Wimbo naupenda huu hatari nilikua natafuta jina lake maana kwa mara ya kwanza niliuona youtube kwenye anniversary ya mzee omar bongo rais wa gabon na mkewe edith sassau nguesso au aditha omar Bongo ambae ni binti wa rais sassou ngueesso ...huyu dada alimwalika madilu akaimba live siku hiyo huu wimbo ikulu ya Gabon...Editha alikua anaupenda sana aliimba na kucheza mwanzo mwisho
Kazi nzuri Prince Bokson. Naomba tafsiri ya nyimbo hizi... Rtc Riva na Kamul intel za Madilu System asikiza kutokea Tanzania 🇹🇿 julius Mabeya
Kazi nzuri sana
Asante, karibu sana, basi share na wengine, na ufate masomo yetu ya lingala hapa ruclips.net/video/w1M5X2EHK3E/видео.htmlsi=F-xvC52nc-RRZlIl
Mzima bro tuleteye wimbo wa bina nangai na respect thanks big up✌
Kaka ngoma ni tamu Sana Prince Asante kwa Kaz nzur (bialu R I P
Shukrani za dhati zikurudie kaka na Mungu abariki kazi za mikono yako . Unatukumbusha mabali sana .
Papaa nakubali kazi zako.majina naitwa Joseph PHILIPO nipo U.S.A
Kazi nzuri sana Prince
Kazinzuri sana. Naitwa Sankey
Dar es Salaam Tanzania.
Mjora from musoma mara Tanzania.naomba tafasiri ya mitikisa yake Fally ipupa
Madilu wimbo hu una tafsiri nzuri saana
Watching from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
Umenieza ndeko hapo....Nike Nairobi Kenya
Am Rashid from Uganda Mbale ndungu na kapower mbele it's my favorite
Prince bokson napenda sana nyimbo lingala nataka ufali nyimbo ya fali ipupa ya mayday
Kula ngoma ama kawaida ❤
Hii ngoma naidanilod half namtumia mdogo wamg mkoan anaupenda lakini hajuw manaake
Kutoka uganda asanteni bloda
Jambo ndugu nakubali kazi unayo fanya Gabone Boniface
Napenda madulu system
Nimekubali ndg upo vizuri sana
Mwinyi from Tz
Hii ngoma na tafsiri yako kk.. umenikosha sana sana... hongeraa sana kazi nzur
Pongezi kwa kazi poa.
Tafadhali tutafsirie wimbo "Mbongo" yake Simaro lutumba.
Papa prince uko vizuri Sana. Lingala naipenda sana
Sana dj aminia umenigusa sana
kazi nzuri sana mkali,,,uko juu.
Shukran sana Mr, BOCKSON kwa majina yamgu RINDANO MBEGA ninakusililiza nikiwa Moshi kilimanjaro BIG UP sana
From Mombasa kenya
Naitwa john au nyangaka naomba wimbo wa madilu Jean kwa kiswahili
Nakupa vzuli hizo nyimbo naomba tafsili ya wimbo madilu sistme djaffar
Kazi nzuri kabisa endelea tupe rahaa
Kazi nzuri sana Prince Bockson
Kenya is listening to translation. Sharing and subscribing
Pamoja Sana kaka
naitwa sharifu salamu nipo songea ndugu kaz unaweza endelea iko ndio kipaj chaji chako milele napende sana lingala
Kazi safi Prince Bockson ni Brolyne nikiwa hapa Texas merikani
Bonjour 👋 Mon frère PRINCE BOCKSON naomba utukipata muda utupe tafsiri ya BAKANJA ya Fally Ipupa, Mimi ni mshabiki wako kutoka TZ 🇹🇿 , merci
Nakufuata kutoka cotee ya Mbezi Beach Dar es salaam, chapa Kazi Prince. Nimechelewa sana kukufuatilia" si je savais ça"
Mwamba unaupiga mwingi sanaa
Hahahaaa kazi unatufurahisha .... Naomba WEKA YA FERRE GOLA POISSON DA'VRIL
Shukran sana kaka Prince Bockson kwa Kazi njema hii
Oscar nipomwanza tz nakupata vizuli saana.
Am listening this from Pwani kibaha Tanzania. God job dude keep it up.
Andika kwa Kiswahili kaka, ni Good sio God. Tukitukuze kiswahili chetu
Naipenda kazi yako prince. Tafadhali nifanyie rtc river
Tupatie na ile inaitwa NZELE.ya madiluu nzuri Sana ile ngoma ahsante sana
kaka nakubali kazi zako tuko pamoja
Kaka nakuusudu sana unajuwa sana naitwa aroni meneger wa shishi food
Safi kaka pamoja daima.
Mbote. You are doing a good job. Please translate for me Kilelo by Felix Wezekwa. Fidel from Kenya
Nimeskiza tafsiri Leo 25/08/2022 nikiwa capital city
Legend 🔥
Mzee unatisha!!!⚡⚡⚡
nandimi yo mingi papa, nasengiyo parole ya nzembo ya fally ipupa -Eloko oyo
Papaa
Nakupata vizuri kutoka Dar es salaam Tanzania
prince bokson naomba tafsiri wimbo wa kemisco thy ule unaitwa military.....
Me nipo tanzania naitwa adrian
👍👍👍👍
Nimekuelewa katika huu, nipe na tafsili ya kupanda.
Wimbo naupenda huu hatari nilikua natafuta jina lake maana kwa mara ya kwanza niliuona youtube kwenye anniversary ya mzee omar bongo rais wa gabon na mkewe edith sassau nguesso au aditha omar Bongo ambae ni binti wa rais sassou ngueesso ...huyu dada alimwalika madilu akaimba live siku hiyo huu wimbo ikulu ya Gabon...Editha alikua anaupenda sana aliimba na kucheza mwanzo mwisho
Sawa, Upo vizuri ila shida kiswahili Bado yaani kufasiri kutoka lingala kuja kiswahili, wanaofaidika sans ni wale angarau wanajuwa lingala hata kidogo
Hongera kaka,naomba tafsiri ya Nzele kwake Madilu.
Nzela Ni njia
Ok. Tupo pamoja
Tafadhali naomba exclave ya bolingo ya werrason
Unayetafsiri hujui vizuri kiswahili hueleweki unavyoongea hapo mwanzo madilu anasema "Chico Mawatu Nipigie Gitaa, Nipeleke Unifikishe kule ambako Dunia haikutaka kunifikisha"
Lakini unajitahidi
Oook, vizuri, ila wewe unajuwa kiswahili basi wewe si ingekuwa vizuri utafsiri n'a wewe za kwako alafu zakwangu Uzi ache vile zilivyo.
@@princebockson5299 muacheni atafsiri bana si tupate raha
Huelewi nn hapo ..vurugu tu
Nakupata vyema sana Toka DSM. Tanzania
Wawawaaa🥰
NESTO,🇹🇿
Fasili wimbo wa fali ipupa may day kutoka tanzani dar esalaam
✌️✌️✌️🤔🇹🇿👍👍👍❤️
Tabalo kajala napenda nijue lingala
safi sana papa
Toka kenya topesi yo mbote mingi.
Prince penda sana tafsiri zako ni ngeomba tafsiri ya wimbo wa koffi olomide andrada
Mimi Aron meneja shish food nimepesana kaka
Kaka mambovpi naomba wimbo wa madilu bonepras
Naomba sana naitwa Aron naomba boneplasi ya madilu
Yap,uko juu Sana, Lete Raha kijana.naomba wimbo wa Mamuu wa Rwambo Makiadi Francoo
Kaka unatisha
Wimbo wa werrason render vous manqué
Madilu napenda nyimbo zake zote sijui nichague gani. Labda Vice Versa.
NIKO DAR TANZANIA.
Price usituwekee maneno ya french tunataka kiswahili
namba ya simu naomba.
Hahaha,,liwa ya ngungi🤣
Saf sana ila mbona leo hujatuandikia
Vipi prince B tupe tafsiri wimbo yo pe original version
Weka na namba yako
Mbona ulisahau kutuandikia
kweli kabisa sija andika, ila ni kwasàbu tutaañza ku funza lingala apa kwa chanel yetu toka this Saturday
@@princebockson5299 naingoja sana
Tuko pamoja unatukonga nyoyo na tafsiri
Kaka naomba nyimbo ya Heritier wata inaitwa de luxemberg
Mbona hujaweka ile tafsiri ya maneno ya kiswahili hapo kiswahili hapo pembeni ndugu ni muhimu sana hiyo
Please, how can I learn to speak lingala
nandimi yo mingi papa, nasengiyo parole ya nzembo ya fally ipupa -Eloko oyo