kwenye jicho
Kazi nzur🎉🎉
Habar yak dj up vzr mm nip oman kil ukitoa video zak napenda san kuangalia mung akubarik san nakupend san 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Natasha kutoka dodoma hatukumsalimia mwalim wa kingereza tulichapwa darasa zima 😅😅😅
Roboti pelek movie slow plz si enjoy kbs
Tulimtunga mwalimu jina tukamwita toboatobo akaja mwanafunzi mgeni akatuuliza yule mwali yule anaitwa Nani Kam kawa toboa tobo kwa iyoo akaenda kumtafuta office teacher toboatobo yupo kwanza kumpiga yy Kisha akaulizwa akasema Nani kakuambia mm naitwa toboatobo ikabidi akasema darasani nilipouliza nikaambiwa ivoo darasa zima makwaju Tena na walimu wote vilio vilitawala
Mpenzi wangu aliniasha kwa sababu sijui kucheza pila😢ila sasa ivi nimejipata ananisumbua sana.😅
nimefurahia video zako sana hadi nimesubscribe nimefanya kila kitu endelea na kazi nzuri kazi nzuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉😊😊😊😊
Atufanya kazi
Hatuju ikusoma
Hogera san ❤❤
Tulipiga kelele sana
Hogera sana dj❤❤❤❤
Mimi tulipigakelele tukapigwa shulenzima kutoka 🇹🇿
Watu wa iring mpo humu guys 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥 sis hatulag mbwa bwana mnatuonea tu 🤣🤣🤣🤣🤣
Nice story
Asalam alykum karibu tabora🎉🎉🎉🎉 nakukubali san😂😂😂😂
Daah nilimpa madada baruwa yakijinga akaipelek kwa walimu daah nililazwa kwenye meza walim w3 Wakiwa bakor sijuw kilitokea nn
Tulimrushia mwalim jiwe
Ahah iringaa TeNaa😅
Asalam Aleykum dj wang wanguv❤❤❤❤❤
🎉❤🎉❤
nilikunja kalatasi nikatupa kwa mwalimu mwanafunzi ambaye alikuwa nyuma yangu alikunja karatasi akaweka jiwe ndani akatupia mwalimu kwa sababu mwalimu hakuwa anjua aliyefanya hivyo ikasababisha darasa lote kuchapwa
❤❤❤❤❤🎉🎉❤😂
😂😂🎉😂😂😂😂😂😂😅😮
Roboti naitwa King tadhwa tu hati Instagram tulifeli mtihani
Mpenzi wangu aliniasha kwa sababu sijui kucheza pila😢ila sasa ivi nimejipata ananisumbua sana.😅