THE CLASSIC JOSLIN PT 2: MATUMIZI YA MADAWA/SIPATI MIRABAHA/SIPENDI WANAOTUMIA NYIMBO ZANGU
HTML-код
- Опубликовано: 7 ноя 2024
- Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano ya The Classic na mkali Joslin ambapo amezungumzia tuhuma za kua mraibu wa madawa ya kulevya ,Jinsi ambavyo pia hanufaiki na kazi zake zilizopo mitandaoni sambmba na kukosa mirabaha ya kutosha na mengine mengi
Diamond mwone joslin japo festival moja tuuu jamani mbona yupo hai bado mchalla huyo hapaaah
Niite basi.. one of my best old bongo flava… sijawai kuichokaa
Watching from Mombasa, Kenya. Niite Basi ilitamba sana huku kenya. Huu ndio wimbo wa kiswahili pekee ambao ulikuwa ukionyeshwa kila siku the beat NTV
🔥🔥🔥🔥
LOVE FROM TANZANIA
Nakumbuka planet bongo cha salama jabir eatv kipind chake ndo kilikua kipyaaa week ya pili tangu kianze alihojiwa joslin kilifanyika kanisan ❤❤unyama ulikua mwingiii
Una kumbu kizi nzuri rasta,
Una kumbukumbu duhh
I love the fact that Joslin anajua alifanya vitu vikubwa👏👏 hope alipata mafanikio kupitia hit songs zake
Ommy Dimpoz anaongea kama Jose
Vile mwana anaongea ni swagga kabisa... jos ni swaggaficient
TRUE
Joslin, one of the best
Watching from Kaham
Dah mwana bado tunakudai mziki mzuri😢 achia mavitu
Joslin 👊👊👊
Joslin A.K.A Mpendwa na watu .
Kwasababu mi nafloo styles zaidi ya 3
Hii nyimbo ilikua Kali saaaaana
Huu Wimbo sio hii nyimbo😊
daaah... jamaa anaongea kinyamwez sana
Unakamua ngoma ya mwamba yote bora ata upige chorus tu😀
Daaah kweli ni teja
Joslyn anaongea kama anavyoimba, same accent and pronouniciation of words